No video

BILA UWOGA MBOWE ANYOOSHEA KIDOLE MASHINDANO YA MAKONDA 'SAMIA CHAMPION......

  Рет қаралды 1,449

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Пікірлер: 11
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Ай бұрын
Huyu naye, FISADI ALIYESHINDIKANA. NIYEYE TU KIONGOZI WA CHAMA, MWAKA MPAKA MIAKA, YUPO TU.
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 Ай бұрын
Hamna sera chama cha matukio.
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 Ай бұрын
Acha uchochezi Vijana hawana shida wenye shida na vijana wa chadema ndo wenye maisha magumu acheni uchochezi na pupa ya hasira. wewe mbona hutaki kuachia uenyekiti kwani unachopambana nini sii ili ukae na wewe sehemu Zuri. acheni uchochezi.
@user-nf1tg3kt3y
@user-nf1tg3kt3y Ай бұрын
Nchi hii Kuna siku kitanuka hawataamini lakini ukweli ndio huo
@allyabdallah4970
@allyabdallah4970 Ай бұрын
HATA HAO WANACHAMA WAKE WANAMSHANGAA HATA MAKOFI HAWAMPIGII MBOWE HUNA SERA
@gladnesskombe1664
@gladnesskombe1664 Ай бұрын
mbowe acha uchochezi
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 Ай бұрын
Acha ujinga hizo ni chuki binafsi hao waliokufa ni ajali kama ajali nyingine, Acha uchochezi waache vijana washindane wapate faida . mbona zamani walikua wanashiriki na kupata laki na nusu leo wanapata mamilioni .
@johnfani9380
@johnfani9380 Ай бұрын
Mbowe huna akiri
@francismadirisha3511
@francismadirisha3511 Ай бұрын
Muachi makonda afanye kazi huyo ni njembe
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Ай бұрын
Mbowe wewe ndiye huna maono ndiyo maana chama chako hakijaendelea kipo pale pale ruzuku zote unakula unataka na Tanzania itokee kama Kenya wewe nimjinga sana Mbowe .Kenya unasema inakatiba zuri
@hawakassimu6120
@hawakassimu6120 Ай бұрын
Kenye nchi iliharibika toka pale tuu walipo acha chama tawala na kuwapa nchi wapinzani Ulaaniwe wewe unae omba mambo yalio tokea kenya yatoker Tanzania Hata kwenye chama chako iko siku vijana watachoma gari yako na nyumba yako maana watu wakiutaka uenyekiti unawafanyia figisu kama wewe ni mpenda haki kaa pembeni sema uenyekiti chadema mimi basi kiti wachukue wengine
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 25 МЛН
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 57 МЛН
Standout lines from 2024 DNC speeches
17:36
CBS News
Рет қаралды 382 М.
FULL SPEECH: Barack Obama’s full speech at the DNC
36:08
ABC News
Рет қаралды 3,5 МЛН
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 25 МЛН