#SARITONAMULKYWAJUAKALI #SARITO NA #MULKYWAJUAKALI #carrymastorytv #juakali
Пікірлер: 44
@Thisisgrace9798 ай бұрын
Basi kama hawa date, aniachie Luca wangu nampenda sana.
@HusnaMayala-pf3im9 ай бұрын
No comment napit tu😊
@user-ec6hx5ln5q9 ай бұрын
No comment
@nacyfloflo94949 ай бұрын
Luka, ni cute🎉❤
@user-oz9ww9cy1c9 ай бұрын
Waaaaw like it Harriet from Kenya can I get the smart watch
@yusuphally28819 ай бұрын
Mmependezea sna mfanye kweri tu
@jumatenga95687 ай бұрын
Hata kama ni wapenzi ukweli hiki sio kitu cha kuwekwa wazi kila mtu ajue ni siri yao wanajua wenyewe basi kama itajitokeza baadae kila mtu atajua haitajificha tena, sioni aja ya watu kuforce waseme ni wapenzi.
@carolpraise889 ай бұрын
Dulla katika kipindi sanura
@MonicaAssey-xf7ku8 ай бұрын
Me napenda wa wapenzi
@fatmafatu11289 ай бұрын
Watu wanavyopenda uzinifu kila anaekoment kusifia ujinga
@sabrahmonthana17969 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂jamani we mdada😂😂😂😂
@fatmafatu11289 ай бұрын
Hizo nywele za bandia zingekuwa zenu sijui maana zinavyo sukumwa nyuma hatar
@shedy_marie9 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@monalisafaustine-ft9ic9 ай бұрын
😂😂😂 makasiriko ya nn
@malak-lz6kx9 ай бұрын
Wallah hawariziki na walichopewa.
@MsAggie59 ай бұрын
Na ana natural hair nzuri sana sijui Kwa nini anavaa matakataka ooh well it's fashion 😂😂
@user-ju9mi1ft4v9 ай бұрын
🤣🤣🤣
@user-eo4hd8xu6d9 ай бұрын
😂😂😂femi chizi weye eti napenda mijitu meusi
@queenlinda2559 ай бұрын
Wanaume weusi wako attractive sana alafu saa ukute anamacho meupe na meno meupe 😅😅😅😅 Hatari
@Official836409 ай бұрын
Huyu alikuwa annatoka na mcheza mpira Juma Mahadhi ila kwa Luka kuna ulakini ukitaka kuamini angalia live zao usiku insta
@nurriathhasheem29479 ай бұрын
@@Official83640zina nini luka n wake
@Official836409 ай бұрын
@@nurriathhasheem2947 Ndy maana nasema kuna ulakini hao
@faridaabdallah74249 ай бұрын
@@Official83640wameachana na juma
@faidhacute9 ай бұрын
Kwahyo FEMI umeshaanza mambo ya NO COMMENT kama wale wadhungu 😮 WA kijichi mgeni nani 😂😂😂 sitaki bhanaaq
@MsAggie59 ай бұрын
Na wao wanaohoji wanalazimisha mno lol
@hegededegera25899 ай бұрын
Jamani mbona kijichi mgeni nani😂
@user-lw5du5ej7w9 ай бұрын
Kwann mgeni nani😂😂😂🙌
@user-ni6id6kf2s8 ай бұрын
Mmeamua mje na kwetu mgeni nani😃😃😃
@ashurapandu41168 ай бұрын
Hangi bwai😂
@peninasimwanza4449 ай бұрын
Hee kumbe anaitwa rito😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@atungondya12879 ай бұрын
Anaitwa isarito wanakatisha wanamuita rito
@user-kx8bl8cx7v9 ай бұрын
Mmh mahusiano hayafichwi weka waz luka
@user-rv3qd7pd7r5 ай бұрын
Nampndaga luka
@baltazariurio82639 ай бұрын
Mko karibu na wapi
@user-dq5tc4uu9s9 ай бұрын
❤❤❤❤
@aminahhuawei11339 ай бұрын
Luka hile sanura vipi mbn hatujaelewa jaman inaendeleq au ndiyo basi tena