No video

CHOZI | EP 4 |

  Рет қаралды 35,608

KIM VEVO

KIM VEVO

Күн бұрын

#clamvevo #kimvevo #mbwela

Пікірлер: 138
@fatumakushonda4277
@fatumakushonda4277 2 ай бұрын
Yani mbwela anajua pk anajua tena ❤kataa tuone
@Estherpendo-yk8iv
@Estherpendo-yk8iv 2 ай бұрын
kwenye hii chozi kuna mafunzo mengi sana napia nimependa jinsi wanavo icheza kwa utulivu ❤❤❤ 🇰🇪🇰🇪 congratulations Kim VEVO pamoja n waigizaji wenzio mbwela chukua maua hayo💐💐💐 kwa maneno yako ya hekima
@user-rd6nr4qq3s
@user-rd6nr4qq3s 2 ай бұрын
#Butua ni kipaji halisi .. communication, serious, confidence 🎉
@user-rs1pf1zi9d
@user-rs1pf1zi9d 2 ай бұрын
Nampenda sana uyu mdada kipofu. Naangalia hii move kwa ajili yake🤣🤣❤❤❤❤❤
@RechoMasele
@RechoMasele 2 ай бұрын
❤❤🎉
@user-og4mq8ph4y
@user-og4mq8ph4y 2 ай бұрын
Minza Subra maa please usinibwage usiache mbachao kwasala upotao sidhanii kama kuna mwanamume atakupenda kwa dhati kama BIG kaka mbwela ana nia nzuri kwako ila huyo kunguruu aliekubaka sio mtu mzuri kwa maana yeye ndio nikama wako pamoja na sauda sijui ni saida ila usijali nakuombea Mungu baada ya kubakwa usipatwe tena na shida mpka mbwela atakaporudi kutoka masomoni na pia Mungu amlinde mbwela arudi salama 🙏 nitafrahia mukioanaaa much love from kenya riadhy ❤❤❤❤❤
@user-ki8yk9hd2z
@user-ki8yk9hd2z 2 ай бұрын
Wakwanza mm leo jmn naomba like zangu team strong from 🇴🇲🇴🇲🇴🇲 pia napenda sana kazi zenu ❤❤❤🎉🎉🎉
@Mwanah-cg3ie
@Mwanah-cg3ie 2 ай бұрын
🇴🇲🇴🇲🎉🎉
@monaciarkennymo6ix9ine62
@monaciarkennymo6ix9ine62 2 ай бұрын
🎉🎉🎉
@shadyarif653
@shadyarif653 2 ай бұрын
Kenya Hapa...kama sio Clam nisingekujua ila unaijulia kuigiza😊
@manaxelukama2926
@manaxelukama2926 2 ай бұрын
Mbwela umeongea kwa hisia kali saana brov brow umesimama kwenye msimamo wako 👏👏👏
@samyabahatialhiani401
@samyabahatialhiani401 2 ай бұрын
😢😢😢miza maman unapitiya mda mgumu sana maryamu kuwa karibu na miza naisi mbwera ata mtenfa😢🇧🇮
@aminaabdalla-uo9zq
@aminaabdalla-uo9zq 2 ай бұрын
Toa ndevu izo butuwa😂😂 khaaa huon kisisi
@SixtusSperatus
@SixtusSperatus 2 ай бұрын
Daa natamani nipate wa kuniuliza nakula alafu ndo Nile au Nile ndo nikule
@user-zh4np7kf5i
@user-zh4np7kf5i 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@SixtusSperatus
@SixtusSperatus Ай бұрын
@@rahimaaaaa5682.kuwa ata wewe basi kama upo sngle
@PaulCecyl-jz4mr
@PaulCecyl-jz4mr Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Kib-jsanley
@Kib-jsanley 2 ай бұрын
Pamoja tuna.... Sasa basi kama tuna Weza nipeni like Ili ni weze🎉❤wana Damu
@Zeldaommy
@Zeldaommy 2 ай бұрын
kazi nzur chidada wangu mungu akupe nguvu insha'Allah uzidi kupambana team mbwela mko wp gonga like kama unawakubali❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@PhinarBotea-ed3xm
@PhinarBotea-ed3xm 2 ай бұрын
mbwelaa nakukubali sana ❤
@user-tb8bc7qz9h
@user-tb8bc7qz9h 2 ай бұрын
Ila hii muve ilaumiza San mafunzo makali mno yani nimelia kama ndio Mimi pole San miza 😭😭 asanteni wapendwa ❤
@MoTalentTz
@MoTalentTz 2 ай бұрын
Kazi kazi mjomba 🙏🙏👏 💪🏻💪🏻💪🏻
@PollyMichou
@PollyMichou 2 ай бұрын
Mna juwa kuniliza kweli 😢😢 kama, Ila aya maicha yapo 😢
@user-wl8cq2rn8z
@user-wl8cq2rn8z 2 ай бұрын
Mungu mwenyewe kasema km ikiwa Mwanamke hasikii Mpije. Mwanadamu chapa😂
@MekiAli-ub4ld
@MekiAli-ub4ld 2 ай бұрын
Kazi nzr masha Allah 🤲🙏❤
@mrsabdul-mz8hh
@mrsabdul-mz8hh 2 ай бұрын
Yaan nlisema kila kitu leo Kikianza kianze kuruka hapa ikiwa ni *COMMENT au LIKE* 😂😂😂 Kumbe cvyooo Dah lkn nisawa *CHOZI KM CHOZI ❤* ina heat 💣kwa HEART 🖤
@user-cr8cs2qc8f
@user-cr8cs2qc8f 2 ай бұрын
Daaah,minza pole sana😢😢😢😢😢😢 unanihuzunisha kw kweli.ila huyu mkak mwny yuko na dred yuko kw snake boy,nampnd kwa kwli,yni nampnda sana
@zedy_hope-pd8kn
@zedy_hope-pd8kn 2 ай бұрын
Kim vevo keep going forward my girl ❤❤❤
@user-hm6hy6rr1h
@user-hm6hy6rr1h 2 ай бұрын
Hongeren san kikos cha kaka mbwela nawapenda san ten san ❤❤❤❤❤❤ love ❤❤❤ 2
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 ай бұрын
Mwasi we kungwi 😂😂😂 👏 # kazi nzuri sana dada kim na team yako kila mtu anautendea kazi uhusika🎉🎉🎉🎉
@user-iv6yx5ot6f
@user-iv6yx5ot6f 2 ай бұрын
Uyo mukaka nae kwakila basuguti ninamba wani
@mophatycharles1407
@mophatycharles1407 2 ай бұрын
Dah! Minza anapitia wakat mgumu sana 😭mung anaumba mama anazaa tumain lang kwa mbwela juu ya minza♥️
@neemamichael-iv3jp
@neemamichael-iv3jp 2 ай бұрын
Haya namm leo mt wa4 jamn 🎉❤❤❤
@mamboV-wille
@mamboV-wille 2 ай бұрын
jaman najikuta nalia2 me mwenyewe 😮😮 move kali
@user-td6er6gx3h
@user-td6er6gx3h 2 ай бұрын
Daaaa mm mwenyew nimeolewa nakilema chaajabu mama mkwe anitaki niwe mkamwanae mhuu dunia hii bn
@aminamuhra4453
@aminamuhra4453 2 ай бұрын
Leo nimewah sana kwakweli nipeni mauwa yangu Kim
@KadirKhan-nx1oz
@KadirKhan-nx1oz 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@user-wl8cq2rn8z
@user-wl8cq2rn8z 2 ай бұрын
We Mama mtu mzma tubia tena acha kuonesha Maziwa wazi hayo 😂
@DearNaah-st2nx
@DearNaah-st2nx 2 ай бұрын
Yaan mbwela ww too in one my actrs jmn yaan we aaah weeuu uwe unachez scen za hisia namn hiyo maan nd vipengel unavyoviwez na kukupendez yaan❤❤🎉🎉
@ReeMsafi
@ReeMsafi Ай бұрын
Mbwela, kaz nzurii snaa brooh unajua snaa
@Mnyaturu980
@Mnyaturu980 2 ай бұрын
Wakwanza leo naombeni like wadau toka 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 katavi
@shamsiasaidi9393
@shamsiasaidi9393 2 ай бұрын
Uyo mwamba was biskut dah Kil umuanapo anazo
@JigoSengiyumva-ln9xf
@JigoSengiyumva-ln9xf 2 ай бұрын
Mna panga season vizuri san🙂
@IsmailJuma-ti4hr
@IsmailJuma-ti4hr 2 ай бұрын
Dah hili kwel chozi maana mpak mm chozi limenitoka😭😭😭
@KadirKhan-nx1oz
@KadirKhan-nx1oz 2 ай бұрын
pole sana
@aminamuhra4453
@aminamuhra4453 2 ай бұрын
Nimeyipenda sana iyi filam kuliko zamwanzo inafunzo kubwa sana
@bonylstyles5907
@bonylstyles5907 2 ай бұрын
Hii Tamthilia ina mafunzo tele. Huyu Mkaka wa Misemo na Mafumbo namkubali sana
@user-yd2dw5nt7r
@user-yd2dw5nt7r 2 ай бұрын
Hongera daa Kim kwa kazi nzuri
@user-pr4ir6fe4y
@user-pr4ir6fe4y 2 ай бұрын
Bado nipo na me kim upo vzr dada unaweza
@user-yz2wu9lg6d
@user-yz2wu9lg6d 2 ай бұрын
Uyu nae anakulakula nn
@KadirKhan-nx1oz
@KadirKhan-nx1oz 2 ай бұрын
Ananiuzi uyu anae kula kula uyu
@user-yz2wu9lg6d
@user-yz2wu9lg6d 2 ай бұрын
@@KadirKhan-nx1oz pia mm nkt
@user-ee1ml6pp8b
@user-ee1ml6pp8b 2 ай бұрын
Mbwela kama mbwela❤❤❤❤❤
@Fizzohofficial
@Fizzohofficial 2 ай бұрын
Wa kwanza leo..likes zangu af kazi zuri kim,💕💕
@ReeMsafi
@ReeMsafi Ай бұрын
Kazi kutafuna buskuti tu kutafuta demu aaah aah aaahh😂
@saumbliz8983
@saumbliz8983 2 ай бұрын
Sipendi mwanaume wakula biscuits 😢
@fortunegerishom1827
@fortunegerishom1827 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@user-sv1ej8do8u
@user-sv1ej8do8u 2 ай бұрын
Choziii🎉🎉
@user-zp4zc2ln2n
@user-zp4zc2ln2n 2 ай бұрын
Eeh mwasi sio kw mahab hayo 😂
@SophiaDenalwa-sx7yu
@SophiaDenalwa-sx7yu 2 ай бұрын
Duuh hii move ni ya huruma naiangalia huku nalia duuh
@maryammakata7849
@maryammakata7849 2 ай бұрын
Kutoka katavi mbwela hongera
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 2 ай бұрын
Maza jaman dunia sindo itamgeukia😢😢😢 kazi nzur sana kim
@MartheNsiku
@MartheNsiku 2 ай бұрын
Kim yani ningekuona ningekwambia ya ukweli yani ww ni ume beba moyo wangu una usumbuwa Sana kwa kukupenda
@philohmutua2968
@philohmutua2968 2 ай бұрын
Camera man hongera camera ilikuwa inamulikatu matiti ya bibi migomba😂😂😂😂😂😂
@user-cr8cs2qc8f
@user-cr8cs2qc8f 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 umeonaeeee
@amanchuphichuphi4725
@amanchuphichuphi4725 2 ай бұрын
Safi Sana kaka mkubwa uko juu
@shidashida6060
@shidashida6060 2 ай бұрын
Minza msubiri Mbwela
@salumumrishohamiss1588
@salumumrishohamiss1588 2 ай бұрын
wakwanza leo mimi jamani naombeni like ata tano tuu
@user-lo9kv9vv3n
@user-lo9kv9vv3n 2 ай бұрын
Jmn hii movie tang ianze naliaga tu aseeee ❤❤❤
@ReeMsafi
@ReeMsafi Ай бұрын
Mzee wa buskuti Hana demu😂
@user-mk8yz4qu1z
@user-mk8yz4qu1z 2 ай бұрын
Nawapenda sana, from Kenya
@AsiaSaid-tq4yw
@AsiaSaid-tq4yw 2 ай бұрын
Omani mpo vizur
@salmahoperi9783
@salmahoperi9783 2 ай бұрын
Kazi nzuri sana
@josephmacharia530
@josephmacharia530 2 ай бұрын
Nice love kim
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 2 ай бұрын
Wow mashallah pongez kwa wahusika wote❤❤❤
@mbodzemasha3590
@mbodzemasha3590 2 ай бұрын
Nakukubali Sana mbwela
@Roze-so4he
@Roze-so4he 2 ай бұрын
Kazi nzuri
@mulumbademulu7028
@mulumbademulu7028 2 ай бұрын
Good job 👏
@alimasiallyalimasially5202
@alimasiallyalimasially5202 2 ай бұрын
Mbwera umenitoa machizi
@luckylucky7153
@luckylucky7153 2 ай бұрын
Congratulations guys
@salimkombora2742
@salimkombora2742 2 ай бұрын
Hii kali sana naikubali bonge la filamu
@everlinekenga437
@everlinekenga437 2 ай бұрын
Nimewahi kiasi leo❤❤❤❤❤
@sofiakinyia2734
@sofiakinyia2734 2 ай бұрын
Ila chozi inaumiza kweli🎉🎉😢
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 2 ай бұрын
Huyu bibi anafanania na mdigo wa TANGA.
@SaraUlaya-is2ch
@SaraUlaya-is2ch 2 ай бұрын
Mbwela wangu l love you more❤❤❤
@Rachide-g6h
@Rachide-g6h 2 ай бұрын
Usinlazimishe ntu Wakati akupendi
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 2 ай бұрын
MBWELA akicheza za hisia ndio anafit kama vile kwenye BIG BOSS na hii. Lakini zile za utata utata hafit kabisa. Mbwela hizi ndizo nafasi zako....
@user-bi9pl4eu2o
@user-bi9pl4eu2o 2 ай бұрын
Good job mbwela
@Pachacomedy
@Pachacomedy 2 ай бұрын
Kim naomba like zenu
@willykijanaa
@willykijanaa 2 ай бұрын
baadala ya ktoa maoni au pongezi ni like like wee kuweza nyooo
@nkurikiyearodiedavid6255
@nkurikiyearodiedavid6255 2 ай бұрын
Kakoso girl nae Kwa mapenzi balaa😂😂
@user-yu6zj3bw1y
@user-yu6zj3bw1y 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@Mishooh
@Mishooh 2 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦❤️❤️🎉🎉
@user-wp3nx2rm1u
@user-wp3nx2rm1u 2 ай бұрын
Huyu mwamba mtoa ushauli mbona mdawote anakula bisukuti
@SadaMohamed-xl9rc
@SadaMohamed-xl9rc 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@elizabethmahenzo7220
@elizabethmahenzo7220 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉🎉
@DearNaah-st2nx
@DearNaah-st2nx 2 ай бұрын
muendelez plzzz Msituchelewesh
@nkurikiyearodiedavid6255
@nkurikiyearodiedavid6255 2 ай бұрын
Mbwela,msalimie mjombako mwenye sura ya Iscariot
@user-by6bg2fq6b
@user-by6bg2fq6b 2 ай бұрын
next pleaz
@user-on7in9tz6e
@user-on7in9tz6e 2 ай бұрын
Kazi njema
@IrakozeJuliette-so1iu
@IrakozeJuliette-so1iu 2 ай бұрын
❤❤kazi nzuri y
@SylvainIlunga-ou9mj
@SylvainIlunga-ou9mj 2 ай бұрын
Mapezi inauma❤❤
@maryammakata7849
@maryammakata7849 2 ай бұрын
Km omba talaka utauwa
@denotheactor
@denotheactor 2 ай бұрын
Wapi likes zaa wakenya jameni 😅😮😢🎉❤
@Kabeya410
@Kabeya410 2 ай бұрын
Nyie KENGE MAJI MNAOOMBA LIKE MKAFIE MBELE MNAPENDA SIFA WAKATI HAMNA CHOCHOTE MLICHOCHANGIA KTK FILAM HII BADALA KUTOA HEKO NA LIKE KWA WAHUSIKA MNAOMBA NYINYI MBULULA MKOME KABISA MNABOA SANA INAONESHA VICHWANI MWENU HAMNA UBONGO KUNA MAJI YA CHOONI
@lucyalto7320
@lucyalto7320 2 ай бұрын
😂😂😂naona wamekutibua umeshindwa vumilia😅😅 nikajua nakereka peke yangu kwa waomba like
@user-hm6hy6rr1h
@user-hm6hy6rr1h 2 ай бұрын
Nihatar kwakwel 😂😂😂😂😂😂
@finegatwiri2597
@finegatwiri2597 2 ай бұрын
imependeza sana 😊😊
@RizikiZiki
@RizikiZiki 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@SalmaLivenga
@SalmaLivenga 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@FatmaHamadi-ly8gq
@FatmaHamadi-ly8gq 2 ай бұрын
❤❤❤
@user-gi6su7jw1h
@user-gi6su7jw1h 2 ай бұрын
❤❤❤❤🎉
@PaulCecyl-jz4mr
@PaulCecyl-jz4mr Ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@PatriciaLennie
@PatriciaLennie Ай бұрын
@tajilimtoto5009
@tajilimtoto5009 2 ай бұрын
Hii Chanel ungeita Jina kimu mbwela achana nakimu vevo anae jiona tiali amekuwa staa atari kushiliki kazi zenu ila yeye kwake mnafanya 😢
@gastonmulondani8900
@gastonmulondani8900 2 ай бұрын
Unafuraisha😂😂😂 kwani kwa CLAM VEVO wanafanya bure?
@tajilimtoto5009
@tajilimtoto5009 2 ай бұрын
@@gastonmulondani8900 unachekesha kwani kwa Kim ni bule
@tajilimtoto5009
@tajilimtoto5009 2 ай бұрын
Sifulaishi kwani Kwa kimu anafanya bule
@gastonmulondani8900
@gastonmulondani8900 2 ай бұрын
Unatakiwa ufurayi kijana... CLAM VEVO ndo aliye wa ruusu wawe na Chanel zao binafsi. Kitu ambacho siyo kawaida kwa wengine.
@tajilimtoto5009
@tajilimtoto5009 2 ай бұрын
@@gastonmulondani8900 inshu iko yeye kushiliki kwa wenzie nyie kenge kama amuerewi kiswahil
@Aisha-ld3ol
@Aisha-ld3ol 15 күн бұрын
Kim tasubiria episode 9❤
CHOZI | EP 5 |
21:31
KIM VEVO
Рет қаралды 27 М.
PETE | Episode 1 |
10:55
KIM VEVO
Рет қаралды 18 М.
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 3 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 3,4 МЛН
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 71 МЛН
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 50 МЛН
MALAYA MGENI 💞 Love Story | DONTA TV
22:35
Donta Plus
Рет қаралды 326 М.
GANDA SERIES EPISODE 1 STARING SENGOVEVO
12:31
SENGOVEVO
Рет қаралды 2 М.
JOTO | FULL MOVIE
58:49
A7 FILMS
Рет қаралды 78 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /29/ #love
43:38
BabaJoan
Рет қаралды 339 М.
SIKU MOJA KABLA YA NDOA YANGU PART 01 💞 Love Story | DONTA TV
22:40
KUFULI | FULL MOVIE |
2:38:45
KIM VEVO
Рет қаралды 38 М.
MAZA HAUSI[1]#kiparabrand #sandraflms #clamvevo
20:09
SANDRA FILMS
Рет қаралды 127 М.
CHOZI | EP 1 |
21:52
KIM VEVO
Рет қаралды 52 М.
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 3 МЛН