HAPA NDIPO WATANZANIA WENGI HUNUNUA NGUO NA KULETA TZ.

  Рет қаралды 363,820

Millard Ayo

Millard Ayo

5 жыл бұрын

Kutoka Guangzhou China AyoTV, millardayo.com inatuonesha soko maarufu la nguo ambalo huwakutanisha Waafrika kufanya mahemezi ya nguo na kupeleka Afrika ikiwemo Tanzania.

Пікірлер: 278
@sonymusa5333
@sonymusa5333 5 жыл бұрын
Safi sana hongera kwa kazi nzur. Wengine huku wamebaki kutangaza umbea tu hawana hata vya kuhamashisha
@cleverboy3812
@cleverboy3812 5 жыл бұрын
Millard upo juuuuuu!! Utabaki kileleni!!! Love u so much.... Nimependa saaaana... Big up Ayo TV
@masachihorticultureunitcol711
@masachihorticultureunitcol711 5 жыл бұрын
Hizi ndio mambo watu wanahitaji. Sio masuala sijui ya akina hamisa, zari na uwoya. Mambo ya udaku
@amankileo8977
@amankileo8977 5 жыл бұрын
Wanao kubali
@mohammedmkomi9087
@mohammedmkomi9087 5 жыл бұрын
Kama umemuona mchina anamwambia huyo jamaa apunguze
@ramadhanmohamed7668
@ramadhanmohamed7668 5 жыл бұрын
Kuna baaz ya watz wenye roho yakwann walikua wanalificha ili chimbo walikua awataki wabongo wengine walijue chimbo ili. Milad ayo umefichua chimbo. sasa kila mtz anajua kz kwetu kuchangamkia fulsa hii. Milad ayo uko ju.. Mungu akuweke 1000
@fusotanzania8174
@fusotanzania8174 5 жыл бұрын
Millard utabak kuwa juu juu juu mawinguniii
@sadafrancis8309
@sadafrancis8309 4 жыл бұрын
One of ma dream is going to China for business purposes and this information given out by Millard ayo online media is very awesome to me....and this is da best information to be given out for da people not musicians and artists life
@issackjacobo4535
@issackjacobo4535 5 жыл бұрын
Kama unamkubali MILLARD AYO gonga like mtuwangu wanguvu damdam milele.
@safisimkoko1932
@safisimkoko1932 Жыл бұрын
Millard ayo kaka upovizur hiii nimeipenda japo kastor kamekuwepo kafupi Yan katiya watu wanaotafuta chansi ya kwenda inje naminipo Eemwenyezi MUNGU nakuomba unisaidie daimaaa
@iamthefarmerceo2316
@iamthefarmerceo2316 5 жыл бұрын
Now umeivaa dogo big up sanaaa Yani wenge loteee tupaaa kuleee
@saidiissa8729
@saidiissa8729 5 жыл бұрын
Sura za wananchi wenyefuraha utazijua tu umeona mchina anacheka kwa tabasamu nzuri sanaa sasa njoo huku kwetu na upishane na mtu kariakoo dah
@fababindawood8363
@fababindawood8363 5 жыл бұрын
Namuona namuona swahiba wngu Said 🔥🔥🔥alikuwa mpambanaj k.koo
@godblessjrtz.8652
@godblessjrtz.8652 4 жыл бұрын
Waulize silent ocean wanampango gani wa kufungua duka kama hilo Tanzania ili wawe wanauzia na nchi jirani?
@muzneali5111
@muzneali5111 5 жыл бұрын
Jamal Mmoja : Itazame hii video vizuri kuna gari moja la silent ocean limeonyeshwa na ubavuni mwa gari Hilo kuna namba za cmu nafikiri nitakuwa nimekusaidia kidogo
@sharifabdul6085
@sharifabdul6085 5 жыл бұрын
Mtangazaji upo vizuri mno,nadhani ulistahiki haswa kuitangaza tz nje,kaza kamba
@breymbasa3451
@breymbasa3451 5 жыл бұрын
Dah Kama najiona hapo ndani ya miaka mi4 ijayo🙏
@mohamedkikale7241
@mohamedkikale7241 4 жыл бұрын
Kweli ukifanya kazi inayowanufaisha watu wewe hunufaika zaid, Allah akujaalie kheri na baraka tele kwenye kazi zako za kila siku.
@samtelah7578
@samtelah7578 5 жыл бұрын
Aisee mmenifungua macho sana me mwakan naanza kwenda china kumbe ni rahis hiv nljua kuna complication kibao
@ibrahimsheha215
@ibrahimsheha215 5 жыл бұрын
Nomegunduwa kitu ikiwa ujuwi Luga aijalishi utaenda chaina
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 3,7 М.
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 32 МЛН
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,2 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 36 МЛН
Usiyoyajua Kuhusu Biashara Ya Nguo za Mitumba
7:32
Frales Diana
Рет қаралды 1,2 М.
TUMEONYESHWA KILA HATUA, WANAVYOTUMA MIZIGO CHINA- TANZANIA
8:36
Millard Ayo
Рет қаралды 103 М.
Siri (8) za Kufanikiwa Kiuchumi Na Reginald Mengi
11:32
Pesa360
Рет қаралды 66 М.
WATANZANIA WANAZIDI KUZIPAMBANIA FURSA WAKIWA CHINA
17:01
Millard Ayo
Рет қаралды 50 М.
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 32 МЛН