DULLY SYKES ABANANISHWA NA SALIM KIKEKE/ AIMBA KASWIDA LIVE/ NILIMTOA DIAMOND NA ALIKIBA

  Рет қаралды 49,883

Crown Media

Crown Media

6 күн бұрын

Dully Sykes kwenye Kasri La Kikeke.
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: profile.php?...
TIKTOK:
- www.tiktok.com/@crownmedialiv...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Пікірлер: 151
@user-td4le3xf7h
@user-td4le3xf7h 4 күн бұрын
Asantee king kwa kumuleta salim kikeke mupe zawadi ya v8 ndio baba yetu wa habari
@fredmbossa-kc3qn
@fredmbossa-kc3qn 3 күн бұрын
sasa wewe kwa akili zako unazani hii media ya kiba 😆😆,,yani kikeke ndo mwenye media then kiba ni brand tu katumia yani ni kama unavyoona wasafi ni ya kusaga alafu diamond ni brand ametumia ,,
@user-td4le3xf7h
@user-td4le3xf7h 3 күн бұрын
@@fredmbossa-kc3qn sasa wewe kwaakili zako. Unajua nini acha ujuaji
@allykwaya
@allykwaya Күн бұрын
​@@fredmbossa-kc3qn Hujui kitu kuhusu kampuni, ndo maana unasema hivyo
@fredmbossa-kc3qn
@fredmbossa-kc3qn Күн бұрын
@@allykwaya hongera kwa wewe unaejua
@SuleimanJembe-qj9nd
@SuleimanJembe-qj9nd 4 күн бұрын
Dully sykey ndio msani wa kwanza kuja kenya Tanzania zima
@rahmatsumo3274
@rahmatsumo3274 4 күн бұрын
Si wa kwanza kuna marehemu mbaraka mwishee na pia alikufia mombasa kenya hapo kengeleni kwa ajili ya ajali ya gari
@BonusNdamcho-gx2mq
@BonusNdamcho-gx2mq 4 күн бұрын
Founder of bongo fleva💯🇹🇿
@elisharuhonkonya
@elisharuhonkonya 4 күн бұрын
Hongera Kikeke bro tunakukubari na HAPO upon sehemu sasa
@mikidadyhamis4070
@mikidadyhamis4070 4 күн бұрын
Mwanga na Nuru Kwa watanzania wooote🎉🔥🔥🎤🎧📻📺👑👑👑
@abdulazizjeizan-vx1mc
@abdulazizjeizan-vx1mc 4 күн бұрын
Dini INA umuhimu mkubwa sana kwa ajili ya maadili na kusafisha iimaan zetu vipindi vya dini pia no muhimu sana kuliko kila kitu maadili yetu yameharibika kwa sabu dini hatuipi kipaumbele
@alibachirofficial3939
@alibachirofficial3939 4 күн бұрын
From Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 We recognize him as the first bong flavor creater
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 4 күн бұрын
Uyo ndo baba wa huu muzik anatakiwa apewe tuzo kubwa sana ya heshima
@mcshujaa6496
@mcshujaa6496 4 күн бұрын
Crown FM crown Digital makofi mengi mengi Sana aaaa❤❤❤❤
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 3 күн бұрын
👋👋
@nesymichael4286
@nesymichael4286 4 күн бұрын
Jamani tutafutieni na marrow
@Dianibeach718
@Dianibeach718 4 күн бұрын
Munipe likes hapa natokea kenya
@adorateurpaulbukuru6864
@adorateurpaulbukuru6864 3 күн бұрын
Big 🆙 King KIBA 👑 Big 🆙 Mr Kikeke Salim, we are proud of you from DR C.O.N.G.O🇨🇩 Lubumbashi WANTANSHI🇨🇩✌️
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 Күн бұрын
Mm nishie kusema hivi nyimbo zote alizoimba prince Dully Sykes zote ni Hit songs 🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏
@ce-08
@ce-08 16 сағат бұрын
Tukianza na nyambizi ❤️‍🔥🔥❤️‍🔥
@JescaShirima-ko7gx
@JescaShirima-ko7gx 4 күн бұрын
Noma san ❤❤❤
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Күн бұрын
Laiti kama ungesajili ubongo freva kama founder au mbunifu wa bongo fleva naalafu ungekuwa unachukua asilimia zako naamin sasaiv ungekuwa tajiri namba moja Tanzania na afrika kwa pamoja ..kama waliobuni sawap au twita au chochote walioanzishaga izo web site or whatever uko marekan..ungepiga sana ela..big up sana duli huna rohombaya wala malalamiko..heshima kwako kaka duli Sykes
@AmaniAnzuruni
@AmaniAnzuruni 4 күн бұрын
Asante sana
@fatmasayid8895
@fatmasayid8895 4 күн бұрын
Kaka salim M.mungu akubariki sana kipindi kinapendeza❤❤❤mashalwa
@josephbundala7277
@josephbundala7277 3 күн бұрын
King Kikeke 👑 🔥 🔥
@S.king_7
@S.king_7 4 күн бұрын
Crown on 🔥🔥🔥
@salomewandya7257
@salomewandya7257 4 күн бұрын
Dully Sykes yuko Vizuri ❤❤
@tasamtv
@tasamtv 4 күн бұрын
Syo vizuri tu vzur sanaa😂😂😂
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 4 күн бұрын
Huyu ni LEGEND wallah ❤
@fredmbossa-kc3qn
@fredmbossa-kc3qn 3 күн бұрын
studio kali sana ,,ila hii media itafika mbali sana
@BrunojnrMz
@BrunojnrMz 4 күн бұрын
Ongera sana Crown 🎉
@user-yj6uk1jl1m
@user-yj6uk1jl1m 4 күн бұрын
Kikeke broo uko vzr
@silashemed4849
@silashemed4849 4 күн бұрын
uzur wake dull hanaga sijui mambo ya kingeleza
@bonnypaul1516
@bonnypaul1516 4 күн бұрын
Kali sana
@pablotm3231
@pablotm3231 2 күн бұрын
Crown media...HAPA ndio nyumbani 🎉🎉🎉
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 4 күн бұрын
Kikeke wallah wewe ni number one
@salomewandya7257
@salomewandya7257 4 күн бұрын
Kali sana aiseee ❤❤🔥🔥
@shamte9musicofficial126
@shamte9musicofficial126 4 күн бұрын
Mungu akupe maisha marefu bro dullysykes
@RaymondMuga
@RaymondMuga 4 күн бұрын
Crown fm mnatuangusha, Dully Sykes sio muasisi wa bongo flava, hebu fanyeni utafiti kabla hamjarusha hewani
@malikeyndotopopote
@malikeyndotopopote 4 күн бұрын
Tuambie wewe
@TwalibuAlbaamiryShoka
@TwalibuAlbaamiryShoka 3 күн бұрын
Hawa ni waongo muasisi ni TID alianza na Tutakumbuka na malaika
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 3 күн бұрын
​@@TwalibuAlbaamiryShokaTID kamkuta dully na juma nature washa toka kitambo2😢😢😢
@abdulazizjeizan-vx1mc
@abdulazizjeizan-vx1mc 4 күн бұрын
Inshaallaah muweke pia na vipindi vya Dino vipindi vinavyohusu masuala ya dini I vipindi vinavyozungumzia dini shukran
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 4 күн бұрын
upo sawa kaka
@Oficialkb
@Oficialkb 4 күн бұрын
Safi sana, ❤❤❤❤
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 4 күн бұрын
Jmn tunaomba izo mak mziwek nembo ya crown jmn
@sergebaleke695
@sergebaleke695 4 күн бұрын
Uko sahihi kabisa hata mimi nina maoni hayo
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 3 күн бұрын
Kabisa
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Күн бұрын
Duli skykes hazeeki ... mashalah..tuliosikia salim kikeke kalikwepesha swali la Daimond fasta akamzungumzia alikiba tujuane🤣😂
@williamsongoro4397
@williamsongoro4397 4 күн бұрын
Crown fire
@buanaquendaabdalaabdala8260
@buanaquendaabdalaabdala8260 3 күн бұрын
Kaka Dully ❤❤❤❤🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@JoaquimMashalangende-fw7xs
@JoaquimMashalangende-fw7xs 22 сағат бұрын
Moto sana
@ShabaniAssumani
@ShabaniAssumani 4 күн бұрын
Crown❤
@AbilahSalumu-qx1cb
@AbilahSalumu-qx1cb 4 күн бұрын
Safisana Dully Sykes
@chodohbbway2843
@chodohbbway2843 Күн бұрын
KING KIKEKE KWENYE HII ANGLE KING KAUA KINGS NA CROWN FOR LIFE
@jibrilmohammed3698
@jibrilmohammed3698 4 күн бұрын
Wanyama
@user-kh7bc4js1m
@user-kh7bc4js1m 4 күн бұрын
Safi cnaaa
@Othmanog
@Othmanog 4 күн бұрын
Good
@milalaemmanuel445
@milalaemmanuel445 4 күн бұрын
Kumbe ALIKIBA DOGO KWA dully
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 4 күн бұрын
ulikuwa ujui nikababu
@MrNdanguza
@MrNdanguza Күн бұрын
Dully 1982 ally 1986
@VitusEmmanuel-pe3yi
@VitusEmmanuel-pe3yi 4 күн бұрын
Mmetixha crown mmmh hatalbxana
@adamsonmwasumbi4201
@adamsonmwasumbi4201 4 күн бұрын
❤️❤️🙌
@saadaliy3979
@saadaliy3979 4 күн бұрын
Nakubali
@JescaShirima-ko7gx
@JescaShirima-ko7gx 4 күн бұрын
❤❤❤
@abdulazizjeizan-vx1mc
@abdulazizjeizan-vx1mc 4 күн бұрын
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh all jumaa kariim all jumaa Mubarak mashaallaah tabaarakallah ndugu zangu wapendwa we crown FM crown kasri nawaomba kwa hisani yenu na iimaan yenu inshaallah muweke pia vipindi vya Dino vipindi vinavyohusu Dino shukran afwan
@mussamgonola3983
@mussamgonola3983 3 күн бұрын
Asante kwa kufikisha
@emmanuelkituma
@emmanuelkituma 4 күн бұрын
safi
@mrsinia3064
@mrsinia3064 4 күн бұрын
Dullysykes kwer ni wa kitambo sana aisee mi mwenyewe nimekuwa namskiliza tokea kipindi nasoma primary mpk secondary na moja kati ya song iliyonibamba sana ni ile ya Dhahabu i think watu wa zaman mnaujua huu wimbo
@enocksilungwepondajr9707
@enocksilungwepondajr9707 3 күн бұрын
Najaribu kuidowlod
@kidawajuma9597
@kidawajuma9597 3 күн бұрын
Kikeke ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@JosephMutambala
@JosephMutambala 4 күн бұрын
❤❤
@LavieStrong
@LavieStrong 4 күн бұрын
Crown naifata 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@user-ok5cv2ux2z
@user-ok5cv2ux2z 3 күн бұрын
Salute kikeke kutuletea maojiano hayo bwana dury
@RamadhananMambo
@RamadhananMambo 2 күн бұрын
Baby candy,I like it
@matambitvog8786
@matambitvog8786 4 күн бұрын
@princekassimtz5848
@princekassimtz5848 3 күн бұрын
🎉
@djtobasoba3660
@djtobasoba3660 4 күн бұрын
Ila jamani ebu nielewesheni mnaposema founder wa Bongofleva mnamaanisha nini hasa?! Mkisema mmoja wa watu wa mwanzoni mwa Bongofleva nadhani ni sawa
@mrsinia3064
@mrsinia3064 4 күн бұрын
Maana ya neno founder ni kuwa mwanzilishi wa jambo au kitu fulan linatokana na neno foundation yaan msingi
@octavian54
@octavian54 4 күн бұрын
HIP HOP from America Zuku Rumba from Congo Rage from Jamaica Takeu from TZ Muhasisi Mr Nice Bongo frava from TZ muhasisi Dully but wengi wa walikuwa wanaimba ZUKU identity ya Congo
@alibachirofficial3939
@alibachirofficial3939 4 күн бұрын
​@@octavian54very explained
@simpleboytz255
@simpleboytz255 4 күн бұрын
Yeye ni founder ndiyo kwa sababu ni msanii wa kwanza kutumia biti la bongo flavor kuimba. Wapo sahihi
@MbongoBoy-yg9tq
@MbongoBoy-yg9tq 3 күн бұрын
Kikekebwaaa
@kareemkiwamba139
@kareemkiwamba139 4 күн бұрын
big up kikeke nakukubali
@lukasmnyethi5903
@lukasmnyethi5903 4 күн бұрын
Owaaaaa
@mohdkhalifa8828
@mohdkhalifa8828 3 күн бұрын
Hahahah asante duli ni wapeke lkn leo umejielezea vzr sana kk kitenge unajua❤❤
@JofreyAmi
@JofreyAmi 3 күн бұрын
Here is home.
@abinikaka2579
@abinikaka2579 4 күн бұрын
Daaah G kawatoa wing halafu yeye wala hatabuliki jmn ktk hili wasani muwatazame hawa jamqn
@JhoseMulokozi-fl4io
@JhoseMulokozi-fl4io 4 күн бұрын
Mungu ni mkubwa 🎉
@user-ez9vi4pf3g
@user-ez9vi4pf3g 4 күн бұрын
Kali
@echasafuraha3423
@echasafuraha3423 4 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@denisfranciskibindu6951
@denisfranciskibindu6951 3 күн бұрын
💥💥
@JeremiahWilfredy
@JeremiahWilfredy 4 күн бұрын
Hapa ni nyumbani
@theophilwisdom2308
@theophilwisdom2308 3 күн бұрын
Young Journalist mnaosikiliza Sikiliza jinsi kikeke anavyofungua kipindi kwa umahiri na utulivu wa hali ya juu bila kukosa ubunifu mkubwa #uzoefu
@allykwaya
@allykwaya Күн бұрын
Sykes Prince.
@jumaahmadi
@jumaahmadi 18 сағат бұрын
Mwamba azeeki jmni duuuuh
@user-ur6eu8eb9w
@user-ur6eu8eb9w 4 күн бұрын
Uko vzr
@Lando_Anthony
@Lando_Anthony 4 күн бұрын
Unyama mwingi sana
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 4 күн бұрын
👍✌️👊.
@DaudiJoseph-s1s
@DaudiJoseph-s1s 4 күн бұрын
Yoo!ooo clouwn nawakubari kinoma noma sema nini daa! Iyo story ya uyo mwamba apo dully amenifuraisha sana kumgusia uyo mzee dagaa,rabembe siyo pow nimecheka kweri kweri!😅😅😅
@ahmedsaid2223
@ahmedsaid2223 Күн бұрын
Saleh Jabir founder of Bongo flave since 1992 he live in London
@ce-08
@ce-08 16 сағат бұрын
Not true
@user-jz7bn2kx9o
@user-jz7bn2kx9o 4 күн бұрын
Ila crown inasikika vizr kinoma
@Finalist29
@Finalist29 4 күн бұрын
Kwahyo wasafi haisikiki vzur? acha unafki mzee
@kareemkiwamba139
@kareemkiwamba139 4 күн бұрын
tuipende sana iwe kubwa
@elgibborpro
@elgibborpro Күн бұрын
Iwaaaaaq Camera Leo zipo clean...
@spartachize122
@spartachize122 3 күн бұрын
Kaka mkuu wa shule ndio head boy ama prefect
@AlexGwambie-xr2hm
@AlexGwambie-xr2hm 4 күн бұрын
Nkbl San dur
@vangoodtv7371
@vangoodtv7371 2 күн бұрын
King 👑 bado Tunata anina ali
@malikeyndotopopote
@malikeyndotopopote 4 күн бұрын
Nyambizi nakupenda. Wapi hiyo
@mbatatakiazi1678
@mbatatakiazi1678 4 күн бұрын
Dully mkorofi sana. ETI why hapa kuna waZENJI wengi? Hahahaaaaaa!
@YusuphSomo
@YusuphSomo 4 күн бұрын
Saf namiss malaw nae pia.
@user-qo7ck5yt7t
@user-qo7ck5yt7t 4 күн бұрын
🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@Soso12nov
@Soso12nov 9 сағат бұрын
Sikiliza kwa makini dakika ya nne , Alikiba ni Raisi sio mmliki 🫡
@ahmedsaid2223
@ahmedsaid2223 Күн бұрын
nyimbo yake OPP
@ankalmzito254
@ankalmzito254 4 күн бұрын
Ndio mkoko umeanza kualika maua
@jinjadarfox2906
@jinjadarfox2906 4 күн бұрын
Misifaaaaa
@saidsidaz
@saidsidaz 2 күн бұрын
Kuizungumzia Julieta bila kumtaja BJB Alipiga verz na chorus ni kutoitendea haki Hio Historia ya hio ngoma
@user-st3hv8pi9i
@user-st3hv8pi9i 4 күн бұрын
Hata me handsome naikubali mpaka leo japo sijui imetoka mwaka gani 😅
@timothymikola2317
@timothymikola2317 3 күн бұрын
2003
@barakaramadhani662
@barakaramadhani662 3 күн бұрын
DAGALA BEMBEE😊
@RenoMashala
@RenoMashala 3 күн бұрын
nan kaona umboso ndani ya dully 😮
@michaelbwoma2760
@michaelbwoma2760 13 сағат бұрын
Huyu alipata bahati babake alikuwa mwanamuziki ikawa rahisi kwake kujulikana mtoto wa Mzee Sykes
@fredmbossa-kc3qn
@fredmbossa-kc3qn 3 күн бұрын
duli hazeeki😆
@sadikiissa2454
@sadikiissa2454 3 күн бұрын
Fother
@wazirihilali635
@wazirihilali635 4 күн бұрын
Unatisha
BILLNAS KWENYE THE THRONE
33:01
Crown Media
Рет қаралды 10 М.
ROCK PAPER SCISSOR! (55 MLN SUBS!) feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 170 #shorts
00:27
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 109 МЛН
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 62 М.
Хитрая МАТЬ делит НАСЛЕДСТВО между ДЕТЬМИ 😱 #shorts
1:00
Лаборатория Разрушителя
Рет қаралды 4,5 МЛН
When dad sneezes 😱😵‍💫 LeoNata family #shorts
0:26
LeoNata Family
Рет қаралды 3,2 МЛН
Слепой перехитрил свою жену😳
1:00
Kino_sh
Рет қаралды 3,3 МЛН
Did you believe it was real? #tiktok
0:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 49 МЛН
Зря они облили полицейскую водой...😂
0:25