AIBU! AY Awaacha Watu Midomo Wazi
25:58
Пікірлер
@selemanblonzo4483
@selemanblonzo4483 6 сағат бұрын
Hiyo Interview irudiwe kabisa ,jamaa kasema amezaliwa mafinga iringa sasa wimbo wa kigoma all stars na yeye anajiita wa kigoma inakuaje tena katokea iringa ?
@bongo_project
@bongo_project 3 сағат бұрын
Braza. Sehemu uliyozaliwa haina uhusiano na kabila lako au nyumbani kwenu. Sidhani kama Kigoma All Stars ilikuwa ni ya wasanii waliozaliwa Kigoma
@abdallahlyimomrwana9134
@abdallahlyimomrwana9134 22 сағат бұрын
Shida ya huyu kiumbe kuongea kwingi kazi hafanyi 😂😂
@contempo_builders
@contempo_builders 19 сағат бұрын
Kazi gani unazungumzia mzee?
@user-bs4mx5wo7n
@user-bs4mx5wo7n 2 күн бұрын
Unankumbusha mbali
@simonibonifasi3131
@simonibonifasi3131 4 күн бұрын
Ukowapi ww
@osca_kitomari_journalist
@osca_kitomari_journalist 4 күн бұрын
Pamoja kaka naomba kufahamu 'Indege' ni lugha gani
@osca_kitomari_journalist
@osca_kitomari_journalist 4 күн бұрын
Where is MISHI✍️
@AishaJuma-s2j
@AishaJuma-s2j 5 күн бұрын
Hongera sana mb dogg tunamiss nyimbo zako na zinanikumbusha mbali.xana jamani
@MsemaKweli-gk9sp
@MsemaKweli-gk9sp 5 күн бұрын
safe Sana bloo nimeipenda iyo
@ntambaracelestin7149
@ntambaracelestin7149 7 күн бұрын
Ferooz tunakukumbuka zamaan kbs
@dullahabdallah-nu1py
@dullahabdallah-nu1py 8 күн бұрын
Acheni shobo Kila kitu kinamuda wake
@Lafta_Rapkey
@Lafta_Rapkey 9 күн бұрын
Nipee tano nami nikurushee mpaka kucheee eehhh Daz Nundaz 🔥🔥
@SoudShuraim
@SoudShuraim 9 күн бұрын
Mahadhi ya nyimbo flani ya kihindi
@MohammedaminAbdullahi-ou5zh
@MohammedaminAbdullahi-ou5zh 10 күн бұрын
Ferooz unatambulika adi uku Somalia..yako ni talanta ya kuzaliwa nayo
@user-qk2dp9dx2l
@user-qk2dp9dx2l 10 күн бұрын
Kaka Mimi ni shabiki sugu kwako tuu Hadi sasa mwamba alikuwa anajuwa kabisa
@SamuelRuhogo
@SamuelRuhogo 11 күн бұрын
Kk rudi tena stidioni svp wewe ni mkali sana kuliko wasani wote wa Tanzanie
@tgeofrey
@tgeofrey 12 күн бұрын
Aminia
@mrisho_ikandilo
@mrisho_ikandilo 12 күн бұрын
Hatar
@christopherjames3684
@christopherjames3684 14 күн бұрын
Maneno ya busara na ya hekma sana brother chilla.
@charleskakooza9270
@charleskakooza9270 16 күн бұрын
Latifah ilikuwa noma sana braza men
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 16 күн бұрын
💯
@blessedrider3285
@blessedrider3285 17 күн бұрын
Yeeeesaya much respect broda
@shukranisibale1739
@shukranisibale1739 18 күн бұрын
"Wametoka Nairobi wamekuja kwenye hii house party" Q chiller
@bongo_project
@bongo_project 18 күн бұрын
Naikubali sana hiyo ngoma. Inaitwa Wiper (Carolina)
@wankwapilakitundu3796
@wankwapilakitundu3796 19 күн бұрын
kzfaq.info/get/bejne/i-CeqrmF0Ny8qH0.htmlsi=hQPCxBTCpQmEbt5F
@mulondakiyomarodriguerodri7261
@mulondakiyomarodriguerodri7261 19 күн бұрын
musani nzuri sana ❤❤
@brandyshowlife1028
@brandyshowlife1028 19 күн бұрын
Mtangazaji Ajui kutangaza anachekacheka
@bongo_project
@bongo_project 16 күн бұрын
Angalia interviews nyingine…
@user-xm4rj1jr7p
@user-xm4rj1jr7p 20 күн бұрын
Mi mshabiki wako mpaka leo toka miaka hiyo ya siulinambia❤❤❤
@shimirimanaramaky4410
@shimirimanaramaky4410 23 күн бұрын
❤😂🎉😢😮😅😊
@emperorrashka1490
@emperorrashka1490 23 күн бұрын
Ferooz is a legend
@bongo_project
@bongo_project 23 күн бұрын
Indeed
@mbenamdudu7856
@mbenamdudu7856 23 күн бұрын
Legend kitambo sana
@bongo_project
@bongo_project 23 күн бұрын
💯
@malkavoice2570
@malkavoice2570 23 күн бұрын
Neno kuipigania sana industry mnalitumia vibaya. Hawa wasanii wasasa zamani waliingia kwenye shows zenu na wengine walishawacheck hamkuwapa shavu wala nn,wamepambana wako pale alafu wewe unataka shavu au kushare kazi yako wakati wako ulishapita hata akiacha kazi zake akadeal na wewe jua ananadrop live. Jiongezeni kama hamkujipanga kuja kulea wajukuu basi kaeni tu kimya inatosha
@user-tb3hi9he5f
@user-tb3hi9he5f 24 күн бұрын
Vipaji vya kweli
@munjy11tutorials
@munjy11tutorials 27 күн бұрын
Hebu mtangazaji next time muulize AY nini kilimsukuma kuandika ule mstari Take money money, get money money, make money money, weka mkwanja mezani ndio kisha nichane......
@veekenzo
@veekenzo 28 күн бұрын
Mtangazaji sauti yako tunaisikia kwa tabu sana. Next time fanyia kazi
@bongo_project
@bongo_project 28 күн бұрын
Hii interview tulipata tatizo kidogo la audio
@shukranisibale1739
@shukranisibale1739 28 күн бұрын
Rafiki song is the best ever by Banana
@brendonmarube6893
@brendonmarube6893 29 күн бұрын
Unazidi kunifurahisha mkurugenzi😂
@AkwanySteveArt
@AkwanySteveArt 29 күн бұрын
Am from 🇰🇪 but you remain the legend of Bongo 🫶🏾✨
@gideonaketch7705
@gideonaketch7705 29 күн бұрын
I still love the song upto date
@Avibrtz
@Avibrtz 29 күн бұрын
Sasa kama niwamafinga Iringa kwenye Kigoma all stars alifata nini hahaha ujue hawa watu wanatuchanganya na kama wale madogo makomando sijui niwawapi
@bongo_project
@bongo_project 29 күн бұрын
Amezaliwa mafinga. Havihusiani na kabila wala alipokulia.
@ngomagenius
@ngomagenius Ай бұрын
USHAURI: Next time ukirecord kipindi kama hiki na mkapreview na kuona sauti ya maswali haisikiki au iko chini Editor aandike maswali yadisplay maana inakua haileti maana sana swali halisikiki ila mtu anajibu inabidi kua makini kuelewa tofati na mtu akisikia swali Pia kunogesha zaidi mnaweza kua mnaongezea cuts za picha zao za zamani wakiwa stage,studio au picha zao za zamani vide audio kama kionjo inaweza kua issue kwasababu ya copyrights ,picha kama mtandaoni hamzipati waombeni wasanii huwa awanakua nazo .KAZI NJEMA
@bongo_project
@bongo_project Ай бұрын
Shukrani sana. Wazo zuri ni vile tu Mambo ni mengi sana…tutajitahidi ila siku za usoni.
@user-js5ww2mf7h
@user-js5ww2mf7h Ай бұрын
God is the unmovable mover
@user-vv9wb9he2x
@user-vv9wb9he2x Ай бұрын
Good talent Tundaman
@ZavaraTv
@ZavaraTv Ай бұрын
Poa sana Wazee, #bongo_project
@bongo_project
@bongo_project Ай бұрын
Pamoja
@ElizabethJoseph-lk2mw
@ElizabethJoseph-lk2mw Ай бұрын
Aiiiii.... Huhaaaa