No video

CHOZI | EP 7 |

  Рет қаралды 27,984

KIM VEVO

KIM VEVO

Күн бұрын

#clamvevo #kimvevo #mbwela

Пікірлер: 120
@Joramkatana
@Joramkatana 2 ай бұрын
Binafsi naona episode 7 inazidi kuwa tata na funzo kwetu sote ni kuwa:,Msamaha utokao moyoni huwa mzuri zaidi endapo mtu amekiri makosa yake.Hapa Kim amekiri hivyo Butua kuwa Moyo wa Msamaha ila nayo inahitaji moyo. Kulea mimba ambayo si yako kama mwanaume inahitaji moyo. Hongerani kwa Kazi nzuri. *** Mlaji biscuit naye analo neno,hatima ya gharama ni thamani au tuseme thamani ni zao la gharama....palipo gharama Pana Nia hivyo basi tuishi kwa Maono yenye thamani tuzije kuwakwaza walotumia gharama kwa ajili yetu . One love from +254🇰🇪
@NillyNilly-fm5pw
@NillyNilly-fm5pw 2 ай бұрын
Huyu jamaa anakula biscuits wanaedana na kipala aki 😂😂
@user-rd6nr4qq3s
@user-rd6nr4qq3s 2 ай бұрын
Mwasi ni Pisi Kali isiyo kuwa na matunzo
@user-gx4hv9jw3f
@user-gx4hv9jw3f 2 ай бұрын
Cha bismuth mwambie Aachen kula sana biscut anaboa ndo nin kutafunatafuna ni ushaur tu
@AshaaAyubu
@AshaaAyubu 2 ай бұрын
Huyo mtafuna biskuti ananiboaga tyuuuu🤨🤨
@user-mi8lu8jn1x
@user-mi8lu8jn1x 2 ай бұрын
Wow good work dada Kim 🎉🎉🎉🎉❤kutoka kenya 🇰🇪
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 ай бұрын
Yahitaji upeo mkubwa sana kumuelewa dadake Butua kwa kauli "natamani chakula kilichopikwa kwako,nenda ukanipikie si mkeo hayuko"...🎉🎉🎉🎉 ya kwenu haya team Kim❤❤❤
@user-cr8cs2qc8f
@user-cr8cs2qc8f 2 ай бұрын
Kabsaa😂😂😂😂😂.yani Kuna neno hapo
@Kabeya410
@Kabeya410 2 ай бұрын
Muvi nzuri naomba samahani ktk wimbo unaosindikiza muvi ni mzuri ila kiswahili kidoogo sahihisho neno AHUWENI ndo sahihi siyo AUHENI
@denotheactor
@denotheactor 2 ай бұрын
Kim am absolutely your top fun in all your social media I had one of your interview from mbengo that someone said that your absolutely living in akibanda for sure cases bring out happiness one day keep pushing you will absolutely own mansion 😊
@JoyceHs
@JoyceHs 2 ай бұрын
Mwalimu biscuits yuko poa👊
@user-ff4qu4dr3n
@user-ff4qu4dr3n 2 ай бұрын
Ila kakoso wakike nimrembo jamani❤❤❤
@JojoJose-tp7pj
@JojoJose-tp7pj 2 ай бұрын
Leo nimewahi kweli niko wakwanza
@willykijanaa
@willykijanaa 2 ай бұрын
so?
@faizamohamed6993
@faizamohamed6993 2 ай бұрын
Kwenda kafie mbele huku na 'likes' zako. Kwa jipi ulilofanya hata upewe likes
@user-dt5bk9ms1v
@user-dt5bk9ms1v 2 ай бұрын
Mmmmh dada mwassi wewe kiukweli unakitu ndani yako ,acha nikuhambie kweli unahitendea haki sehemu zako.pande za DRC nakufata vema, ukiona nasifia mtu hivi ujue unajua, wewe nimwenye thamani ktk kikundi cha Clam VEVO.ukiona comment yangu tafazali ujue unaweza cheza sehemu yoyote ile na msanii wowote ule.ila nakuomba baki na dogo Clam maana sio mbinafsi
@MwanamisiNyamvula
@MwanamisiNyamvula 2 ай бұрын
Kwan huyu mla biskut mlimtoa wap jaman
@RamMrisho-vp8jq
@RamMrisho-vp8jq 2 ай бұрын
😂😂😂
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 2 ай бұрын
Mla biscuits 😂😂
@Shakila-pq2gv
@Shakila-pq2gv 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@FundiSamuel
@FundiSamuel Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@fridacharles4173
@fridacharles4173 2 ай бұрын
Sister Kim hebu Ngoma ya chozi iwe official maana inaishi kwenye masikio yangu muda wote 🤗🤗❤️
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 2 ай бұрын
Wa kwnz cjuw ktu kama hko, au bas,
@philohmutua2968
@philohmutua2968 2 ай бұрын
Leo😂 wamwisho makofi ya butua❤❤❤❤
@user-og4mq8ph4y
@user-og4mq8ph4y 2 ай бұрын
Kim mbna unachelewa sanaa mpka utamu wapotea hebu jitahidi ulete mazur kwa wakati please, much love from kenya riadhy ❤
@sabraali1118
@sabraali1118 Ай бұрын
Mbona hamleti muendelezo mumeganda sana mara hii cc Kila cku tunachungulia tuuuuuuu
@zanishaikhonge7296
@zanishaikhonge7296 2 ай бұрын
Pole mrembo kim nakupenda bure ❤❤❤❤
@AmaniJoram-ym7xy
@AmaniJoram-ym7xy 2 ай бұрын
Nataka nyimbo hiyo naipataje
@samyabahatialhiani401
@samyabahatialhiani401 2 ай бұрын
Amina Sista wangu napenda mashauli yako ❤❤❤🌹🇧🇮
@sommohd7903
@sommohd7903 2 ай бұрын
Kutoa kaz nyingi sio ubora wakazi ..KIM Pambana my friend 💪🏼
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 ай бұрын
Swadakta❤
@YamichiiLoshi-n7e
@YamichiiLoshi-n7e Ай бұрын
Umpend kula kil saa nani mwennzio😎
@user-yu9qn4oi3g
@user-yu9qn4oi3g 2 ай бұрын
❤❤kazi nzuri sana 🔥🔥
@user-nf1ip7vf7s
@user-nf1ip7vf7s Ай бұрын
Kim huyo mla biscut anakera kwan hana sitaili nyingine had ale biscut
@shadyarif653
@shadyarif653 2 ай бұрын
Ila butua hiyo part ya kupikia dadake kafanya kama Marehem Steven Kanumba😊😂
@Kadzo-yf2yc
@Kadzo-yf2yc 2 ай бұрын
Yan Kim ww ni mwamba❤❤❤❤❤
@user-ff4qu4dr3n
@user-ff4qu4dr3n 2 ай бұрын
Rapcha mustaarabu bwana Jaribu kufunguka Tuna wach ili tu elewe vitu flani ila wewe Bana sikuelewi Ao nikwsababu me sio mmbongo
@AntonySaruni-uq5pl
@AntonySaruni-uq5pl Ай бұрын
Kali kinoma part8 twasubiri
@fridacharles4173
@fridacharles4173 2 ай бұрын
Hebu weka title ya kiswahili ya hicho kilugha anacho ongea Mr biscut😂😂😂
@user-yu9qn4oi3g
@user-yu9qn4oi3g 2 ай бұрын
Kz nzuri sana 🔥 🔥
@officialbhaddierozalia4945
@officialbhaddierozalia4945 2 ай бұрын
First one today ❤
@fortunegerishom1827
@fortunegerishom1827 2 ай бұрын
Nipeni like zangu ata km mi niwa mwisho tokea Russia ndogo ya Putin Ruto 😂
@Kib-jsanley
@Kib-jsanley 2 ай бұрын
Nataka 100 subscribe 🎉🎉❤watu wangu mimi zenu na pitaka na zo kwanini yakwangu Muna onaka tu🎉
@LoiceKatana-ci1tx
@LoiceKatana-ci1tx 2 ай бұрын
Kazi nzuri team kim
@StanleyaStella
@StanleyaStella 2 ай бұрын
Butua humu umeia ❤❤❤❤❤
@samyabahatialhiani401
@samyabahatialhiani401 2 ай бұрын
Dada mshauli unamaco mazuli uyò mtiyani unampa kaka yako kupiga😁😁😁🤣🇧🇮
@Aisha-ld3ol
@Aisha-ld3ol 15 күн бұрын
Kim twasubiria episode 8 pliz🙏
@KishepPambe
@KishepPambe 2 ай бұрын
Hiyo lugha wengine hatuelewi jamani
@jamesmutali4356
@jamesmutali4356 Ай бұрын
sio kila aendae klabuni n mlevi elewa moja ingine achana nayo
@user-cr8cs2qc8f
@user-cr8cs2qc8f 2 ай бұрын
Woow,kim tuko pamoj san dadaa am from kenya,❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤.kz safi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@NaiamKhalifa
@NaiamKhalifa Ай бұрын
Mla biscuits ukikaaa kumskiliza vzr unaweza usimuelew ila ana kitu anakielimish mpk raha
@VascoHotai
@VascoHotai 2 ай бұрын
Wangapi tumemuona kakoso😅😅😅😅😅😅😅
@paulmusic456
@paulmusic456 2 ай бұрын
Wa kwanza leo❤❤❤
@willykijanaa
@willykijanaa 2 ай бұрын
so?
@RehemaElendela
@RehemaElendela 2 ай бұрын
Nawapenda sana 🎉🎉🎉
@rynekiswaga4597
@rynekiswaga4597 28 күн бұрын
Kwan hii ndo imeisha hapa jomon😢😢 muendelezo vip
@VexMaizoOfficial
@VexMaizoOfficial 2 ай бұрын
🧭🤳 Leo nimewahi kufika kutoka Msumbiji 🇲🇿 Mozambique PEMBA
@salimmbonde2684
@salimmbonde2684 2 ай бұрын
Wakwanza
@Kib-jsanley
@Kib-jsanley 2 ай бұрын
Kim🎉🎉nakudai like apa❤❤
@Kabeya410
@Kabeya410 2 ай бұрын
Yaani like akupe kim kwa lipi badala wewe mpenzi umpe like zako kupitia meseji kumpa big up ati yeye akupe wewe kivipi hivi mna akili kweli nyie KENGE LIKE😅
@Tabiatz
@Tabiatz 2 ай бұрын
Nimeipenda sanaa
@MauriceAbushinani
@MauriceAbushinani 2 ай бұрын
Kim❤ On te suis depuis DRC uvira
@user-bi9pl4eu2o
@user-bi9pl4eu2o 2 ай бұрын
Kazi nzuri sana kim na team yako yote big up sana
@LatifaRashidi
@LatifaRashidi 2 ай бұрын
Love you kim❤❤
@Deljellyqueen
@Deljellyqueen 2 ай бұрын
Jmn leohi mm wakwanza 😢😂🎉naitaji like 20 tu
@Kib-jsanley
@Kib-jsanley 2 ай бұрын
Mimi ndo nakupa like na wewe nipe
@Deljellyqueen
@Deljellyqueen 2 ай бұрын
Swa
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 2 ай бұрын
Dada kakoso we mwenyewe unachepuka kumbe
@fbbhg9095
@fbbhg9095 2 ай бұрын
Toeni ushauri acheni kuomba likes
@LwizaJohn-c7q
@LwizaJohn-c7q Ай бұрын
Ya nane wap mbn mnaichelewesha sana
@AllyNguya
@AllyNguya Ай бұрын
Mbon ya 8 amuendelei
@SixtusSperatus
@SixtusSperatus 2 ай бұрын
Mwasi kama kweli ata kwenye mapenzi Yako ya nje ya camera basi upo vizuri
@selmezahor4696
@selmezahor4696 2 ай бұрын
Tumeshachok kusubiri kama haupo tena mutuambie,
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 2 ай бұрын
Kakoso ❤🎉
@BalethMedia
@BalethMedia 2 ай бұрын
CHOZI💥💥💥💥💥💥🌟
@fhugghi4109
@fhugghi4109 2 ай бұрын
Timu kim 🔥🔥🌹🌹
@RamMrisho-vp8jq
@RamMrisho-vp8jq 2 ай бұрын
Kim nakukubar msukuma mwenzangu😂😅
@migoshimself3204
@migoshimself3204 2 ай бұрын
Leo nimechelewa kweli wamwisho 😊
@captainkastua4830
@captainkastua4830 2 ай бұрын
Kanzizuri kutoka Nairobi Kenya
@Kib-jsanley
@Kib-jsanley 2 ай бұрын
Nimekupa like na wewe nipe
@Kib-jsanley
@Kib-jsanley 2 ай бұрын
Niko nairobi saika🎉
@user-lo9kv9vv3n
@user-lo9kv9vv3n 2 ай бұрын
Pamoja sana
@user-gg5ed4wt2v
@user-gg5ed4wt2v 2 ай бұрын
Kazi nzuri kim❤❤
@PhinarBotea-ed3xm
@PhinarBotea-ed3xm 2 ай бұрын
kim❤❤❤
@ashery-jr26
@ashery-jr26 2 ай бұрын
Me wamwisho leo bimechekewa chozi linanitililika
@user-rl5zb1jc9k
@user-rl5zb1jc9k 2 ай бұрын
🔥🔥
@suedswedgotagota9732
@suedswedgotagota9732 2 ай бұрын
Wanaomkubal mwasi tujuane
@user-on7in9tz6e
@user-on7in9tz6e 2 ай бұрын
Kazi njema 😊
@SalumuSabasaba-hg6nu
@SalumuSabasaba-hg6nu Ай бұрын
𝘿𝙖𝙙𝙖 𝙆𝙞𝙢 𝙣𝙖𝙤𝙢𝙗𝙖 𝙞𝙮𝙞 𝙣𝙮𝙞𝙢𝙗𝙤 𝙨𝙖𝙢𝙖𝙝𝙖𝙣𝙞, 𝙣𝙖𝙞𝙥𝙚𝙣𝙙𝙖 𝙨𝙖𝙣𝙖
@zeyadazeyada8050
@zeyadazeyada8050 2 ай бұрын
❤❤❤
@salwasuleiman3525
@salwasuleiman3525 Ай бұрын
Muendelezo please
@user-go4uc4oe4p
@user-go4uc4oe4p 2 ай бұрын
19 Maua kwa Km 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-gl2bn6ot8e
@user-gl2bn6ot8e 2 ай бұрын
Kim hii tamthilia nzur hachana na ile msako
@user-nc3ge4ul9j
@user-nc3ge4ul9j 2 ай бұрын
Dadeki mnaomba like iweje mue kma kim au nan?
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Ай бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@everlinekenga437
@everlinekenga437 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@RizikiZiki
@RizikiZiki 2 ай бұрын
Mapenzi shikamo 😂😂😂
@GHgh-hq3zj
@GHgh-hq3zj 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-vo7yb6wp1m
@user-vo7yb6wp1m 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@elizabethmahenzo7220
@elizabethmahenzo7220 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉
@sadyally-yr5vw
@sadyally-yr5vw 2 ай бұрын
god kim
@Zainabuabdalah-vw1xw
@Zainabuabdalah-vw1xw 2 ай бұрын
Kaz zury
@saidahmed9688
@saidahmed9688 2 ай бұрын
good movie
@user-fo6zw6ru9e
@user-fo6zw6ru9e 2 ай бұрын
Nyote mnao kimbilia likes mna viti vyenu mbinguni☝️
@JuliusJembelayexu-dh5mm
@JuliusJembelayexu-dh5mm 24 күн бұрын
Mbn sehem ya nane haiko
@MashaMbwana
@MashaMbwana 2 ай бұрын
@ZawadiAsumani-op2hl
@ZawadiAsumani-op2hl 2 ай бұрын
Hi guys. ...mbona kwangu akuna sauti pia nyinyi ama
@finegatwiri2597
@finegatwiri2597 2 ай бұрын
Naeza comment na voice note 😢😢😢😅😅😅😅
@RamMrisho-vp8jq
@RamMrisho-vp8jq 2 ай бұрын
Nice❤
@marynyota6146
@marynyota6146 8 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 2 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@lizluvshann
@lizluvshann Ай бұрын
@episode 8 IPO wapi
@user-wi6ci2ms3b
@user-wi6ci2ms3b 2 ай бұрын
Hv hzo like munazodai za nn
@ukhtymwana40
@ukhtymwana40 2 ай бұрын
Kama hujui kalale 😂😂😂 zikiwa nyingi KZfaq wanalipa komwe wewe 😅😅
@nurujainamwile1618
@nurujainamwile1618 2 ай бұрын
❤❤❤
Jua Kali Leo Alhamisi Usiku 22-8-2024 High Quality Definition
27:27
PETE | Episode 1 |
10:55
KIM VEVO
Рет қаралды 18 М.
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 35 МЛН
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,1 МЛН
WARREN AND WHITNEY HOUSE TOUR
20:27
Warren and Whitney lifestyle
Рет қаралды 21 М.
SUMU | Ep 01|.
24:12
CHIBU TV
Рет қаралды 24 М.
SIWA Episode 04
24:13
SIMFUKWE FAMILY
Рет қаралды 621
PETE YA MAAJABU
10:02
KIM VEVO
Рет қаралды 146 М.
MSAKO | FULL MOVIE |
1:08:44
KIM VEVO
Рет қаралды 141 М.
CHOZI | EP 1 |
21:52
KIM VEVO
Рет қаралды 52 М.
MWANAMKE (1)
9:07
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 53 М.
CHOZI LA BINTI YATIMA | FULL MOVIE 💞 Love Story |  BIN | DONTA TV
34:45
CHINI YA JUA | FULL MOVIE
1:33:16
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 62 М.
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16