Bro Mungu amekupa neema kubwa unafanya vizuri sana unafurahisha kwa maneno ya busara na kazi unaijua kiasi cha wewe kuw bidhaa ..nakuombea uzidi kuwa bidhaa ya thamani ndani na nje ya nchi sijui kama unajua kuongea kingereza😄😄
@samwelngao320125 күн бұрын
Best comedian's ambae unaweza ukamsikiliza ukiwa na pastor,shehe,baba mama mnaweza mkawa pamoja mkamsikiliza vizuriii
@oscarfungo839323 күн бұрын
Kipitoshi is Typing
@oscarfungo839323 күн бұрын
Kipotoshi is Typing 😂
@KICHEREMARWA24 күн бұрын
Eliudi anajitambua SANA kwasababu ananidhamu ya mazingumzo na mavazi pia. Mie hua unanichekesha so nakukubali. MUNGU AKUBARIKI. karibu mkoa wa mara nasi tukuone live
@doricemwakasengo116723 күн бұрын
Kupitia eliudi moyo wangu unataman sana kuokoka mtu anamjua mungu hata matamshi yake utayajua tu akiongea ee mwenyez mungu nifanye moyo wangu uwe mwepesi kukutumikia
@juvenalyfratherne869623 күн бұрын
Ameen, Bwana Yesu na aisikie haja ya moyo wako. Uupate wokovu na uponyaji pia
@JdKTVHomeofTechnology22 күн бұрын
Glory To God, Karibu sana
@amisanjenda888512 күн бұрын
Kabisa Huyu Kijana anamtangaza Mungu vizuri
@asifiwefungo16326 күн бұрын
Nakukubali sana Brother,Mungu azidi kukupaka Mafuta yake
@NijalieMlungu26 күн бұрын
My favorites comedian big up bro🎉
@vicentnjelwa289425 күн бұрын
Mbeya Boy eliud umetisha sana
@upendomwakyusa954023 күн бұрын
😂😂😂 Nzovwe oyeee😂😂
@user-do6ch1ti8b26 күн бұрын
Nakubar kak upo vizuri😂😂😂
@PanchoValentino-wh7wt23 күн бұрын
MC Eliud Nomaa saana AKILI MINGI Kijana
@KACHALACOMEDY26 күн бұрын
Dah big up bro uzidi Kufanya vizuli
@GabrielSky6426 күн бұрын
Nani kasema mbeya hakuna Pisi weupe😂😂😂
@paulhema571325 күн бұрын
Em tukusanyike apa ....apa kwa eliudi... tu subscribe....ila bro we ni atr....nilipen tu like me nafanya promo BURE...
@user-un9eh6xn6c3 күн бұрын
Mungu hakubariki sana kak eliudi❤😂😅😊
@NeemaMsuya-kk6bs21 күн бұрын
Grow man of God
@tobiasbeda202225 күн бұрын
Dah eliudi, we ni kiboko. Respect sana
@TephyPhrance26 күн бұрын
aiii Nakubali kazi zako eliud we ni comedian mzuli thana
@julianavicent484523 күн бұрын
Dah wewe mungu akutunze
@clemencesinkala483922 күн бұрын
Mungu akutunzee
@user-bj9fu1gt4p26 күн бұрын
Wew kaka mung akuwek😅😅
@directorsnigar933427 күн бұрын
😅😅😅😅😅daaah nime enjoy sana ngoja nisubiri party 2
@Sarivelame-ci9zv27 күн бұрын
Vijana wamefika mbali mungu awabariki awazidishie😢😢
@emmanuelalex91620 күн бұрын
Ipo siku 😄😄😄🙌
@charybdis811325 күн бұрын
Shida yako Eliudi unakata kata stori. Huendi na stori moja ukaimaliza. Tena ikitokea wamekutuza ndiyo unapotea kabisa. Storyteller mzuri ilajitahidi kufocus na story hadi mwisho.
@lucydaniel256524 күн бұрын
Kila mtu ananamn yake ya pekee kapewa na Mungu nae ndio yupo hv na mm napend hvo
@charybdis811324 күн бұрын
@@lucydaniel2565 Hilo ni tatizo kwa stand up comedian. Pia kingine ajitahidi kutumia current events kwenye comedy zake. Namna hiyo comedy yake itadumu siku zote. Namkubali sana jamaa ila kuna vitu anatakiwa kufanyia kazi.
@charybdis811324 күн бұрын
@@lucydaniel2565 Kama huwezi kumkosoa na kusingizia Mungu, Mungu humsaidii.
@aloycemango23025 күн бұрын
ELIUD ELIUD ELIUD😂😂😂 nmekuitaa mara tatu😂
@luluray211526 күн бұрын
Nakukubali sana kikolo
@HennaMeena15 күн бұрын
Mungu akutunze Eliud
@user-sw4ns3uj7w26 күн бұрын
Yani wewe eliud mungu awenakusamee bure kabisa 😂😂😂😂😂😂😂😂
@EsterAlex-dn1dx18 күн бұрын
Nakukubali sana mwamba
@judithkisavanga724426 күн бұрын
Ameen eliud
@user-ty3wl5oh3n27 күн бұрын
Yanii eliud
@user-ku4xq4nd9v25 күн бұрын
Nzovwe piga kelele eeeee nimeishi hapo miaka ya 2000
@msakamaboga571219 күн бұрын
Kibali kikitoka kwa Bwana 😂
@user-im5kc6ey7j23 күн бұрын
👏👏👏
@charleskatabila372926 күн бұрын
Kiukwel mm nakukubali tuuuu
@mcpwanako909126 күн бұрын
🔥🔥
@user-bs5to4hk1v23 күн бұрын
Kwann mapelele lakini
@AndrewNehemia-tl1sg18 күн бұрын
Ila Elihud 😂😂😂😂😂
@mikemvula654526 күн бұрын
po tukuchoka bagwitu 😂😂😂😂
@martinlema419224 күн бұрын
Amen!
@malakimdangu880024 күн бұрын
Braza umekill
@musicheals154526 күн бұрын
Hii ndio maana halisi ya stand up comedy, sio wale wanaojiandaa huko afu wanasema stand, watubaki buanaaa
@dicksongeorge774526 күн бұрын
Kwani huyo yeye umeona hajajiandaa??
@greatwolfrare212826 күн бұрын
kumbe mbeya kuna wapıga pıcha wengı ıvyo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@tinahmashaka435524 күн бұрын
😅😅 ko pale tu shewa n mbali
@deborahjustine878024 күн бұрын
But why Debo
@user-nb1tc2nh7p22 күн бұрын
Nakukubal saaana
@mtangag7746 күн бұрын
😂😂😂😂eliudi anajua maana vya kuchekesha vinaanzia hapohapo
@sekelagodwin896926 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@revocatusjoseph244724 күн бұрын
Big up xan mc eliud kwa kaz yak nzr
@veronicahlusekelo520525 күн бұрын
Khaaaa kila mtu na camera yake jmani
@WinKimario-yt5fe25 күн бұрын
😂😂😂😂mweee airfresh
@EzekielDebora-cd2ib20 күн бұрын
Jaman Debo tenaa😂😂😂
@bahatirobert100926 күн бұрын
Ndugha kaka ubhombile😂😂😂
@user-bj9fu1gt4p26 күн бұрын
Ila da faridaa😂😂😂😂😂
@TetekoOg26 күн бұрын
Ila kilasaa
@joycekamendu528921 күн бұрын
Shewa eliudi so masaki 🤣🤣🤣
@tinoChaula26 күн бұрын
😢😢😢😢😊😊😊😊
@christinewomanoffaith547926 күн бұрын
😂mambo ya kilimo
@BrianExaud25 күн бұрын
😂💥💥
@emmanuelpastory489626 күн бұрын
Siuje
@godlistenmuro931314 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@jessicamwasandube94426 күн бұрын
😂😂😂
@hafsaibrahim667511 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@paulhema571325 күн бұрын
Em tukusanyike apa ....apa kwa eliudi... tu subscribe....ila bro we ni atr....nilipen tu like me nafanya promo BURE...