Majid Mswahili hongera sana na nashukuru kwa kipindi kizuri... Watanzania tunajifunza zaidi lugha yetu...ki ukweli hyo ngoma nimejikuta naipenda tu...ni kweli ya huko nyumbani kwenu Kisarawe...Mchina anajitahidi kutamka maneno vizuri
@demitriagibure90732 жыл бұрын
Hakika siri hii ya sifuri inadhihirisha umuhimu wa Kiswahili duniani. Hongera sana kaka yangu Majid Mswahili. Mwanangu Yang umeupiga mwingi haswaaa