No video

HANSTONE AFUNGUKA A-Z SABABU ZA KUJIONDOA WCB WASAFI! | NILIKOSA AMANI! | KUANDIKIA NYIMBO ZA WASAFi

  Рет қаралды 31,397

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

HANSTONE AFUNGUKA A-Z SABABU ZA KUJIONDOA WCB WASAFI! | NILIKOSA AMANI! | KUANDIKIA NYIMBO ZA WASAFi

Пікірлер: 118
@badmanno.1650
@badmanno.1650 4 ай бұрын
Hanstone ana kitu kikubwa.. avumilie kama Jay melody.. his time is coming.. namtabiria makubwa.
@user-jq1ny9lx4e
@user-jq1ny9lx4e 4 ай бұрын
This man is dangerous ,i encourage any one ainvest kwa huyu kijana anashauku kuonyesha umma uwezo wake anajua sana sana
@bmbprocess2362
@bmbprocess2362 4 ай бұрын
My favorite artist from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@muksinjuma4685
@muksinjuma4685 4 ай бұрын
Bmb 😂😂
@nyweleboy2832
@nyweleboy2832 4 ай бұрын
Sijakuona siku nyingi adamu kumbe udingiiii tayari ushatukumba kaka one love
@toneboytz6655
@toneboytz6655 4 ай бұрын
Hanston nakubal san ❤❤❤🎉
@shamsally6277
@shamsally6277 4 ай бұрын
Good interview shout out,..goodboy hanstone usivunjike moyo kaka
@online2288
@online2288 4 ай бұрын
Ilikuwa bado mda wakutanganza ivyo ni vipimo vya watu kujua kama unauvumilivu mbn wengine wanaenda ma wengi kiliko wanao lalamila
@davidibrahim9138
@davidibrahim9138 4 ай бұрын
Huyu asingefika popote Bora WCB walivomtema,angewasumbuwa sana discipline yake ipo chini sana ,huyu ndio wale shida ake asaidiwe alafu avimbe baadae sio wa kujuwa jinsi alivosaidiwa kutoboa
@MTOTOWAvitoto
@MTOTOWAvitoto 3 ай бұрын
Ashawahi kukuvunjia despline KWa style yeyote??
@yasser_yosa255
@yasser_yosa255 4 ай бұрын
Anaweza sana Wachia mangoma uone mwenetu
@Djugaripro
@Djugaripro 4 ай бұрын
sasa kuna ile mtu umemsumea mkata ukishamuelezea mkataba unasemaje ataona kama umatakihi liziki bongo sio watu wazuli yakishamkuta ya mkumkuta ndo anakumbuka
@Cu_ltu_re
@Cu_ltu_re 4 ай бұрын
For the first ni ngumu kuzingatia mkataba the time unatoka mavumbini mtaani huna shilingi mia and you want the platform maybe second time 🎯
@kizzasadamj629
@kizzasadamj629 4 ай бұрын
😂😂 alikua amesainia au alikua ameletwa kwanza aagalie kama anauezo😂😂 Huyu kuna kitu kaficha😂😂
@saidowsaidon4625
@saidowsaidon4625 4 ай бұрын
Wasanii wote wa WSB wakisania ndo mda ule unatambulishwa kwa wew mbna ni tofauti huo itakua ni uongo😢😢😢
@MJB-Africa
@MJB-Africa 4 ай бұрын
Focus,focus, focus
@silabtechnology
@silabtechnology 4 ай бұрын
Kwaio Toka ametoka io 2021 vp ameshatoboa au ameshatoa hits
@wizzykada9850
@wizzykada9850 4 ай бұрын
Aliamia kutulia aondokane na Ile stress Nd maan hata interviews hakuzitafuta Kwa MDA ule
@svt3
@svt3 4 ай бұрын
​@@wizzykada9850Aston ni Rubby wa kiume na ni Q chief mtarajiwa
@radikallambo491
@radikallambo491 4 ай бұрын
Bangi Zinamtesa
@jobizzotv2415
@jobizzotv2415 4 ай бұрын
Ila wabongo Wana penda sana kuua ukweli na kuukuza uongo kua kweli..... stone boy ni kati ya ukweli 🎉
@josephmakuri5724
@josephmakuri5724 4 ай бұрын
Kuna watu wanafanya kazi miaka mitano hawalipwi lakini leo wametoboa
@salessliquor9519
@salessliquor9519 4 ай бұрын
Sasa miaka hiyo na familia zetu na maendeleo binafsi inakuaje kaka si mtakufa njaa
@officiallnobystar
@officiallnobystar 4 ай бұрын
Wewe Umekaa Miaka Mingapi Bira Kulipwa Embu Tuambie Mana Usiongee Tu Kama Shabiki Wa Wcb
@josephmakuri5724
@josephmakuri5724 4 ай бұрын
@@salessliquor9519 kipimo cha maisha ni uvumilivu bro hakuna mafanikio yanayopatikana kirahisi keep it in your mind 🤨
@josephmakuri5724
@josephmakuri5724 4 ай бұрын
@@officiallnobystar sijui hata nikujibu nini kwasababu kwa muonekano tu unaonekana wewe sio hasira ila bado hujapitia zile changamoto ngumu za maisha ukatamani hata ufe so nikikujibu ntakuwa nimekupa kitu cha ziada ambacho sio hata uwezo wako 🤔UKIONA MWENZIO ANANYOLEWA WEWE ZAKO TIA MAJI 🤫LEARN.....
@michaelbwoma2760
@michaelbwoma2760 4 ай бұрын
Hawa WCB wanachungulia nyota wakiona atafunika mtoto wao unavutwa unafyonzwa unatupwa
@wazinzatv3152
@wazinzatv3152 4 ай бұрын
Mhhh😮
@MwinyidadiJuma-jl4gm
@MwinyidadiJuma-jl4gm 4 ай бұрын
Akili zako za usiku
@nasibuomary7981
@nasibuomary7981 4 ай бұрын
Acha kuongea pumba ww hujitambui! WCB wanamtoto kusema kunifika mtoto wao? Wanachoangalia kipaji na uwezo...kuna wasanii wangapi pale mbn huwazi kama watafunikana? Kila MTU na nafac yake watu wanahitaji kuingiza pesa tu kupitia kipaji chako maswala ya nyota usenge huo acha ujinga bhn!
@Mina.15
@Mina.15 4 ай бұрын
@@MwinyidadiJuma-jl4gm😂😂😂😂 na zako za asubui
@solomonadams6337
@solomonadams6337 3 ай бұрын
you mean Zuchuuuuh¿
@napster2558
@napster2558 4 ай бұрын
Nidhamu mtu wangu😂😂
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 4 ай бұрын
Nidhamu ni kitu muhimu katika kila kitu.kijana yuko sawa sema yuko na haraka kutoka.Awe mvumilivu tu bila hivyo atapotea.
@user-uo8xw9kr4b
@user-uo8xw9kr4b 4 ай бұрын
Hiyo ndio shida yavijana wengi wasasa hat maofisn wapo mtu akifanya kaz mwaka tu anatak amilik nyumba gar n.k.
@RAZAKIMMALINDA
@RAZAKIMMALINDA 4 ай бұрын
Mbn kama hajui anachojibu uyu dogo 😂😂😂😂
@ben_digital
@ben_digital 4 ай бұрын
Kuna vitu anakwepesha kuviongea
@nasibuomary7981
@nasibuomary7981 4 ай бұрын
Kipaji unacho lkn WCB Ni kama Shule...kuna vitu ulikuwa umekosa kwny mziki so walitaka uwe Sawa kwny vipengele muhimu vya uimbaji then ndo wakutoe ....sio Leo wakutangaze unatoa heatsong 1 ndo BC Tena unatoa maboko...kiufupi ni lazima UPIKWE utengenezwe vzr uiveeee!
@rpynoel566
@rpynoel566 10 күн бұрын
Sasa dvoice mbona Hana hata hit song moja
@SaidSaid-ef8md
@SaidSaid-ef8md 4 ай бұрын
Mtoto wakike unatakiwa urelax kidogo, unaingia kwenye kila anaeongea kuna kasauti chako kikali sana. Vizuri uelewe kuna vidume vitatu apo vinaongea just take your time sis. Relax 👋
@Jonathanmakhubela-kb6lz
@Jonathanmakhubela-kb6lz 4 ай бұрын
stop shit ameekwa kwa hilo wewe sio mwalimu wa waandishi wa habari wewe ni mtu tu na bando lake.. 😀😀
@khadjamhozya
@khadjamhozya 4 ай бұрын
Mina ally Ni mtangazaji mzuri kuriko ata ware wanawke
@khadjamhozya
@khadjamhozya 4 ай бұрын
Mina ally Ni mtangazaji mzuri Sana kuriko ata hao wanaume
@khadjamhozya
@khadjamhozya 4 ай бұрын
Na ikumbukwe mina Yuko kazini usirete mambo ya ushamba kishamba razima aongeye usimpangie
@arjunaking5595
@arjunaking5595 4 ай бұрын
asee mbn jamaa wanauliza maswali ya kigombanishi
@ndarnationsoundtz
@ndarnationsoundtz 4 ай бұрын
Nyie amna akili wote apo machoko tuu asa wavuta banging et ndo watangazaji
@kizzasadamj629
@kizzasadamj629 4 ай бұрын
Na alijuaje vitu muhimu vyiko page gani kama hakupitia mukataba woote😂😂😂 Clouds hivyo ndo munavyotaka wakia wanaponda WCB😂😂
@mariajumaaa
@mariajumaaa 4 ай бұрын
bongo hapa wasani wa generation hii wanajua afu watu awawapi nafasi ni hanstone na ivorange
@Mhinaog
@Mhinaog 4 ай бұрын
Kabisa Ivorange ni noma
@neemacute
@neemacute 4 ай бұрын
ivorange alie imba nimekumis nae yuko moto sana
@neemacute
@neemacute 4 ай бұрын
kuna wasanii kama ao hanstone,Ivorange akina vanilla wakipewa nafasi na wafanzania kuna vipaji vikubwa vitaonekana
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 4 ай бұрын
Pole hans mungu atakukuongoza
@lobistyprecoz4440
@lobistyprecoz4440 4 ай бұрын
Uyu mtoto yupo vzr kuliko yule mwimba singer
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 4 ай бұрын
Lakini mwimba singeli anajina kuliko yeye,Ni watu tu walimdanganya kimoyoni anajutia maamuzi yake,Mziki bila hela hakuna kitu
@ricklandennis
@ricklandennis 4 ай бұрын
Ana jina je ana hela​@@frankngoloka2589
@sunwizy608
@sunwizy608 4 ай бұрын
@@frankngoloka2589chono wana man leo mbna anatamba acha uwongo ww kipaji tu
@shanatatrigger6537
@shanatatrigger6537 4 ай бұрын
Sasa kijana anasema alikuwa hajaliwi kwamb it's means aliona anacheleweshwa kwan sahiz anapata nini😂😂😂😂
@officiallnobystar
@officiallnobystar 4 ай бұрын
Alijitoa Aishi Kwa Amani Tu Sio Hivyo Unavyo Fikilia Na Usiombe Ukae Sehemu Ina Pesa Alafu Wakuombe Pesa Useme Una Apo Utajua Ujui
@nasibuomary7981
@nasibuomary7981 4 ай бұрын
Ttz vijana tunayachukulia poa Sana mafanikio...mafanikio hayaji kwa haraka km Unavyotaka ikitokea n bahat 2 Mipango ya Allah! Mwenzio Zuchu amekaa miaka mingapi mpaka kutolewa? Wa2 mpaka wameona kipaji chako na wakakuhitaji kibiashara maanayake wap wenyew wanahitaji ufanikiwe na wap wapate pesa...so hawakuwa wajinga.
@JoshuaNakonje
@JoshuaNakonje 4 ай бұрын
Azikiwe bila nidhamu uwezi finally popote
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 4 ай бұрын
Kupoteza muda pia ni ukosefu wa nidhamu, so yeye ananidhamu
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 4 ай бұрын
Ww ulindwa uvumilivu bro, Leo ungekua Tajiri
@user-mb3xq1do3s
@user-mb3xq1do3s 4 ай бұрын
Miaka mitatu?
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 4 ай бұрын
@@user-mb3xq1do3s 2019 had 2021 sio miaka mitatu. just imag6 2019 mwezi wa 12 had 2021 mwezi wa kwanza ni mwaka mmoja tu. So hyo isikuchanganye. Na miaka mitatu sio Mingi kwa pale WCB , harmonize alisubr miaka mitatu leo ni namba mbl nchini Rayvany leo ni namba tatu kama sio nne, Waliowatanguliwa wapo wapi??
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 4 ай бұрын
Lava lava Tajiri queen Doreen Tajiri? Acheni kujidanganya
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 4 ай бұрын
@@FahadAbubakari Sasa huoni huyu hanstone ana kipaji kuliko wao,?? Utamfananisha Hanstone na queen darling??
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 4 ай бұрын
Zuchu alikua miaka minne​@@user-mb3xq1do3s
@khadjamhozya
@khadjamhozya 4 ай бұрын
Kipaji unacho arakini ungevumiria mbona ibula amekaa kond geng kwakuvumiria,kipaji unamzidi ata dvoice sema ,ndo hivyo haraka zako, na saivi ndo hutasikika kabisa Kama mavoko na wengineo
@MTOTOWAvitoto
@MTOTOWAvitoto 3 ай бұрын
Ibrah ni ibrah na hans ni Hans halafu njia ziko tofauti za mafanikio ya MTU pia,,sio alichopitia Ibrah lazima na hanstone apitie inabidi utambue hiko pia
@online2288
@online2288 4 ай бұрын
Haston akuwa na uvumilivu
@swahilifoodtz6446
@swahilifoodtz6446 4 ай бұрын
Muongo uyo kabisaa
@Jostany
@Jostany 4 ай бұрын
Msieke comment za kumkandamiza Jamaa Muziki una mambo mengi
@user-uo8xw9kr4b
@user-uo8xw9kr4b 4 ай бұрын
Sio muzk tu maisha kiujumla shida ni nyingi kuliko urahis muhim kuvumilia nakutafta namna yakutatua ila wengi tunajiangalia sisi tu
@svt3
@svt3 4 ай бұрын
@Jostany sio music tu maisha kwa ujumla ina mambo mengi ila nidhamu na uvumilivu vinahitajika saaana
@amanichidyboy2900
@amanichidyboy2900 4 ай бұрын
Tunapenda mdogo wetu
@zeelamaokoto001
@zeelamaokoto001 4 ай бұрын
KAKA ANGEBAKI KWA ABBA NOW ANGEKUA MNYAMA SANA
@neziajoseph9726
@neziajoseph9726 4 ай бұрын
Kama unataka kujua ukweli zaidi basi muulize Rich Mavoko namaanisha aulizwe msanii anayetoka nje ya wbc kuingia pale... jamaa Wana roho mbaya sana
@subo2667
@subo2667 4 ай бұрын
We ulivyoongea naye alikwambiaje,,?
@yasser_yosa255
@yasser_yosa255 4 ай бұрын
Wcb wananyonya nyota
@britonkanumba6828
@britonkanumba6828 4 ай бұрын
UkisikilizA vizuri utagundua hana adabu
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 4 ай бұрын
Nyinyi ndo wakanda mizaji mnauwa vopaji kwa wivuuu
@officiallnobystar
@officiallnobystar 4 ай бұрын
Acha Vivu Kk Wewe Unaweza Kaa Undel Sehemu Bila Malipo Ya Kujikimu Kidogo Ama Unakurupuka Kusema Kwasababu Ndio Team Wcb
@MateiPs-kr9tg
@MateiPs-kr9tg 4 ай бұрын
Hanston ile ngoma na abbah vp imeishia wap?
@giztony2009
@giztony2009 4 ай бұрын
Shida ya adam ni bangiii
@user-sz8ic2tm7n
@user-sz8ic2tm7n 4 ай бұрын
Huyu dogo kuna kitu anavuta km si unga bangi
@user-nq4md3sj6d
@user-nq4md3sj6d 4 ай бұрын
WCB ni taasisi kubwa, hawawezi tu wakutambulishe kumbe vile ni mtu wa tamaa, adabu yako mbaya, na hivyo ndivyo vijana wa siku hizi hawana.. kiufupi huyu HASTONE alikosa uvumilivu wa kukaa pale
@khadjamhozya
@khadjamhozya 4 ай бұрын
Huyu mtoto anakipaji Sana
@user-uo8xw9kr4b
@user-uo8xw9kr4b 4 ай бұрын
Kipaji bila uvumilivu haisaidii hat huk maofisin kun miez yakuangaliw utendaj wak na utakuta wataokuchukia na watakaokupenda ww ndio ujue utaish nao vp akili kichwan mwako.
@MohamedChenge
@MohamedChenge 4 ай бұрын
Hawa ndiomaana wanapuyanga , yaani majigambo ndo yanawakost
@user-op1hc2ds8y
@user-op1hc2ds8y 4 ай бұрын
ARV Badala ya VAR😂😂😂
@Abby_Shawn_KE
@Abby_Shawn_KE Күн бұрын
😂 Muziki waleo bila ibilisi hutoboi bro, damu yako ilikataa wewe kuungwa kwenye Frimasoni zao ndio maana ukawa outnumbered pale,. Kama wakina SAJNA wapo beji wewe nani njoo tulime
@Platwhite_Tz
@Platwhite_Tz 4 ай бұрын
Hakuna maisha mazuri bila uvumilivu usha feli kaka😅
@pavlotz8084
@pavlotz8084 3 ай бұрын
Hujui
@GastonMkinga
@GastonMkinga 4 ай бұрын
Amn k2 apo
@arjunaking5595
@arjunaking5595 4 ай бұрын
zuchu kakaaa miakaa sabaa
@MarkSulle-yg5lt
@MarkSulle-yg5lt 4 ай бұрын
Me mtu mmoja aje anambie tu iyo background ni wimbo gani huo tafadhali
@prilorybhoi3143
@prilorybhoi3143 4 ай бұрын
Nampa pole!
@user-xk6ry2uv1g
@user-xk6ry2uv1g 4 ай бұрын
Hanstone nampa pole background sound
@kizzasadamj629
@kizzasadamj629 4 ай бұрын
1. Amesema hakupea chochote chakujikimu mbona D-voice alipea? 2. Amesema aliandika nyimbo nyingi lakin hazikutolea, D-voice aliadika 30 songs lakin zilichagulia mbiri tu. Watu wigine mjaribu kukubari kwamba bahati haitokee kila wakati. Eti kibonge ilikua hiti song😂😂?
@wizzykada9850
@wizzykada9850 4 ай бұрын
D voice miezi 6 kasainiwa Stone bway miaka mitatu sio riziki
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 4 ай бұрын
Hans unakula unamoka
@JoshuaNakonje
@JoshuaNakonje 4 ай бұрын
Maisha bila nidhamu uwezi fika popote
@user-uo8xw9kr4b
@user-uo8xw9kr4b 4 ай бұрын
Sahih kabisa
@Bichukahassan
@Bichukahassan 4 ай бұрын
😂😂😂kwenda unaakili ww ujitambuiih bwenge ww ujuwi ata kuongeea yan usainiwe alafu ujuwi alikuwa anakusamamia duuh usiwe unaongea maana ujuwi unachafuwa lebo ya nasbu matako yako
@ibthuutz
@ibthuutz 4 ай бұрын
Kijana anajua sana kuimba bt nidhamu yake ni ndogo!!! Media nazo zinajua kuvuruga asee!!! Shame on you Clouds!!!
@pavlotz8084
@pavlotz8084 3 ай бұрын
Hujui
@FawzaanMwemberi
@FawzaanMwemberi 4 ай бұрын
Inaonesha wcb awakumtaka au chuki binafs
@arnaldo7319
@arnaldo7319 4 ай бұрын
WCB hawana kosa lolote,ila hanstone kakosa kuwa na suubira kwasababu kwake yeye anajiona ni star, kwaio kuto kua na jero mfkoni ni shita, chapa kazi utafika unaptaka, ila anakiburi sana swala la kwamba mama na mtoto wake ilo swala limekaa kijeuri sana
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 4 ай бұрын
Wcb jauuu wa binafii waleee chiziii weee adi uwe mramba lipsii
@arnaldo7319
@arnaldo7319 4 ай бұрын
@@RomanMwinyi inawezekana sitaki kuamini wala kukubali kwasababu siwajui kiundani, ila Hanstone inabidi awe smart ajuwe kuongea vizuri maana ana kaujeri flani ambao utamwaribia kiasi flani na watu wengine kuogopa kumsaidia
@sunwizy608
@sunwizy608 4 ай бұрын
wewe akuna asiye iuju WcB wale wanamabo ya kiwaki
@sunwizy608
@sunwizy608 4 ай бұрын
@@arnaldo7319fatilia kwangwaru ilivyo kashootiwa utapata jibu kwann harmonize aliamua kusepa
@nelsonnyizi9798
@nelsonnyizi9798 4 ай бұрын
Ndo apambane atoke sasa maneno hayata msaidia
Diamond Platnumz na Hanstone - Washamba Tu |REACTION
17:33
Van isikaka
Рет қаралды 5 М.
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 40 МЛН
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 19 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 12 МЛН
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 28 МЛН
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 40 МЛН