CCM WAMEJICHANGANYA KWA SHEKHE "MTU ANAKWAMBIA CCM IMENILEA KWANZA HUNA FADHILA KWA WAZAZI WAKO"

  Рет қаралды 8,370

IPINDA ONLINE TV

IPINDA ONLINE TV

27 күн бұрын

IPINDA ONLINE TV........Asante kwa kuchavua Ipinda Online tv........Usisahau kusubscribe Channel yetu

Пікірлер: 35
@JohnMalengua-jh6ps
@JohnMalengua-jh6ps 25 күн бұрын
Hongera sana shehe kwa kuwajuza raia juu ya nchi inavyo liwa na CCM
@user-yc7xp4fn7x
@user-yc7xp4fn7x 25 күн бұрын
Nimekukubali sana 2
@paulsenyael7154
@paulsenyael7154 25 күн бұрын
At least hata robo ya wananchi wangekuwa hivi nchi yetu ingekuwa mbali sana.
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 25 күн бұрын
Huyu ni sheikh kweli. Naweza hata kumsindikiza msikitini nikaswali nae!! Anajitambua
@yassinhamza1969
@yassinhamza1969 21 күн бұрын
Point sana
@donaldmaziku7915
@donaldmaziku7915 25 күн бұрын
Good presentation of facts
@neemanziku5403
@neemanziku5403 22 күн бұрын
Safi sana shehe Mungu akulinde
@allymohamed2724
@allymohamed2724 17 күн бұрын
HAKUNA SHEIKH HAPO. ALLAH NDIYE ANAYETURUZUKU. KILA JAMBO.
@JacksonFrances
@JacksonFrances 25 күн бұрын
Washa Moto Shekhe Hawa CCM Wametufikisha Pabaya Mpaka Tuwaondoe Tumechoka Kuongozwa Kienyeji "
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 25 күн бұрын
Huyu sheikh anaongea points sana yaani unashawishika.Mungu ambariki sana.
@camilomassao8971
@camilomassao8971 24 күн бұрын
Safi sana Shekhe, umesema kweli kabisa
@prospermalala6636
@prospermalala6636 25 күн бұрын
MH Ally kadogoo elimu imepenyeza ndani ya vichwani mwa watanganyika waliopo mbele yako imeelewa, Mungu yupo pamoja nawe
@user-xs3ko8pg2g
@user-xs3ko8pg2g 25 күн бұрын
Shekhe unafaa kuwa katibu mwenezi
@kichenjekichenje2072
@kichenjekichenje2072 25 күн бұрын
Nondo za maana sn mkuu,umeeleweka
@hamzamajenja4891
@hamzamajenja4891 25 күн бұрын
Noma Sanaa
@ulimbagakipole3971
@ulimbagakipole3971 25 күн бұрын
Kadogoo heshima kwako wakati mwingine wakupangie mkutano wako.
@user-uz9mw1ie6z
@user-uz9mw1ie6z 17 күн бұрын
Love kwa CHADEMA ❤❤❤❤👏👏👏👏👏🔥🔥🔥❤️❤️❤️👏🏾👏🏾👏🏾🤸🏾🤸🏾🤸🏾🤸🏾
@allyhasani3750
@allyhasani3750 25 күн бұрын
Unajua shekh unajua, wenzako Wana wivu unaeleweka
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 22 күн бұрын
Kweli kabisa sisi tunaweza kujenga nyumba kila sehemu nyumba nzuri makazi safi hii yote maono madogo wao viongozi ni madalali tu nyumba kibogo hazina ghalama hata kidogo uongo kikubwa ni mipango
@abdallaahabdallaahibrahim6719
@abdallaahabdallaahibrahim6719 24 күн бұрын
Kadoo anafaa kuwa mwenezi wa chama mwenyekiti muangalie huyoo
@neemanziku5403
@neemanziku5403 22 күн бұрын
Vitu vimepanda bei sukar chai hatunywi
@salama1113
@salama1113 23 күн бұрын
Jitafutie majibu kwa mungu achana na mashekhe chumia matumbo wataenda kujibu kwakutokemea maovu 😂😂😂
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 25 күн бұрын
chadema mkipata watu kama hawa 5 ccm inaangukaa ,lisuu na mbowe wanatakiwa wapunguze maneno nwapewee hawaa
@ezekielmatondane714
@ezekielmatondane714 23 күн бұрын
Mashehe ote wagekua kama ww tugekua mbali
@Kakamkubwa3564
@Kakamkubwa3564 21 күн бұрын
Dah ila ukifikiria kiukweli hakuna usawa hata kidogo kwamba mwingine analipwa m1.8 Kwa mwezi laki5 Kwa Kila kikao Walimu na mwingine laki 3k CCM hawana huruma kabisa
@giftkalenge418
@giftkalenge418 24 күн бұрын
Chadema huyu jamaa ni Hazina azunguke nchi nzima
@cassimoa9217
@cassimoa9217 22 күн бұрын
Huyo Kawa Shehena, hakuna Sheikh atakayetetea watu wanaoshabikia ushoga
@muhsinikoki4060
@muhsinikoki4060 19 күн бұрын
acha usenge
@hakiyangu
@hakiyangu 25 күн бұрын
Kama cdm ni ya wachaga basi hata ccm ni ya pwani, maana viongozi wakuu wenye sauti ni wa ukanda wa pwani
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 25 күн бұрын
Kadogo mbona humakizii gari la miloni miatani la kifahari inambeba mtu wa kilo 80 or 90 105 wengine km kina acson tulia ndio kilo 70 labda Bora hiyo pesa wangenunua miradi ya ccm lngewasadia wana ccm wenzao waliochoka mbaya
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 24 күн бұрын
Maharage ya Mbeya mapema yameiva!
@RajabuLanda
@RajabuLanda 25 күн бұрын
Siyasa ya cdm tunaiyerewa xan xhida jexhi rimekuwa rakujipendekeza
@user-io6yj9fs2h
@user-io6yj9fs2h 25 күн бұрын
Kiongozi yoyote unae muona anaisifia ccm ujue anakula keki ya taifa tofauti nahivyo yoyote masikini wa nchi anaeishabikia ccm ujue ni tahila maana akipeleka ndugu yake hospital ya serikali hakuna dawa shule za masikini nchi hii wanafunzi eluf moja mia 2 matundu yavyoo kumi dalasa moja watoto mia 40 alafu mtu mwenye maisha magumu kabisa anakwambia ccm oyee nchi hii watu wanalaana vichwani mwao
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 25 күн бұрын
😂
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 3,7 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 78 МЛН
KISHINDO CHA SUGU KYELA CHAACHA NEEMA AZINDUA KIJIWE.
8:51
IPINDA ONLINE TV
Рет қаралды 10 М.
HECHE AIVAA CCM ADAI WANA UTANI NA MAISHA YA WATU HATUNA NCHI
8:32
IPINDA ONLINE TV
Рет қаралды 6 М.
KUMSEMA MSIGWA NI SAWA NA KUPIGA BOMU MOCHWARI,TUNAMJUA NJE NDANI
6:09