LODY MUSIC ATOBOA SIRI KUHUSIKA KWENYE UANDISHI WA WIMBO WA ENJOY WA JUX NA DIAMOND! | AFUNGUKA A-Z
Пікірлер: 49
@user-wb8uh1vw3k2 ай бұрын
Jamaa angu lody music leo umezingua sana.
@user-dr6hk6jk7s2 ай бұрын
🔥🔥🔥Lody music uko sahihi sana kaka🥳
@RAZAKIMMALINDA3 ай бұрын
Lody music on dis one 🙌🙌🙌🙌🙌
@user-gc8jc1sh4z3 ай бұрын
❤❤Lody music jamaaa anajua sana kuimba bless❤❤
@alvinmbugua98302 ай бұрын
This guy lody music always kill it...congratulations and you will go far
@Lilian-le7dc2 ай бұрын
Ur my number one artist❤
@jaluumtanke2 ай бұрын
Lody music on this one ✊
@kingdeniscrocodile3 ай бұрын
Sura ya kiniga, nakukubali lody
@tigejuma98653 ай бұрын
Huyu dem AKO na sauti Tamu xna...sauti ya feni mpya.. 😅
@deblacktz29813 ай бұрын
Mchomvuuuuu, Baba Johneeee. Hiyo nguo umezingua mwanangu
@christhoya87043 ай бұрын
Lody muda wako huu kwa uwezo wa mwenyezi mungu
@nahyialetomia92843 ай бұрын
Lodi 🎅
@abdifatahhassanhamoud50283 ай бұрын
superstar
@seiphomary8343 ай бұрын
Menina vp # kwan wanawake wasisemwe #
@QGmtata3 ай бұрын
Ndo namalizia hapa sema nilitaka tu nisikie uongo wa humu ndani duuh sio kweli
@kaditokenya68733 ай бұрын
Kabisa mkasa huo ndio ulitokea kwangu bt bado tunaishi nao
@sophieernest33763 ай бұрын
Mbeya hatuwapati jamani clouds
@hajiabdalla57722 ай бұрын
Huisi vuke mana bongo jua kali utakuja kuungu
@benclever2 ай бұрын
Nimetohoa😂😂😂😂
@faustinhommedetatnifasha96693 ай бұрын
Kumbe n'a papala zooooote zile nanyimbo hawakuwandika wao😮😂😂😂😂 #Harmonize bado single inawaburuza yéyé jeshi lamtu umoja kaandika yéyé Melody yake ebana vitu vingi saaaana
@iddykidito64413 ай бұрын
Kaandika sehemu ya jux cyo nymbo nzima
@barretobacca97543 ай бұрын
Jeshiii
@Bill_boyy2 ай бұрын
😂hahaahhahaha
@-ef3wr10873 ай бұрын
Pamoja muchovu for making people attention kwa nguo tisha Watu wamekuzungumuzia ww kuliko uyo chali cause Hana cha ku talk if you want people to like you and follow you hutakiwi ku sema gender zao don’t talk about women or men
@gerry_macopper38083 ай бұрын
Meena umemkosesha confidence lody
@doctorwamapaatz65712 ай бұрын
Iringa, ndo maana ulikosa sura
@johnphilipo67603 ай бұрын
Mchomvu huwaga ni Mr. Bean 😂😂😂
@hunterstartz62392 ай бұрын
Amna wa2 wakufanyia interview apo bang ndo zmewatawala
@user-gr9kx8hz6t3 ай бұрын
Huyu mchovu bangiii kweli huu uchafu alonao tena imekua tumarch anafika kuvaa nguo mbovu tena mbele ya kamera bangi mbaya kweli
@PrinceBonnyTz83 ай бұрын
Unabahati hauko karibu ungekula teke kama lile Mbasha😅
@oshenifrank6143 ай бұрын
Hizo nguo kumbe ni chafu au tusubili avae drake ndo tuige@@PrinceBonnyTz8
@boscofidelis62233 ай бұрын
Be positive, Mchomvu is conscious enough than you could think
@officialdinaize3 ай бұрын
Tafuta hela😂
@kwisa48992 ай бұрын
fashion Bro leave ur life
@geofreybarama40002 ай бұрын
Bonge la kipindi Xxl kubwa kuliko..
@Abuukhatibu3 ай бұрын
😂😂😂mchomvu
@PrinceBonnyTz83 ай бұрын
Clouds nunueni makamera bana sasa Camera moja inasaidia nini
@rashowshine78493 ай бұрын
Mpaka izunguzwe😂😂😂
@hajiabdalla57722 ай бұрын
Acha matusi wewe boya mchovu acha majingambo.
@Ericomtz53 ай бұрын
Kikosi kizima cha humo kiboooovu wcb 4life
@majidfrolian49043 ай бұрын
Kingekuwa kibovu usingekuja kwa page matako wewe
@abeidbhuzo5203 ай бұрын
@@majidfrolian4904hawa nais wanakuwaga wametumwa.. u hater usio na sababu
@Ericomtz53 ай бұрын
Hata sina shaka na akina mama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,bangi2 kuoga aah!!!
@Ericomtz53 ай бұрын
Hapa kila mtu anatafuta content c kingine
@user-xy1gf2iz4u2 ай бұрын
Haujaulizwa
@jastinedaudi-qi9vr3 ай бұрын
M mchovu huy jamaa at smuelewag yn
@-ef3wr10873 ай бұрын
Ndo mana uwa hamutoboi sasa mambo ya kusema wadada wa Iringa una juaje Kama una mashabiki Iringa wate wana takiwa waku unfollow acha zalau
@mdachiog52112 ай бұрын
Kweli kajichanganya anahitaji manager Mana me nimtu wa iringa