No video

BONGO DAR ES SALAAM S02EP01 - IST

  Рет қаралды 248,537

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Hii ni Episode ya Pili ya SEASON 2 Katika Drama ya #BongoDaresalaam Kutoka kwa #DudeBongo ambayo inaoneshwa kupitia #WasafiTV
Kama Ulikosa Season 1 Basi Hii Si ya Kukosa Kabisa, Ubunifu, Ujanja, Akili Nyingi na Maarifa ya Kuweza Kumtegua Masta Mwenye Dar es Salaam Yake DUDE Umeboreshwa Zaidi
USIKOSE KUTAZAMA KILA JUMANNE #BONGODARESSALAAM KUPITIA WASAFI TV

Пікірлер: 349
@augustmj4573
@augustmj4573 4 жыл бұрын
nyinyi kweli wasafii nimewakubalii u tube ya bongo yote yenu sas tumewapa anaekubali like zetu tuztenge hapa 🤗🤗🤗
@rehemaaugustino1948
@rehemaaugustino1948 4 жыл бұрын
august mj wamebugi simu moja wanatumia wote
@itaelnanyaroministries7064
@itaelnanyaroministries7064 3 жыл бұрын
Ivi unavoomba like, ukizipewa unafaidikaje?????
@beleoneo8395
@beleoneo8395 Жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/i5txprx_zcycf5s.html
@sirbentv39
@sirbentv39 4 жыл бұрын
Me natamani kuwaona wale dadaz wawili wa zamani kma unakubaliana na mm gonga like kubwa
@chafumirro5617
@chafumirro5617 4 жыл бұрын
Duuuhhhh nilijua leo kapatikana kumbe wapiiii.........dude noma xna
@martindeogratius6547
@martindeogratius6547 4 жыл бұрын
Wekeni ule mlio wa bongoooo daresalaaam huwa unaonesha msisitizo sana
@neemamayco3238
@neemamayco3238 4 жыл бұрын
Afu mm mwenyw naupenda kweli
@martindeogratius6547
@martindeogratius6547 4 жыл бұрын
@@neemamayco3238 gud
@abdulndash9214
@abdulndash9214 4 жыл бұрын
Acha iitwe Wasafi TV channel number1 Ester African Big up Kwako Dudu na Team nzima ya Bongo Dsm nim enjoy san piga like kama unaipenda wasafi Tv
@ayaotheboss9516
@ayaotheboss9516 3 жыл бұрын
Mbona cm ya mwarabu na ya huyo dada km zinafanana
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 3 жыл бұрын
@@ayaotheboss9516 ili Baki moja dukani
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 4 жыл бұрын
Nilijua jamaa atanasa Leo kumbe watu fireeee
@khatibujuma8880
@khatibujuma8880 4 жыл бұрын
Gonga like,japo techno ni moja
@famitoissanawanda6295
@famitoissanawanda6295 4 жыл бұрын
Kkkķk dude fala sana daaa hatari sana
@abdallahrashid4901
@abdallahrashid4901 4 жыл бұрын
wabongo bhna tunafelii wap simu moja wanatumia watu wawilii
@jumashabani5473
@jumashabani5473 4 жыл бұрын
Sasaa tena tecno
@allymngwaya9855
@allymngwaya9855 4 жыл бұрын
Simu au cover moja?
@florabaruti8032
@florabaruti8032 4 жыл бұрын
Ally Mngwaya ndio hapo sasa
@issanaseeb7699
@issanaseeb7699 4 жыл бұрын
😂😂😁😁😁😁👊👊👊
@kisshydirector2630
@kisshydirector2630 4 жыл бұрын
kam umeon vibali vya TRA vimebandikwa kweny kioo cha mbele upande wa kulia alafu wanatuambia gari halina vibali gonga like kwangu
@naseebjoseph5330
@naseebjoseph5330 4 жыл бұрын
Wewe ni mshamba
@mikehjackson8146
@mikehjackson8146 4 жыл бұрын
Sio kosa lako
@emmanuelmuhili6812
@emmanuelmuhili6812 4 жыл бұрын
Nakubali nakubali sana
@saadsalum3253
@saadsalum3253 4 жыл бұрын
Kama umeskia dude anachomoa betri ya mwarabu gonga like hapa
@neykweyamba8052
@neykweyamba8052 4 жыл бұрын
Nielekeze jinsi ya kuweka profile ya you tube
@neykweyamba8052
@neykweyamba8052 4 жыл бұрын
Nielekeze jinsi ya kuweka profile ya you tube ples
@idiembete6696
@idiembete6696 4 жыл бұрын
Huyo boss koko nikama mcongo hivi!
@theafricanprincevivecongo8632
@theafricanprincevivecongo8632 4 жыл бұрын
Idi Embete wew una mzidi mkongo nini
@florahraymond3547
@florahraymond3547 4 жыл бұрын
Gonga like hapo kama upo tayarii kuliamsha DUDEEEEE tuna liamshaa DUDEEEEE.....like
@johnmwakalyelye6846
@johnmwakalyelye6846 4 жыл бұрын
dude ni balaaa zitooo
@selemanimsahani3919
@selemanimsahani3919 4 жыл бұрын
Mwarabu kwenye unga alikwama kinyama yaan
@iamthad7663
@iamthad7663 4 жыл бұрын
Kazinzur sana na burudi kwakwel na wasaf tv on KZfaq ila nigependa translate kwa chini kwa kingereza ila niangalia nao iwe wepes kuelewa ma shabiki wengi walugha yakigeni wanaangalia pia asante 😍😍😍
@neemamayco3238
@neemamayco3238 3 жыл бұрын
Ushaur mzuri
@emmanuelsamwel2865
@emmanuelsamwel2865 4 жыл бұрын
Kama umeon cm ya mwalabu na queen zinafanan nip like kubwaaaa ya wasf
@davidmnyagwia5627
@davidmnyagwia5627 4 жыл бұрын
Mbn kweli sjaelewa bado hapo ndo wametuuza Mr
@ktravel3527
@ktravel3527 4 жыл бұрын
Kwani haiwezekani watu kua na sim sawa?
@solomonitv7808
@solomonitv7808 4 жыл бұрын
Noma sana wangapi wanataka Dude akamatwe
@akpaekhtb7776
@akpaekhtb7776 4 жыл бұрын
Peke yako mm sitak
@wilfredmgowe9153
@wilfredmgowe9153 4 жыл бұрын
Nmempenda huyo mtoto wa mwenye nyumba asee....anajua kuigiza
@barakakasim4724
@barakakasim4724 4 жыл бұрын
Sema umempenda alivo mrembo weweeee
@zayumar2955
@zayumar2955 3 жыл бұрын
Du sjui nmefata nn huku 2021 natizanama bongo dare salama kitambooo😂😂😂
@sallyraidan6867
@sallyraidan6867 4 жыл бұрын
Dude like naombeni jaman ata na mm leo nioshe nimepata like
@ommie_nyzer
@ommie_nyzer 4 жыл бұрын
😂😂
@amininurdin8607
@amininurdin8607 4 жыл бұрын
Hii
@faudhimaulid5678
@faudhimaulid5678 4 жыл бұрын
sawa ni mzuri....ila kunavitu waigizaji wanafeli sasa hyo dude kapajuaje hapo nyumban kwa huyo jamaa hapo inaonesha ni jinsi gani wahusika wanafeli
@hamdallahmedia1911
@hamdallahmedia1911 4 жыл бұрын
Kama umegundua simu ya Mwarabu na Queen Suzzy ni ile ile, nyoosha mkono 🤣🤣🤣
@juliusuronu8812
@juliusuronu8812 4 жыл бұрын
Yani director wao....anafanya makosa ya kizembe kabisa sasa kulikuwa na ulazima gani wa kushare simu? Tanzania ni Tanzania tu
@smileboy8979
@smileboy8979 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@brandonpoint5212
@brandonpoint5212 4 жыл бұрын
nimepause hapo dk ya 7 nije kusoma comments kwanza kama kuna alieligundua hilo
@filbertkapama8824
@filbertkapama8824 4 жыл бұрын
Wayu Abdallah 😂😂😂😂
@andreahereman273
@andreahereman273 4 жыл бұрын
Kondo ktu ulivho kuja kkiangalia au una kaz
@NeneMedia
@NeneMedia 4 жыл бұрын
Ofcourse umakini unatakiwa lakini simu ni kawaida watu kutumia simu moja hata kama hamjuani si ndiyo zina trend kwenye soko, nimecheka sana hapo kwenye mkokoteni... safi sana
@paschalmkutho4635
@paschalmkutho4635 4 жыл бұрын
Dude ingenoga story ungeondoka na harier yao uwaachie ist.
@anoldbashube7954
@anoldbashube7954 3 жыл бұрын
Maaskari bado awjakaa vizuri kwenye hualisia
@abdoullateefsappy3359
@abdoullateefsappy3359 4 жыл бұрын
kama umegundua mwarabu na queen suzy wametumia simu moja gonga like twende sawa
@yassinhashim1046
@yassinhashim1046 4 жыл бұрын
We jamaa noma mno
@akpaekhtb7776
@akpaekhtb7776 4 жыл бұрын
Kweliii na mm nimeonaa hyo
@AngelAngel-it7jv
@AngelAngel-it7jv 4 жыл бұрын
nlkua natafta koment inayosema kuhusu sim nilike
@mustaphagairo1936
@mustaphagairo1936 4 жыл бұрын
Wew zaid ya F.B.I
@abdoullateefsappy3359
@abdoullateefsappy3359 4 жыл бұрын
@@AngelAngel-it7jv kwa hapo wamepuyanga
@balo_tixer9
@balo_tixer9 4 жыл бұрын
wanao ona simu ni moja katika scene ya muarabu na huyo Demu
@binzid9046
@binzid9046 2 жыл бұрын
Nimeona ata mm pia
@mussakisoma4369
@mussakisoma4369 4 жыл бұрын
Leo mimi wa kwanza kukoment. hahaha karibuni na Muyo Tv kwa mada za mahusiano. nakubali sana wasafi na hii Bongo Dar.....
@aloyceiluminata3650
@aloyceiluminata3650 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 dude Ni msenge kinomaaa...eti kavaa na kitambulisho daah !!
@hancemagembe8221
@hancemagembe8221 4 жыл бұрын
Da nimecheka kweli jamaa ametokea kwenye mkokoteni
@iddyrashid4515
@iddyrashid4515 4 жыл бұрын
Bongo move hamna lolote askari anakuja badala afuate mhalifu anaanz siasa,,hovyo,,
@chengem.costantine6110
@chengem.costantine6110 4 жыл бұрын
Igizo hili wewe mbumbumbu...siyo uhalisia
@malkiabintimfalme6820
@malkiabintimfalme6820 4 жыл бұрын
Coco, analafudhi ya kikwetu, *like*
@lampungaofficial6323
@lampungaofficial6323 3 жыл бұрын
Wame zingua ao wanatumiaje cm moja au director kazingua
@godwinjunior297
@godwinjunior297 4 жыл бұрын
Kama umekuwa wakwanza kutazama leo gonga like hapa
@dullahcheckbob9358
@dullahcheckbob9358 4 жыл бұрын
Nakubali sana
@issakamangila9113
@issakamangila9113 4 жыл бұрын
Mhh ongereni kwa kz nzuri
@officialkamdudu
@officialkamdudu 4 жыл бұрын
aise nilijua leo kimebuma kumbe we dude ni noma ...
@sefukanga964
@sefukanga964 4 жыл бұрын
Nimekubari sana bongo dar es salaam dude umetisha sana
@emmanuelnicholaus8795
@emmanuelnicholaus8795 3 жыл бұрын
Jina lenyewe linatishia amaniiii etiii DUDEE 😆😆😆🤣🤣
@bahatisaimon6019
@bahatisaimon6019 4 жыл бұрын
sini bora mmoja angetoa hiyo karatas nyeupe ya kwenye simu hata tuone tofauti
@husseinlaizer7983
@husseinlaizer7983 4 жыл бұрын
Mmecheza vizur character anaendana na movie yenyw ttzo simu mmeweka zimefnana ingekuwa tofaut kidgo
@mbwanahussein2014
@mbwanahussein2014 4 жыл бұрын
Alie ona simu aweke like hapa
@shayopaterini8678
@shayopaterini8678 4 жыл бұрын
Hahahahahahaha co mchezo hili dude noma
@kingss6709
@kingss6709 4 жыл бұрын
dah dude we ms**** ni nyoko😂😂😂🙌🙌🙌
@zenombele1798
@zenombele1798 4 жыл бұрын
K
@idrissaabeidy7984
@idrissaabeidy7984 3 жыл бұрын
Kama umemuona makala wa movie ya #kissme gonga like
@queensuzy6847
@queensuzy6847 4 жыл бұрын
Motooo Bongo dar es salaam nimotoooooooo🔥🔥🔥🔥🔥🍾🥂 hongera sn Dude kwakazi nzuri
@banjiog5567
@banjiog5567 4 жыл бұрын
Umetishaa
@mohamedishabani4167
@mohamedishabani4167 4 жыл бұрын
Nakubali dude we noma duuuhh
@mugheiry
@mugheiry 4 жыл бұрын
Yani nikajua comment zitakua kusifia hii show kurud kila mmoja anaomba like...sijui mambo haya ya kishamba yataisha lini... Kila alieomba like nimeweka unlike yangu
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 4 жыл бұрын
Miwananisinya kabisa
@mussakisoma4369
@mussakisoma4369 4 жыл бұрын
Tisha sana Dude
@finiaskabungulu1239
@finiaskabungulu1239 4 жыл бұрын
Simu ya mwarabu na mdada ni smu moja wamebadlishana tuu
@chafumirro5617
@chafumirro5617 4 жыл бұрын
Yap mm pia nimeliona hilo
@abdulndash9214
@abdulndash9214 4 жыл бұрын
Yeah is true
@jumashabani5473
@jumashabani5473 4 жыл бұрын
Umeonaeee
@queensuzy6847
@queensuzy6847 4 жыл бұрын
Kwani tatizo likowapi?
@rashidinyakanyaka5992
@rashidinyakanyaka5992 4 жыл бұрын
Niliona hilo alafu walijsahau kutoa karatas ila baadae walitoa
@harunakayega5531
@harunakayega5531 4 жыл бұрын
Mpigaji nae kapigwa leo hahahah
@ahmedsule1520
@ahmedsule1520 4 жыл бұрын
Maaaaaninaaa dudeee ww nowmaaaa ✌😅😅😅😅✌💪
@shareeph2223
@shareeph2223 4 жыл бұрын
nakusubiria hapa utanimalizia sendo zangu
@wazirmasokola5951
@wazirmasokola5951 3 жыл бұрын
Dah dude mkali sana
@ramadhanihussen4695
@ramadhanihussen4695 4 жыл бұрын
Goma liko powa sana nakupa 100/1000 ila unayumba kukamatwa kiboya nawewe ni intaneshino.way
@evaristmollel5584
@evaristmollel5584 4 жыл бұрын
kiburudisho safi sana
@hkfreeboy9533
@hkfreeboy9533 4 жыл бұрын
😂😂😂😂dude hakamatwi tena
@rechojonas508
@rechojonas508 4 жыл бұрын
Kwaiyo wote wanatumia tecno Spark 3😂😂km mm tyu
@issanaseeb7699
@issanaseeb7699 4 жыл бұрын
Wote naon kampuni ya Tecno😁😁😁😁😂😂😂😂
@rosejasiry8502
@rosejasiry8502 4 жыл бұрын
Nan anamkumbuka makala kwenye movie ya sindi na kendi
@ommie_nyzer
@ommie_nyzer 4 жыл бұрын
Cmu moja 😂😂
@rahimbukutu6904
@rahimbukutu6904 4 жыл бұрын
Hakika nimeona
@fahadfahmy
@fahadfahmy 4 жыл бұрын
wamechemsha
@experansia100
@experansia100 4 жыл бұрын
Amna sio moja n tofauti ila ilo karatas limezba brand ya cm zao ..😉
@jennifernduka720
@jennifernduka720 4 жыл бұрын
Daaaa bora aise Dude umetuletea Bongo Dar-esalaam 😃😃😃😃😃
@mashototv7510
@mashototv7510 4 жыл бұрын
Hi
@jennifernduka720
@jennifernduka720 4 жыл бұрын
@@mashototv7510 hi
@kennedymwagambo7197
@kennedymwagambo7197 3 жыл бұрын
Good stuff, top creativity
@yussuphkazumar6229
@yussuphkazumar6229 4 жыл бұрын
😂😂😂 dude bhna na hyo mawan dah waniachaga hoi kwl
@salehsaleh591
@salehsaleh591 4 жыл бұрын
Nilipo muona makala nimekumbuka kiss me. , sindi na kendy love you more makala
@erickhaule8680
@erickhaule8680 4 жыл бұрын
Acha kabisa aisee
@omymcatalunya2331
@omymcatalunya2331 4 жыл бұрын
dude noma
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
Ooh waaw muarabu, nyoooo mamamae!!
@mohamedhamdan4956
@mohamedhamdan4956 4 жыл бұрын
Hii filamu ni kali
@dennisjulius1136
@dennisjulius1136 4 жыл бұрын
😂😂😂 jombaa kachomozaa km anord jane vlee kudadekii hahahahahaahahahaaa
@salumkhamis5468
@salumkhamis5468 2 жыл бұрын
Dah
@aljunijohn5395
@aljunijohn5395 4 жыл бұрын
Hahahaaaaaa kwel bongo ni hataaaaari dude umetishaaa safi
@jameschilongo161
@jameschilongo161 4 жыл бұрын
IST kutoka kutoka sauth Africa jamn
@BoniKazimoto
@BoniKazimoto 4 жыл бұрын
Hahaha haha dude hatari sana
@bernardmdendemi7347
@bernardmdendemi7347 4 жыл бұрын
Hivi gari isipopata usajilii wa tra inaweza kuwa na pleti namba kwelii 🤣
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 4 жыл бұрын
Sikiliza vizuri amesema plate number amebandika tu ametembelea miezi sita
@neemamayco3238
@neemamayco3238 4 жыл бұрын
Haiwezekani kwanza hat kutembea nayo noma
@issajohn8688
@issajohn8688 4 жыл бұрын
Bernard Mdendemi wanachukua plet namba za gari zilizopataga ajali wakazikata
@hancemagembe8221
@hancemagembe8221 4 жыл бұрын
Sasa mbona ule mlio wa bongooooobongo dar salam haupo
@Johnjoo196
@Johnjoo196 4 жыл бұрын
Hiyo season 2 hiyo mzee huwez kucopy kutoka season 1
@hamisgeorge5666
@hamisgeorge5666 4 жыл бұрын
Dah mxenge dude anahakili
@yuusufnuur5752
@yuusufnuur5752 4 жыл бұрын
Dah hii kali
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
Maascary Maascary...
@favourmusic4692
@favourmusic4692 4 жыл бұрын
Kma umesikia tunduma home weka like zako apo
@lucywarioba2908
@lucywarioba2908 4 жыл бұрын
Mmmh hatar
@deograssiusmatembo3430
@deograssiusmatembo3430 4 жыл бұрын
Kwa hii kasi wasafi wasumbua sana youtube
@NEXTtz
@NEXTtz 4 жыл бұрын
Hawa jamaa ni 🔥🔥🔥🔥🙌🙌😂
@benimagaya2968
@benimagaya2968 4 жыл бұрын
Safi sana Dude👍👍
@abdulbandidu119
@abdulbandidu119 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Kawaachia manyonya msenge kumamamake. Dude mzito jaman dah
@aloycesteven5998
@aloycesteven5998 3 жыл бұрын
Acha matusi sasa kaka huo sio uungwana kwani hauwezi kukomenti bila matusi?
@aloycesteven5998
@aloycesteven5998 3 жыл бұрын
Acha matusi sasa kaka huo sio uungwana kwani hauwezi kukomenti bila matusi?
@kileoamani6744
@kileoamani6744 4 жыл бұрын
Jmn kesho jmosi maneno yakuambiwa sijui tupo wangapi uku
@payanally_official_18
@payanally_official_18 4 жыл бұрын
Kileo Amani tupo wengi mzee
@majotv3405
@majotv3405 4 жыл бұрын
Aisee dude ni motooooo 😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@mulastar
@mulastar 4 жыл бұрын
Hii ya Leo kweli mmeumiza vichwa cs imekuwa ni ngumu ku guess kuwa kitu gani kitafwatia tofauti na ep1. Hongereni sana nimeipenda but Dude ur always killn' me wit dis 25:19 na hicho kisauti na macho, inaonyesha kabisa mtu ameshaingizwa mkenge huko
@tanzaniamycountry9308
@tanzaniamycountry9308 4 жыл бұрын
Kutumia cm moja watu wawil huo ndo udhaif nlouna ila dude umetisha
@bonshayo3458
@bonshayo3458 4 жыл бұрын
Hahahahah Cm Wametumia Moja Alafu Mnatuchanganya
@hancemagembe8221
@hancemagembe8221 4 жыл бұрын
Mbona simu moja sasa
@theosiyantemi4150
@theosiyantemi4150 4 жыл бұрын
Mimi nikawanajua dude leo kapatikna aisee
@seifmassoud2686
@seifmassoud2686 3 жыл бұрын
Dude hapa umeuwaaa duh😆😆
@bukurudaudi1543
@bukurudaudi1543 4 жыл бұрын
Jamani 😂😂 😂🤣 😂 dude jizi
@wilsonbalama2849
@wilsonbalama2849 4 жыл бұрын
dude ni shiiiiiida😂😂😂
@gizlemushi3432
@gizlemushi3432 3 жыл бұрын
noma sana dudeee
@bongomsasa2496
@bongomsasa2496 4 жыл бұрын
I dont know you, but its August 4th 2018, and the worlds a scary place right now. But I just thought I'd let you know, no matter what race, religion, culture, sex, orientation, or belief you are, from one human to another. I love you. @
@kelvingeorgefido7814
@kelvingeorgefido7814 4 жыл бұрын
Weka mbali na watoto
@historianyeusi9524
@historianyeusi9524 4 жыл бұрын
Makalla kitambo sana🔥🔥🔥
@philosophygilbertgaspermol5505
@philosophygilbertgaspermol5505 4 жыл бұрын
Dude alitakiwa kuondoka na hiyo gari hapo harrier happy njee brother
@generallydangote7629
@generallydangote7629 4 жыл бұрын
hahahaahhaaaaaaaa dude nimekukubali iyo staili
@ishakamhina8274
@ishakamhina8274 4 жыл бұрын
Mjaribu kuboresha bt for sure n tamthiliya mbovu haijawahi tokea
BONGO DAR ES SALAAM S02EP03 - MAPACHA
27:59
Wasafi Media
Рет қаралды 139 М.
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 47 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 47 МЛН
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
Bongo Star Search 2015 Dar Es Salaam Audition Part 2
59:47
BongoStarSearch
Рет қаралды 414 М.
HAMU | latest 2023 SWAHILI MOVIE | BONGO MOVIE | Filamu za Adam Leo
1:28:13
Adam Leo Studios
Рет қаралды 2,5 МЛН
WAWILI WATIWA MBARONI KWA MAUAJI SINGIDA.
4:47
CALES TV
Рет қаралды 1,2 М.
MIZENGWE: SIRI HADHARANI
16:51
ITV Tanzania
Рет қаралды 111 М.
BONGO DAR ES SALAAM S02EP01 - PESA
22:43
Wasafi Media
Рет қаралды 142 М.
Bongo dsm mwendelezo episode
24:33
frank narysis
Рет қаралды 11 М.
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 47 МЛН