No video

EXCLUSIVE: MJUE ALBERT CHALAMILA TOKA ENZI ANASOMA,Akiwa MWALIMU MPAKA kuwa MKUU wa MKOA WA DAR

  Рет қаралды 33,866

SAN TZ MEDIA

SAN TZ MEDIA

Күн бұрын

#simulizinasauti #wasafimedia #cloudsmedia #efm #millardayo #exclusive #santzmedia #dullysantz #ccm
FUATILIA HISTORIA INAYOSISIMUA KUHUSU MAPITO MAGUMU YA MHS; ALBET CHALAMILA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM KWASASA

Пікірлер: 45
@user-hj5hh4zg4e
@user-hj5hh4zg4e 26 күн бұрын
Namjua vizur tumetoka Kijiji kimoja nimtu makin sana alitwambia wahehe tufanye Kaz tusiwasingizie wenzetu wabena wachawi Yuko saf sana
@Piscesblair
@Piscesblair 18 күн бұрын
Mheshimiwa Chalamila msaidie mama katika uchumi wa bahari. Bado Serikali yetu hatupati mapato ya kutosha kutoka katika eneo hilo. Bado wavuvi wetu wanatumia zana za mwaka 47 katika uvuvi matokeo yake hatupati samaki wa kutosha na hivyo kusababisha bei kuwa kubwa sana kwa wananchi. Tunaomba kupitia Halmashauri zetu uweke makakati madhubuti katika hilo eneo. Tunataka kuona bei ya samaki ikipungua na migahawa ya kuuza "sea foods" kama ilivyo Zanzibar ikiwezeshwa kupatikana. Fukwe zitumike kuinua uchumi huu. (Coco Beach na zinginezo kule Kigamboni).
@-vu2cs
@-vu2cs Ай бұрын
Nilitaraji utamwelezea kiundani lakn hujafanya Ivo... Wakati mwingine twambie Hadi shule walizosoma , pia vujiji walivyokilia lakini kazi tunaenjoy keep on doing Broo.
@Santzmedia
@Santzmedia Ай бұрын
Ahsante. Kwa maoni yako Rafiki 🙏
@-vu2cs
@-vu2cs Ай бұрын
@@Santzmedia 🙏🙏
@isayakiyeyeu6295
@isayakiyeyeu6295 26 күн бұрын
Hujui historia yake, naomba nyamaza mimi nimesoma nae darasa moja.
@masakamgalla9273
@masakamgalla9273 9 күн бұрын
Wasifu huu umeutoa wapi mbona sioni kipindi akiwa mhadhiri chuo kikuu cha kikatoliki Mwenge. Ambako wengi wetu nami nikiwepo tulipigwa kipindi chenye shibe sana katika masuala ya Lugha.
@mclico7699
@mclico7699 8 сағат бұрын
Umeeleaza history bila kua na details unazingua chalamila ameimba nyimbonza kihehe wewe humjui chalamila kama huna details tafuta details tafadhali
@wallacerugangila2723
@wallacerugangila2723 11 күн бұрын
Nchi za kiafrika zinaweka viwango vya chini sana kwa watu walifanikiwa kimaisha ndio maana hata watoto wetu hawana role mode sahihi za kufuata
@izackkitomo6825
@izackkitomo6825 Ай бұрын
Usitoe historia ya mtu bila kuonyesha details indeed..... Unasema kasoma shule ya msing,sekondar,chuo,kazaliwa Kijiji Cha iringa.... IRINGA inakijiji kimoja brother?
@Santzmedia
@Santzmedia Ай бұрын
Ahsante kwa maoni yako!!!?
@deogratiasmashimbi2281
@deogratiasmashimbi2281 11 күн бұрын
Kweli kabisa hakuna historia hapo.
@user-hy8ux9ii5p
@user-hy8ux9ii5p 29 күн бұрын
Chalamila ni kiongozi wa kuzaliwa kuongoza watu sio mlala njaa ana stahili kuwa kiongozi
@mohamedrashidi8197
@mohamedrashidi8197 Ай бұрын
Umemjua juzi 2021 ndipo unakuja kutudanganya yani tarehe za matukio zmeanza kuonekana 2021,huko nyuma unasema alikua mwalimu tuambie ni mwaka gan had mwaka gan na ktk shule zipi?chalamila ni mtunzi na mwimbaji hata you tube yupo mbona hujaonesha kwenye historia?umekurupuka jipange
@user-mo5mi6bt6v
@user-mo5mi6bt6v 19 күн бұрын
Stori za kupikapika tu hujui kazaliwa mwaka gani, shule gani ya msingi, secondary ipi,Advance wap, chuo gan,course gan,mbaya zaidi hujui tofauti ya matumizi ya R na L
@kassimayoubmohd6313
@kassimayoubmohd6313 16 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@damasiasimba-lk5os
@damasiasimba-lk5os Ай бұрын
Msimuliaji ni mvivu wa kutafuta historia ya mtu, amesoma while gani
@deogratiasmashimbi2281
@deogratiasmashimbi2281 11 күн бұрын
Historia gani haitaji miaka ya matukio muhimu??
@emmanuelmahenge-z7u
@emmanuelmahenge-z7u Ай бұрын
Fatilia history yake vizuri ndo useme unaferi
@Santzmedia
@Santzmedia Ай бұрын
Ok. Ahsante kwa maoni yako
@mussakasela1937
@mussakasela1937 Ай бұрын
Kazaliwa mwaka gani?
@Santzmedia
@Santzmedia Ай бұрын
😥
@ndiditheodore8272
@ndiditheodore8272 Ай бұрын
Mhehe tu.
@Santzmedia
@Santzmedia Ай бұрын
🤩🤩🤩
@JapharyMawanza-mj1fv
@JapharyMawanza-mj1fv Ай бұрын
Suruhu
@mackchacha4114
@mackchacha4114 Ай бұрын
Maelezo hayajajitosheleza
@epimackjohn461
@epimackjohn461 Ай бұрын
Tujue habari zake kwa manufaa gani?
@Santzmedia
@Santzmedia Ай бұрын
Amekukosea nini Kwan?
@epimackjohn461
@epimackjohn461 Ай бұрын
Hajanikosea lakini kuna faida gani watu kujua habari zake ?
@josephatkajange8714
@josephatkajange8714 Ай бұрын
Nimjue wa nini?
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv Ай бұрын
Hizo taarfa zako sio sahihi huyu chalamila ambaye namjua mmi mbna huyu jamaa akili zake zina mutosha ye mwenyewe
@Santzmedia
@Santzmedia Ай бұрын
😆😆😂 Embu Tuambie Zinamtoshaje!!?
@habibnjowele7751
@habibnjowele7751 Ай бұрын
KUFAULU MTANGAZAJI BHANA NA SIO KUFAURU
@Santzmedia
@Santzmedia Ай бұрын
🙏🙏💔
@SurprisedCricket-gh4hj
@SurprisedCricket-gh4hj Ай бұрын
Huu ni uongo wa wazi kateuliwa kua mkuu wa mkoa wa mbeya 2018 iweje mpk 2021 atumikie miezi mi4 tu akiwa mbeya? Usikurupuke kijana
@Santzmedia
@Santzmedia Ай бұрын
Kama utakuwa Makini na hiyo simulizi Ulikuwa Huna haja ya kutukana!!! Mzee
@ndyamukamasylidion
@ndyamukamasylidion 2 күн бұрын
Nimekuelewa huyu mtoa biography ni muongo sana itakuwaje 2018 hadi 2021 awe na miezi minne?
@user-pj3eb2bo4o
@user-pj3eb2bo4o Ай бұрын
Baba huyu angekuwa komed angefaa sana tena timu yao ingekuwa timu Hananja na chalamila wangeuza sana
@Santzmedia
@Santzmedia Ай бұрын
😂😂😂
@ashamdemeka
@ashamdemeka 22 күн бұрын
Ni mwanamuziki Ata Ivo Sema now haimbi😂
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 14 күн бұрын
Ana lolote mchumia tumbo kama viongoz wangine 😂😂😂
@sharifunyengedi6322
@sharifunyengedi6322 Ай бұрын
😢😢😢 the worst history in my history of history telling....haujafanyia research umechukua tu videos na fikra zako ukatusimulia tu. Jipange unaharibu future yako ....una sauti mzuri ila hauna material kichwani ...
@piusgadau6328
@piusgadau6328 Ай бұрын
wewe ni hujafanyia reaserch habari yako ndo maana fupi ka mavi ya mwishoni
@Santzmedia
@Santzmedia Ай бұрын
Fupi kivipi rafiki
@piusgadau6328
@piusgadau6328 Ай бұрын
@@Santzmedia huoni ilivyo..uchambuzi haujajitoshereza
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 35 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 127 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 26 МЛН
HISTORIA FUPI YA MEJA JENERAL ALFRED KAPINGA
6:50
RUVUMA TV
Рет қаралды 21 М.
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 35 МЛН