No video

CHRISTINE - NILIKOSANA NA MUME WANGU BAADA YA KUGUNDUA NIKO NA MUME MWINGINE

  Рет қаралды 10,770

Radio Jambo KENYA

Radio Jambo KENYA

28 күн бұрын

NILIKOSANA NA MUME WANGU BAADA YA KUGUNDUA NIKO NA MUME MWINGINE

Пікірлер: 43
@mango12344
@mango12344 26 күн бұрын
Gidi tungeskiza anto tumshauri kama wanajambo a move on na maisha. Huyo christine ni mkora
@rachelmuch5788
@rachelmuch5788 25 күн бұрын
True n mkora sana me nlizaa na 19yrs na nko sijawai fanya utoto
@salimkhadija6593
@salimkhadija6593 25 күн бұрын
Mtu aniambie hiyo song skiza tune ya Antony inaitwaje❤❤❤
@SashaHussein-sl9cs
@SashaHussein-sl9cs 24 күн бұрын
Ni ya Morgan heritage song ni wash away all the tears
@salimkhadija6593
@salimkhadija6593 24 күн бұрын
@@SashaHussein-sl9cs thanks baby girl ❤️❤️❤️
@suzyterry8972
@suzyterry8972 26 күн бұрын
Mwanaume anaka ni mnzeee haka kasichana chuga kasikulete ukimwi ama kisonono
@shamimaoko
@shamimaoko 25 күн бұрын
Uzee sii ugonjwa buda
@annerotich7234
@annerotich7234 25 күн бұрын
I love
@habibhussein5902
@habibhussein5902 25 күн бұрын
Radio Jambo hamjaweka patanisho ya leo asubuhi. Na pia kwa maoni yangu naona ingekuwa vyema mkiweka pamoja na mawaidha kutoka kwa wasikilizaji 😊
@fredmakori1310
@fredmakori1310 24 күн бұрын
We bwana
@VeronicaDunbar
@VeronicaDunbar 22 күн бұрын
Sawa, lakini hii ya gidi na mulei ni tofauti. Wewe anzisha kipindi chako na unaeza pata watu wapendao hiyo njia yako.
@user-hc8mj4gx8v
@user-hc8mj4gx8v 26 күн бұрын
Thanks so much past Giddy
@lisawaweru819
@lisawaweru819 26 күн бұрын
This girl need to settle and raise her kid with.... Going from one man to another is wasting her's and daughter time....
@emilyMulama
@emilyMulama 24 күн бұрын
Uyu anachezea uyu mwanaume atarudia tu😂
@marrieann5278
@marrieann5278 25 күн бұрын
Huyu Dem ni kiruka njia,alishasoma weakness ya Anthony akajuwa,huyu Anthony anamwokolea tu kule kwingine kukiharibika na Anto asipochunga atamletea magonjwa
@supu1237
@supu1237 26 күн бұрын
Wewe gidi wacha kutuchomea Sisi wengine tulioleka na 18 years na BDO tuko tuu huko tumekorogewa kwa ndoa🤣🤣 but hi generation wee iko na mambo
@chelimovashit9091
@chelimovashit9091 26 күн бұрын
Getting married at 18 ain't a flex ..
@MargaretAwinja-ls7hx
@MargaretAwinja-ls7hx 25 күн бұрын
​@@chelimovashit9091my sis got married at 15yrs and its almost 24yrs now😂😂😂 na yuko tu
@chelimovashit9091
@chelimovashit9091 25 күн бұрын
@@MargaretAwinja-ls7hx still ain't a flex
@OldisGold1982
@OldisGold1982 24 күн бұрын
😂😂😂​@@chelimovashit9091
@VeronicaDunbar
@VeronicaDunbar 22 күн бұрын
​@@MargaretAwinja-ls7hx Hata km bado yuko, 15 bado ni kidogo sana. But ni vizuri mnaendelea vizuri. Though, si advice or mfano mzuri kufuatia. Kuna mila hufanya hivyo, but mostly ni wa pande zile wazazi huaolesha wakiwa wadogo sana. Na the young couple wananyimwa any say at all. Na ukipinga wazazi na elders, unaeza kua punished na hiyo mila na culture zao.
@Waziri77
@Waziri77 13 күн бұрын
haka nikamalaya, ndamu mbaya
@ElizabethLetletting
@ElizabethLetletting 16 күн бұрын
Vct giddy woiii
@winnievelachosen7501
@winnievelachosen7501 23 күн бұрын
😂😂😂😂😂huyu Dem ni gaidi😅😅😅
@Blessed2005
@Blessed2005 25 күн бұрын
You have no business being married at 22,ulishapata mtoto ni sawa,sasa ungekua unafikiria how to better your life,anyway to each their own
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 26 күн бұрын
Waaaa huyu aendee nyota ya ndoa kwa pastor Ezekiel
@marsellamauwaamurwa7362
@marsellamauwaamurwa7362 25 күн бұрын
😂
@NaomyMuttai
@NaomyMuttai 25 күн бұрын
Aiya, uyu christine ako na mtoto, then ameoleka kwa anto( not baby daddy) from there akaenda kuoleka kwa mwingine na sasa anataka kurudi 😢
@supu1237
@supu1237 26 күн бұрын
Hapo kuna mchezo
@everygoodthing8506
@everygoodthing8506 25 күн бұрын
Kijana wachana na Malaya.
@silaobera2172
@silaobera2172 13 күн бұрын
Anthony utakuliwa bibi viproper hapa nje coz she is not serious with settling down with you.
@evelynawuor2978
@evelynawuor2978 26 күн бұрын
Hey gidi mbona hukutoka kupeefm na maji maji?
@boazmireri9861
@boazmireri9861 26 күн бұрын
Nyamira township you are off air for 3months now we are not able to follow you up what might be the problem
@user-wu8xm3mp4t
@user-wu8xm3mp4t 26 күн бұрын
Kisumu we not getting u clearly kindly producer work on it
@MonicahAwoi
@MonicahAwoi 25 күн бұрын
Gidi radio jambo aichiki Jana na leo
@nyarikienocknyambati5594
@nyarikienocknyambati5594 25 күн бұрын
This girl belongs to the streets.
@emilywangui
@emilywangui 20 күн бұрын
Cheza na wanaume wa fb utakatwa kichwa tukupate mukuru,ladies be careful dating online
@graceesiabia5379
@graceesiabia5379 25 күн бұрын
😂😂😂 Thanks gidi na ghost
@VeronicaDunbar
@VeronicaDunbar 22 күн бұрын
Mzimu ni nini na, ni nani?
@diackomwansu660
@diackomwansu660 25 күн бұрын
The lady is undecided 😂
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 4,8 МЛН
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 32 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН
PATANISHO : MKE WANGU ANALEWA KWA MDOSI WAKE
20:34
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 84 М.
Patanisho: Mume wangu aliondoka kwenda kazi hakurudi tena
15:50
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 25 М.
PATANISHO :  MKE WANGU ALIMPELEKA MTOTO KUTAHIRI MPAKA WA LEO HAJARUDI
17:15
PATANISHO : SHARON - MUME WANGU HANA 'BRAKES' ANAPENDA WANAWAKE SANA
20:56
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 337 М.
PATANISHO : ANANIPENDAJE NA AKONA MKISII - FEDY
26:08
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 44 М.
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 4,8 МЛН