BOSS WA DOTTO MAGARI AUCHAMBUA MJENGO WA MWIJAKU AACHE UONGO SIO WA B 1.3/HARMONIZE ACHA KUJITETEA.

  Рет қаралды 35,591

BinaTv

BinaTv

7 ай бұрын

Ahsante kwa kuwa mwana familia,(BINA Tv) kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ya BINA TV ili usipitwe na habari zetu.
#alikiba, #ayotv, #block 89, #bongo #chapchap, #bunge, #bungeni, #burnaboy, #ccm, #chadema, #davido, #diamondplatnumz, #diamondplatnumz, #good #morning, #habarizaleo, #habarizamillard #ayo, #harmonize, #lavalava, #lavidavi, #live, #magufuli #makonda, #mbosso, #mgahawa, #millard, #millardayo, #millardayo, #millardayotv, #rayvanny, #refresh, #serikali, #sportsarena, #sportscourt, #spots, #sundayworship, #tanzanianews, #thestorybook, #theswitch, #tiwasavage, #trending, #uchaguzi, #wasafi, #wasafifm, #wasafimedia, #wasafi tv, #wizkid, #yope, #yope #remix, #zuchu
#BinaTv #WasafiTv #ManaraTv

Пікірлер: 78
@monicemedia4078
@monicemedia4078 7 ай бұрын
Tambuu boss asie na majivuno, Allah akuifadhi inshaallah....
@moussaayubuchris7491
@moussaayubuchris7491 7 ай бұрын
Boss yuko vizuri sana yani ana maneno ya busara sana kwa kweli😢 jama anaelimisha kweli kweli
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 7 ай бұрын
jamaa yukoo sawaa anahekima yakuongea na anahofu ya munguu ukitoa elimu ya darasni ana uweliwa mkubwa sana kuhusiana na maishaa
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 7 ай бұрын
Uzuri huyu jamaa anamijumba kibao hivyo Kweli Mwijaku katupiga.
@omanmct135
@omanmct135 7 ай бұрын
Atamimi napenda nyumbachini nizuri kuliko gorofa❤
@YunusiAthuman-ep5mc
@YunusiAthuman-ep5mc 7 ай бұрын
Issa nakukubali Sana kwa busara zako
@jamesmutale9302
@jamesmutale9302 7 ай бұрын
Nimemupenda mwandishi wa Abar Yuko vizuri amekoma namaswari aropoki na maswari ya meni motivate.sawa na isa tambu Yuko vizuri namupenda anajizushusha na uko vizuli
@iddfundikira2817
@iddfundikira2817 7 ай бұрын
Jamaa anajibu kwa utulivu sana na sio mlopokaji kama msomi fulani hivi
@iyancoba9612
@iyancoba9612 7 ай бұрын
Unahekima sana kaka kuongea kwako tu ni somo kwetu tunao jitafuta ✊
@eliasthomas1547
@eliasthomas1547 7 ай бұрын
Mwandishi wa habari yuko vizuri.
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 7 ай бұрын
Mashaa allah unahekma sanaa
@edwinmeenda9171
@edwinmeenda9171 7 ай бұрын
Issa upo vizuri bro safi sana
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 7 ай бұрын
Tajiri ana jielewa sana asee
@Amanikizota
@Amanikizota 7 ай бұрын
Nawapata vzur nikiwa Mozambique 🇲🇿
@MtumbaOG
@MtumbaOG 7 ай бұрын
Brother Issa Salute kwako Allah akujalie kheri Insha-Allah
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 7 ай бұрын
Boss wangu auna hata mbwembwe za mjin
@zerochanneltanzania3797
@zerochanneltanzania3797 7 ай бұрын
Watu awaelewi kinacho endelea. Talent industry imekuwa ikichukuliwa poa sana. Talent industry (music, movie, utangazaji , art, dance, film, photography n.k.) imekuwa ikichukuliwa kama kitu fulani “by the way”….so its time kuwaonyesha watu kuwa industry hii inalipa vizuri tu. Na inawazidi wote ambao wanajifanya wanaela kumbe mikopo inawazonga.
@user-sq3uo6zp6y
@user-sq3uo6zp6y 7 ай бұрын
Issa tambuu nakuelewa sana mimi nipo songea ila nakufatilia na jina lako nalitangaza huku songea
@emmanuelnkwabi8610
@emmanuelnkwabi8610 7 ай бұрын
Issa uko poa sana aiseee
@petroyohana1126
@petroyohana1126 7 ай бұрын
Tambuu umesema kweli
@koffianodichisesa238
@koffianodichisesa238 6 ай бұрын
Huna baya boss
@peternyambui7492
@peternyambui7492 7 ай бұрын
😂👏👏..Hata mimi mwenyewe...tokea mbali huku..nilivyoitazama tu.....nikajua....hhh
@denisjoel1592
@denisjoel1592 7 ай бұрын
Tambuu Tajr huna baya boss umepoa xn huna mbwembwe nakkubar
@devgodfrey
@devgodfrey 7 ай бұрын
Hello hellooo pita kule😅
@lewismpangala927
@lewismpangala927 7 ай бұрын
Huyu ndo nyamwiga asie na baya
@gilbertfuria5817
@gilbertfuria5817 7 ай бұрын
Kizimkazi
@user-qz2sk3is9c
@user-qz2sk3is9c 7 ай бұрын
Na hapa ipo
@user-qz2sk3is9c
@user-qz2sk3is9c 7 ай бұрын
Issa Tambuu mara zote nikimsikiliza huwa ananyooka sana
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 7 ай бұрын
Nyumba ina Rangi mbili kama Ampicloxy😂😂
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 7 ай бұрын
Mhm Jose 😂😂😂
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 7 ай бұрын
Mhm Jose 😂😂😂
@zuberikamote2078
@zuberikamote2078 7 ай бұрын
😂😂😂😂
@user-pd7uy5je7c
@user-pd7uy5je7c 7 ай бұрын
Isa boss huna maneno ya busara na heekima,pia huna majivunomkuu.
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 7 ай бұрын
Pia Mimi nishasema Wemba kaongeza Sana hiyo ni 135M wajenzi tunaelewa Kila kitu
@user-yu5cg1xr4s
@user-yu5cg1xr4s 7 ай бұрын
kaka kile co kiwanji bar nisehem ya machimbo alinunua shimo
@charlzlomo9219
@charlzlomo9219 7 ай бұрын
Isa umekosea kidogo sababu unajenga za kawida gorofa ujenzi wake sio mchezo ndio si kila mtu anagorofa
@jonasiedy39
@jonasiedy39 7 ай бұрын
Huyo mtangazaji akatafute kazi nyingine
@naturelle1097
@naturelle1097 7 ай бұрын
But why debate about it? Nyumba ya Mwijaku let him be! whether katudanganya or not what is the big deal???
@khamisjohn7639
@khamisjohn7639 6 ай бұрын
It becomes a big deal because Mwijaku himself made it public. Watu katika jamii wana ndoto za kujenga so over exaggeration ni hatari mno kwani watu wengine watakata tamaa completely. Imagine mtu ana mil. 400 amejipanga kujenga ghorofa then kama ile ya kawaida kiasi kile anaambiwa inabidi awe na 1.3 billion??????
@naturelle1097
@naturelle1097 6 ай бұрын
@@khamisjohn7639 that would be the power of blindness talking
@medidaudi8335
@medidaudi8335 7 ай бұрын
Ma boss watulivu hawanag maneno mengi hua wanatulia
@NorascoKipeto
@NorascoKipeto 7 ай бұрын
huyu jamaa makini sana, katutia moyo, tunaweza ila bwana mwija, alikuwa anavunja moyo, kwanza mwija kaponda nyumba za chini, kakosea,
@tanzaniamycountry9308
@tanzaniamycountry9308 6 ай бұрын
Bro anaongea Kwa hekma Sana Tuige kitu kwa huyu Bwana tajir
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 7 ай бұрын
😂😂hapana bhana inafika mia 300 ile
@zaburi2386
@zaburi2386 7 ай бұрын
Hapana ile ghorofa inazd milion 150 inawezekana kufka had 400-500
@user-jd9xd3gk3m
@user-jd9xd3gk3m 7 ай бұрын
We nyumba ya million 400 unaijua kwel au unaisikia tu😂
@kwisa4899
@kwisa4899 7 ай бұрын
ile nyumba ni 200ml
@DenisyMhozya
@DenisyMhozya 7 ай бұрын
Ile ikizid 140
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 7 ай бұрын
Anababaika kwa sababu ni ghorofa eti​@@user-jd9xd3gk3m
@emmanueljisendi8928
@emmanueljisendi8928 7 ай бұрын
Huyu jamaa Issa tambuu hata ukiwa na milioni 5 anakusikiliza na anaukuzia gari tofauti na chawa wake
@user-sq3uo6zp6y
@user-sq3uo6zp6y 7 ай бұрын
Gari yangu mbovu ila nitakuja nalo
@AshroffBrown
@AshroffBrown 7 ай бұрын
Broh nyumba ya mwijaku sio chini ya milion mia 7 mi kama engineer
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 7 ай бұрын
Bei ya kiwanja
@andrewIzdory-sk4cu
@andrewIzdory-sk4cu 7 ай бұрын
150 Hadi 200. Haizidi 200
@khamismsoma8698
@khamismsoma8698 7 ай бұрын
umepita na mimi mule mule.. fundi rangi ni local sanaa hajui kazi yake.. hata fundi decoration ni fake pia..
@user-yu5cg1xr4s
@user-yu5cg1xr4s 7 ай бұрын
😂😂😂😂nakubar fund
@ednahumazi777
@ednahumazi777 7 ай бұрын
Your boss ni wivu
@furahachuma9039
@furahachuma9039 7 ай бұрын
Milioni 150 huwezi kuijenga ile nyumba. Nina mashaka ya uzoefu wako ndugu Issa.
@emmanuelbarnabas2577
@emmanuelbarnabas2577 7 ай бұрын
Yupo sahihi mzee
@furahachuma9039
@furahachuma9039 7 ай бұрын
@@emmanuelbarnabas2577 Sasa kama kiwanja pekee ni kati ya mil 25 hadi 30, hiyo nyumba ndio iwe milioni 150. Labda mimi bado niko usingizini.
@andrewIzdory-sk4cu
@andrewIzdory-sk4cu 7 ай бұрын
Ikizidi sana mil. 170, no more money
@allynguba2579
@allynguba2579 7 ай бұрын
Nafikili watu awajui kila maisha yanavyoenda na huu ujenzi na ghalama inapungua tofauti na zamani vijana tupambane ndomana SA ujenzi wa gholofa rahisi sana so nasisi tutafika tuu
@zuberikamote2078
@zuberikamote2078 7 ай бұрын
Sikuzote km hujajenga ndio utona gharama ila kwa wanaojua ujenzi million 100 ninyingi sana nghrofa ni nondo zamilimeta kubwa hzo ndio zinasimamisha ghorofa
@januarymwingwa2962
@januarymwingwa2962 7 ай бұрын
Issa hata wewe umetudanganya ile nyumba haiwezi kuwa na samani ya 150
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 7 ай бұрын
Inawezafika na zaidi gharama za ujenzi ziko juu
@YustoMlay-cv4zb
@YustoMlay-cv4zb 7 ай бұрын
Inafika 350m+
@user-sq3uo6zp6y
@user-sq3uo6zp6y 7 ай бұрын
Mimi nagari yangu ya 250000 nimekuandika issa tambuu auna ngwengwe upo smatt sana kuna siku nitakuja kinondoni nikutane na wewe issa tambuu
@karimjuma4019
@karimjuma4019 7 ай бұрын
Mbwen nyumba zipo ila kigambon zaid kibada kuna kufuru broo acha kabisa
@pharesdismas8876
@pharesdismas8876 7 ай бұрын
Upajui mbweni ww tulia
@Wiseoneclassic
@Wiseoneclassic 7 ай бұрын
Hapajui mbweni ahafika
@AlbertHenry-gq5rd
@AlbertHenry-gq5rd 7 ай бұрын
Mmemjibu vizur hajawahi fika mbweni
@karimjuma4019
@karimjuma4019 7 ай бұрын
@@AlbertHenry-gq5rd iyo mbwen haiingi kibada mara hata mia jaman ivi mnapajua block 16 au mnaongea tu ?
@JosephMilinga-nl4zh
@JosephMilinga-nl4zh 6 ай бұрын
Ujafika mbweni mkuu, jaribu kupita uone mahekaru
@user-eg1ts2fu9z
@user-eg1ts2fu9z 7 ай бұрын
Jamaa amenyoka kama Lula
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 20 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 5 МЛН
Гаджеты вредно!!! ☎️😳😡 #funny #comedy
0:26
Fast Family LIFE
Рет қаралды 2,3 МЛН
Мне приснился очень страшный сон
0:38