Рет қаралды 473
PART 2: TULIPELEKWA KWA MGANGA WA KIENYEJI TUKALALA HUKO, TUMETESEKA SANA - JESCA ASIMULIA......
Hatimaye Bondia Jesca Mfinanga amefanikiwa kurudi nchini akitoka Afrika kusini alipokwenda kucheza na kupata matatizo ya Promota kuingia mitini bila ya kuwalipa yeye na mwenzake Egine Kayange .
Bongo Boxing Safari tumepiga stori nae akiwa Uwanja wa Ndege ambapo ameelezea mkasa mzima.