BONGO DAR ES SALAAM S02EP01 - PESA

  Рет қаралды 141,406

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Hii ni Episode ya Kwanza ya SEASON 2 Katika Drama ya #BongoDaresalaam Kutoka kwa #DudeBongo ambayo inaoneshwa kupitia #WasafiTV
Kama Ulikosa Season 1 Basi Hii Si ya Kukosa Kabisa, Ubunifu, Ujanja, Akili Nyingi na Maarifa ya Kuweza Kumtegua Masta Mwenye Dar es Salaam Yake DUDE Umeboreshwa Zaidi
USIKOSE KUTAZAMA KILA JUMANNE #BONGODARESSALAAM KUPITIA WASAFI TV

Пікірлер: 317
@allenynnko9873
@allenynnko9873 4 жыл бұрын
Wangapi walio kuwa wamemci bongo dar es salaam kama mm gonga like yako hap twende pamoja
@paschalwilson4452
@paschalwilson4452 4 жыл бұрын
Na mm
@kileoamani6744
@kileoamani6744 4 жыл бұрын
Wamaneno yakuambiwa tupo uku kwa dude yetu jmosi
@gaonechinago3493
@gaonechinago3493 4 жыл бұрын
Kileo Amani tupo uku pia 😁😁😁
@stellahjames1974
@stellahjames1974 4 жыл бұрын
Jamani siku hizi maneno ya kuambiwa hua inarusha Chanel gani na sangapi?
@kileoamani6744
@kileoamani6744 4 жыл бұрын
@@stellahjames1974 inarushwa kila jmosi saa tatu
@neykweyamba8052
@neykweyamba8052 4 жыл бұрын
Saa 4 wa Oman saa 3 ya Tanzania
@muokiraymond9950
@muokiraymond9950 4 жыл бұрын
@@kileoamani6744 mwambie stellah akianza moja wenzake tupo episode 81.
@vanbraiysee2858
@vanbraiysee2858 4 жыл бұрын
Mbinu Ngumu Sana Ulizo Tumia Dude Akuna Alie Zani Mbinu Kama izo Ungetumia Pale Ongera Kwa Kutufunza Wizi Pia
@danrevelian
@danrevelian 4 жыл бұрын
Hahahahahaha eti hongera kwa kutufunza wizi...!!
@filbertkapama8824
@filbertkapama8824 4 жыл бұрын
Van Braiysee j
@simonandrew2238
@simonandrew2238 3 жыл бұрын
Aendelee kutupa maujuz ya kitapeli🤣🤣🤣
@simonandrew2238
@simonandrew2238 3 жыл бұрын
@@danrevelian noma noma
@shahbanmazila2138
@shahbanmazila2138 4 жыл бұрын
Hivi kwani bongo lazima mlinzi wa getini awe kama chizi 😂😂😂
@stellabomani4805
@stellabomani4805 4 жыл бұрын
Shahban Mazila sio bongo tu hadi Nigeria hahahaaaa
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 ujinga sana
@yusuphjuma4638
@yusuphjuma4638 4 жыл бұрын
Hata mi nashangaa
@vanestorymahenge1724
@vanestorymahenge1724 4 жыл бұрын
Hata India home maid lazima awe chizfresh
@josephdionizy2868
@josephdionizy2868 4 жыл бұрын
Hv ww.... Unazo zote kabisa kichwan aseeeh unawez kuwa mlinzi wa getin
@mdeeboy846
@mdeeboy846 4 жыл бұрын
Duuuu.. Hilo geti la mfanyabiashara wa magari.. Hapo mmechemshaaa kidogo kwenye uhalisiaa
@mausumbufuofficial7837
@mausumbufuofficial7837 4 жыл бұрын
tujuane tunaoangalia uku tunacomment
@erlinghaaland9412
@erlinghaaland9412 4 жыл бұрын
Mie naombeni like ata 10 tu maana cjawahig kupata hata
@dennicjude
@dennicjude 4 жыл бұрын
Idrissa Mohamed mbinu na idea za hii Episode zimekuwa fupi wala hazivutii Inawabidi waboreshe au kutumia mbinu za utapeli kuliko njia za wizi ❌🚫🚫
@siliverstar7229
@siliverstar7229 4 жыл бұрын
Izo likes zitakuxadia nin
@sampart2669
@sampart2669 4 жыл бұрын
Zikuingiziee kipato tuu izo like ndugu yngu
@erlinghaaland9412
@erlinghaaland9412 4 жыл бұрын
@@siliverstar7229 Naww hizo hapo mbaba nimekupa ucjal nilichokuwa nakitaka nimekipata
@siliverstar7229
@siliverstar7229 4 жыл бұрын
Hahah pw mzee
@isacknguvumali3445
@isacknguvumali3445 4 жыл бұрын
Wizi wa kishamba kabisa huo Dude kazingua ilikua aka matwe kabisa sema ki bongo movie usanii tu si hitaji like zenu
@leaherasto929
@leaherasto929 4 жыл бұрын
Kama umemuona Machasub na unegundua kuwa yeye ndio Hashimu gonga like
@sinaivaladega8291
@sinaivaladega8291 3 жыл бұрын
Hii mmetudanganya vitu vingi sanaa
@slayingtee6044
@slayingtee6044 4 жыл бұрын
We want long episodes of Bongo Dar es salaam like before
@simonfilbert7008
@simonfilbert7008 4 жыл бұрын
Walio jua bongo dar es salaam ndo bye bye tujuane hapa 😁
@ngido255
@ngido255 4 жыл бұрын
Dude iz back🔥
@jannsenmalando5833
@jannsenmalando5833 4 жыл бұрын
Thumb up to the one en only known Dudeeee!!!!
@queenandchill91
@queenandchill91 4 жыл бұрын
Yaani Bongo Dar Es Salaam ilikuwa nzuri zamani...Dude unaharibu sana cku hiz dah
@allysaidhy2255
@allysaidhy2255 4 жыл бұрын
Ety mwanamke "mtanashati mrembo" kma umeisikia hio nipe like yangu
@tonyelshabbaz
@tonyelshabbaz 4 жыл бұрын
Yani mtu uhisi ndani kuna mwizi halafu uondoke usihangaike kumtafuta???😂😂
@ishanhisharjun6469
@ishanhisharjun6469 4 жыл бұрын
Chombo Kwa Hewaa!
@petromsomba4523
@petromsomba4523 Жыл бұрын
Kweli nmeinjoi sana kuitizama hii kitu wara sjajutia
@erickhaule8680
@erickhaule8680 4 жыл бұрын
Hivi inaonyweshwa jumangapi sangapi hi bongodar es salaam
@gamako8486
@gamako8486 4 жыл бұрын
1st number dude chafu
@Twende828
@Twende828 4 жыл бұрын
Mh japo naipend bongo dsm ila leo mmetuletea mamb ya kweny flm za kihindii😁😁
@hassanmasuke5078
@hassanmasuke5078 4 жыл бұрын
Kabisa kumbe unauelewa wa ali ya Juu
@joshuashalla1394
@joshuashalla1394 4 жыл бұрын
Tapeli ni tapeli tu haishiwi mbinu. Hatareee
@paulmgoli4853
@paulmgoli4853 4 жыл бұрын
Huyu demu ajui bora wale wa mwanzo wote wawili wale ndo kiboko kipande cha demu angecheza yyt Yule kati ya wale ingekua poa sana
@saeedaltae2169
@saeedaltae2169 4 жыл бұрын
Wow its amazing trick i have never seen before huu wizi sio wa kitoto hebu gongen like km zote hp 👇
@allychaye3446
@allychaye3446 4 жыл бұрын
Mnazingua mnatumia uongo mwingi sanaa mpaka watazamaji tunajua kabisa
@yohanafabian3327
@yohanafabian3327 4 жыл бұрын
Hata kama wizi sio kihivyo hata mtoto hawezi kuibiwa kwa staili hiyo🤣🤣🤣🤣🤣
@Cambarada
@Cambarada 4 жыл бұрын
Toa nawewe plan yako tuione sio unakosoa tu wewe
@josephmsele973
@josephmsele973 4 жыл бұрын
Yohana Fabian andaa script bas bro uwape
@jumaedward7110
@jumaedward7110 4 жыл бұрын
Yohana acha ujinga hiyo mbinu ya hali ya juu sana!
@yohanafabian3327
@yohanafabian3327 4 жыл бұрын
@@jumaedward7110 ok kaka ila huwezi hisi ndani kwako hakupo sawa halafu umeona mlango unajifunga dude anajificha kwenye kabati et unaacha huku umeona bora unge hisi sio kuona
@godfreyorago7501
@godfreyorago7501 4 жыл бұрын
Wa kujaribu ajaribu akamatwe apigwe afee azikwee aende motoni
@paulsylvester7877
@paulsylvester7877 4 жыл бұрын
Godfrey Orago kabisaa hii movie sasa mtu ajaribu kwa staili hii walah unadakwq
@salimramadhani5237
@salimramadhani5237 4 жыл бұрын
mwarabu anambinuuuu af ana uchu na pesa kishenz yan
@nabetv8024
@nabetv8024 4 жыл бұрын
Leo nimechelewa nmekuwa na 22lakin sio mbaya.walioimis bongo dsm wa like hapa twende sawa
@michaeljoel6227
@michaeljoel6227 4 жыл бұрын
Mnakuja Mnapotea Mnafeli Bn
@miriamcheya3136
@miriamcheya3136 4 жыл бұрын
Km umeona mlinzi ana wenge gonga like
@josephtemba10520
@josephtemba10520 4 жыл бұрын
Mjini shule asante baba kwa kuwatimizia wahenga maneno waliyosema....
@kamalujafary
@kamalujafary 4 жыл бұрын
Yoy yoy getting back to the best shoooowwwwww
@allenynnko9873
@allenynnko9873 4 жыл бұрын
Dude unakwama wapi mbona unapotea mara kwa mara
@bijampolamsemakweli9687
@bijampolamsemakweli9687 4 жыл бұрын
Dudeeeeeeeeeeeeeeeeeee
@batabizo6765
@batabizo6765 3 жыл бұрын
Kabali yao dude tapeli mwanzo mwishoooo
@revocatusrenatus8256
@revocatusrenatus8256 4 жыл бұрын
Wizi wa simple sana huu
@solomonitv7808
@solomonitv7808 4 жыл бұрын
Dude noma samaaaa aaaah hii nimeipenda kwelikweli
@pouldominick3203
@pouldominick3203 4 жыл бұрын
Mwizi yupo ndani anapigiwa cm na inatoa mlio na bwana hashim aisikii cm ya mwizi ndani iki ita kwann bwana dude ucnge weka vibration
@tonyelshabbaz
@tonyelshabbaz 4 жыл бұрын
Hayo ni maigizo ya kayumba primary school
@naagarjun8661
@naagarjun8661 4 жыл бұрын
Master of technique
@michaelnyakunga4740
@michaelnyakunga4740 4 жыл бұрын
Safi sana, kazi nzuri..! 👏👏👏
@alfrednjambilo909
@alfrednjambilo909 4 жыл бұрын
Daah bongo mnajuaa 🤣🤣🙌🙌
@mapalozambia7560
@mapalozambia7560 4 жыл бұрын
Dude
@beatusclay3010
@beatusclay3010 4 жыл бұрын
bwana Dude nmeona kitu, mara ya pili bi hawa anavotoka ali lock kitasa na funguo, ukafungua maji bwana Hashim amekuja kufungua mlango bila funguo
@njeyabox1009
@njeyabox1009 4 жыл бұрын
Kuna mambo madogo madogo ya msingi ambayo yangeifanya movie iwe really sana na wezi waonekane smart... nahisi udhaifu wa director unachangia.. haiwezekani mtu ambaye ame raise suspicion katika chumba ambacho amewek ma milioni ya hela aondoke bila kuhakiki izo hela tena amekuta dro iko wazi?
@Cambarada
@Cambarada 4 жыл бұрын
Kumbukeni ni act bhana anafundisha kuwa hutakiwi kufanya hivo sasa mnakomaa na kukosoa tu
@marinyasaxistv8121
@marinyasaxistv8121 4 жыл бұрын
Pia Mtu huwez kuhisi kitu kipo ndani na vitu vimevurugika. Ukashika kabat na kuliacha kisa simu. Kingine.. Dogo Mama yake aliondoka na Gari lkn wakati mtu amegonga mlangoni .. ameonekana na Ufunguo as Gari kwenye Luksi. Afu pia huwez kumkaribisha mgeni hamjaongea kwa undani ..humjui deep kisha unasema unaondoka utarudi Baada ya Saa moja .. amekwambia anafahamiana na mumeo ..then anaomba namba tena
@andresmendels2150
@andresmendels2150 4 жыл бұрын
@@njeyabox1009 hio ni kweli kabisa
@mikehjackson8146
@mikehjackson8146 4 жыл бұрын
@@marinyasaxistv8121 una upeo mdogo sana wa kufikir kwaiyo umekalili kua kila funguo kiunon ni za gar ? Na kuhusu kuacha kabat na kupokea cm ni kawaida hata move za mataifa yaliyoendelea wanafanyaga. 3 kuhusu kuomba namba ni kawaida kuna kupoteza cm nk so kuomba namba alikua sahihi coz kama angekua na namba angempgia kashasema alionana nae tangu ashim akiwa mdogo sana mpaka kawa mtu mzima piga picha ni miaka mingap imepita mtu habadilish lain tu
@joxiahmendez1325
@joxiahmendez1325 4 жыл бұрын
Wahaya buana bado mlinzi lkn kujionaa! Mtakuja kufa na sifa!
@robsondalink6206
@robsondalink6206 4 жыл бұрын
Daaah ilipotea xan hii mambonbora mmerud huku😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
@hassanpyallah8750
@hassanpyallah8750 4 жыл бұрын
Bora imerud bongoo
@dicksonisakwe3063
@dicksonisakwe3063 4 жыл бұрын
Good...mko vizur
@gabrielayub5978
@gabrielayub5978 4 жыл бұрын
Yaan mm wanaoomba like wananiudhi sana kama makuma vile
@ghalibnadil3561
@ghalibnadil3561 4 жыл бұрын
hamna wizi waivo ata siku mojaaaa
@josephmsele973
@josephmsele973 4 жыл бұрын
Ghalib Nadil andaa script uwatumie bro
@yusuphjuma4638
@yusuphjuma4638 4 жыл бұрын
Mmemaliza kienyeji sana hata haipendezi kama zile zingine
@nasorosadick4540
@nasorosadick4540 4 жыл бұрын
BG up
@kingfahdsaid1967
@kingfahdsaid1967 4 жыл бұрын
Safi bongo darisalam Mr dude
@adrianjonas2952
@adrianjonas2952 4 жыл бұрын
nakubali tapeli wa kiwango cha lamii
@simonandrew2238
@simonandrew2238 3 жыл бұрын
Dude noma xana
@peacemakombe5037
@peacemakombe5037 4 жыл бұрын
Nomaa sanaaa
@malaikaafricanpictures5813
@malaikaafricanpictures5813 4 жыл бұрын
Ni nzuri lakini hayo mambo mengine sidhani kama yanawezekana,,, mtu kwenye chumba chake tena chenye hela nyingi hawez kubali kuondoka na kuacha ndani akiwa na was was.... haiwezekan kabisaaaa....
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 4 жыл бұрын
Movie nzima mistake tupu.Haina mafundisho yeyote.Wameiga kwenye sinema tu.Tunataka story za kweli zinazotokea hapa nchini kwetu.kwa hali hii bora mpotee tu tuangalie vichekesho vya joti
@charleskoba2906
@charleskoba2906 4 жыл бұрын
Dude tunashukuru kwa ujio wako tena
@abdulfirst_pilot
@abdulfirst_pilot 4 жыл бұрын
Respect dude nakubali umetumia akili ziada kweli hongera mzazi
@NEXTtz
@NEXTtz 4 жыл бұрын
Long time 🔥🔥🔥✊
@harunakayega5531
@harunakayega5531 4 жыл бұрын
Hiyo nyumba ndo ya muuza magari dubai aya bhana dude mana nje kama zile za walimu wastaafu na ndani kidogo ya teller bank
@dominicomakungwa729
@dominicomakungwa729 4 жыл бұрын
Well done dude
@jacobmutambo3800
@jacobmutambo3800 4 жыл бұрын
Sana kazi kazi
@khalidsaleh7491
@khalidsaleh7491 4 жыл бұрын
Wangapi wanakubali kama dude ni zaidy ya komandoo
@K25795
@K25795 4 жыл бұрын
Mwarabu kasha tapeliwa Sana nae kamua kuwa tapelii iyi dunia ukikawia kujifunza utafunzwa 😂😂
@user-ss9vj8eo9b
@user-ss9vj8eo9b 4 жыл бұрын
Dude ni noma wew ni tapeli haswa yani siyo wakubahatisha
@boscojmseso7072
@boscojmseso7072 4 жыл бұрын
Part 2 bac mwenderezo
@mujunvicta6379
@mujunvicta6379 3 жыл бұрын
2020 gonga like hapa
@gidionsebastian2410
@gidionsebastian2410 4 жыл бұрын
Noma sana
@selemanimsahani3919
@selemanimsahani3919 4 жыл бұрын
Dude noma kubwa sana
@nyimbizikamtima8235
@nyimbizikamtima8235 4 жыл бұрын
Dude bhana upo vzr but cyo ka zaman zidisha mautundu
@mcdondoshatv2940
@mcdondoshatv2940 4 жыл бұрын
dude siku nikikushikaaaaaa Hahahahahahaha
@zinbormdan9813
@zinbormdan9813 4 жыл бұрын
Bado kdg mbinu siyo
@lazarojr8923
@lazarojr8923 4 жыл бұрын
Mwanamke ni mtanashati kumbe 😂!!!!
@naimampili1475
@naimampili1475 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@neemamayco3238
@neemamayco3238 4 жыл бұрын
Ndio mkewe?...
@selemanimkonga8150
@selemanimkonga8150 4 жыл бұрын
Duuuuh ahsante kwa kukata kiu
@mdigokhan8227
@mdigokhan8227 4 жыл бұрын
WATU WABAYA SANA 🤟SIZON 1 MLIPONDA KUWA UBUNIFU ZERO PIA MKAWAPONDA WALE WADADA KUWA NI WAKITAMBO MSHAWAZOEA 😂DUDE AKASEMA OKY NGOJA AINGIE CHIMBO KALETA SIZON 2 MSHAANZA KUONGEA TENA KUWA UBUNIFU ZERO BOLA SIZON 1😂😂😂DUDE LETA MAWE WASIOJIELEWA WALIELIE
@danrevelian
@danrevelian 4 жыл бұрын
Binadamu ndivyo tulivyo hatukosi la kusema....!!!
@rehemadewa6832
@rehemadewa6832 4 жыл бұрын
Waigize waooo tone izoo sizoni
@athumanmrisho1762
@athumanmrisho1762 4 жыл бұрын
Like zitakusaidia nin acheni usenge
@emmanuelkb366
@emmanuelkb366 4 жыл бұрын
Nakubal dude.
@nicholausjoseph6773
@nicholausjoseph6773 4 жыл бұрын
dude namuelewaga sana, dude iz back
@omaryteddy7237
@omaryteddy7237 3 жыл бұрын
Good good 👍
@jamesmgalla3513
@jamesmgalla3513 4 жыл бұрын
mwana mke mtanashati
@msuo7215
@msuo7215 4 жыл бұрын
Duuuh noma aisee
@mongelamisoza7894
@mongelamisoza7894 4 жыл бұрын
Hapo mwisho huyo kijana kaingiaje chumbani na mama ake alifunga mlango
@twariqzungu5001
@twariqzungu5001 4 жыл бұрын
Gud mzee
@zenombele1798
@zenombele1798 4 жыл бұрын
inakuwa siku gani
@harunakayega5531
@harunakayega5531 4 жыл бұрын
Ila hizi za dude ckuiz cyo kaaali mbinu hizi uwezi kumpata mtu kiukweli
@gastordominic410
@gastordominic410 4 жыл бұрын
At the first huyu dada kajibu hadi maswali ambayo hajaulizwa
@jeanclaudebukeyimpundu7618
@jeanclaudebukeyimpundu7618 4 жыл бұрын
Nawakubali kabisa
@halfanimajanijr4846
@halfanimajanijr4846 4 жыл бұрын
Mnyama mkali zaid ya simba
@abdallahbakari5333
@abdallahbakari5333 4 жыл бұрын
Goog dude
@gloryjulius1108
@gloryjulius1108 4 жыл бұрын
Matangazo mengi
@naimampili1475
@naimampili1475 4 жыл бұрын
Dude ebu rekebisha apo mtoa taarfa kasema anafanya biashara Dubai huyu mpokea taarifa nae kaongeza biashara ya magari inakuwaje apaa
@MtuSafi
@MtuSafi 4 жыл бұрын
Kumbuka mtoa taarifa hakutaja kuwa ni biashara Gan.
@naimampili1475
@naimampili1475 4 жыл бұрын
Sasa yeye kajuaje huyo mpokea taarifa
@queenandchill91
@queenandchill91 4 жыл бұрын
Ni maajab...
@Gmalen
@Gmalen 4 жыл бұрын
Nishakwelewa tuelewane yaishe 😂😂😂😂😂 Mlinzi bana
@patsonnzogoro790
@patsonnzogoro790 4 жыл бұрын
Daa kitambo
@miryamuumutesi8616
@miryamuumutesi8616 4 жыл бұрын
tuko pmj na bongo Drslm🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@ntawurusigajaphet813
@ntawurusigajaphet813 4 жыл бұрын
miryamu umutesi ❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@khadijaamour7654
@khadijaamour7654 4 жыл бұрын
Dude karudi tena kutoka mafichoni😂😂😂😂
@neemamayco3238
@neemamayco3238 4 жыл бұрын
Alikua anakimbia madeni
@marrykisara3138
@marrykisara3138 4 жыл бұрын
Uyu mlinzi mlomuweka apo masiara mengi anazingua mngemuweka mwingne
@josephtemba10520
@josephtemba10520 4 жыл бұрын
Kwa hali halisi mlinzi awezi chomoa pale hata kama yuko vp.... Anaona ngekewa .....
@hkfreeboy9533
@hkfreeboy9533 4 жыл бұрын
Good
BONGO DAR ES SALAAM S02EP01 - IST
26:01
Wasafi Media
Рет қаралды 247 М.
Diamond 🤣😃😂😂 #BONGO DAR ES SALAAM
28:50
Azry Ally
Рет қаралды 18 М.
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 56 МЛН
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 5 МЛН
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 72 МЛН
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 15 МЛН
BONGO DAR ES SALAAM S02EP03 - MAPACHA
27:59
Wasafi Media
Рет қаралды 139 М.
TEAMO 💞 💞 💞 Episode 01(Official Swahili/ Movie)Bongo
22:59
MSIMAMO THABITI
Рет қаралды 15 М.
WAMEYATIMBA NDARO NA STEVE MWEUSI
14:56
Ndaro Tz
Рет қаралды 1,7 МЛН
BONGO DAR ES SALAAM
4:31
Hamis Hasan
Рет қаралды 7 М.
UTACHEKA!  RINGO NA TIN WHITE WAMEYATIMBA
10:46
Ringo Sabufa
Рет қаралды 328 М.
BONGO DAR ES SALAAM S02 EP05 - MZEE WA BANDARI
20:54
Wasafi Media
Рет қаралды 98 М.
BONGO DAR ES SALAAM S02EP05 - IPHONE
29:09
Wasafi Media
Рет қаралды 98 М.
Radmiru small or big? 🤔 #shorts
0:18
radmiru
Рет қаралды 15 МЛН
腹黑小天使把黑天使整惨了#short #angel #clown
0:20
Super Beauty team
Рет қаралды 43 МЛН
Джеки Чан лишил наследства всех своих детей! Что акажете?
0:41
Симуляция: МАТРИЦА МИРА
Рет қаралды 8 МЛН
ЕНЕШКА 2 СЕЗОН | 3-бөлім | АНГЛИЯҒА КЕТЕМІН!
28:02
ПРАНКУЕМ ЧАПИ🙈🙈🙈
0:20
Chapitosiki
Рет қаралды 7 МЛН