Huyo jamaa akirudi huko atakula shoka ya kichwa. Huyo mzee amekasirika
@marsellamauwaamurwa736224 күн бұрын
😂
@annimbuhila24 күн бұрын
Hehehehe, walitorokaa, that guy is a good narrator.
@mariamfritsi494324 күн бұрын
Inasikitisha sana kwa huyu mzee ,jamani hebu tuvae viatu vyake tuone inavyouma.
@Seventhdayadventistsongs7 күн бұрын
Wah io ni noma,wataama Kenya sasa ikiwa wanakutoroka.
@vivianagolla512424 күн бұрын
Hii ni laana atume askari washike hii bwege la mwanaume fala saana amearibu mtoto wa shule anadhshili kushikwa konokono kiwete
@nancyoduor929118 күн бұрын
Wazazi tunapitia changamoto nyingi sana..mungu atuhurumie
@lutomiatheson24 күн бұрын
Hii nimapepo
@VeronicaDunbar21 күн бұрын
Si mapepo, ni yeye mwenyewe alaumiwe.
@samsonokenye413024 күн бұрын
A clear example that kuna watu hawana akili So sad though 😢
@celinejudy149624 күн бұрын
Laana tupu uyu dem pia n mshenzi jinga kabisa
@victoriaamina500524 күн бұрын
Kando na kua na uko huyo jamaa anasitahili kufungwa kwa kosa lakuaribia mtoto wa shule masomo, akitoka jela after 30 years msichana atakua alipata mwanaume mwengi na hiyo ndo dawa yao period
@MargaretAwinja-ls7hx24 күн бұрын
😂😂😂hii yote n hasira
@marrieann527823 күн бұрын
Kabisa afungwe hata hana haya
@VeronicaDunbar21 күн бұрын
Kua na mtoto hio ni kosa moja. Kisha ni mtoto wa shule. Tena ni wa ukoo. Ya mwisho pia ni hatia ya incest. Afaa afungweeee, afungike.
@pendo624 күн бұрын
Aki mulee ATI pori pwana unajoma enjoying kiti na kost❤
@babewajeff24 күн бұрын
😮😮unasema nini
@MargaretAwinja-ls7hx24 күн бұрын
@@babewajeffmm hadi simwelewi😂😂
@jackieshamim316224 күн бұрын
Pole sana mzee.subiri mwezi wa nane ifike uone kama msichana atakuja.akikosa wote washikwe
@robertsabatia523024 күн бұрын
Loving dad
@mwendapoleee24 күн бұрын
Luuswa kweli ni laana.
@emmaculate352324 күн бұрын
Walai hiyo n laana direct,,werunga ww 😂😂😂😂😂unapeanaje guidance and counseling kwa msichana w wenyew
@wanjalacarolinanakuti655124 күн бұрын
😂😂😂
@VeronicaDunbar21 күн бұрын
Werunga Virunga.
@GAMETUMAINI18 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣 werunga ako n laana
@AnnahNzoka21 күн бұрын
Iyo ni tambia baya Sanaa
@mpendaamani225124 күн бұрын
He narrates so funnily 😂😂😂😂
@user-tq7wu4vk1k24 күн бұрын
Aki am feeling for the father 😢😢
@Tarkwen23 күн бұрын
Family meetings are very important.......huyo jamaa wa rasta.......iyo ni bangi
@user-ot9bd8jr3f24 күн бұрын
Mambo ingine ni ngumu hi ni laana aki
@carolinenjoroge909224 күн бұрын
Huyo msichana haezi soma
@sylvia399924 күн бұрын
Wajomba wako na sida 😢😢😢
@shamimaoko24 күн бұрын
Ghost uko na ufala 😂😂😂
@user-po6cj6bq7b22 күн бұрын
Mapenzi ya ukoo ni tamuu😂😂😂 but huyo mtoto atakuaje na niwaukoo
@VeronicaDunbar21 күн бұрын
Wewe pia ni laana. Na ulijuaje mapenzi ya ukoo ni tamu?
@Michinograccy-o3u24 күн бұрын
Waah😂😂
@joramgakuru304124 күн бұрын
Waluhya wah
@cathynaliaka528524 күн бұрын
Sasa uluhya imetokea wapi, these are individuals who have decided this ..... this is what we are trying to fight
@VeronicaDunbar21 күн бұрын
@@cathynaliaka5285 Kweli. Achana nae.
@evelynawuor297824 күн бұрын
Ghost anguka nayo😂
@diackomwansu66023 күн бұрын
You cannot advice a girl who is in Love😂
@Waziri7712 күн бұрын
HII NI TABOO BUT A CRIME IN KENYA, Luswa is punishable
@user-cg3vf2bl6b24 күн бұрын
Akii pungoma ni kama encyclopedia yani kila kitu inapatikana huko this is so sad , indeed
@solomonoduor24 күн бұрын
watching from israel. nashuku the two are not related at all otherwise hawangetoroka .wafanye DNA
@VeronicaDunbar21 күн бұрын
???????????
@rachelmuch578824 күн бұрын
aibu sana akii the way Wabukusu wanafwatilia Mila
@user-cg3vf2bl6b24 күн бұрын
Mila zao ziko very strong na udhuru sana
@VeronicaDunbar21 күн бұрын
@@user-cg3vf2bl6b Mila strong zinathuru vipi? Mila weak waona ndio nzuri.
@Michinograccy-o3u24 күн бұрын
😂😂😂 waàh
@marsellamauwaamurwa736224 күн бұрын
Mtoto n baba dunia kwisha mapenzi ingine niyakutowa kiboko siyo halali
@VeronicaDunbar21 күн бұрын
???????????
@jimjam-xg7rv23 күн бұрын
Tatizo ni ss wazazi wa kizazi kya sasa tume tengana na madugu wajomba na shangazi hadi watoto wetu awa juwani .
@VeronicaDunbar21 күн бұрын
Acha visingizio. In any case hawa walikua wajuana.
@user-cw6yt5yu4p24 күн бұрын
Direct curse no shortcut, any sin out of ignorance even the bible says it's not forgivable