Kanda ya nyasa mmepata mwenyekiti wa kanda imara mheshimiwa Joseph mbilinyi sugu sio akina msigwa wanaoangalia vyeo
@jumakisailo84966 күн бұрын
Ahsante sana CHADEMA...❤️❤️❤️. Pipooooooooooooz..🤣🤣❤️❤️❤️.
@user-xe8xv6so6s16 күн бұрын
Kiwila mmeamka. Safi saaana. Elim mmepata. Na mmeitendea haki nawasndishi wa Habari mko vizuri Leo saafi Sana
@IssaJohn-kk8pb17 күн бұрын
Mko vizuri kiwira nimewapenda sana na sisi musoma tupo nanyi
@fabianmahenge30118 күн бұрын
Mwambigija uje Geita uwashe full Light......Kuna vipofu wanahitaji upako wako.
@daudibukuku649018 күн бұрын
Ama kweli Kiwira mmetisha!!! Lakin hata kwenye matokeo ya wanafunzi nako mnaongoza hongera!! Sanaa!!
@user-ig5yn4zp2u18 күн бұрын
Mwenyezi mungu akulinde sana sugu nakukubali sana tangia upo bungeni. Tunahitaji viongozi wa aina yako sio hao wa kuhongwahongwa wasio na msimamo akina msigwa
@user-cx1xz2is5d7 күн бұрын
Hongera mbowe
@HassanYellows19 күн бұрын
Mtaa kwa mtaa sugu,Bampa to bampa jongwe,paka kieleweke
@christinenyagiro666215 күн бұрын
CCM INATUONA SISI WATUMWA WAO CCM WANACHUMIA MATUMBO YAO TU. HONGERENI KIWIRA WENGINE JOFUNZENI KUTOKA KIWIRA. MUNGU AWABARIKI SANA.
@MathewsSikazwe-up4qd19 күн бұрын
kazi nzuri xana.
@IsayaSosolo-nx8zk18 күн бұрын
Hilo Gwanda limekukaa kiongozi!
@FrankMwakatundu-cu6bd18 күн бұрын
MATUNDA YA MH. FREEMAN MBOWE MWENYEKITI TAIFA AMEIJENGA CHADEMA KWA GHARAMA KUBWA KWA HALI NA MALI, NYOMI HIYO KIWIRA MWANKENJA, SIYO MOSHI MJINI. HUYO NDIYE MH. MBOWE ANAKATA KILIMI LIMI CHA WAPIGA PROPAGANDA OOH CHAMA CHA WACHAGA HAPO NI KILIMANJARO? NCHI NZIMA CHADEMA NI IMARA KABISA!!
@ibrahimusanga12698 күн бұрын
Asante sana kura zote zako chama.watu wanabomolewa nyumba zao alafu niendelee kuchagua chama cha mafisadi kweli?
@user-gr9wc7bc2m17 күн бұрын
Ccm wakae vizuri uchaguzi huu si mchezo
@user-pf2qk8fz9o19 күн бұрын
Nguvu ya mwanamke ni hatari katika mabadiliko ya nchi...!! 😊😊
@user-io6yj9fs2h18 күн бұрын
Mtu anae shabikia ccm ajauguza ndugu yake akampeleka hospital ya serikali hazina dawa shule za watoto wa masikini wanao nyonywa kodi na ccm dalasa moja watoto mia 50 watoto eluf moja mia 6 shule nzima matundu yavyoo kumi 5 alafu anae enda kuzindua matundu yavyoo anatembelea v8 milioni mia 5 gali inayo zidi galama zaujenzi washule nzima alafu mjinga anasimama anasema kidumu chama chamapinduzi tunalaana kwakweli
@desiderihugo570419 күн бұрын
Wakajiandikishe kwenye daftari la wapiga kura .
@IssaAlly-lp4uf15 күн бұрын
Safiiiiiiii
@kulwasalum359716 күн бұрын
Paka mwenye malengo , hamtafuni panya mwenye mimba....!! Duuuh.......!!!!
@christinenyagiro666215 күн бұрын
Hongera lakini kwa nini hamongelei kuhusu muungano wa unafiki kuwa tumeungana Tanganyika na Zanzibar ni kweli? Kwa sababu Zanzibar ina serikali yake ina bunge lake, huwezi kuchukuwa kiwanja Zanzibar lakini wao wazanzibar wanachukuwa viwanja na mashamba. 0bado wanaleta wabunge zaidi ya 70. Kwenye bunge la Tanganyika. Na wanalipwa kwa nini unafiki wa aina hiyo? Mbona hamongerei KATIBA ni lazima tupate KATIBA MPYA.
@SadamuNjau5 күн бұрын
Kiukweli kwamaosipitali hakuna huduma unIshia kulipia failitu hakunadawa hakuna kaulinzuri
@francissimwinga-gb2vd16 күн бұрын
Upambe ndio ajila ccm imeharibu nchi
@user-ig5yn4zp2u18 күн бұрын
Safi sana mama yetu muuguzi kwa kazi nzuri
@pascarmwatosya58553 күн бұрын
Kazikazi mking ndani ya uwanaja
@IssaAlly-lp4uf15 күн бұрын
Ccm wanawaogopa chadema ndio mana wanakimbilia kuwanunua chadema kwanini awanunui vyama vingine
@jumakisailo84966 күн бұрын
Ni sahihi kabisa, kinachoumiza zaidi ni kuchota pesa zetu na kuongeza Kodi za ajabuajabu Ili wawanunue wanasiasa maarufu wa vyama shindani ili waendelee kushika Dola watunyanyase na kutunyonya sisi wananchi, hili halikubaliki hata kidogo, tumechoka...tumechoka...tumechokaaaaa...😭😭😭😭😭....Ewe mwenyeeziMungu wafanyie wepesi ndugu zetu wote wanaopambania nchi yetu tuondokane na ukoloni mamboleo. In-shaallah..❤️❤️❤️. Mungu hashindwi na jambo lolote.
@mwajemwafula577715 күн бұрын
Wanyakyusa ni hatari sana awayumbishwi na kitu😅❤❤
@giftkalenge41818 күн бұрын
fcm wame hemka wametumia Hela kumpata mmja lakini cdm hawatumii Hela wanapata wacuasi wengi
@user-gr9wc7bc2m17 күн бұрын
Msigwa rafiki yangu umepotea
@jumakisailo84966 күн бұрын
Hakika.
@user-xe8xv6so6s16 күн бұрын
Mhakikishe mmejiandikisha daftari la wapiga kura
@LazaroMwakasegeКүн бұрын
Sasahivi wanadanganya watu kwa kuwapa pikipiki na flana
@JeremiahMwakanyamale4 күн бұрын
Et kisa wameajiliwa na serikali ndo hawawezi kufanya mapinduzi..wanageuzwa chawa wa serikali. Wafanyakazi niwasomi lakini akilizao hazina uhuru,wametekwa kifikra....waamsheni jamani.
@evelynmwaimu-vd9jo17 күн бұрын
Big up chdm
@KamwandaNzowa-eo4ur18 күн бұрын
Nawapongeza sana Makanda
@franciscowilliam257518 күн бұрын
Hii mashine (mwambigija)ni noma
@sammykateregga623818 күн бұрын
Mbeya naona kinaeleweka kweli siyo wakimbizi.
@OswardMandikilo17 күн бұрын
Chadema ndio ukomboz
@abdalahgunda131915 күн бұрын
I have been worching election in Tanzania from 1995 Antilles up to 2020 ccm win election by police force not bailot box vote no l disagree when cames to vote ccm use so much police force stick to leadership but now on this election caming on local gavment election will be toto war between ccm and opposition chadema but potability of ccm use military force and police force because of fear local gavment election by opposition ccm will use force but africa team worching in Africa election this time even world community they have to reject same of ccm gavment condition