Mashallah Zuu una huruma...busati tv shukran sana kwa mafunzo humu🎉🎉🎉 Mungu Awabariki nyote mloshiriki❤
@mansoursilima6620Ай бұрын
Dah pole sana zatiti😢😢kwa changamoto za kwenye ndoaa yako... Nani anasema km zatiti mwisho ata enjoy ktk maisha yake naomba like 20 tu❤
@MwanashaAshaАй бұрын
Mim apa naona kipata bwana mwengn na kuzaa na huyo chiko akabak solemba
@MillyMjeniАй бұрын
Bibi ako Faithfull but mume anadhani anazaa ..😂😂😂haya ndo wanawake wanateseka kwa ndoa
@SHANIAlly-xr7icАй бұрын
Maisha meme zuu na Kai muende e❤
@VgmukomboziOficielАй бұрын
Apa Niko naweye gongwa liké jamani namuoneya uruma
@Teresia-bg9dtАй бұрын
Kenya tunahitaji maombi 😢😢💔😭
@emmajr7170Ай бұрын
Sema nini zuu anamaneno mazurii kama unamkubarii zuu gonga like
@amisjafar-pd4tgАй бұрын
namkubal san zuu
@FrankLuhaha-dt5shАй бұрын
Wanaomkubaliii zuuu na tabia yakeee ngongaa like hapa ❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂 jmn wanaume wenzanguuu tuombeee mungu atupatieee mwanamkee Kam zuuu
@toacceptthetruthtoacceptth235Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@DianaMuyokaАй бұрын
😅😅😅😅😂 mtapata tu
@lilianonyango5417Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@user-uo4gu1kk2zАй бұрын
😂😂😂Nacheka 😂😂Niko hapa
@AliceCharo-wz9ozАй бұрын
Team kai na team Zuu jmni😢😢😢nipeni likes mna tangu nifatilie hkna likes napta😂
@sifamaureen2792Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@Swamyhassan_syАй бұрын
Mawifi hata harufu ya pepo itakuwa mbali na nyie 😢😢msikilize mwenzio mfarji hata kidg daah hongeren sana kwa move nzur ina mafunzo mazur❤❤❤🎉🎉tunajifunz ving
@Mr.franckayoАй бұрын
Mh jamn hii muvi daah naipenda balaa🎉 eb kam upo na mimi bega kwa bega gonga like please
@MaryYusuphuАй бұрын
Nimekuwa wa kwanza tunao furah kumuona zuu na kai tuweke like
@RazikeRaraАй бұрын
Nawapenda sana kai na zuu aky mmependezana kwel nasubiri harusi
@glorykadzoАй бұрын
Mawifi nyinyi mbinguni hamuendi😂😂😂 mungu niepushe mimi nisiwe wifi mbaya kwa wake wa kaka zangu
@user-ji6cp1ng8gАй бұрын
Ishaallah
@LighySteven-gd8woАй бұрын
Jamn wanaosubr ndoa ya kay na zuu gonga like hapaaaa.....nmekuwa wa mwisho naombeniii like zangu❤much love from kenya
@RonnyKimathi-k6dАй бұрын
Wanao fuatilia kutoka 🇰🇪 tujuane kwa like
@salehHassan-rl8bdАй бұрын
Kenya 🇰🇪 hoyeeee
@12omochildrenАй бұрын
Uko wapi nikukujie😂😂😂
@user-no5oj4kf4jАй бұрын
hoyeee
@user-tx6ir9oe6uАй бұрын
Present 😂😂
@MoureenIminza-m6jАй бұрын
Napenda sana❤❤
@ggfwtgg1652Ай бұрын
Zuuuu umecheza vizuri umeongea point kwa sasa unaweza kuwa mke bola wakai mushauli wake muzuri jmn nimependa 😅😅❤❤❤❤❤
@tawhidatawhida7344Ай бұрын
Yte tisa nauliza tu umbo la zuu mmelion ukiacha shep umbo zima❤❤❤
@Mathi65329 күн бұрын
Zuu anaumbo flan hiv
@Mwana85Mwana85-wz1olАй бұрын
Aya ten wale mawifi zake zuuu ❤❤ kutoka 🇴🇲🇴🇲 tumejipagaje na harusi
@RizikiZikiАй бұрын
Pole sana mke wa ciku zuu maamuzi mazuri lakini hati zimeondoka na Candy zuu yuko sahihi kabisa nawapenda zuu na kay mufunge ndowa❤bibi aace mufunge ndoa
@IsmaelmejaАй бұрын
Kazi nzuri kaka pull up your socks Kai hata Dada Zuuu Ako poa🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤ from Kenya 🇰🇪 wanakupenda sana 🙏🙏🙏
@user-ii3rb6uj7g22 күн бұрын
Wakenya hatiombe like ila twapata acha nkupe yangu mana umesuggest❤
@QueenChillАй бұрын
Tem zuu jmn tujuane naomben like zangu chap ❤️❤️
@buru1235Ай бұрын
Wow am proud of you Zuu and Kai together Mashallah by Kwa candy n lzm kai ataweka Sahihi Ndio nyumba itoke Wallai
@DechaQueenАй бұрын
waaaaa apna isikuwe ivyo bn
@RehemaMwakisyala-k9uАй бұрын
Zuu kaongea bonge la maarifa maana likend linatamaa sana mpaka linanikela mdada mzur roho mbaya
@pilicharo4123Ай бұрын
😂😂😂😂
@OlyUpowerfuljesusАй бұрын
Msisahau nyumba kashaipiga Bei Atakuwa kama nyani mchanga anachekea pori linaungua hajui atalala wapi
@Saumu-vr4bcАй бұрын
Da Masozi,, Candy ungemvisha dhera😅😅
@hlimaa5182Ай бұрын
😢😢😢😢pole sana my dear 😘 Zatiti kwa nachungu juu ya machungu ushauri wangu kwako dear endelea kusimama kwenye ndoa yako zidisha subra uta yaona matunda yake love 💕 you 😘 my dear 😘 za titi Dua 🤲🏼 zangu kwako dear
@user-ki9le1jy8eАй бұрын
Naomben namm like naon zinafaida coz wat wamekua wakiomba San nipen namm bc😊
@user-kp4yg7sh7jАй бұрын
Team strong pitieni huku Kwa Kai na zuu 😂😂😂❤❤❤❤
@user-lz8kb9ds8kАй бұрын
Wao kumekucha jamani na dada zuuu waaah kai umepata mke bora sasa wapi harusi ya kai na zuuu❤❤❤❤❤❤❤❤
@MymunaMuna-qn5loАй бұрын
vijora vipo hapa
@user-lz8kb9ds8kАй бұрын
@@MymunaMuna-qn5lo itabid tushone sure maana waaah raha is iyo kifani jamani
@sharifabahar9905Ай бұрын
Yani ugombane na mume wako uwende kwa wifi toka lini wifi anakuwa upande wa mke wa kaka yake
@FaridaFocusАй бұрын
😂Kwanza Kwa kicheko kile tu duuh
@B.M-ix4rzАй бұрын
Heri mke mwenza baadhi mnaweza mkaelewana kuliko mawifi .Mawifi ndio no 1 kuharibu ndoa za kaka zao
@Roby-nw8szАй бұрын
Ni kwel maaan ni wachonganishi hatariiiiiiii
@jessalmas2122Ай бұрын
kwa taratibu za kiafrika ziko ukigombana mme kimbilia upande wa mme
@sharifabahar9905Ай бұрын
@@jessalmas2122 ila sio wifi ajawai kumpenda mke wakaka yake atasiku mmoja bora kwa wazazi wake sio mawifi
@Iteritekamimi-yk8nxАй бұрын
Kai ule mupuzi muaciye muanze maisha mapya vyenye zuuuuu alikwambia wallah siosiri nawapenda❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🔥🔥💯💯💯
@SamiraseifAlfan-ph4keАй бұрын
Hii kesi ya ngedere kapelekewa nyani . Wif mwenyewe kita mkuta kitu sijapenda kbxa
@FailaQueen-qm4dtАй бұрын
❤❤❤🎉🎉 munipe like na mimi from usa 🇺🇸
@AbusheheSaleheАй бұрын
Zuuh kunapointy kaiongea hapo nimemkubali kama tukopa1 gonga like apooo!!!
@SabrinaSabrina-ji1cbАй бұрын
Jmn tim zuuu tujuane na tuliokuwa tukisubir kwa ham
@JaneroseWarrenАй бұрын
❤ bibi zuh 😂😂😂 she always play her part 😅😅
@zainabuomary9085Ай бұрын
Dada ake chiko mwache atambe wakati chiko ndio hawezi kumpa mwanamke mimba😢mimba ya candy ni ya papaa
@AishamzamiluАй бұрын
Bibi ndo ananifurahisha 😂
@manirambonajeanne3876Ай бұрын
Nani ameona kama huyu bibi wazuu niyule bibi wa wahile movi yajia kama umeona hilo gonga like
@user-gc7xt5sf7qАй бұрын
Weee kazi nzuli Sana Kai unaweza kwel
@AishaAlmas-cm5bfАй бұрын
Kila mtu anaomba like, Jamani namie naombaaaaa
@IddyMohamedi-w7iАй бұрын
Bongo movie inafika kimataifa kwa mara ya kwanz season nzuriii sanaaa heb tujipongeze jamn
@macrinafuraha-zg3miАй бұрын
Woooow nimekua wa kwanza kama unaamini kua mama candy atamsamee mwanawe gonga like apa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-nl1vy8sh1jАй бұрын
𝐊𝐚𝐳𝐢 𝐧𝐳𝐮𝐫𝐢 𝐒𝐚𝐧𝐚 🎉🎉
@PhoebenafulaАй бұрын
Hongera sana busati tv,🇰🇪🇰🇪Tunawapenda sana❤❤❤❤
@rosemarenga832Ай бұрын
Ongeren sana Kwa Kaz nzur❤❤❤🎉🎉🎉
@user-fw9vd3yo3vАй бұрын
move inamafunzo san hongereni
@DjFg-ue3pgАй бұрын
Nawacheki nikiwa saudi congratulations kwa kaz nzuri
@AlexismadimoАй бұрын
Saudi ya kigoma
@fey-ge9pmАй бұрын
wa kwanza leo naitaji like zote ata mnichambe poa kwani kuna shido
@FelisterMchalaАй бұрын
Shidoo🎉
@Protais-TvАй бұрын
Abantu biburundi🇧🇮🇧🇮 ko ntababona like ngaha basha😅😅
@HawaSadockАй бұрын
Ulakomeye iwee
@RizikiZikiАй бұрын
Nihoturi❤
@user-gz8no9du9yАй бұрын
Turiii hanoo
@blandinedusabeАй бұрын
Uhisemwo gu coment mukirundi😂😂😂❤❤❤
@LatiffahHassanАй бұрын
Turingah😂😂
@SarahEnock-kq6ysАй бұрын
Duuuuu hii movie nihatali sana naona mnashelewesha epsod 47 yaani nimeipenda sana Kai penda sana ww
@evarkhanaya7891Ай бұрын
My favorite actors ❤❤❤❤🙏🙏
@MemoryKamutandiАй бұрын
Wakwaza jamani lak kwa zuuu🎉🎉
@tabithanzisa9755Ай бұрын
Najifunza mengi kwa hii movie❤❤❤nawapenda sana mnaoigiza 😊😊harusi ya kai na zuu ndo naisubiria kwa hamu🎉🎉🎉
@aminajuma-rw2rtАй бұрын
Hivi jaman kwa sasa Kuna mwanamke anae weza mwambia mwanaume hivyo kama zuh ety tuache Mali ili tianze upya duh mie mwenzie na zuh❤❤
@Shinyg3lАй бұрын
Yeah mm hapa😅👌
@NganziAthumaniАй бұрын
Jaman me nikama zuu nipen laik zangu
@shillahnafula4207Ай бұрын
Musijiombee likes tu muniombee na mimi pia
@user-xr8qv9mw9vАй бұрын
Waooo kai na zuu mmependeza sana
@lulumhapaАй бұрын
Kazi nzuri sana jamani busati TV 🎉❤.. zu na kai nawapenda sana
@user-mv6vi1gv6fАй бұрын
Leo 75 naomba mwenye atakuja nyuma anipe like 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@DelphinaJeremiah-ii1rvАй бұрын
Kai kai kai nimekuita mara tatu Zuu ashasema utumie busara sasa wew katumie hasira😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
@DechaQueenАй бұрын
pamoja kai kai kai zuu
@sawaAsd-cp3drАй бұрын
Daaa zuuuu🎉🎉🎉🎉 unajuua Sana kushauri kweli baba weeee🎉🎉🎉🎉🎉sanaaa Ila kai weee kazi ipo kwa candy hapo sasa nicheke mm😂😂😂😂😂😂😂
@HalimaJafari-yv2thАй бұрын
Jamani mawifi mnanini jamani hamuogopi kuporomosha maneno du 😢😢😢😢
@zainabzain3434Ай бұрын
Mawifi hao hawajawahi muacha mtu salama ila daima linawakuta jambo mwisho wa ubaya aibu
@besuramahenge6032Ай бұрын
Maajabu nimekuwa wa 115 nimewah leo like moja kwangu jaman
@MozaRishedАй бұрын
Kwani ukiwa wa 115 unakuwa umewahi😂
@ZayAwaziАй бұрын
Uwoyoooooooooo sinkawai leo nimekuwa wa 26
@IujaNjileАй бұрын
Nimekuwa wa kwanza naombeni like zenu
@marymusyoki-j9yАй бұрын
naona mambo yanaenda sawa kabisa movie inazindi kuwa tamu kila kukicha
@JoyceMali-qn3mbАй бұрын
Wakwanza kutoka Kenya naombeni lake
@fatmahaji7639Ай бұрын
Zuu pambe ❤❤❤❤
@EmanuelNgahatilwa-ew8qzАй бұрын
Wakwanza leo nipeni like basi
@user-zu2ki2uh9mАй бұрын
Wanayo furaha kuona zuu tena na kai tujuane jameni
@user-qx2qj1li4qАй бұрын
Ñawapenda sana team zuu na team Kai hongerani sawa ❤❤❤❤❤❤🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@user-yi9is9ng8wАй бұрын
Jamani nipeeni Leo hata like moja. Team khai na zuu❤ nawapenda kutoka kenya
@user-gg9ww7hs9tАй бұрын
Hongera sana zuu mwanamke uliyefundwa kafundika nawapenda sana team nzima ❤❤❤ from 🇰🇪
@user-mx9pe8go2xАй бұрын
Desighn nafuatilia hichi kipindi Dah ,ata nishasahau Na mpenzi Wangu 😂😂😂😂furaha yangu IPO hapa kai Na zuu
@neybadada3044Ай бұрын
Nmefurah jmn kai na zuu ❤❤❤❤
@DidaAlly-iz1itАй бұрын
Mawifi shikamonii😂😂
@Nailah736Ай бұрын
Wangapi wanakubaliana na hayo mafunzo ❤❤🎉🎉🎉 asanteni sana wahusika kwa jumla🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@RobinaRob-ln3ijАй бұрын
Mh wa kwanza kutoka gulf naomba likes plz
@SalumVulluАй бұрын
Mm naomba cand asi fanikiwe kuuza nyumba
@user-zv5ny8np8dАй бұрын
Wakwanza leo jaman😅😅😅😅 naomben like zangu
@mwajumsleman9070Ай бұрын
EEeeh wifi si shoga weee zatit unaenda kumwambia wifi yko matatizo yko wooiiiiiiii kwa apo umefel shoga daaah😅😅😅wif km wifiiiii
@user-sk7un6ls2tАй бұрын
Penzi la kai na zuu pambe yatima wa mapenzi tupo 😂😂😂😂😂😂😂
@glorykadzoАй бұрын
😂😂😂😂tupoo sanaaa
@user-sk7un6ls2tАй бұрын
@@glorykadzo🤣😔😔🤣
@ShamiAl-ww6gpАй бұрын
Jaman msinisahau nipo hapa
@user-sk7un6ls2tАй бұрын
@@ShamiAl-ww6gp 🤣🤣🤣
@sharifanyumayo6314Ай бұрын
Nawapongeza mno ila naomba mturushie EP.3 Kwa siku mana Huwa inaishia pazur aaah! ❤❤❤❤🎉
@Happyness-nl1vmАй бұрын
Wa kwanz leo naomben like
@SusanJulius-cu8xp4vx4mАй бұрын
Nafikiria nimewahi kumbe kuna wenye wamerauka
@hellolloheloo9743Ай бұрын
ila kay ati usinambie kama mwaweka vitu chini ya godoro no kabadi😂😂😂
@user-rz7kv9pn8mАй бұрын
Tayari jamani njooni tutizame pamoja
@ErastoNgerangeraАй бұрын
Wakwanza uyu ap
@paschaliapesambiliАй бұрын
Tuliofurahi zuu na kai kuwa pamoja tena tumwage makopa ya kutosha
@user-nf7kt6wp6sАй бұрын
❤❤❤❤
@AishybebАй бұрын
Km unamkubali zuu kwa mawazo aliyompa Kai kuwa amkabidhi candy mali zake zote gonga like hapa ❤❤
@user-sr7pk7vb8oАй бұрын
Na yule aliempa hatii ndio atakae mdhurum😅😅
@AishybebАй бұрын
@@user-sr7pk7vb8o kweli dunia hii ina mambo yake
@janemarymilemberutahoile7210Ай бұрын
Nakupenda bure Unavyompenda Kai kwamba upo tayari kuanza maisha mapya❤❤❤
@AliHaruni-q7nАй бұрын
Natokea Kenya hii movie imeweza mashaallah ✌️✌️👍👍
@AishabeibyАй бұрын
Ila zuu na kai nawapenda na mnapendezana kwa kweli😂😂😂 furaha imerejea❤❤
@user-pg8og1gp1uАй бұрын
Wakwanza like zangu 😂😂😂
@user-wh9wd7jf2zАй бұрын
Kendi badilisha nguo Sina tatu nguo hiyo hiyo🤣🤣🤣
@LaizerChionda-de6ulАй бұрын
Huo muda anao Sasa 😂😂😂 wakati kavurugwaaaaaa
@aishaseif-zq6zxАй бұрын
Jman nimekuwa wa kwanza leo naomben like ata 5
@rahemh1234Ай бұрын
Wewee ❤❤🎉😂🎉zuu atamtoa roho kai kwamahaba jaman ❤❤❤❤❤
@user-ii3rb6uj7g22 күн бұрын
Zatiti amecheza part yake vzur amejua kulia 🎉🎉🎉🎉from kenya natundraaa dadangu❤
@RehemaMwakisyala-k9uАй бұрын
Jamani mke wa chiko ananiliza mm et 😢😢😢
@TeddyPaul-j3gАй бұрын
😂😂😂😂😂
@ElirehemaMtuiАй бұрын
Mawifi si watuwazuri kabisa Mungu nisaidie nisije nikawa na roho mbaya kwa wake wa kaka zangu namwomba sana mwenyezi Mungu anisaidie katika hilo