No video

BIZMAN - Ametoroshwa Ni Story Ya Kweli Na Ya Kusikitisha | Ilimkuta Kaka Yake - Part 1

  Рет қаралды 2,874

Bongo Project

Bongo Project

Күн бұрын

Leo tulikuwa na mwana InAfrica Band, Mzee Mzima Bizman. Bizman ana story ya kusisimua sana jinsi alivyoingia kwenye muziki. Ametusimulia mambo mengi na kutimbia vibao vyake pendwa. Usikose
#bizzman #bongoproject #bongofleva #tanzania #inafrica
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
--------------------
WEBSITE
--------------------
bongoproject.org/
--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram: / bongo_project
Facebook: / bongo-project-10256641...
TikTok: / bongoproject
--------------------
CONTACT
--------------------
Email: info@bongoproject.org

Пікірлер: 19
@marafikistation
@marafikistation 27 күн бұрын
Brother unafanya kitu kikubwa sana sijajua kwanini watu hawa subscribe cz unafanya makubwa alafu watu 3k jamani embu msubscribe onene hata aibu 🎉
@bongo_project
@bongo_project 27 күн бұрын
Tunashukuru sana kaka. Sisi wenyewe inatukata sana maini…ila tunaendelea kukomaa
@mwalyoyoalexander2758
@mwalyoyoalexander2758 2 ай бұрын
Bizman ni mmoja wa producers ninaowakubali sana. Nimtakie mafanikio katika kazi zake
@bongo_project
@bongo_project 2 ай бұрын
Yuko vizuri sana
@dottokulwa7017
@dottokulwa7017 2 ай бұрын
Napendaaa sanaa huyuu jamaaaa
@mdl6463
@mdl6463 2 ай бұрын
We ulikuwa unaimba ngoja nikupe mda nikusikilize uko vizur sanaaaaa hebu rudi mbona koffi olomide anatoa ludi sauti bado ❤❤❤❤
@bongo_project
@bongo_project 2 ай бұрын
Bado anaimba na bendi yao ya In Africa
@jilalamaligisa4854
@jilalamaligisa4854 2 ай бұрын
Hongera sana Bizman, nakukubali sana hasa katika vinanda
@mtaalamshekidele4822
@mtaalamshekidele4822 2 ай бұрын
Tunakubali legend wetu🎉
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 2 ай бұрын
Hii interview mwandishi haukuitendea haki sijalidhika na mambo uliyomuhoji Kuna mengi ya kujifunza kwa bizman
@bongo_project
@bongo_project 2 ай бұрын
Episode zipo 3. Jaribu kuangalia zote. Tumeshapost episode 2
@straightkonect1613
@straightkonect1613 2 ай бұрын
Biz mzee wa Vinanda Majani mwenyewe alimkubali Kizazi cha sasa kinafaa kipigiwe kinanda na huyu jembe halafu mtangazaji umepoa sana Biz mchangamfu but umepoa
@cbhofficial3432
@cbhofficial3432 2 ай бұрын
Huyu Jamaa ni nomaa kwa kupiga kinenda cha kufatisha chorus
@bongo_project
@bongo_project 2 ай бұрын
Hatari! Utaona kwenye sehemu ya pili kama sio ya tatu akitaja nyimbo ambazo alihusika kwenye vinanda
@estherminnahboaz6956
@estherminnahboaz6956 2 ай бұрын
Watoto wa 2000 hawamjui huyu😂😂
@nassorsuleiman9155
@nassorsuleiman9155 2 ай бұрын
Bizz kuna ile chupa uliopiga na k basil na stara ile uliua sana zaid ya sana
@ombenijady8409
@ombenijady8409 2 ай бұрын
Mademu wa kibongo sifa ziende kwao. Hajazungumzia
@osca_kitomari_journalist
@osca_kitomari_journalist Ай бұрын
Where is MISHI✍️
@braggadachu1723
@braggadachu1723 2 ай бұрын
Huzeeki baba😂unakula nini mzee
Chekesha : Mawaziri kukabidhiwa Magari ya kutembelea
13:11
CHEKESHA TV
Рет қаралды 52 М.
SAMIR KINYULINYULI - Full Interview na Bongo Project
1:09:44
Bongo Project
Рет қаралды 153
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 92 МЛН
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 29 МЛН
Magic? 😨
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 19 МЛН
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 53 МЛН
"Mawazo" Sehemu Ya 59 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminia.
30:32
Chomoza Tv
Рет қаралды 7 М.
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 92 МЛН