Jamani tuliokuja kumuangalia Martha baada ya kupata taarifa za kifo chake tujuane. Hila nimeumia sana mdogo wangu R.IP Mama
@peterbody6904 жыл бұрын
Inauma
@marthabruno79614 жыл бұрын
Bado siamini kwakweli kumbe nani naweza kuzima muda wowote kifo kwanini lkn pumzka kwa aman tunakupenda na tunakuombea .
@annagervas69584 жыл бұрын
Hata siamini juzi na Jana ndo nlikua bize kumuangakia duh
@samrufingo53364 жыл бұрын
Tupo
@emadasmar57144 жыл бұрын
Uyu dada nilianza kumfatilia tu juzy wallah yaani nimeingia baridi
@herculesthepower15444 жыл бұрын
Sikukujua hadi leo ktk mitandao wanakuongelea ndiyo nikaona niingie KZfaq huyu Martha ktk Cheka tuu ndiyo nani? Ulikuwa upo vizuri Innalilahyi wahinllilay rajoun kwake tunatoka na kwake tutarejea. Mwenyezi Mungu akusamehe na akupe pepo. Amin
@wenseslauspeter68244 жыл бұрын
Duuhh jmn kifo hana adabu jamani,kwa kweli ndo leo nakuona baada ya kuona trending ya kifo chako social madia,kumbe uliomba kura 2020 uwakilishe jimbo la uswahilini,R I P martha Mungu akupe pumziko la milele.
@gracevalentine42344 жыл бұрын
Jaman wanaoangalia video baada yakuckia msiba wa boss Martha like zenu hapa
@credo78374 жыл бұрын
Hiv mnakula like
@benbranco36884 жыл бұрын
jaman? unauma sana Dada yetu kutoeka kazi ya mungu aina makosa
@hechihechie55584 жыл бұрын
pole sana mama Martha kwa kuondokewa na huyu mtoto!!jamani inaumaaaaa!!nikimwangalia nasikia huzuni kubwa kwa mamake!! Mungu akufariji tuu!
@NonoNono-qp3zu4 жыл бұрын
Jaman martha hii video mm huwa naingalia kila siku naipendaga, ghafra naona watu wameandika R.I.P Jamani jamani😭😭 Pumzika kwa amani nilikuwa nakupendaga
@gloriousn64254 жыл бұрын
Kweli dunia tunapita 😭😭😭🙏
@vailethmnosa31832 жыл бұрын
May your soul continues to rest in peace Boss Martha,we miss you so much 😭
@kamauwilliamk4 жыл бұрын
😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪...may she R.I.P...she was so beautiful, more love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@getrudeesarode3974 жыл бұрын
Bwana ametoa nae ametwaajina lake na lihimidiwe sijaamin Matha kweli😭😭
Dunia mapito sote tunapita Rest in peace Boosmartha we will miss.
@wabumbuli27104 жыл бұрын
naombeni kura 2020 niingie zangu bungeni mie nakijora .duh inasikitisha kweli yan rip dadaa njia ni moja
@scolalaurence5774 жыл бұрын
😭😭😭😭R.I.P martha,hakika cc tu mavumbi na mavumbini tutarejea 😭😭inauma bint mdogo sana .Allah wape moyo wa ustaamirivu wazazi wake na familia kwa ujumla🤲😭😭.
@bethadickson52423 жыл бұрын
JAMAN 2020 ALOSEMA ANATAKA AINGIE BUNGENI HAYUPO 😭😭😭😭😭 R.I.P DEAR
@mariarjb164 жыл бұрын
We will miss her 😭😭😭 Rest In Peace sis we love you but God loves you more ❤️😭😭😭😭😭😭😭
@humphreynduye62394 жыл бұрын
Duuuu hapo ndo tutajua kua hmna mwenye kuijua kesho yake kama umeskia aliomba kura elfu 2020 ,,,,mpe like yake apumzke kwa amanii,,,,,,
@gladysngamimakau70993 жыл бұрын
Kura za 2020 zimekupata ushapumzika RIP queen
@ddmtv36033 жыл бұрын
I feel to cry and you continue to make know dunian tunapita tusijosahau sana jaman
@bennjuguna19815 жыл бұрын
Ehh uko vizuri, karibu churchchill show Kenya unao uwezo
@allymngwaya98554 жыл бұрын
She's dead on this day of 11th September 2019.
@pendonana28224 жыл бұрын
Aahaaaaahahaha nacheka huku machozi yananitokaa jamanii eeee Mungu tufundishe kuhesabu siku zetu
@georginakerubo12984 жыл бұрын
Dunia tunapita kweli...kila mtu na siku yake....safiri salama Martha
@mayamohamad7104 жыл бұрын
😥😥😫poleni jmn Tanzania Na wana family
@mimsbaibemimskim95564 жыл бұрын
rest in peace poleni kwa familia am sorry watching yu when yu have gone ndo nmekujua from kenya.
@zalbak27384 жыл бұрын
Yaan hii ndo video nilokua naiangalia sanaaa n nilikuw na wish one day nikutane n ww live. Hivi kweli umekufa Martha😢😢😢R.I.P
@witnessjohn46824 жыл бұрын
Atamm nimeumia apumzike kwaamani
@victoriadavid92114 жыл бұрын
Duh R I P my so sad😭😭
@suzyjohnas42593 жыл бұрын
Pumnzika kwa amani mama ungekuwepo ningekupa kura yangu uingie bungeni🙏
@stumay-wx9rp5 жыл бұрын
😘😘😘😘😘😘😘Nakukubali viby mno
@jonesgeorge31524 жыл бұрын
Dah ndoto zake nikupigiwa kura 2020. Inauma Sana'a,
@Nickojunior5 жыл бұрын
Sikujua kama Tanzania tuna wanaake wa stand up comedy ❤️ Leo ndo nimegundua
@fatmamshangama98242 жыл бұрын
😭😭😭ndio kaishakufa jamn
@nairatyomary88694 жыл бұрын
R.l.P dah kwer duniani tunapita
@mudysabuni76194 жыл бұрын
Mungu akuweke mahali pema Dada angu mbele yako nyuma yetu
@evartweve82054 жыл бұрын
Martha tulikupenda mom lakini mungu kakupenda zaidi mamaaa.
@clariceaugustin11212 жыл бұрын
I miss you today martha, Continue RIP
@happyjully23705 жыл бұрын
Martha on the stage 😘😘😘😘
@ivetharugambwa56683 жыл бұрын
Daah continue to Rest In Peace😭😭
@agnessgabriel17072 жыл бұрын
Really I miss her😭
@moonashariff93094 жыл бұрын
Innah lillah wainnah illah rajiuna , mpnz ulikuwa very smart pia ulikuwa wajitahid kweli kuchekesha ulikuwa konk fire
@magertkapesa79252 жыл бұрын
Nakupenda sana dada masa ~♥~♥
@adrophinamwanguse1510Ай бұрын
Nilipenda lakini mungu alipenda zaidi mungu aendelee kumuweka mahali pema
@simplycaren3754 жыл бұрын
Such a beautiful soul
@florandossi40214 жыл бұрын
Rest easy sis......nimekufahamu vizur Leo tu
@stanslausbaron142 жыл бұрын
May your soul continues to us😭 kumbe kale kq msemo ka mlokomaa mpo🤣🤣🤣😭
@sarahkazungu8325 жыл бұрын
Likes zake plz... She's one in a million
@rahmamohmood68764 жыл бұрын
R. I. P Dada yetu 😭😭😭dunia mapito twajipigia maesabu ya 2020 Na hatujui kama tutafika.. Ewe mungu mwanadam silolote
@TheSamugz084 жыл бұрын
huyu binti alikuwa mrembo tena sana......na talanta yake ya kuchekesha watu ilikuwa juu sana it is such a loss
@izackjonas24184 жыл бұрын
Ndo namuona Leo.baada ya kusikia kafa
@maryamathman89174 жыл бұрын
Kumbe tuko wengi ndio mara ya kwanza mm pia kumuona na hilo jina pia
@phelgonalusaka68854 жыл бұрын
Mie pia
@veronicasamwel93114 жыл бұрын
R,I,p,pumzka,kwa,aman
@lisanide63394 жыл бұрын
Jaman jaman Martha daaahh!!! ndo kwanza ulikuwa unatoboa yan daahh!!! RIP mdogo Wang Martha mbele yako nyuma yetu
@aminasarah20494 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani Martha, ila Nmekujua leo na Yote uliongea ni ya kweli,
@latifahmakwegah43554 жыл бұрын
Ndonaangalia Leo baada ya kusikia kafa pumzika kwa amani mama
@yonalema74424 жыл бұрын
rest in peace Martha 😔 too sad
@annamfugwa46944 жыл бұрын
Rip matha jaman hiv kwann sikukujua mapema kazi zako zilikuwa nzuri sana pumzika kwa amani mamy
@doucendizeye72873 жыл бұрын
Oooh boss Martha I will love you forever
@kessynurutajiri49404 жыл бұрын
Hakika sote ni Allah na kwake tutarejea. RIP Boss Martha.
@emmyyahya83585 жыл бұрын
Matha wee 😂😂😂😂🙌
@neemamateso16734 жыл бұрын
Jaman Mungu muweke matha mahali panapomstahil kama kunabunge huko mpe choleo atimize lengo
@elizabethnchimbi82932 жыл бұрын
Mungu akulaze pema peponi
@mamalaozphilemon.88004 жыл бұрын
jamn amakwel kifo kiboko yaan naangalia akiwa ashakufa duuh rip😔😔
@nurafedrick3783 жыл бұрын
Mm pia bungee huwa siangalii 😢😢😢😢😢RIP boss martha
@mariamsaidi76255 жыл бұрын
Martha nakupenda shost
@bebycandkim16314 жыл бұрын
rip Martha jamn sijui nilie mim poleni familia ya martha
@magertkapesa79252 жыл бұрын
Tutakumis sana upumuzike kwamani
@musyimifelix12212 жыл бұрын
Beautiful beautiful soul continue resting in peace