Dakika 25 za Waziri Mkuu Bungeni leo, atoa MAELEKEZO haya uchaguzi wa Serikali za mitaa

  Рет қаралды 976

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

5 ай бұрын

T.Maelekezo ya Waziri Mkuu uchaguzi wa Serikali za mitaa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameielekeza Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kushirikiana na wadau mbalimbali kufanikisha maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu.
Majaliwa ametoa maelezo wakati akitoa hoja ya kuahirisha mkutano wa 14 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ieo Ijumaa, Februari 16, 2024.
Aidha Majaliwa amewataka wasimamizi wa maboresho ya daftari la kudumu la wapiga kura kutoa elimu ya mpiga kura kwa makundi yote, kuwafikia Wananchi wote na kuwawezesha kuelewa sheria, kanuni na taratibu za mchakato mzima wa uchaguzi.

Пікірлер
MBUNGE BWEGE AVUNJA UKIMYA, ATAJA KINACHOWEZA KUIN'GOA CCM IKULU 2025
10:17
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 20 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 29 МЛН
President Obama Makes Historic Speech to America's Students  -  English subtitles
16:34
BUNGENI: MBOWE VS MAJALIWA KUHUSU SHAMBULIO LA LISSU
12:23
Millard Ayo
Рет қаралды 303 М.
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 20 МЛН