No video

CHOZI | EP 1 |

  Рет қаралды 52,697

KIM VEVO

KIM VEVO

Күн бұрын

Пікірлер: 152
@LawcoTv
@LawcoTv 3 ай бұрын
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Nafwatilia. Kenyan wekeni likes👍👍👍mkisonga.
@ShawalTitus
@ShawalTitus 3 ай бұрын
Si kupenda kwa mtu kuwa kipofu wala kilama 😢😢ni maumbile ya mungu zote ni binadamu tupendane ndugu zangu ❤❤🙏🙏 like ukipita❤❤❤❤
@SirJustuskimKimeu_254
@SirJustuskimKimeu_254 3 ай бұрын
Wapi likes Za wakenya.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 3 ай бұрын
Wallah wabillah watallah! UPOFU NI MTIHANI MGUMU SANA. imagine hauwaoni wazazi wako unawasikia tu, hauwaoni marafiki zako unawasikia tu. Unasikia kuna film mpya imetoka, kuna mtu kapendeza, unataka kwenda sehemu 😢 Tuseme ukweli nani ambaye yuko hapa anatamani kuoa au kuolewa na KIPOFU?... kila mtu anatafuta mke/mume mwenye sifa nzuri nzuri hataki taabu. Je, siku ukawa kipofu unategemea utapata FURAHA SAHIHU katika maisha yako?... TUFANYENI IBADA KWA SANA.... tukimkosea Mungu tumuombe msamaha haraka na kurejea katika amri zake. Maana maisha ya KABURINI ni zaidi ya UPOFU...😢 Tamthilia nzuri, Ujumbe Mzuri ❤ pongezi kwako KIM VEVO na director wa Tmthia hii, cameraman, washiliki n.k
@user-cu9bd6pr4i
@user-cu9bd6pr4i 2 ай бұрын
Mungu atuondolee mitihani katika maisha yetu❤
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 2 ай бұрын
@@user-cu9bd6pr4i Aammiy yarabil aammiyn 🤲
@HhosnaRashid
@HhosnaRashid 2 ай бұрын
amiini kaka ni kabisa ata ujakosea
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 2 ай бұрын
@@HhosnaRashid shukran kwakuliona hilo
@user-ji6cp1ng8g
@user-ji6cp1ng8g 3 ай бұрын
Ukizaliwa kipofu mtihani ujuh dunia ipo vpi binadamu tuko vipi wanyama nk allah wajalie waja hawa wamekosa mwanga wa dunia wapate mwanga wa akhera ishaalaah amin
@Zenabeby
@Zenabeby 2 ай бұрын
Amini 🙏🤲
@Vevogangtx
@Vevogangtx 3 ай бұрын
Moto juu ya moto kazi nzuri
@user-hm6hy6rr1h
@user-hm6hy6rr1h 3 ай бұрын
Hongeren san mpew mau yen jaman 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
@AmosSikuzani-mq7gb
@AmosSikuzani-mq7gb 3 ай бұрын
Kaz nzur San Kim kuja n story love🎉
@FlorenceZALUKE
@FlorenceZALUKE 3 ай бұрын
Nakupenda san dada Kim kwa kazi nzuri ulio tupatiya 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@MariamuIjumaa
@MariamuIjumaa 3 ай бұрын
Kazi nzuri saan kim vevo piga kazi mama ❤❤❤❤❤
@user-mi8lu8jn1x
@user-mi8lu8jn1x 3 ай бұрын
Nakupenda sana Kim kazi nzuri sana ❤from Kenya 🇰🇪
@user-mi8lu8jn1x
@user-mi8lu8jn1x 2 ай бұрын
Pamoja
@mayaashassan3918
@mayaashassan3918 3 ай бұрын
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@aishaomar2287
@aishaomar2287 3 ай бұрын
Mashallah, Mashallah, Mashallah...kazi nzuri dada kim na team yako,Mbwela umwenye mafunzo daima katika jamii,Mola Awazidishie kipaji zaidi nyote
@saquinaalisufo7666
@saquinaalisufo7666 3 ай бұрын
Kim nakupenda sana ❤️❤️❤️❤️from mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@user-ez9jz1kp5q
@user-ez9jz1kp5q 2 ай бұрын
Moçambicanos nos encontramos em. Tz
@FidelAugustomachalamalaMachala
@FidelAugustomachalamalaMachala 3 ай бұрын
Kaza dada yangu Kim kazi suli from Mozambique
@user-om1ts9xm2v
@user-om1ts9xm2v 3 ай бұрын
Kazi nzuri sana🎉
@DishaniDisha-zm2gm
@DishaniDisha-zm2gm 3 ай бұрын
Kazinzuri sana 👍 👍 👍
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 3 ай бұрын
Mashaallah kazi nzur sana kim❤❤❤
@mutundaaugustinaugustinmut8914
@mutundaaugustinaugustinmut8914 3 ай бұрын
Wapi likes yawa Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@enosokwaro14
@enosokwaro14 3 ай бұрын
Hongera Kwa kazi nzuri🎉🎉🎉🎉
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 3 ай бұрын
Mwanammke ni mama, mwanammke ni shangazi, ni mamkubwa ni mamdogo ni dada na ajulikani ataka nn😂😂😂😂
@ZawadiSamuel
@ZawadiSamuel 3 ай бұрын
Wakwanza ndo mimi hapa 🇰🇼🇰🇼🇰🇼🇰🇼🇰🇼🇰🇼 twawapenda sana tu
@MkasyswallehsaidSwalleh
@MkasyswallehsaidSwalleh 3 ай бұрын
Kz nzr jmni much love from saudi Arabia
@dosaathman2176
@dosaathman2176 3 ай бұрын
Following from Mombasa Kenya
@muhtalent1240
@muhtalent1240 3 ай бұрын
Chozi nii 🔥🔥🔥🔥 iyo sound track 🙌🙌🙌
@hashimvilla7089
@hashimvilla7089 3 ай бұрын
Kaz safi sana
@luckylucky7153
@luckylucky7153 3 ай бұрын
Hamjawai kufeli nyie mko vizuri sana
@ibrahimmrisho8554
@ibrahimmrisho8554 2 ай бұрын
Huyo dada alie cheza nafasi ya kipofu ni good atast nimemuelewa kabisa big up kwake.❤❤
@fatmaame-jt4mo
@fatmaame-jt4mo 3 ай бұрын
Uko vizur dada Kim jitahid bc umpite clam nakukubali sana mwaaaaaaaaaa busu lako ilooooo dada likufike mpako kunakooo
@paulinekombe3753
@paulinekombe3753 2 ай бұрын
Kazi nzuri dada kim hongera 🎉🎉🎉 mungu akuzidishie kipaji🙏🏼
@HappinessJohn-vw8hk
@HappinessJohn-vw8hk 3 ай бұрын
Mwendelezo basi tunaomba
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 Ай бұрын
Clam vevo gang mnajuwa sana❤❤❤🎉🎉🎉
@wanasisi7709
@wanasisi7709 3 ай бұрын
21min apa sawa c zile za 15min nimependa ❤❤❤❤❤
@Roze-so4he
@Roze-so4he 3 ай бұрын
Kazi nzuri
@GeofreyKabanga
@GeofreyKabanga 3 ай бұрын
Nawakubali saana kwa kazi zenith hua amzimalizi japo n nzuri mfano hii natamani kuanza kuiona ila najua mtaniacha njiani jmn fanyeni kweli basi mbona ivyo lakini?
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 3 ай бұрын
Wao kim❤❤❤❤❤
@cosmasfikiri
@cosmasfikiri 2 ай бұрын
Moto ju ya moto kazi nzr
@marywairimu5682
@marywairimu5682 3 ай бұрын
Msiombe like tu...let's like and share and dont forget to subscribe guy ..I am representing team Gulf saudia 🇸🇦
@MayaOuthman-bd8bg
@MayaOuthman-bd8bg 3 ай бұрын
❤❤❤❤ Fomu Burundi nimechelewa sana naomba link 10 tu
@Joramkatana
@Joramkatana 3 ай бұрын
❤❤❤from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@GHgh-hq3zj
@GHgh-hq3zj 3 ай бұрын
Safi sana ❤❤❤
@NyagangaKibwe
@NyagangaKibwe 3 ай бұрын
Nimeipenda mungu awabariki mfike mbari
@salmahoperi9783
@salmahoperi9783 3 ай бұрын
KAZI nzuri sana
@everlinekenga437
@everlinekenga437 3 ай бұрын
Nawapenda bure wahusika ❤❤❤
@user-fh5ko7he2z
@user-fh5ko7he2z 3 ай бұрын
Kazi nzuri sana hongereni 🎉🎉🎉🎉❤
@MoTalentTz
@MoTalentTz 3 ай бұрын
Kim umeuwa humu bonge moja la move
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 3 ай бұрын
Bi migomba 🎉🎉🎉🎉🎉
@selmezahor4696
@selmezahor4696 3 ай бұрын
Safi sana ila musitucherewee maana tunachungulia kila mda,
@user-bi9pl4eu2o
@user-bi9pl4eu2o 3 ай бұрын
Kazi bro mbwela keep it up
@shadyarif653
@shadyarif653 3 ай бұрын
Sote tutarudi kwenye mchanga,sore udogo😢
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 3 ай бұрын
Big kaka auna kazi mbovu hata yakubaatisha
@wolfkidnetprenuerzone6846
@wolfkidnetprenuerzone6846 3 ай бұрын
Sipendi Sandra anavyo lia.
@user-on7in9tz6e
@user-on7in9tz6e 3 ай бұрын
Nice one
@Mnyaturu980
@Mnyaturu980 3 ай бұрын
Move nzuri imenifanya na mm kutoa chozi dada kipofu umecheza vizuri na udhuni pia
@HhosnaRashid
@HhosnaRashid 2 ай бұрын
ongereni kazi mnzuri
@mchinaVEVO1
@mchinaVEVO1 3 ай бұрын
Tumeipokea vzr
@JigoSengiyumva-ln9xf
@JigoSengiyumva-ln9xf 3 ай бұрын
Napenda movie zenu kutoka burundi🇧🇮 ila ep zisikaw
@manaxelukama2926
@manaxelukama2926 3 ай бұрын
Kim vevo napenda xaan kazi yako km bdo hujaolewa lukama is loading
@elijahkadoma9465
@elijahkadoma9465 3 ай бұрын
From Kenya 🇰🇪
@salimkombora2742
@salimkombora2742 3 ай бұрын
Safi sana
@Kabeya410
@Kabeya410 3 ай бұрын
Safi mnawahi kutoa kitu baada kitu ila NAWAPA USHAURI PAMOJA NA KUFANYA MOVIE MZINGATIE AFYA HAPO UNAMSUKA MTU UNAWEKA KIKOMBE CHA MAJI HAPO PEMBENI UJUE NYWELE ZINAKATIKA BILA WEWE KUJUA NA NI NYEPESI KUPEPERUKIA NDANI YA KIOKOMBE HICHO CHA MAJI NI USHAURI TU KWA AFYA YENU
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 3 ай бұрын
Uliskia nani kama kisa kanywa nywele 😂
@Kabeya410
@Kabeya410 3 ай бұрын
@@chunaabdullah1333 unywele ni mdogo saana kwa hiyo lazima uwe na tahadhari sasa we unaleta kejeli kwenye ukweli kwa taarifa yako ndo maana wapishi na wahudumu kwenye migahawa na hotelini huvaa kofia kufunika nywele ili zisiingie kwenye chakula ule siyo urembo ni Afya
@LoiceKatana-ci1tx
@LoiceKatana-ci1tx 2 ай бұрын
Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉❤
@IucyMathole
@IucyMathole 2 ай бұрын
Kazi nzur xaan
@eliphasethobias1133
@eliphasethobias1133 3 ай бұрын
Chukueni 🎉🎉🎉yenu ❤❤❤ Kim popote undapo na mm Niko nyuma Yako maana napenda unavyoigiza ila movie inasikitisha😢😢😢😢
@bintymwinyi580
@bintymwinyi580 3 ай бұрын
Kazi nzuri maa sha Allaah ❤
@sofiakinyia2734
@sofiakinyia2734 3 ай бұрын
Fro🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦
@user-ck7fi3bh3i
@user-ck7fi3bh3i 3 ай бұрын
Hili jamaa jeus nililiona tuu lilivokuwa linammezea mate kipofu wa watuu nyoko zakee🤣
@Movieafricatrend
@Movieafricatrend 3 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@Kib-jsanley
@Kib-jsanley 2 ай бұрын
Kim kitu usicho kifuwa uwa ukionesha tapasamu uki cheka tu mimi kwenye Niko nakufa na kuku like kwa moyo❤
@MR_RAMSABOYTZ
@MR_RAMSABOYTZ 2 ай бұрын
nakukubali sana Kim vevo
@official.alainpatrick
@official.alainpatrick 3 ай бұрын
Wow sikuwa najuwa kama kim amefikia huku❤❤❤❤
@nicholausmwinuka7640
@nicholausmwinuka7640 3 ай бұрын
Kwa uma kaka ukiipata story nzuri kama ya msako na zingine tunaomba muvie uiretushe msako sio ya kukupa pesa kidogo hivooo
@user-vz7pk7gr2s
@user-vz7pk7gr2s 3 ай бұрын
Daaaah inahuzunishaa sana japo kua nifilam lakn huyo dad kipofu musimfanyie hivo 😤😤
@Zeldaommy
@Zeldaommy 3 ай бұрын
Kazi nzur sana mumenifanya ninalia jamani store tamu ya kusisimuwa
@Mwandola1
@Mwandola1 3 ай бұрын
💚 🔥 nice like me
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 2 ай бұрын
Jamani katika hii dunia kuna watu wana roho mbaya nyie kipofu ana haki na kilema pia mbona hivyo tena 😢😢😢
@user-sl1ux5sj8j
@user-sl1ux5sj8j 3 ай бұрын
Sanaaaaa kim na jopo lakooo
@ViolineOnsomu
@ViolineOnsomu 3 ай бұрын
Salam kwa bwela wangu
@user-vd3dp3gu9z
@user-vd3dp3gu9z 3 ай бұрын
Vizuri ndugu ndugu from Burundi 🇧🇮
@SixtusSperatus
@SixtusSperatus 2 ай бұрын
Ninacho ona wame amua kutu changanya mashabiki na movies Kali na za kuthisimua Yani uku Kim,clam,mkojan,chado,nawa kubali sana
@josue994
@josue994 3 ай бұрын
🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@user-lo9kv9vv3n
@user-lo9kv9vv3n 3 ай бұрын
Mbona kulizana tena jmn😢😢😢
@ChimumyClassic-xq7dk
@ChimumyClassic-xq7dk 3 ай бұрын
Nice job❤❤
@mulumbademulu7028
@mulumbademulu7028 3 ай бұрын
❤❤❤❤
@omarbosiomar8608
@omarbosiomar8608 3 ай бұрын
much love
@DaudidizoniWatanga-wh1kz
@DaudidizoniWatanga-wh1kz 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@gastonmulondani8900
@gastonmulondani8900 3 ай бұрын
Kim nakukubali kbs, inawezekana ww ni shabiki wa yanga kbs siyo kwa akili izo.
@happneswiliam1499
@happneswiliam1499 3 ай бұрын
Filam ikiwa na watu wengi ladha inapotea
@samyabahatialhiani401
@samyabahatialhiani401 3 ай бұрын
😢😢😢mjomba unafanya nini mjomba nakucukiya 😢🇧🇮
@ThamimaRajabu-bs2nd
@ThamimaRajabu-bs2nd 3 ай бұрын
❤❤❤
@everdhekay4924
@everdhekay4924 3 ай бұрын
Mjomba nawe 😢
@user-sv1ej8do8u
@user-sv1ej8do8u 3 ай бұрын
Na mm naombeni Leo like sawa
@user-mw3kn6zg1f
@user-mw3kn6zg1f 2 ай бұрын
kutoka Congo gonga lake apo zawa congo
@FaqueUlaite
@FaqueUlaite 3 ай бұрын
Kimu usisheleweshe mambo napatikana kutoka nsumbigi mocimboa da praia
@SimeonKitambala-qd5qn
@SimeonKitambala-qd5qn 3 ай бұрын
Asanteni muende leye vema
@LeonardPeter-yv1xb
@LeonardPeter-yv1xb 3 ай бұрын
Yeah
@Sallher96
@Sallher96 3 ай бұрын
Nmekua wa 1 leo
@Rachide-g6h
@Rachide-g6h 2 ай бұрын
Kim naombeni likes Zango kutokea nsumbigi Cabo delgado(macomia)🎉❤
@Mumy564
@Mumy564 3 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉
@PijeyWilliam
@PijeyWilliam 3 ай бұрын
Bonge la siliz alafu izo nyimbo machoz mmnanogesha San movie
@moneymiss-lf9je
@moneymiss-lf9je 3 ай бұрын
Series sio siloz watanzania bana😂😂
@user-rd6nr4qq3s
@user-rd6nr4qq3s 3 ай бұрын
🎉🎉
CHOZI | EP 2 |
24:19
KIM VEVO
Рет қаралды 40 М.
PETE | Episode 1 |
10:55
KIM VEVO
Рет қаралды 18 М.
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 48 МЛН
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 19 МЛН
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 3,2 МЛН
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
#JINI_MANOTI__[01] NEW 🌹LOVE ♥️🌹 STORY 🇹🇿
18:23
MIGA FANTY TV🇹🇿
Рет қаралды 8 М.
JOTO | FULL MOVIE
58:49
A7 FILMS
Рет қаралды 78 М.
MCHAWI PESA EPISODE [ 1 - 6 ] #africa #movie #viral
1:12:37
MEDICK CHAPA
Рет қаралды 40 М.
CHOZI | EP 7 |
20:12
KIM VEVO
Рет қаралды 27 М.
NDOA YA SIRI FULL MOVIE
1:05:06
A7 FILMS
Рет қаралды 53 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /29/ #love
43:38
BabaJoan
Рет қаралды 339 М.
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 48 МЛН