Chuhu Hans amefunguka kinachoendelea kati ya yeye na mzazi mwenzie Ray Kigosi baada ya kuachana nae. Pia Johari ameongezea kwa kusema Ray ni rafiki yake.
Пікірлер: 10
@zaitunijuma78314 жыл бұрын
chuchu hiv una umri gn man kila siku naona unazid kuwa binti jaman unapendeza sn
@ahz69074 жыл бұрын
Huyu dada wana muandama eti utafikiri yeye wa kwanza kuingia ktk mapenzy!
@allthingdranabeauty3 жыл бұрын
Yan
@fredychambu29094 жыл бұрын
Achana nae uyo Ray jo niku owe kafeli uyo bby
@ashuraalijma66594 жыл бұрын
Umeona eee
@allthingdranabeauty3 жыл бұрын
Kweli
@mukhlisually4 жыл бұрын
Kwa maitaji ya VIWANJA VILIVYO PIMWA kigamboni DAR ES SALAAM kwa beii NAFUU SANA wasiliana nasi kwa namba ya sumu & watsapp 0715 900 666