Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe play.google.com/store/apps/de...
Пікірлер: 54
@user-zr5rg5ul3q6 ай бұрын
Kumbe mbosso kama mm tuu kumaliza movie siwez lazima nilale😂😂😂😂😂😂
@husseinhamis14286 ай бұрын
Bro sky mbona ulivyo muuliz chriz kuhus kutumia kinywaj baada ya yakukujib umeonyesh namna flan kama jamaa kaongopa hivi 😂😂😂 any way nawapenda sana wote na nnawakubali sana aisee
@noel32906 ай бұрын
Nampenda sana huyu jamaa. I will go to his show any time
@fatumamaro87266 ай бұрын
My favourite kinywaji kisichoisha utamu wala hamu tembea juu zaidi kaka mboso❤
@user-fy9pw2zr8l6 ай бұрын
mbosso wetu❤❤napenda kazi zako
@walizanasiri49635 ай бұрын
❤❤❤❤❤😂😂😂😂Mboso yani mimi ata nikiangalia tamslia tu nalala
@mdbosco16406 ай бұрын
Nakubali mbosso ❤
@mg_panther6 ай бұрын
Mbosso khan mshedede ❤
@swachtech6 ай бұрын
interview imetulia with comfort yani the chemist is wow❤
@user-io1hm6ed4y6 ай бұрын
Mshedede kama mshedede like 20 tu zinanitosha
@sarastephano34096 ай бұрын
Sky amepungua Sana kile kitambi chote kimeisha hongera sana
@geofreysadok48236 ай бұрын
Mchanganyiko wa limao mbili,mbegu za kitunguu swaumu 4 na gangawizi kipande.mwezi mmoja tu
@erycah6 ай бұрын
Kitunguu swaumu na tangawizi natwanga au? @@geofreysadok4823
@patrickmukundichalamila30386 ай бұрын
Moja kati ya wasanii wangu ninao wapenda 🇹🇿
@judithkatabaro32946 ай бұрын
Nilizani nime muona peke yangu amepungua vizur aja konda ila amepungua kama ni diet basi amefaulu mkewake kumfanyia mana kukubali diet sio mchezo
@safaranikimya35806 ай бұрын
❤❤ ❤
@shaabanmfaume61026 ай бұрын
❤
@festojuvenalis16566 ай бұрын
Kwa kweli Mbagala hood inahitaji respect sana😊
@alawithebestconcept-as10056 ай бұрын
I like this all interviews and Mbosso Khan for his story of life music never talked without say 2 country 🇰🇲 Comoros Islands and 🇰🇪 Kenya but Mbosso very talent of performance of Concert .
@kichecheBurund6 ай бұрын
Mimi wakwanzaaa naitaji likes zangu❤
@Saiditofikisaidiramadhan-mk2xi6 ай бұрын
Gonga like hapa kama unamkubali mbosso khan
@meryamreally27686 ай бұрын
Sawa mbosso 👏👏❤️❤️😂😂😂❤️
@HalimaJuma-de5gc6 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Black-sound246 ай бұрын
Dada mboso ❤❤❤❤
@allyshabani75136 ай бұрын
Nani anakubali kwamba sky nibora kuliko millad ayo
@ndayishimiyejumaine26486 ай бұрын
Anaitwa Rick Rick
@orafaomary26056 ай бұрын
@sky walker Dj Cleo sio msanii wa one hit wonder ana ngoma nyingine nyingi kama impilo yam na we dj ninyimbo ambazo zinafanya vizuri sehemu mbalimbali
@mdbosco16406 ай бұрын
🤙🥰
@RazakiMmalinda-rl3ej6 ай бұрын
Mshedede 🙌🦅🔥
@ramamabinda50636 ай бұрын
Online tv pendwa zaidi kwangu. Bando langu hua linamalizwa na SNS kwa kiasi kikubwa sana
@SimuliziNaSauti6 ай бұрын
Asante sana mzee
@Mina.156 ай бұрын
What's bando❓
@vincentmushi12476 ай бұрын
@Mina.15 When you top up your phone to buy air time and Internet Thus what we call BANDO or KIFURUSHI
@speroachpaulsen6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@arnaldo73196 ай бұрын
Ni Rick Rick
@bramzymedia45536 ай бұрын
Nimeangalia ya kwanza mpka part ya mwisho SnS Mmeupiga mwingi sana BANDO LIMEISHA Nimesongesha ili n malizie interview hii mbosso very hamble sky bravo sana. Hii interview imeni motivate sana katika mengi.
@user-jh5px2xl8u2 ай бұрын
Mbona kana stoli😅😅😅
@user-hh4hd6rr3h6 ай бұрын
ujafanya interview.mda.mwanangu
@SUNDAYMRGAMINGTZ6 ай бұрын
Anaitwa Rick rick😢😢😢
@user-ji6fu9lo2g6 ай бұрын
Mboso Mr Selemani Huna baya
@ibrahimkombo10486 ай бұрын
😂😂
@Tariq_Tryagain6 ай бұрын
11:50 ni RICKY RICK
@petersagala77566 ай бұрын
Huyo aliyejiua anaitwa ricky ricky
@RockaChiOfficial6 ай бұрын
🔨🔨
@user-kf1qi3zb7t6 ай бұрын
Mnasumbuk kama watangazaji kutaja msanii wa sauzi😮
@hassanbakari45256 ай бұрын
MBOSO,,RAYVANY KWENYE INTV ZAO KAMA WANA U COMEDY FLANI
@leonardanney75806 ай бұрын
Mboso km vile Kuna namna hayupo sawa, ni km Hana furaha.
@everrineanyango74106 ай бұрын
Ila zuchu kafanana na harmonize sana kuna Siri hapa
@vanessalaizer43636 ай бұрын
Kama wewe ulivofanana na Idd Amin tuanzie hapo kwanza
@Mina.156 ай бұрын
@@vanessalaizer4363😂😂😂😂
@Rahima-kv6mn6 ай бұрын
@@vanessalaizer4363 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@abras34796 ай бұрын
'\Sijui sikuhizi ameamua kulima'' what d u mean bro? Yaani mtu kama kafulia ndo anageukia kilimo?serikali inachagiza vijana tukalime wewe unatumia platform yako kukidharau kilimo??? omba radhi fasta bro. Acheni kuropokaropoka. Halafu mmezungumzia kuongea kingereza kama ndo kutoboa wewe Bundara wa wapi? Kwanini msimshauri mbosso na vijana wengine wenye mkwanja waajiri wakalimani ili kutatua tatizo lao la kuelewa English???