No video

BUILDERS HOME EP 3 | TUJENGE PAMOJA | Msingi imara wa nyumba

  Рет қаралды 29,988

The Builders Home Tz

The Builders Home Tz

Күн бұрын

Leo tunaangalia hatua ya kwanza kabisa kabla ya kujenga nyumba au jengo lolote lile..
Tukiwa na #Twigacement tunakujuza kuhusiana na mambo muhimu yakuzingatia katika ujenzi wa msingi wa nyumba.
Tuko na wataalamu #elijahMzinga na #HermanMushi.
Kama umevutiwa na material au wataalamu katika kipindi hiki Usiache kutembelea :
www.builders.c...
KUMBUKA KIPINDI HIKI HUKUJIA
kwenye tv yako pendwa ITV.
Alhamisi: Saa 12:30 jioni
Jumanne (marudio) : Saa 7:30 Mchana
Pia usiache kutu follow:
Facebook: / thebuil. .
Instagram : / thebuilders. .

Пікірлер: 34
@praisem.j.lema1036
@praisem.j.lema1036 3 жыл бұрын
Nice presentation 👏 nimewapata vyema.
@violetcarroll4930
@violetcarroll4930 3 жыл бұрын
asante san
@melkizedekkessy1280
@melkizedekkessy1280 2 жыл бұрын
Naomb nijifuzi kupim nyumba nafinih naomba kujuwa jamn
@chakubutakamangila2274
@chakubutakamangila2274 4 жыл бұрын
Safi sana napenda maelezo yenu sasa napenda nipate bei ya ramani tu ni ngapi
@TheBuildersHomeTz
@TheBuildersHomeTz 4 жыл бұрын
chakubuta kamangila tuwasiliane hapa kwaajili ya ramani 0716573079 (whatsapp)
@paulosafari6213
@paulosafari6213 Жыл бұрын
Naomba nisaidie njia rahisi ya kutafuta idadi ya step
@juliusjustin4813
@juliusjustin4813 4 жыл бұрын
Asante sanaaa Mushi
@TheBuildersHomeTz
@TheBuildersHomeTz 4 жыл бұрын
Asante sana ndugu
@Mweya-87
@Mweya-87 Жыл бұрын
Unamwaga mchanga futi moja?
@dorothyannan8184
@dorothyannan8184 2 жыл бұрын
Kaka nina mwanafunzi, kama unapokea wanafunzi. Nipe namba tuwasiliane tafadhali
@lazaromachele3211
@lazaromachele3211 5 жыл бұрын
Namba za sim
@TheBuildersHomeTz
@TheBuildersHomeTz 5 жыл бұрын
Lazaro Machele 0753536500
@chakubutakamangila2274
@chakubutakamangila2274 4 жыл бұрын
The Builders Home Tz napenda nipete ramani nifanyeje
@hadijasimba8463
@hadijasimba8463 2 жыл бұрын
Hapo kila mtu anataka cha juu
@ramadhanrajab2872
@ramadhanrajab2872 4 жыл бұрын
Boss umeelezea vizr kwenye udogo wa mfinyanzi naukasema unaanza nakujenga Mcngi watofali jekamanajengeea mawe nanipo kwenye udogo wamfinyanzi natakiwa kufanyaje ilikreck zisitokee?
@TheBuildersHomeTz
@TheBuildersHomeTz 4 жыл бұрын
KWa maelezo mazuri kwanini tusiongee kwa 0716573079
@paulosafari6213
@paulosafari6213 Жыл бұрын
Mko vixuri
@ashamgallah576
@ashamgallah576 3 жыл бұрын
Naomba kuuliza kibali nimepewa namber tu
@TheBuildersHomeTz
@TheBuildersHomeTz 3 жыл бұрын
0753536500
@purryselestine4000
@purryselestine4000 5 жыл бұрын
Nataka namba ya ELIJAH MZINGA nimependa maelezo yake plz
@TheBuildersHomeTz
@TheBuildersHomeTz 4 жыл бұрын
+255716573079 (call/whatsapp)
@roseletini6632
@roseletini6632 5 жыл бұрын
Ninamiti ya mbao nauza no Yangu hiyo njoo ujionee mbao safiii 0714473851
@TheBuildersHomeTz
@TheBuildersHomeTz 4 жыл бұрын
Karibu sana tuzungumze 0716573079
@damsafir2576
@damsafir2576 5 жыл бұрын
Twiga cement mfuko mmoja wa cement bei gani?
@TheBuildersHomeTz
@TheBuildersHomeTz 5 жыл бұрын
Da Msafir 0753536500 tuwasiliane kwa hiyo namba. Bei inategemeana sana na ulipo
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 6 жыл бұрын
Mbona Hakuna vipindi vipya ?
@TheBuildersHomeTz
@TheBuildersHomeTz 6 жыл бұрын
Tutaanza kuweka hivi karibuni. Asante kwa kuwa nasi. Usituchoke. 😁🙏🏿
@mungulolugazi4087
@mungulolugazi4087 5 жыл бұрын
Ila kanu mbona hazija fatwa vizuli
@TheBuildersHomeTz
@TheBuildersHomeTz 4 жыл бұрын
Naam.?
@aishamresa3130
@aishamresa3130 5 жыл бұрын
msingi unaweza kugarimu kiasi gani?
@TheBuildersHomeTz
@TheBuildersHomeTz 4 жыл бұрын
Inategemeana sana na ukubwa wa nyumba.? una ramamni tayari.?
@mohammedibra4064
@mohammedibra4064 3 жыл бұрын
yategemea na ukubwa wa nyumba iliochorwa ktk ramani uliotaka
@renatusgasper209
@renatusgasper209 2 жыл бұрын
Nipo singidaa naweza pata huduma zako
BUILDERS EP 9 | PLUMBING | Ujenzi wa mifumo ya maji safi na taka ndani
30:00
The Builders Home Tz
Рет қаралды 25 М.
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 66 МЛН
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 7 МЛН
EXCLUSIVE: UKWELI KUHUSU DARAJA LA MITI LA MILIONI 31 MOROGORO
17:49
MJENZI WA NYUMBA. Mfuko wa cement unajenga tofari ngapi.
5:56
MJENZI WA NYUMBA TZ
Рет қаралды 287
Ujenzi Kamilifu wa Msingi wa Ghorofa
7:38
SwahiliUnits
Рет қаралды 1,4 М.
BUILDERS EP 8 | UMEME | Uwekaji wa mfumo wa umeme (wiring)
29:59
The Builders Home Tz
Рет қаралды 34 М.
MJENZI WA NYUMBA. Jinsi ya kujenga msingi wa Mawe wa nyumba
6:34
MJENZI WA NYUMBA TZ
Рет қаралды 1 М.
MEZA YA UJENZI | 01 | Kabla hujajenga ni muhimu ujue gharama za ujenzi wako
11:00
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 66 МЛН