No video

🅻🅸🆅🅴 : CHALAMILA ANAZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA WA MAWASILIANO MUDA HUU..

  Рет қаралды 2,298

JAMBO TV

JAMBO TV

28 күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZfaq: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 12
@evamacha4861
@evamacha4861 26 күн бұрын
Hizo ni fingisu zilizotumika solo la mbagala zakhiem
@alimuse6980
@alimuse6980 26 күн бұрын
Hongera Mkuu wa mkowa👍💪🇹🇿
@jellyyatta7597
@jellyyatta7597 26 күн бұрын
Mm mzima nani
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 25 күн бұрын
Nchi inaongozwa na sheria au matajiri wenye nguvu ya uchumi na ulinzi?
@musandile8142
@musandile8142 25 күн бұрын
Nchi hii ni ngumu sana masikini hana thamani kabisa kwa sasa
@frankchuwa4962
@frankchuwa4962 25 күн бұрын
Watu wanaumia na wananjaa kuongea nao inabidi kuwa na hekima na busara ya hali ya juu ,uongozi ni dhamana tu.
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 25 күн бұрын
Pesa zitakazokusanywa na halmashauri ni kwa manufaa ya nani?
@tisamokebulemasubugu6222
@tisamokebulemasubugu6222 20 күн бұрын
Huu Mradi wa kujenga Karakana pelekeni nje ya Maji Karakana sio ya kujenga Hapa mijini na Eneo la Soko la Wafanyabiashara wadoga na kama wataondolewa Hapa ni kuuwa mitaji Yao na kuandaa wafungwa Kwani kuna walio na mikopo hawataweza kuilipa hiyo mikopo Kwani hawatakuwa na kipato tuiombe Serikali isiondowe kituo cha Stendi hatutakuwa na wateja na Soko linawekwaje Nyuma ya Karakana?
@brunondongolo9820
@brunondongolo9820 26 күн бұрын
Chalamila kuweni na mpango endelevu sasa hivi serikali haina ajira na vijana wetu wengi bado wanaongezeka
@getrudematee9899
@getrudematee9899 25 күн бұрын
Kodi ya hivyo vibanda wafanyabiashara wataweza?
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 26 күн бұрын
mchawi ni ccm
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 26 күн бұрын
Mfumo wa uchumi,ulivulugwa na mabepari wa kimataifa. Changamoto waemekosekana watoto wa Africa kupambana na mfumo huo ya uchumi, panua Wigo. Kenya KANU ilikufa, waliofuata vipi? Zambia, Zimbabwe, south A, Mistri, Sudan , Nijer, Mali, Kongo, Burkina Faso, huko kote Hakuna CCM wala CHADEMA. Tupanue wiko wa kufikiri Jamani.
THE NANE NANE TIME BOMB
20:22
Herman Manyora
Рет қаралды 2,5 М.
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 21 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 30 МЛН
WAKILI JEBRA KAMBOLE AELEZA KILICHOTOKEA UCHAGUZI TLS
18:52