No video

CHEKI DIAMOND ALICHO KIFANYA KWA CHRISTINA SHUSHO MBELE YA MAASKOFU, ZUCHU ANUNA

  Рет қаралды 469,859

Mwanahabari Digital

Mwanahabari Digital

Күн бұрын

#Mwanahabari digital Fuatilia Channel ya habari za kijamii,siasa zinazohusu Tanzania
Akaunti zetu za mitandao ya kijamii
Instagram: habari_digital,
Facebook:Mwanahabari digital
Twitter:HabariDigital
Kama huja subscribe bado, tafadhali fanya hivyo na msahuri mwenzako pia

Пікірлер: 758
@bronick5810
@bronick5810 4 ай бұрын
Mimi kama mchungaji kutoka Kenya nasema hivi, wengi wa wasanii wa nyimbo za injili sio Tanzania tu bali ata hapa kenya, walianza na Roho lakini sasa wanamaliza kwa mwili kwa sababu ya pesa . Tumhofu Mungu jameni
@bethmainaheagahinya8888
@bethmainaheagahinya8888 4 ай бұрын
Vivyo hivyoo ilivyoo kwa Wachunganji pia na ndio maana makanisa yamejaa kila pahali juu kila mmoja ataka hicho chondo cha toleo...... Mala fungu lakumi mara toa thabihu mala toleo lakujikinga mala toleo la shukrani makanisa yamembaki na matoleo kuliko vile neno takatifu la Mungu Sasa YESU akasema Msinililie Mimi njililieni nyinyi wamo duniani..... Kila Mtu ajililie ajikosoe anapo kuja kumkosoa mwenzio... Ahsante Ahsante sana
@fbontucshkim2011
@fbontucshkim2011 4 ай бұрын
Nashangaa sana jinsi wasanii wa nyimbo za injili wanaona ni sawa kushirikiana na wale wa nyimbo za kidunia,some I maandiko vizuri
@fbontucshkim2011
@fbontucshkim2011 4 ай бұрын
Someni maandiko vizuri
@godieres
@godieres 4 ай бұрын
Light and darkness cannot be together not unless they are both dark,I rest my case
@neemamajana3078
@neemamajana3078 4 ай бұрын
Tusihukumu wengine tusije kuhukumiwa sisi, Mathayo 7:1-5
@user-lm5cr1mi9i
@user-lm5cr1mi9i 4 ай бұрын
Tukisema sana pia tutakosea mungu anawajua walio wake
@user-go1rl6bb1z
@user-go1rl6bb1z 4 ай бұрын
Ww unasoma biblia gani..primatto tutawajua kwa matunda yao
@annsimiyu8428
@annsimiyu8428 4 ай бұрын
Amina
@glorymasimango4255
@glorymasimango4255 3 ай бұрын
Hakika....
@paulineakoth6534
@paulineakoth6534 4 ай бұрын
I Iong for the days that I wasn't yet born again but I could just put wakuabudiwa. The spirit of God was in her old songs. Nowadays, wah! Mungu atusaidie. Let's notie to the Most high
@officialyohanamalisa1873
@officialyohanamalisa1873 4 ай бұрын
She was real a worshiper, but now days, too much of Worldly desire.
@officialyohanamalisa1873
@officialyohanamalisa1873 4 ай бұрын
But all in all Jesus the King. 👑
@OnesmusAkwabi
@OnesmusAkwabi 4 ай бұрын
Plain truth Pauline
@jesicahmuhindi277
@jesicahmuhindi277 2 ай бұрын
I still put wakuabudiwa upto date and it s still spirit filled but huko kwingine weeeh
@kungujoel7989
@kungujoel7989 3 ай бұрын
Christina was so humble in the past nowadays she is so proud 😢
@Adija-ur8uf
@Adija-ur8uf 2 ай бұрын
Na nguo tight kwa mwili kweli
@yetu10
@yetu10 4 ай бұрын
Katika Uinjilisti Christina ako Sawa Wacha Watu Wote wajue Habari ya Mungu.. Mungu anawataka Wote tumjue na Tumtukuze ❤️👍🙏
@matendomwera
@matendomwera 3 ай бұрын
Rudi malangoni mwa Mungu nyimbo zako hazivutiye tena kama Zamani ulikuwa naimba na watu wanaingiya kiroho
@PeterEwoton-tj1wn
@PeterEwoton-tj1wn 4 ай бұрын
May God save diamond that when his days draw near...can acknowledge Christ for his future eternity...
@nasmiriti3141
@nasmiriti3141 3 ай бұрын
Hapa nyavu ya yesu kashika diamond Amen Hallelujah
@FunnyAquariumFish-ih3in
@FunnyAquariumFish-ih3in 4 ай бұрын
Christina shusho nakupenda sana nyimbo zako nzuri endeleza upendo kwa wote maana yesu hakubaguwa aliwalisha wote neno la mungu wa milele
@bethmainaheagahinya8888
@bethmainaheagahinya8888 4 ай бұрын
Christina i really love your Ministry you're such a great Woman of God hua naomba tu Siku Moja kuongea nawe i love you shusho
@conybebkadaz1339
@conybebkadaz1339 4 ай бұрын
Mimi ndasema ukweli,,, Christina Shusho umeanza kumkosea Roho,,, jifikirie vizuri na umrudie Mungu
@donathakihombo4298
@donathakihombo4298 4 ай бұрын
Kweli kabisa
@tupokigwemarco7584
@tupokigwemarco7584 4 ай бұрын
Tumuombee maana mm zamani nyimbo zake zilinibariki sana
@shabaniismaily1470
@shabaniismaily1470 4 ай бұрын
Kwaiyo ww nani unayejua makosa ya mtu
@shabaniismaily1470
@shabaniismaily1470 4 ай бұрын
Kumbuka mema yake ayakuingizi ww peponi muache afanye anachoona yeye sahihi ameshakaa sana kwenye game
@conybebkadaz1339
@conybebkadaz1339 4 ай бұрын
@@shabaniismaily1470 Mimi ni mkristu kaaa wengine ninayemwomba Mungu anayeyafungua macho kuyaona yote yamchukizayo,,, kuna wengine pia wanaona haya,,,, ila Mimi sinyamazi,,, namwombea pia huku nikisema ukweli
@jeraldjensen6504
@jeraldjensen6504 4 ай бұрын
Ila tukiangalia Kwa jicho la pili Christina shusho kamtangaza MUNGU katika ya watu wasio mjua MUNGU, huu ni uinjilisti mkubwa sana God keep you
@user-zm4vd4uw4e
@user-zm4vd4uw4e 4 ай бұрын
Huyo ambaye Amjui Mungu labda wewe Acha Uongo potea mbali wana Wa Uasi
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 4 ай бұрын
dah jmni dada wa watu Mungu wtu aendelee kumnyanyua. maana yeye anawafikia hao wengine ni ngumu. ni muwakilishi wa Ufalme Wake Mungu wtu
@godlovemalekela17
@godlovemalekela17 4 ай бұрын
Yupo vzur
@amosdickson6318
@amosdickson6318 4 ай бұрын
Nadhani huelewi, ukielewa utauliza, niko wapi huku?
@stanelykariuki-ue3cw
@stanelykariuki-ue3cw 4 ай бұрын
Uijilisti wa kishetani
@reubenblessing8940
@reubenblessing8940 3 ай бұрын
God is the ultimate judge..i leave it to Him to decide
@user-fl3jx8wr4p
@user-fl3jx8wr4p 4 ай бұрын
❤️❤️ safi sana maman Christine anapo kua karibu na mtu wetu DIAMOND PLATNUMZ SIMBA tuna sikiya furaha mingi sana kwakweli mungu awabariki na aendelee kuwapa afia bora milele na nguvu yakuendekea kuimba nyimbo nzuri ♥️♥️
@lmkigondu
@lmkigondu 3 ай бұрын
I can’t believe that this is the once humble and pious Christina Shusho, who once criticized Kenyan gospel singers for being worldly and who is now even dressed like a mermaid! God have mercy. 😢😢
@LilyCruise-fp7mj
@LilyCruise-fp7mj 3 ай бұрын
Ukwel kumbe pia waona
@godof2ndchance38
@godof2ndchance38 4 ай бұрын
What does light got to do with darkness. There's a big problem. Two cannot walk together except they agree!
@damariceagutu4804
@damariceagutu4804 4 ай бұрын
Nowadays paraffin and water are missible
@user-rb2hn4ii1l
@user-rb2hn4ii1l 4 ай бұрын
I myself l love Christina shusho so much ,continue with that heart mamy
@carolinekhayeshe989
@carolinekhayeshe989 4 ай бұрын
Precious people of GOD ALMIGHTY, let us repent and go back to the old rugged cross of JESUS. We should not modernize the cross of JESUS by mixing light and darkness that's apostasy.JESUS is coming let us repent and prepare the way.
@thomasmackenzie8766
@thomasmackenzie8766 4 ай бұрын
When a married woman starts praising another man forgetting that the husband is more important than the other men !! That's a red flag ! It's a shame.
@kenya-id9gt
@kenya-id9gt 10 күн бұрын
did she tell you she is in marriage
@MadinahBabirye
@MadinahBabirye 4 ай бұрын
Papa Jesus,I'm really happy for this son of God.
@ChristinaOnditi-el3xo
@ChristinaOnditi-el3xo 4 ай бұрын
Diamond platnam simba mwenyewe hata ujanguruma lkn imejulikana upo. Wakuache miaka 800 . Mungu akubariki sana diamond
@estherkamau9484
@estherkamau9484 4 ай бұрын
Christina tafadhali vaa nguo ya adabu unapo simama mbele ya wanaume..hao waislamu unasifu hawaezi kukubali mama wakiislamu asimame mbele yao akiwa amevaa hivi...tunaaibisha dini yetu sana...pls can we respect our God🙏
@lilianowti5477
@lilianowti5477 4 ай бұрын
Waimbaji wengi wainjili wameasi Mungu Hadi vichapo vyawaandama,Shusho kuwa kama vile awali ulijiheshimu mwanzoni,.
@Keringalex
@Keringalex 3 ай бұрын
Samsoni pia katika nyakati zake za mwisho alitaka kuamka kimwili akajipata kumbe Mungu mwenye Nguvu kamwacha kitaaaaaambo. Pole kwa msiba huu wa kiroho dada.
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 3 ай бұрын
Haujaelewa shushu amevaa nguo ya marine kingdom amesha jiunga na kina diamond ma freemasons
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 3 ай бұрын
@@Keringalex p lol
@nemesapollo4846
@nemesapollo4846 4 ай бұрын
mond brand kubwa mno, haipingiki. big up
@user-mc9dv4fu1r
@user-mc9dv4fu1r 4 ай бұрын
Wote ni watoto WA Mungu hata Diamond Anampenda Mungu so christians and Muslims can cooperate to get her so big up dada shushu Christina🙏🙏🙏🙏🙏
@sirpleasureb
@sirpleasureb 4 ай бұрын
wewe ni kipofu. soma 1 wakorintho 15:33 Mtu asiwadanga nye, “Ushirika na watu wabaya huharibu tabia njema.2 wakorintho 6:14 Msiambatane pamoja na watu wasioamini. Kwa maana kuna uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna ushirika gani kati ya nuru na giza? 15 Kuna kuelewana gani kati ya Kristo na shetani? Mwamini ana uhusiano gani na asiyeamini?
@neemamajana3078
@neemamajana3078 4 ай бұрын
Maandiko haya alisema Paulo sio Mungu. Yesu alikula pamoja na wanyang'anyi, makahaba nk. Yeye alikuja kuwatafuta wenye dhambi na si wenye haki. Acheni kupotosha watu.
@user-gg1bm8oh6q
@user-gg1bm8oh6q 4 ай бұрын
If you don't know the bible shut up, there is no God in what shuso is doing , no body can know God throu her anymore except entertainment peroid
@anthonymaina7100
@anthonymaina7100 4 ай бұрын
Mwongo diamond hapendi Mungu....uabudu shetani uko soo open
@elidashirima194
@elidashirima194 4 ай бұрын
Haina sauti
@BraitonMwandata
@BraitonMwandata 4 ай бұрын
Maandiko yanasema ,ujiangalie sana ,na Mungu haangalii mwanzo wako bali anaangalia ,mwisho wa mtu..Mungu awasaidie watumishi wake kumaliza vizuri
@user-bu6cs5nv5h
@user-bu6cs5nv5h 3 ай бұрын
Mungu ni mwema kwa kweli.. binafsi nimependezwa na hili jambo! Hongera sana Christina Shusho, nimeuona ujasiri.. watu wanaoongea ya kuongea, Wao kama wao wasingeweza hata kuongea na kumuwasilisha Mungu mbele ya Watu wakuu kama hawa, Kudos sanaaa!!🙌🙌🌟🔥
@blandinajoseph1291
@blandinajoseph1291 3 ай бұрын
Kamuwakilisha kwa namna Ili?
@justinekalunga8488
@justinekalunga8488 4 ай бұрын
Sasa huyu mama anaanza kupotea kabisa. Mimi nilikua nazani kwa mba ana muimbia Mungu kumbe ni unafki tu. Anatumikia shetani mu jina la Mungu pole sana. Nuru na giza hakuna ushirika. Pesa zita kuponza usijali unaweza kimbia lakini huezi jificha Mungu. Sitawahi sikiza nyimbo za hawa wanafki.
@rosemarinawiliam3289
@rosemarinawiliam3289 4 ай бұрын
Alishapotea, Ile tu kusema ya kuwa ameachana na mume wake ili amtumikie Mungu ni jambo la kushangaza sana
@carolmutai7248
@carolmutai7248 4 ай бұрын
Christina Shusho ulianza na Roho, mbona ukamaliza na mwili? You uplifted our souls with your former songs like Mtetezi wangu Yesu anaishi, Wakuabudiwa, Ee Bwana umenichinguza na kunijua n.k. Why did you change my sister? What living testimony can you testify to the current generation? May God bring a U turn to the former you😢
@Jesus_is_KING563
@Jesus_is_KING563 4 ай бұрын
I even don't feel moved by her songs these days 😢
@sheldonshikhule327
@sheldonshikhule327 4 ай бұрын
I love your ministry Christina.....may The Lord keep you.......above all let our speech be with grace...amen
@nishstanleyz32
@nishstanleyz32 3 ай бұрын
I love this guy,diamond platnumz❤
@magrethmnzava6021
@magrethmnzava6021 3 ай бұрын
Mm nakuombea mema christina shusho songa mbele wala usipepese macho kutazama watu wanasema nn... Mtumikie Mungu dear ,Mungu ndiye anagawa baraka,na ndiye mhukumu na c mwingine love❤
@JaneLaizer-tb6zl
@JaneLaizer-tb6zl 4 ай бұрын
Christina shusho jitafakari upya ni mwimbaji mzuri Sana laki Hadi hapo unakatisha tamaa mungu akurejeshe upya maana du
@victoriarichard8761
@victoriarichard8761 3 ай бұрын
Nampenda waziri wangu majaliwa every time smiling ataishi sana
@user-zj9op4fb7w
@user-zj9op4fb7w 4 ай бұрын
Kweli Mungu atusaidie....dada Shusho heshima yako imeisha kabisa .huna uwepo kabisa...
@feristadaudi6599
@feristadaudi6599 4 ай бұрын
Usipede kuhukumu usije hukumiwa
@Jacklinjohn-cr4vs
@Jacklinjohn-cr4vs 4 ай бұрын
Ameishaa kabisaa na hatuhukumuu arudi kwa Mungu
@salimaechessa8933
@salimaechessa8933 4 ай бұрын
Hata mavazi ya kutoa figure aaaah Mungu hayuko hapo
@lilianowti5477
@lilianowti5477 4 ай бұрын
Mtoto anayechapwa ndiye anayependwa,Shusho anapendwa lazima arekebishwe alikoteleza.
@EstherTeila1312
@EstherTeila1312 4 ай бұрын
Acheni kuzusha ubaya kwa huyu m2 jamani Yesu anawapenda hvohvo, walivo mana alikufa kwaajili yao, na ananjia nyingi za kumwongoa m2, huenda hyo ikawa mojawapo nan ajiaye, Christina piga injili ila ucmnyenyekee m2, kwaajili ya kipato chake, yangu ni hayo2🙏🙏🙏
@jukaelyelisha6311
@jukaelyelisha6311 4 ай бұрын
Kupedwa sio shida shida lazima arudi njia kuu
@EstherTeila1312
@EstherTeila1312 4 ай бұрын
@@jukaelyelisha6311 hakuna aliye mkamilifu, shida ni kujua kama unakosea af ukapuuzia Toba... We ukiona mwenzio kajikwaa kwa kosa fulan mwombee, nawewe huenda una kakwako ambako hujui ila watu wanakushangaa kwacho ko ni kuombeana tu, safar ngumu ina milima na mabonde...
@rosejulius7756
@rosejulius7756 4 ай бұрын
Hajamnyenyekea amemuheshimu
@Milianstore23
@Milianstore23 4 ай бұрын
Kuna watu mnajiona km malaika mmesahau kwamba Mungu anamtumia yeyote kumwokoa yoyote kwa wakat na namna yake, wacheni kujudge watu🤔🤔mnajua Paulo alifanya nn kabla ya kuwa Paulo? wachen mambo yenu bhn kwanza Mungu hana shida na watakatifu anatafuta ambae hajawa mtakatifu amfanye mtakatifu👌👌👌😂kuna watu mtafika mbinguni kwa taabu sana kwa kujitakia
@user-nz4ff6dq4t
@user-nz4ff6dq4t 4 ай бұрын
Wewe ujuwi kitu
@rosejulius7756
@rosejulius7756 4 ай бұрын
True
@danielbudara1584
@danielbudara1584 4 ай бұрын
Watu watajipenda sana Siku za mwisho
@atienomaurrine4336
@atienomaurrine4336 4 ай бұрын
Wacha uongo bibilia inasema love of many will grow cold
@lilianowti5477
@lilianowti5477 4 ай бұрын
Ukweli usemwe,njia za Mungu zashinda wengi na kurudi maisha ya kidunia.
@venerandamsemwa4985
@venerandamsemwa4985 4 ай бұрын
walokole tunafeli, hata asiyeokoka anakuhitaji ww na Yesu wako, sasa ukikaa mbali watamwonaje Yesu wako. we unayedhani umesimama angalia usianguke. Mungu anatupenda sote, hapendi apotee hata.mmoja ww nani kumhukumu mwenzako. tuombeane ndiyo upendo❤
@doreenitalian
@doreenitalian 4 ай бұрын
Mimi ntasema tu, naona Diamond akiokoka thrue christina shusho, pia mimi nlisema kwa interview pale radio safari in case mtu hajaokoka atake colabo ya gospel song, ntafanya naye bora tu mimi nisifanye secular. Hiyo ni makosa kwani? Christina sijoana akikosea ako sawa tu
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 4 ай бұрын
Kweli
@bahatimwakalukwa5445
@bahatimwakalukwa5445 4 ай бұрын
Soma vizur neno la Mungu yaani kama wew mwenyewe ulishapotoka ukaacha njia ya Bwana usitegemee utaweza kumshawishi mtu Kwa maneno shida ni nguvu inayokuwezesha kufanya Hivyo. Mungu hajatukaza kushirikiana ila ni Kwa namna gani unashiriki ndo kipengele
@risskibech1497
@risskibech1497 4 ай бұрын
Huyu Diamond anaweza okoka na Mungu akamtumia kumbuka tumeokolewa kwa neema
@user-we8zz6dv4u
@user-we8zz6dv4u 4 ай бұрын
Kweli kabisa
@ashaali7154
@ashaali7154 4 ай бұрын
Diamond 2:01 ni msanii ambae hana kimoja anachokifanya kiuhalisia ila ni usanii tu. Anafanya usanii kuendeleza kushikilia umaarufu usimdondoke.
@user-xr8ug4ol6n
@user-xr8ug4ol6n 4 ай бұрын
Yes, Diamond can be saved. Why not? The Bible says our father forgives and forgets our sins. Reply from Uganda I love you all
@EstherAyoyi
@EstherAyoyi 4 ай бұрын
Wawili hawawezi kutembea pamoja pasipo maelewano.kwa kweli umepotea dada mrudie mungu kabla ujachelewa
@LovenesyMhame
@LovenesyMhame 2 ай бұрын
Ameni
@mercyzena6356
@mercyzena6356 4 ай бұрын
Your such a wonderful woman of God hivo ndio tutawakomboa waliofungwa kufunguliwa watoke kwa minyororo ya Giza but if your a man of woman of God na umejichanganya usijaribu hii cause kitakuramba vibaya rem Paulo na sila katika matendo ya mitume chapter 16 walipomufunguwa aliye fungwa majaribu walipata sio kidogo but because walijujua wanatumika kwa roho na kweli waliweza kushinda majaribu so kwa wale watumishi munapitia changamoto na munapitelea ndani jiite kamukutano huwezi kua mfungwa na umfungue mfungwa mwenzako
@duncanmaina6407
@duncanmaina6407 4 ай бұрын
Shusho has lost it. I miss the old shusho.
@WinnieObei
@WinnieObei 4 ай бұрын
Huduma bila ubaguzi ndio huduma kwani Yesu alipokutana na Zakayo walimkejeli ila akasema alikufa kwa ajili ya kila mwenye dhambi
@Milianstore23
@Milianstore23 4 ай бұрын
Well said cjui wasichoelewa nn me nakwazika😂😂😂
@user-pn8in7xb2h
@user-pn8in7xb2h 4 ай бұрын
Ukweli dada
@BeatriceMwakalindile
@BeatriceMwakalindile 4 ай бұрын
Hata yesu walimshangawa na wanafunzi maana alikuwa akikaa na wasio watakatifu . Ko mpendwa kukaa na wasiowatatakifi kulianza na yesu mwenyewe lengo no kuwaokoaa.
@robertmukoya9542
@robertmukoya9542 4 ай бұрын
i pray that God may remember you christina shusho, u used to lift our hearts, in east africa you made Jesus be known, consider the old things and repend, for you are aware what you are doing. darkness and light can not dwell together. i pray for you always. 😢😢😢😢😢
@ignatiusmoga9495
@ignatiusmoga9495 2 ай бұрын
From kenya I fill good coz I ❤ them all watu muwacha kujifanya malaika na kukashifu wengine kama mungu angekuawa binadamu wengi wetu tungeishi mungu habagua yeye ndiye hujua nafsi zetu
@vickgrace4487
@vickgrace4487 4 ай бұрын
Christina Upo na MUNGU USIMIANGALIE WALA KUMSIKILIZA MTU...SONGA MBELE MTU WA MUNGU...DUNIA INAJUABUPO MTOTO WA MUNGU MWENYE UPENDO WA MOYONI...
@sirpleasureb
@sirpleasureb 4 ай бұрын
wewe ni kipofu. soma 1 wakorintho 15:33 Mtu asiwadanga nye, “Ushirika na watu wabaya huharibu tabia njema.2 wakorintho 6:14 Msiambatane pamoja na watu wasioamini. Kwa maana kuna uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna ushirika gani kati ya nuru na giza? 15 Kuna kuelewana gani kati ya Kristo na shetani? Mwamini ana uhusiano gani na asiyeamini?
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi 4 ай бұрын
Pwagu kampata pwaguzi
@ceciliahnyaboke271
@ceciliahnyaboke271 4 ай бұрын
Kipofu kaongoza kipofu😢.. lazima ujue Mungu ni mtakatifu
@abednego229
@abednego229 4 ай бұрын
Mimi sitapotezwa na wenye wanajiita watumishi wa Mungu, onakava kwina band
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 4 ай бұрын
Nuru na giza havichangani. Jitengeni nao. Hapo tayari Christina ameshanaswa na Shetani. Hapo hakuna cha Pasaka wala nini kuna kujiuza.
@JumanneJuma-qd1fo
@JumanneJuma-qd1fo 4 ай бұрын
Christina rudi ,unakoenda si salama ,wewe unajua na watu wanajua na Mungu anajua.Umaarufu ,utajiri na heshima ni za hapa Duniani tu.Rudi rudi ruuudi .
@emmanuelchema62
@emmanuelchema62 3 ай бұрын
🙏🙏🙏asikie
@user-ig7tb1cf8z
@user-ig7tb1cf8z 4 ай бұрын
Christina ameiaibisha kazi ya msalaba. Nilimpenda sana Christine lakini kwa hili hatasitakikusikiliza nyimbo zake. Imetupasa kuhubiri inji kama ikibidi kwa maneno.
@estermachea3373
@estermachea3373 4 ай бұрын
Mungu ni WA wote piga kazi usiangalie maneno yao
@user-ny6pv1xu9g
@user-ny6pv1xu9g 3 ай бұрын
Speaking of gospel diamond
@dominicmulu7953
@dominicmulu7953 4 ай бұрын
I support Christina period. Those judging her can you stand up and do better.
@lilianowti5477
@lilianowti5477 4 ай бұрын
Here we stand.
@user-cu3lq3ib1f
@user-cu3lq3ib1f 4 ай бұрын
Kwan christina kafanya nn jaman mbona mm sielew yesu alikula na watoza ushuru na alipakwa marhamu na nywele za kahaba sasa mnachooongea ni nn sasa hiv
@EstherTeila1312
@EstherTeila1312 4 ай бұрын
Hakika ww unasoma maandiko, mi cion kosa lake, af usihukumu ucje ukahukumiwa we unajuaje usir wa m2 ma Mungu wake, ila sishangai, hata yesu hawakumwelewa mana aliketi na waovu na aliwapenda sana mana alikuja kwaajilo yao
@esthernthambi6846
@esthernthambi6846 4 ай бұрын
Nimependa comment yako from kenya
@dollycarol8322
@dollycarol8322 4 ай бұрын
Hii ni kweli kabisa. Lakini comment section imejaa mahakimu. Yesu alikuja kwa waliopotea sio ajabu upate Diamond kanisani miaka ijayo akihubiri injili.
@MaryWuantet
@MaryWuantet 4 ай бұрын
Bora aende secular straight away
@AganzemugishoAvecDieunou-gf1fq
@AganzemugishoAvecDieunou-gf1fq 4 ай бұрын
Dr Bukavu j bcp ma sœur Christina shusho
@WakiliMsomi-xt1fq
@WakiliMsomi-xt1fq 4 ай бұрын
Kiristinakistina usimwache huyu mumeo rahana itakumariza dada angu mungu siyo mzarimu
@JoyKita
@JoyKita 3 ай бұрын
Mungu ni wa wote, hana ubaguzi. Piga kazi Christine.❤
@blessedalaf8750
@blessedalaf8750 4 ай бұрын
Christina Shusho like many who've been before her, started in the spirit and is finishing in the flesh. Light and darkness can NEVER mix The Bible warns of being equally yoked with the non believers!
@yohanamp-ec7im
@yohanamp-ec7im 4 ай бұрын
Shristina shusho ulikuwa mwimbaji mzuri sana ila umeanza kumkosea Mungu, umebeezi kweny hela
@marcyasam4368
@marcyasam4368 4 ай бұрын
Nowadays her dress code is so revealing, i love her old songs
@Mwakilasa51
@Mwakilasa51 4 ай бұрын
Christina hajui kuwa ashakua bibi et Binti yako😂😂😂😂😂
@havijawamasanja1180
@havijawamasanja1180 4 ай бұрын
Hata uwe mzee vipi mzazi lzm ukuite binti
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 4 ай бұрын
Kwa hiyo shusho analingana na majaliwa
@silviasaleh4667
@silviasaleh4667 4 ай бұрын
Mm hawezi,
@kidabunews4751
@kidabunews4751 4 ай бұрын
Eti anajiita binti😂😂😂
@Raymtumishi
@Raymtumishi 4 ай бұрын
Eti anaambiwa amekaa kichungaji mihereni masikioni hiyo amesuka kama mwanamke landa awe mchungaji wa kuzimu pumbavu ww acha kumchezea Mungu
@suzysam6002
@suzysam6002 4 ай бұрын
Christin pesa imempoteza na imemtoa uweponi kabisa
@perpetuasenya5884
@perpetuasenya5884 4 ай бұрын
ukiona hali imekua ivi ni kuomba vitu vya Mungu vina vita shetani hana shida na ibada yako ila anakikisha utabudu ila si ktk roho na kweli na hata wale waliokua kwenye kweli anawageuza kuelekea kwake tuzidishe maombi juu ya watumishi na waimbaji
@lilianowti5477
@lilianowti5477 4 ай бұрын
Mwisho wa safari ni bora kuliko mwanzo.
@thomasomer7955
@thomasomer7955 3 ай бұрын
Wewe ni mmoja wa baharini Christine,Mungu alikuondoa kwenye maisha ya shusho sababu alionelea utamwingiza pabaya.
@celinemwantoassumani2955
@celinemwantoassumani2955 4 ай бұрын
Shusho umepotea ki Roho, anza tu kuimba nyimbo za wasani ya Mungu aikufai tena, ni eri mwisho muzuri kuliko mwanzo.
@samwellivoga7027
@samwellivoga7027 4 ай бұрын
Mungu huwajua walio wake na si kila atajae Yesu ni mtakatifu wengine ni siri baina ya mtu na Mungu muhimu wewe na mimi kila mmoja kujisimamia kwa kujua njia yake ni ipi
@elevenmeela8713
@elevenmeela8713 4 ай бұрын
Ni Nini tu kimekupa kukengeuka upesi kiasi hicho umeanza kiroho Sasa unamalizia kimwili uzoefu wa kuongea usikuponze umeshapoteza tangu ulipoomba kusapotiwa kuzindua albam
@AnnaMwanandenje
@AnnaMwanandenje 4 ай бұрын
Mininacho kiona anataka kumleta dbiamond kwenye ukristo hiyo ni missin kubwa mtasema mengi mwisho mtashangaa
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t 4 ай бұрын
Mapepo yamekutana mungu tunamjua wote unacho fanya hapo Kristina unamsaidia kazi shetani acha upuuuuiiz
@MarthamichaelMarth
@MarthamichaelMarth 4 ай бұрын
Unaomba wazir mkuu kumchezea mungu unautani na kumsifu mung we dada
@RoseMkupala-xw7jo
@RoseMkupala-xw7jo 4 ай бұрын
Tubuni na kuiamini injili, MUNGU hazihakiwi,, hayo mambo mnayofanya kwenye nchi hii,mtakuja kujibu mbele MUNGU
@user-tv3ox1bd9t
@user-tv3ox1bd9t 4 ай бұрын
Nguo ye nyewe mfano wa nyoka,tulio katika roho tunawaelewa hatuitaji kuambiwa,mulianza rohoni mwamalizia mwilini,yesu yu mlangoni
@user-hb7mq8lg9e
@user-hb7mq8lg9e 3 ай бұрын
Sema Hu Mshangaz Shusho Nauelewaga..😍😍😍
@hyacintagugu7
@hyacintagugu7 3 ай бұрын
Hahahaha
@Annemuema-og9oj
@Annemuema-og9oj 4 ай бұрын
Don't judge people are you God.the same God created nasibu na shusho anawajua vyema kutuliko.barikiweni sana diamond na christina
@wilsonotieno8821
@wilsonotieno8821 2 ай бұрын
Hakuna haja ya kuwanyoshea vidole na kuwatenga ndugu zetu katika kristo(God's ministers). Ibilisi amelivamia kanisa kwa hivyo ni jukumu letu KUOMBEANA mungu pekee anaweza kutupigania
@lovintaadhiambo4534
@lovintaadhiambo4534 4 ай бұрын
Shusho hizo Pete ni za Nini?kwani umeingia chama ama? you are heading to the wrong direction,you started well but...watu SI wajinga
@EstherTeila1312
@EstherTeila1312 4 ай бұрын
Kwan mbona hamuulizi na hzo hellen ni za nn, ila watu we amini tu kuwa ni urembo, hayo mengine Mungu ndo anaju, tuombeane tu, mana hakuna aliye mkamilifu
@lucyanekeya4912
@lucyanekeya4912 9 күн бұрын
@@EstherTeila1312hellen ni nini?
@millekasinga9825
@millekasinga9825 4 ай бұрын
Ukweli wa Christina anaujua Mungu tupunguze kumjudge huyu dada maana macho yetu yana ukomo
@coj7920
@coj7920 4 ай бұрын
Biblia imetuonya tusiwe uvuguvugu, si baridi wala moto. The same bible says chagua hivi leo ni bwana yupi utamtumikia. Jitafakari dada Christina!!
@Obujjulizi
@Obujjulizi 3 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢 Christina alishapelekwaa jamani 😢😢😢😢😢😢😢😢😢 kwa sababu ya Pesa tuu akiweee 😢😢😢😢😢
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 4 ай бұрын
SHUSHU YULE ALIE IMBA UNIKUMBUKE, SIO HUYU.
@lilliannabuduwa9168
@lilliannabuduwa9168 3 ай бұрын
Niukweli, wako tafauti saana.
@amoskariuki2881
@amoskariuki2881 4 ай бұрын
Christina dada yangu mrudie mungu , umepotoka, ulianza Kwa roho Bali ulimalizia Kwa mwili
@peacelive3420
@peacelive3420 4 ай бұрын
All of us are here criticizing , but tukumbuke we have to be on our knees praying, and we have to go out to speak of Christ! To spread the gospel!
@user-nz4ff6dq4t
@user-nz4ff6dq4t 4 ай бұрын
Kupenda pessa san sn sio vizuri hona kwasababu ya pessa amemwasha Mungu 😢😢
@cathbetsolomon3151
@cathbetsolomon3151 4 ай бұрын
Kabsaa kakaa😢
@danillarugusha1408
@danillarugusha1408 4 ай бұрын
Kweli kabisa daaa
@PaulinaLwena
@PaulinaLwena 4 ай бұрын
Usihukumu ww cyo Mungu ila Mungu ni wa wote❤❤❤❤
@Alina-yh5lc
@Alina-yh5lc 3 ай бұрын
MUNGU HAJACHANGANYIKIWA KAA YENYE NAONA HAPA HATA NAWE NI KIPOFU KAMA HAO
@sheelawaringa1435
@sheelawaringa1435 4 ай бұрын
Kuna mtu aliniabia hatupendi Mungu tunapenda vitu vyake ,I agree.
@Josephatmokomba-us7eb
@Josephatmokomba-us7eb 3 ай бұрын
AMEN you are right about that pr.
@OnesmoEmmanuel-xr2rf
@OnesmoEmmanuel-xr2rf 4 ай бұрын
Uzuri MUNGU anaangalia mwisho cristina sasaivi unako elekea sasaivi
@margarethshirima5654
@margarethshirima5654 4 ай бұрын
Mpenzi wetu Christina chunga sana, Mungu kampa kila mtu Néema tofauti, Watu kama nasibu Mungu anaweza kuwapa Néema hata dk za mwisho, wewe Christina najua kweli ila kwa ridhaa yako umechagua giza. Nakupenda, na nakuambia kweli,. Wakati tunaendelea kukuombea, jitafakari Mungu atusaidie tuwe na mwisho mwema. Usije shangaa ukamkuta nasibu amelala kwenye ubavu wa Ibrahim na wewe unamwktisha maji kama lazaro na tajiri. Siku nasibu akiujua kweli, utashamshangaa Mungu. Karibu kwa Yesu Nasibu. I know kuna siku tu. Mungu anayaweza yote🙏napita tu jamani🏃tena napita mbio🏃🏃
@user-ig1ds2eq4d
@user-ig1ds2eq4d 3 ай бұрын
We praise people more than God its a pitty that we Look upon men than God May God have mercy on us❤
@user-gw3pg3lo6z
@user-gw3pg3lo6z 4 ай бұрын
Mimi Naomba Mungu Asikuwe Anapatiya Wanawake Pesa n'a Kazi za mishala Kubwa Maombi Yangu Mungu Apatie Wanawake, Kazi ya Kuuza Nyanya Kusudi Wabaki Waaminifu kwa Ndoa Zao
@helena8274
@helena8274 4 ай бұрын
Nilipenda sana huyu dada. Lakini sasa ninahuzuni sana. Please turudi vile tulikuwa zamani, tumuogope Mungu sana sana 😢
@MaryVick210
@MaryVick210 4 ай бұрын
Compare diamond hapa na ile wimbo yake ya tetema
@user-pj2kc5rl9c
@user-pj2kc5rl9c 3 ай бұрын
Mbona hakuna. Sauti naona mama yetu shusho na Diamond but hakuna sauti 😢😢😢😢 but Sea the presents off GoD
@selinamrikaria6143
@selinamrikaria6143 4 ай бұрын
Dada ludi magotini, huna nguvu za rohoni sasa hvi!. Giza na nuru havichangamani dada. Rudi magotini.
@hadassahEmmanuel
@hadassahEmmanuel 4 ай бұрын
we mwenyewe ungekuwa na hizo nguvu ungetenda kazi ya Mungu sio kukaa kuhukumu watu, angalia unaowahukumu wasije wakatangulia mbinguni wewe ukaachwa nyuma.
@PaulineBunde
@PaulineBunde 4 ай бұрын
Very true shusho alipotea njia coz hata Kwa mavasi anayo vaa sio inapendeza mungu inapendeza walimwengu
@arbogastmramba5987
@arbogastmramba5987 4 ай бұрын
Isaya 57:1 [1]Mwenye haki hupotea, wala hakuna atiaye hayo moyoni; na watu watauwa huondolewa, wala hakuna afikiriye ya kuwa mwenye haki ameondolewa asipatikane na mabaya.
@FloraMwaikenda
@FloraMwaikenda 4 ай бұрын
Yeye ni Mungu wa wote wenye mwili,na kwake kila goti litapigwa hata la huyo Dimond linapaswa kupigwa kwake,na kila ulimi utaapa,hata ulimi wa Dimond utapigwa kwake
@neemakawogo5479
@neemakawogo5479 4 ай бұрын
Hilo andiko halimaanishi wakati huu mpendwa ni habar wakat wa mwisho
@sirpleasureb
@sirpleasureb 4 ай бұрын
wewe ni kipofu. soma 1 wakorintho 15:33 Mtu asiwadanga nye, “Ushirika na watu wabaya huharibu tabia njema.2 wakorintho 6:14 Msiambatane pamoja na watu wasioamini. Kwa maana kuna uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna ushirika gani kati ya nuru na giza? 15 Kuna kuelewana gani kati ya Kristo na shetani? Mwamini ana uhusiano gani na asiyeamini?
@fredkongonelo6850
@fredkongonelo6850 4 ай бұрын
Sasa mbaya Nan Ina kila mtu na kaz yake
@fredkongonelo6850
@fredkongonelo6850 4 ай бұрын
Diamond platnumz kisa anafany bongo fleva ndo umuhukumu ,, zote ni kaz bro iman kila mtu na Iman yake , sisi site ni binadamu dini zusisababishe matabaka Bak na Iman yako broo...
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
LUKUVI NGORONGORO  AUSEMA UJUMBE ALIOAGIZWA NA RAIS SAMIA
5:54
Mwananchi Digital
Рет қаралды 9 М.
USHUHUDA | Jinsi Vijana Hawa Walivyofanikiwa |  Rev. Dr. Eliona Kimaro
38:45
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 207 М.