Rais Kikwete alipoendesha vikao vya uteuzi wa Mgombea Urais Tanzania Dodoma
Пікірлер: 30
@yt-nu4tm3 жыл бұрын
Tusisahau kumshukuru Raisi Kikwete kwa kutupatia Raisi Magufuli na kumpatia opportunity ya kunawiri kama waziri vile vile. That is also strong leadership
@user-ku2sr9se2z5 ай бұрын
❤❤jk jpm and oll the chears of ccm and oll members
@dtejoz3 жыл бұрын
Naiangalia mwaka huu (2020) namuona Mh. Kikwete akitabiri tunayoyaona nchini mwetu sasa hivi. Big up bulldozer
@johnmathenge34062 жыл бұрын
Mushukuru Mungu kila siku maanake mzee Kikwete alifanya jambo nzuri kumidhinisha JPM.
@abdulazizuberxdriver38453 жыл бұрын
2021 mungu ibaraki Tanzania 🇹🇿 mungu mbariki magufuli our president 🙏
@ismailyusuph7403 жыл бұрын
Siku hii aliyoyaongea Ndio aliyoyafanya ‘....Huyu jamaa alikua genius’..!
@audaxbizimana80845 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭baba umelala😢😢😢😢😢😢 R. I. P JPM
@nasrisabila88353 ай бұрын
Msigwa voice 💥
@rezegerezege6913 жыл бұрын
R.I.P BABA YANGU 😭😭😭😭
@neljack42273 жыл бұрын
REST IN PEACE BABA
@user-xn3gs9qc8u5 ай бұрын
Maigufuli amekufa kimwili kiroho yupo hai daima milele The best president ever John pombe Maigufuli
@nasirmohamed15894 ай бұрын
Amekufa ameoza huyo hayupo tena he was the best jambazi
@Eng24603 ай бұрын
chuma🙌🙌
@philipmalach8407 Жыл бұрын
R.i.p
@aymalabdulmalick28767 жыл бұрын
big up
@abdulazizuberxdriver38453 жыл бұрын
Msingwa kaka tunaomba videos zingine za kumbukizi kipindi cha uwaziri cha dk.john pombe joseph magufuli Hakika huyu ni raisi mchapa kazi anachukiwa na mafisadi wala rushwa huyu ni raisi wa wanyonge Ccm Oyeee 2021 4march
@abdubehabenbeha43422 жыл бұрын
Daah R.i.p Jpm
@swimmermoddy3263 Жыл бұрын
Amhug kumbe ndio kitakua kisu cha kumpoteza mazima
@innocentmleli1196 Жыл бұрын
Naamini malaika wanafurahia huko uliko. Pumzika kwa amani, siku moja tutaonana
@abdulazizuberxdriver38453 жыл бұрын
2021 CCM Oyeee Magufuli oyeee Mama samia sluu Hassan oyeee.🙏
Leo tar 04/03/2023 namkumbuka sana Raisi wangu mpendwa John Pombe Joseph Magufuli
@leaherasto9295 ай бұрын
Ng'ara Samia ng'ara
@user-ep7uz3tk3f5 ай бұрын
Mwenye maamuzi magumu alikua mchoraji!
@jedidahbintidaudi8241Ай бұрын
Samia ndo kumbe Rais ajae 17:14-17:38..Ila dah Magufuli alikuwa machine kali kweli. Tunakushuku MUNGU Mkuu Uonae mbele zaid ya mwanadamu. Utukufu Kwko Baba. tunakushukuru kwa zawadi ulitupa Magufuli
@leaherasto9295 ай бұрын
Endelea kuoumzika kwaamani Hayati Magufuli
@estominkyando8793 Жыл бұрын
ⁿ pm
@IssackMaingu-ng5lk5 ай бұрын
Ndg Rais mstaafu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania najivunia kuwa na Rais kama wewe, busara, hekima, maarifa na welendi ulivyonavyo vilikuwezesha kuitangaza nchi yetu kimataifa, umekuwa mfano wa kuingwa na watu wema na wazuri, nakutakia kila la kheri mzee wa tabasamu