No video

CHEREHANI YA SEMI AUTOMATIC, HII NDIO CHEREANI BORA KWA KAZI ZA UFUNDI NGUO NYUMBANI NA VIWANDANI

  Рет қаралды 13,338

SakapallaTV

SakapallaTV

Күн бұрын

CHEREHANI HII INAUWEZO MKUBWA WA KUSHONA NGUO NGUMU NA NYEPESI

Пікірлер: 47
@d.m.t4932
@d.m.t4932 2 жыл бұрын
Umejitahidi kuelezea vyema ila nakushaur uboreshe kila idara hasa MAELEZO UWE NA NA PICHA BORA PIA💪 KEEP IT UP✊
@SimaiyaJames
@SimaiyaJames Ай бұрын
Bei gani!
@NakaniwaRichard
@NakaniwaRichard 28 күн бұрын
Ni Bei gani
@sakapallaTV
@sakapallaTV 26 күн бұрын
1.2 million
@Misigaro8246
@Misigaro8246 4 ай бұрын
Bei gan hiyo
@sakapallaTV
@sakapallaTV 4 ай бұрын
1,200,000 used
@sakapallaTV
@sakapallaTV 2 жыл бұрын
Karibuni Mtoni Kijichi, nyumba # 148
@juliethgodwin9570
@juliethgodwin9570 2 жыл бұрын
Asanteni sana ila tayari nashona nilikuwa nataka ya kununua ila bas kama haziuzwi
@sakapallaTV
@sakapallaTV 2 жыл бұрын
@@juliethgodwin9570 dukani ni 1.2 m
@user-it7lh4jg5r
@user-it7lh4jg5r 7 ай бұрын
Bei gn
@japhetngagile2205
@japhetngagile2205 2 жыл бұрын
Bei gani
@aminaamina9568
@aminaamina9568 Жыл бұрын
Naitahi kujifunza pia
@elizabethdaudi2262
@elizabethdaudi2262 2 жыл бұрын
Bei ngani
@EsterShirima-vr7cv
@EsterShirima-vr7cv 5 ай бұрын
Tunahitaji za kununua
@sakapallaTV
@sakapallaTV 5 ай бұрын
chukua namba zetu tuwasiliane 0755912838
@EnthusiasticHammerheadSh-to1rt
@EnthusiasticHammerheadSh-to1rt 2 ай бұрын
Ukihitaji juita zinauzwa bei gani?
@AkisaBeyanga
@AkisaBeyanga 2 ай бұрын
Habali cherehani hii inauzwa bei gani?
@aminaamina9568
@aminaamina9568 Жыл бұрын
Naomba mnisaidie bei ya cheleani ya kushona na yakudarizi please
@lizzybahati3739
@lizzybahati3739 2 жыл бұрын
Kwa wale wanaotoka mkoani je huduma za kulala zipo
@erickmkapa1560
@erickmkapa1560 2 жыл бұрын
vp bei yake ni sh ngapi
@latifakasicha9803
@latifakasicha9803 Жыл бұрын
naomba msaada mjamzito anaweza kutumia hizi kwamda kweli
@sakapallaTV
@sakapallaTV Жыл бұрын
ndio azina shida mana hato tumia nguvu kuiendesha
@superangeltv4615
@superangeltv4615 Жыл бұрын
Mbona umepaka rangi wakati ww ni wakike sikuelewi chufu
@zahraiddi1598
@zahraiddi1598 2 жыл бұрын
Inauzwa sh ngapi?
@queensiahclassicpoint1485
@queensiahclassicpoint1485 Жыл бұрын
Used hamna
@sakapallaTV
@sakapallaTV Жыл бұрын
ukitafuta uwezi kukosa
@queensiahclassicpoint1485
@queensiahclassicpoint1485 Жыл бұрын
Hiyo ni used qu mbona naona imechubuka
@sabrinajuma3253
@sabrinajuma3253 2 жыл бұрын
Wengine tuna taman sana kujua kushona sema wazazi wetu hawakua na uwezo wakutusomesha hata darasa moja 😭😭😭 kaka kam unaweza nifundisha mm nije namm maana nahisi wanao jua kushona walio soma
@sakapallaTV
@sakapallaTV 2 жыл бұрын
ooohh ple sana, ila hapa atuongelei elimu ya darasani na sio lazima uwe umesoma ndio ujue kitu apana ni juudi na bidii utakayo kuwa nayo kwenye kufatilia unacho kiitaji, kama kweli unataka kujifunza chukua namba zetu hapo tuwasiliane na karibusana sakapala tujifunze kwa pamoja.
@lilianadam1279
@lilianadam1279 Жыл бұрын
sh?
@gaudensiadaudi9502
@gaudensiadaudi9502 Жыл бұрын
Shingapi inauzwa
@sakapallaTV
@sakapallaTV Жыл бұрын
1.2 milion
@gaudensiadaudi9502
@gaudensiadaudi9502 Жыл бұрын
@@sakapallaTV je nikitaka kujifunza shingapi ad kwamwezi
@gaudensiadaudi9502
@gaudensiadaudi9502 Жыл бұрын
Mi najua kushinda kidogo ila nahitaji kujfunz zaidi Yani ushonaji wa kisasa
@gaudensiadaudi9502
@gaudensiadaudi9502 Жыл бұрын
Munijibu sasa
@sakapallaTV
@sakapallaTV Жыл бұрын
@@gaudensiadaudi9502 karibu kituo chetu kipo mtoni kijichi dar es salaam
@ramadhanikiluwa5363
@ramadhanikiluwa5363 2 жыл бұрын
Nikitaka kujifunza ada ni shingap
@sakapallaTV
@sakapallaTV 2 жыл бұрын
tsh 50,000 kwa mwezi
@queensiahclassicpoint1485
@queensiahclassicpoint1485 Жыл бұрын
Nkitak ya kununua bei gan
@queensiahclassicpoint1485
@queensiahclassicpoint1485 Жыл бұрын
Mashine tam
@jilalamaligisa6298
@jilalamaligisa6298 Жыл бұрын
Ukifuatilia video za Watanzania za maelekezo ya jambo kama hivi kisha ukaangalia za watu wa nchi nyingine kuna jambo utagundua, utagundua kuwa Mtanzania anafanya jambo pasipo ujuzi au labda maandalizi ya kutosha, huwezi kuwaelezea watu mtandaoni kuhusu cherehani kama hivyo halafu eti baadhi ya sehemu huzijui majina, unampa taabu mtazamaji sababu sehemu fulani ikiharibika akaenda dukani atajielezaje na hujamwambia jina lake? Kwa nini uende hewani pasipo maandalizi ya kutosha? Watanzania tujitahidi kuwa serious tunaboa sana asee.
@pastorlucytz
@pastorlucytz 10 ай бұрын
Naomba namba ya mawasiliano tafadhali
@queensiahclassicpoint1485
@queensiahclassicpoint1485 Жыл бұрын
Na inauzwj taja bei tqfadhql
@mirrynyambura7968
@mirrynyambura7968 Жыл бұрын
Kusomea pesa gapi
@juliethgodwin9570
@juliethgodwin9570 2 жыл бұрын
Bei gani?
@sakapallaTV
@sakapallaTV 2 жыл бұрын
Haziuzwi. Ila wasiliana na sisi ukiwa unataka kujifunza kushona. Tupo Mtoni Kijichi, nyumbani # 148
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 65 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 38 МЛН
HAPA NDIPO WATANZANIA WENGI HUNUNUA NGUO NA KULETA TZ.
6:10
Millard Ayo
Рет қаралды 364 М.
UTAPENDA MAPOKEZI YA MTOTO WA  HAMISA NYUMBANI KWA DIAMONDPLATNUMZ
9:10
IFAHAMU CHEREANI YA SINGER SIMPLE NA JINSI INAVYOFANYA KAZI
11:34
Njia rahisi ya Kuitambua Siku ya Kubeba mimba
13:03
Topten Tv
Рет қаралды 3,1 МЛН
UGUMU WA CHEREANI UKIWA MWANAFUNZI, UKO HAPA
9:25
SakapallaTV
Рет қаралды 6 М.