Рет қаралды 84
Iringa Sunset Hotel ni sehemu sahihi kabisa kama unataka kupata huduma nzuri ya chakula, malazi na burudani. Tunajivunia udhamini mnono kabisa kutoka kwao katika kuwezesha upatikanaji wa chai nzito kama sehemu ya zawadi kwa washindi wa mashindano ya usomaji wa vitabu.