Kweri Ana kuogopa pia yule sio bondia Bali ni mchambuzi
@MWENETRICKS9 сағат бұрын
sabero kaja mara 3
@AthumaniKihambwe9 сағат бұрын
Anakuogopa kweli c akubali
@FatimaFati-pu4lb10 сағат бұрын
Nakumiss kweli❤🎉
@Basagamp410 сағат бұрын
Champioooooooon
@franklinjoseph548710 сағат бұрын
Ujuii ngumi pialali izzzo mbwembwe 2
@MusaJuma-jr7wb10 сағат бұрын
Kweli anakuogopa mdomo umemzidi
@barakamwasala22813 сағат бұрын
Huuu ni utapelii si tunajua why hajapigana
@Basagamp418 сағат бұрын
Sema choki ana adabu saana
@thomaslima92118 сағат бұрын
Daaah wee loren weee nimecheka sana yaan sana et mabondia wawili aaaah aiseeh
@Jumafredy19 сағат бұрын
Nassebu ni bondia mzuri sana. Ila alikuwa anajiamini sana ndo kilichomfanya amepoteza mchezo. (Over comfidance)
@barakamwasala22823 сағат бұрын
Yeye alienda na viatu pea ngapii ulaya alivyosema kiatu kinabana
@magesawambura304123 сағат бұрын
Ilikuwa kiki tu mamaee.
@user-iq4rv8dq5rКүн бұрын
Mwakinyo nishamkosoaga sana juu ya kauli zake akihojiwa Leo Nampongeza sana juu ya mahojiano yake ameongea kikubwa kikomavu zaidi akiendelea hivi atavutia wengi na kujiheshimisha zaidi hata waliokuwa wanampinga watamkubali big up ngumi sio uadui ni mchezo tena hatari kuna kila sababu mabondia kupendana na kuheshimiana.
@SaidiMkome-qq7hyКүн бұрын
Amepigwa bondia wenu
@SaidiMkome-qq7hyКүн бұрын
Umepigwa
@ShukuruJohn-g7vКүн бұрын
Wew nimshindi kikubwa tuombe marudiano 3:22
@ShukuruJohn-g7vКүн бұрын
Wew nimshindi kikubwa tuombe marudiano 3:22
@ShukuruJohn-g7vКүн бұрын
Wew nimshindi kikubwa tuombe marudiano
@ShukuruJohn-g7vКүн бұрын
Wew nimshindi kikubwa tuombe marudiano
@SaluPacha-hx4cxКүн бұрын
Ulingo unateleza kwani alikuwa anapigana pekeyako, mbona choki hajateleza
@paulmwangoka2 күн бұрын
dogo choki nimekuelewa Sana hUna majigambo japo umeshinda bado unamuheshimu nasibu endelea hivyo hivyo utafika mbali
@KitasaWaaction-gm9zr2 күн бұрын
Kumbe viatu sasa mwakinyo na wewe hamna tofauti nyote viatu
@user-tu8tb3zq8t2 күн бұрын
Mbongo ningafu walimtumia kuvutia raia tu wa amnalolote hy danganya toto
@user-gq2yp2tp1orafaeli2 күн бұрын
Saw kaka kilasi
@idyjumanne97962 күн бұрын
Ww classic haumizi Hata Afumbwe maxho
@idyjumanne97962 күн бұрын
Sasa mbona ukipigwa unakataaaa
@nasibuabdul2872 күн бұрын
Huyu jamaa bado
@JosephMzelu11 сағат бұрын
Utuwezi
@JosephMzelu11 сағат бұрын
Wa nacoz apa
@Ram_18932 күн бұрын
Umepoteza aisee wala haina utata wowote japo pambano lilikua la ushindani sana
@lionofjudahtv87962 күн бұрын
Nimefurahia hii interview
@masoudhamad15922 күн бұрын
Mtoto wa Fatma Kungwi siku zote huongea pumba... eti"Apigwe aanguke" Acha roho mbaya dogo
@user-ij7ti1xd8k2 күн бұрын
wew ni mkubwa pia sis ni mashabik zako zamani ulikua unaongea point ila cku unazingua japo mi bado nakusapot
@DeodatusMagwila2 күн бұрын
Aya uyo bwanga noma sana
@videospage99162 күн бұрын
Kinda ponda
@vibetz99912 күн бұрын
Kwanini wacheza ngumi wote wana majina ya kislam????!! Saidi,,,, Juma,,,,, IBRA,,,,, mudi,,,,, rashidi ,,, nk😂😂😂😂
@Ram_18932 күн бұрын
Tony,Oscar,Pius,Richard
@sidearsenal6662 күн бұрын
Class atakuuwa
@user-ij9qb3wx1w3 күн бұрын
Yan katika siku mwanang umeongea points leo broo umeonesh ukubwa wako na hekima yak kaka
@user-on5vm6qs4c3 күн бұрын
Usiingize simba yetu kwenye Upumbav wako😢😢😢
@user-xk7kq5ep8u3 күн бұрын
Umeshinda ila unamuogopa loren Japheth
@user-xk7kq5ep8u3 күн бұрын
Mchacho kashinda acheni siasa
@farajibuteta62583 күн бұрын
Umekomaa eeeh endelea kuleta mdomo
@user-wj9cy9bg8u3 күн бұрын
Sasa ww kiatu c kilikubana ujeruman hukuwa na 2pair? Broo
@verdianrweyemamu63673 күн бұрын
Maagizo kutoka juu, makomando hawaruhusiwi kupigana na raia😂😂