Maneno ya Dkt Philip Mpango Bungeni baada ya Kupendekezwa kuwa Makamu wa Rais
Пікірлер: 63
@mwajumahaji37183 жыл бұрын
Hongera sana mzee fanya kazi kwa biidii mtangulize mungu
@enterenter19213 жыл бұрын
Ashukuriwe Mungu muweza wa yote Alhamndulilah 🇹🇿😘nimefurah mno kukuona umepona unaendelea nakaz zako Mungu nimwema saan amekunyanyua kwa uwezo wake hii ndo inaitwa mkono wa Mungu 😘😘😘Kila lakheir
@jaypchanze39223 жыл бұрын
Kilichochema huandaliwa vyema ugumu wa majukumu hudhihirisha ubora wa mtu muhimu umepitia mengi hili halitokushinda jitoe katika Roho na kweli na Mungu yu pamoja nawe Dr. Mpango kazi njema na yenye mafanikio zaidi.
@mosesbusanya35283 жыл бұрын
mtu sahihi mtu makini 👏🏽👏🏽🙏
@mwengatv30583 жыл бұрын
Safi sana, Ila kawalidhishe Lindi na mtwala pesa zao za korosho ndio ufanye mengine
@shau783 жыл бұрын
naunga mkono uteuzi kwa asilimia 100. Mungu akutangulie Dr Mpango. utaacha pengo kubwa wizara ya fedha. lakini nafasi ya makamu wa rais pia ni ya muhimu sana. songa mbele baba.
@kingsuleiman72013 жыл бұрын
Kumbe uko vizuri umepita sehemu nyingi za kikazi hivo hatuna Shaka mungu akupe nguvu.
@zuhuraally41463 жыл бұрын
Mwenyenzi mungu atakusimamia baba kwa uwezo wake inshallah
@syproelvistru26103 жыл бұрын
uongo dhambi Mpango sio mtu mbaya ...mimi huwa sipendi wasaka vyeo huyu jamaa hakutafuta hata ubunge...
@margarethpolepole74383 жыл бұрын
Kwa kweli hapa mungu ametenda ni kama ile ya hayati MHE magufuli embe dodo lililoanguka kutoka kwenye muarobaini mungu ahsante
@margarethpolepole74383 жыл бұрын
Ahsante baba kwa ahadi ya kufuata nyayo ubarikiwe sana tunakuombea kila la kheri
@kudranyome3193 жыл бұрын
Hongera sana baba mungu akutie nguv
@sumako79603 жыл бұрын
Mungu hakubariki sana
@DJSharifu_onthe1and23 жыл бұрын
Kazi ipo
@haysanhassan26853 жыл бұрын
Mzee umenikumbusha mechi yako na makonda pale bandarini ulivyoondoka na point 3 na goli nyingi.
@esteramon93333 жыл бұрын
Wew nimtulivu na kuamini kamuunge mkono Mama ucimuangushe
@Officialboysafi3 жыл бұрын
Hongera yake
@jerinosanka43833 жыл бұрын
kazi inaendelea na mpango mungu amtangulie
@sarahmgaya98533 жыл бұрын
Hongera baba upadiri ulikushinda sasa piga kazi ukimtanguliza Mungu , tunaimani naww
@jaymalebo21593 жыл бұрын
Nilazima taifa liendelee, barikiwa sana mzee wetu kwa maneno mazuri, inshallah Mungu Mkubwa kwa uteuzi huu,mshauri sana Mama yetu🙏🏻🙏🏻❤