CHANGAMOTO YA ENEO LA FEDHA KWENYE NDOA/MAHUSIANO - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 58,810

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 103
@lucasmganga2811
@lucasmganga2811 Жыл бұрын
Siwezi kuacha kusema wewe ni taa katika maisha yangu maana unanifanya najiona mtu ninae enda ku graduate PHD ya finencial na Self determinetion Education kupitia wewe bro mungu akubariki Sana 🙏🙏🙏🙏🙏💪💪
@onesmoalphonce3676
@onesmoalphonce3676 Жыл бұрын
Sijawahii kukusikia akaacha kama nilivyo,God bless you vijana tunakuhaji zaidi mana you always positive na dunia leo imejaa vitu negative
@khadijamakunga-ql2jz
@khadijamakunga-ql2jz Ай бұрын
Mungu akuongoze na akupe elimu zaidi uzidi kutuelimisha na akupe umri wenye mafanikio
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 10 ай бұрын
Asante kaka Joel, kiukweli mimi kuna kipindi nilipitia magumu baada ya kuachwa na mwenzangu,niliona ulimwengu umeniekemea maana nilikua sijawahi fanya kazi zaidi ya kukaa nyumbani,nimiaka 14 sasa nina mshukuru Mungu nimeweza kujitegemea mwenyewe siyo wakulia tena hakika kupitia masomo haya yananifanya niwe mwanamke jasiri MUNGU akubariki sana 🙏
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 3 ай бұрын
Yan kaka joel mashalah..unajuwa sana yan.na unamatilio mengi sana kaka joel ..hongera na mungu akuweke na akujalie
@mbogonijoel5529
@mbogonijoel5529 8 ай бұрын
Joel Bwana YESU asifiwe Mimi ni single husband nifanyaje ili nibadilike naomba ushauri wako nipo Dar es salaam
@alexbushishi8342
@alexbushishi8342 Жыл бұрын
TYPES OF HUSBAND 1. Baby husband 2. Bachelor husband 3. Parasite husband 4. One generation husband. 5. Ministry first husband 6. Servior husband
@joelnanauka
@joelnanauka 10 ай бұрын
Good summary
@JamalPaulo-jt1ju
@JamalPaulo-jt1ju 2 ай бұрын
Nimekua na tabia ya kuota mara kwa mara nikiwa nasoma darasani . Ninanafuraha kupata darasa lako youtube najiona niko nawewe live . Big up sana nakuelewa sana ❤️
@mapoluchalya280
@mapoluchalya280 Ай бұрын
ahsante kaka, tunakuhitaj Sana
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 Жыл бұрын
Kaka joel wanaume umejua kutupatia kwa haya mazungumzo n kwel kabisa tupo ivo
@lizzybahati3739
@lizzybahati3739 Жыл бұрын
Aisee kakaangu kila siku unanifungua akili yangu ninapo sikiliza elimu hiz Mungu Kubark sana
@abrahammwambije2769
@abrahammwambije2769 4 ай бұрын
Joeli Leo ume zungumuzia maisha yangu Nina kushukuru Kwa elimu yako sijutii kukusikiliza
@mazwichannel2120
@mazwichannel2120 4 ай бұрын
Nashukur Mungu leo nimeweza kuskiliza hii video maana nilikuwa naitaji msaada kama huu.Ni hali ambayo naipitia kwa 😢sasa yan mtu kabadirika kama simba mpaka anakwambia usinipigie sim wala kunifatilia nitakuua.I was shock kuambiwa nitauliwa changamoto iliyopo ni ya kifedha.Asante Kaka joel nitajitaidi nirudie hii video zaidi ya mara5 naamini nitapata relief..
@work24onme
@work24onme 8 ай бұрын
Holy Spirit Amen 🙏🏼 Asante sana kaka Joel kwa UFUNGUO WA THAMAMANI WA KUFUNGUA UFAHAMU TAKATIFU, kupitia mafunzo yote unayo toa napitia yote, KZfaq, Vitabu, Instagram, etc. Mwenyezi Mungu akutangulie 24hrs Amen 🙏🏼.
@erickmakyara880
@erickmakyara880 Жыл бұрын
Brother nakuombea sana, you have something special kwa ajili ya kusaidia maisha ya wengi
@kelvinarnold
@kelvinarnold Жыл бұрын
Barkiwa sana mtumishi maana unavyovinena ni vitu ambayo vna uhalsia kwenye maisha yetu ya kila siku
@prisca4612
@prisca4612 Жыл бұрын
Wow! Powerful 👌🙏🏿
@lovenoor988
@lovenoor988 Жыл бұрын
Mungu akubariki Mr Joel ✨
@zebedayodaniel-ci1uz
@zebedayodaniel-ci1uz Жыл бұрын
Good content nanauka👋👋👍👍
@adventinanyella2557
@adventinanyella2557 Жыл бұрын
Wonderfully. God bless you😊😊
@dicksonsanuka
@dicksonsanuka Жыл бұрын
Joel ahsante umenifungua sana
@emmanuelmhagama8519
@emmanuelmhagama8519 Жыл бұрын
Oya we mwamba be blessed
@clarasabutoke6907
@clarasabutoke6907 Жыл бұрын
Dah,asante
@work24onme
@work24onme 8 ай бұрын
Nawaza kumleta huko kwako kaka Joel nisaidie apate msaada 😊Maana Naona yupo maeneo 2 na nusu 😂hivi! 🙏🏼
@MichaelPaulo-xz6jq
@MichaelPaulo-xz6jq 7 ай бұрын
Daah braza barikiwa sana,
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Mkuu Upo sawa Kabisa umepiga sawasawa
@richardmartin6429
@richardmartin6429 Жыл бұрын
Mungu aendelee kukutunza, Ahsante kwa Ujumbe mzuri.
@kailemboedgar3005
@kailemboedgar3005 Жыл бұрын
Kaka mungu akubariki Sana sijawai kujutia muda wangu Kwa kukusikiliza
@innocentmwamundi4533
@innocentmwamundi4533 Жыл бұрын
Mungu akubarik Mr Nanauka umenifungua akili yangu sana
@chenkime3258
@chenkime3258 Жыл бұрын
Finally jambo ninalo liwaza kilakukicha umelifundisha god bless you
@darasalaushonaji1313
@darasalaushonaji1313 Жыл бұрын
Dah, najihis mim ni sevia
@joniajohn4716
@joniajohn4716 Жыл бұрын
Well said Joel
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
Dah noel umenigusa sanahp tunapitia sana wanaume hv v2 hasa ukipata mitian
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Жыл бұрын
Am waiting my brother
@MkbinladenNikunetotoz
@MkbinladenNikunetotoz Жыл бұрын
Joel ukifa ujengewe sanamu 👨‍💻👨‍💻
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
NI kweli kabisa
@muszanzibarsafari2743
@muszanzibarsafari2743 Жыл бұрын
Great lesson
@sarahmtenga134
@sarahmtenga134 10 ай бұрын
Joel,umenifundisha mambo mengi sana,tena umenibadilisha hata mtazamo wangu👍
@Lucy-lr1ll
@Lucy-lr1ll 7 ай бұрын
Yaan ndo nilie nae mm kama vile unajua saiz nimejifunza kitu hapa
@hamzaally2283
@hamzaally2283 Жыл бұрын
MUNGU akupe maisha marefu dunia bado inakuhitaji sana
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Asante sana
@lilianjoseph1144
@lilianjoseph1144 3 ай бұрын
Duh kumbeee! See me at the TOP.
@rehemaedward9494
@rehemaedward9494 Жыл бұрын
Bro asnte sana hii sehem inasumbua ndoa nyingi
@timothykengere2535
@timothykengere2535 Жыл бұрын
Shukrani 📚📚📚 Ndugu Nanauka 🎙️
@paschalmasanilo2617
@paschalmasanilo2617 3 ай бұрын
My mentor 🎉
@michaeliraphael2720
@michaeliraphael2720 Жыл бұрын
Kaka hongera mno, nipo naww tangu 2016 umenibadilisha pakubwa mno nakufuatiria kwamakini na Kwa ukaribu sana
@michaelkayoka1615
@michaelkayoka1615 Жыл бұрын
Amina
@mishentown3259
@mishentown3259 Жыл бұрын
So good nec
@davidngowi1534
@davidngowi1534 Жыл бұрын
Blessed
@Kingpoo_tz1
@Kingpoo_tz1 8 ай бұрын
Thanks so much broo
@zakariachacha7574
@zakariachacha7574 7 ай бұрын
Natamani uje arusha nije na familia yangu wote
@saumually3562
@saumually3562 Жыл бұрын
Katika masomo yote ambayo huwa nayapata kwako hili la leo 🙌🙌🙌🙌🙌 nalihitaji liwepo kila siku nielewe kipengele hadi kipengele ubarikiwe sana kaka 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 somo hili kaka umeitengeniza dunia
@lovenesslukas5360
@lovenesslukas5360 Жыл бұрын
Mmmmmmmmmmmh nimekupata kaka
@KabilaDamas
@KabilaDamas Жыл бұрын
Aise mwalimu Mungu akubari Sana kwa elimhii unayotupatia...naamini kwaelimu hiilazima nifike ninakokwenda.
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Ameen, songa mbele usirudi nyuma
@constatinemtindi2386
@constatinemtindi2386 Жыл бұрын
Barikiwa sana
@subisekelamwisa5275
@subisekelamwisa5275 7 ай бұрын
Amazing 😍
@mozesdaniel7484
@mozesdaniel7484 Жыл бұрын
Nimeweka bando lakutosha Izi nondo nadownlod Nimepata faida kubwa sana nimejiona kwenye savior husband natamani kutoka hapo....
@gloriosehakizimana3789
@gloriosehakizimana3789 Жыл бұрын
Nikweli saana nikama unaniongerea mimi
@abasimtowa4646
@abasimtowa4646 6 ай бұрын
Good speech
@eliethaudax9360
@eliethaudax9360 Жыл бұрын
Asante
@yoramusudayi
@yoramusudayi 3 ай бұрын
Lazima Kila siku nikusikilize,Nina mabadiliko makubwa sana tangu nilivyoaanza kukusikiliza ndg
@silviafurah9172
@silviafurah9172 Жыл бұрын
Thank you God bless you
@rosemageka686
@rosemageka686 10 ай бұрын
Asante sana mwl.mzuri Kwa mafunzo mazuri yaan umepiga mlemle. Be blessed man
@eliamartine4720
@eliamartine4720 Жыл бұрын
Umenipa madini ya kutosha sana unagusa maisha ya vijana wengine.
@rosemarykaduma
@rosemarykaduma Жыл бұрын
Hata mm nimefurahi nime elimika
@abisaabisa3587
@abisaabisa3587 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka Joel umekua msaada mkubwa sana katika maisha yangu......!!!!!!
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Nafurahi kusikia hivyo Abisa
@veronica-op4fu
@veronica-op4fu Жыл бұрын
Mungu akubariki sana,yote hayo tunayaona kwenye maisha yetu
@atumssusa2269
@atumssusa2269 Жыл бұрын
🙏🙏
@winnerbenjamin6265
@winnerbenjamin6265 Жыл бұрын
Hivi najihuliza tungempata wapi mtu kama wewe? Ubadilisha maisha yangu sana. Mungu ahendelee kutimiza mipango yake kwako.
@joelnanauka
@joelnanauka 10 ай бұрын
Ameen Ameen
@zeshsulesh6084
@zeshsulesh6084 5 ай бұрын
Hata kwenye saviour kuna mke pia sio mume tu
@zebedayodaniel-ci1uz
@zebedayodaniel-ci1uz Жыл бұрын
👍👍
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
💜
@josephnyanga5172
@josephnyanga5172 Жыл бұрын
kaka Wakupe udaktari
@chrissmalloy9
@chrissmalloy9 Жыл бұрын
Hakikaa
@herbertbavuma7228
@herbertbavuma7228 Жыл бұрын
Servor&bachelor husband niko hapa ngoja nijipange kubadlika slowly
@neemashirima6121
@neemashirima6121 Жыл бұрын
Asnte Dah yaani ni ukweli mtupu.
@davidhamza8701
@davidhamza8701 Жыл бұрын
hey Mr sijawah ona poster za semina zako nitawez vip taarifa ya semina kama hizo Mr. Joel
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
💃💃💃🔥🔨🔨
@filberthendry2651
@filberthendry2651 Жыл бұрын
Kaka huwaga nikiangalia video lazima nizirudie mara 5
@magejay4715
@magejay4715 Жыл бұрын
Ubarikiwe kaka
@user-gz1cd6kn5j
@user-gz1cd6kn5j 5 ай бұрын
Kama we nimwana mke mm mwanaume natafuta mwanamke anae fatiria vitu kama Ivi wengi Wana wake hawana ndoto
@priscusaugust7251
@priscusaugust7251 5 ай бұрын
@hamisilumona7163
@hamisilumona7163 Жыл бұрын
Hi bro. next time when you go to preaching or to give some people training tell them to reduce piano sound. always I appreciate your preaching or motivation and I follow some tips in my life experience. God bless you and God bless me too.
@immaculatelongino1637
@immaculatelongino1637 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤11
@SumaiNdalahwa-xu5mm
@SumaiNdalahwa-xu5mm 7 ай бұрын
Bro napenda Sana mafundisho yako umekuwa Nuru Sana kwangu asante sana bro nanauka
@bernadetachari7648
@bernadetachari7648 Жыл бұрын
Hapaimenighusa,natakakufahamu sana,ilikumfahamu mwenye nyotazinaendhana utamujuwaje?.manake hiliswala linachaghanya ndowanyinghi sana
@daudkanyelele2017
@daudkanyelele2017 Жыл бұрын
Kila nikiskia hoja zako nahsi tifauti kbsa kumbe naweza
@pleasethank2962
@pleasethank2962 Жыл бұрын
Last born na first born changamoto zao nyingi wakiw ktk mahusiano kwenye masuala ya financial ni zipi? Ningependa kuzijuwa kiundani umetaja tu hapo hujachimba.
@AlexJuma-vq8uf
@AlexJuma-vq8uf 8 ай бұрын
Umeongea vizuri ila mwisho si kweli yaan ndoa ivunjike kisa kusudi kwani kama mungu alikujua kabla maana yake hadi huyo mume au mke pia alimjua so vipimo ndoa ivunjike. ?
@joramzakaria2994
@joramzakaria2994 Жыл бұрын
I'm a survey husband some how please help me
@user-zu9bz3se7q
@user-zu9bz3se7q 4 ай бұрын
Kaka mungu akubarik Sana.
@clarasabutoke6907
@clarasabutoke6907 Жыл бұрын
Listening
@josephdaud1103
@josephdaud1103 Жыл бұрын
Hongera kaka somo zuri!!
@mohhamedygideoni2205
@mohhamedygideoni2205 Жыл бұрын
Gineus+
@annaprosper5052
@annaprosper5052 Жыл бұрын
Be blessed kaka, Mungu azidi kukuinua na kukupa miaka mingi uzidi kuwa baraka kwa wengi🙏
@alexomary5611
@alexomary5611 Жыл бұрын
Naomba namba zako Joel
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 Жыл бұрын
Me nimefuruh sana kwa parasite husband daa kaka Joel Mungu akubarki sana Kama namwona jamaaa angu anavokaa kwenye hii point hahahahha
@isayasemwali671
@isayasemwali671 Жыл бұрын
Nondo za maana!! Savior husband nipo hapa naanza kubadilika '''' kuanzia leo huruma kwa heriiii
@khadijamakunga-ql2jz
@khadijamakunga-ql2jz Ай бұрын
Mungu akuongoze na akupe elimu zaidi uzidi kutuelimisha na akupe umri wenye mafanikio
Aina 5 Za Watu Muhimu - Joel Nanauka
1:02:23
Joel Nanauka
Рет қаралды 157 М.
Je,Wewe Una Maono Gani Kwenye Maisha Yako?
46:51
Joel Nanauka
Рет қаралды 175 М.
МАМА И STANDOFF 2 😳 !FAKE GUN! #shorts
00:34
INNA SERG
Рет қаралды 3,1 МЛН
Increíble final 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 105 МЛН
Elimu ya fedha ambayo hautoipata darasani.
54:16
Michongo podcast
Рет қаралды 7 М.
KUSUDI LA MAISHA YAKO   JOEL NANAUKA EPISODE 03
10:00
Family of Praying Women
Рет қаралды 7 М.
Jinsi ya kuweka malengo na kufanikiwa
1:05:12
Joel Nanauka
Рет қаралды 431 М.
Fix You: Hii ndio misingi ya ndoa yenye Afya!
1:10:32
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 1 М.
UKOMAVU WA KIAKILI (MENTAL TOUGHNESS) - JOEL NANAUKA
1:11:22
Joel Nanauka
Рет қаралды 166 М.
Joel Nanauka - Vitu Vinavyozuia Watu Wasifikie Malengo Yao
35:09
Jinsi ya kutImiza malengo yako kwenye ulimwengu wa Sasa.
55:40
Joel Nanauka
Рет қаралды 102 М.
Watu Unaopaswa Kukutana Nao Kwenye Mwanzo Mpya (Day 2) - Pastor Joel Nanauka
1:38:36
Total Healing Ministries
Рет қаралды 18 М.
МАМА И STANDOFF 2 😳 !FAKE GUN! #shorts
00:34
INNA SERG
Рет қаралды 3,1 МЛН