Dakika sita za ASKOFU Malasusa kanisani akitangaza msamaha wa Dk kimaro, waumini watokwa MACHOZI

  Рет қаралды 16,296

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Жыл бұрын

Askofu wa KKKT, Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dk Alex Malasusa leo Jumapili ametangaza msamaha kwa Mchungaji wa Ushirika wa Kijitonyama, Dk Eliona Kimaro ambaye alipewa likizo ya siku 60.
Usiku wa Januari 16, 2023 ilisambaa video ikimuonyesha mchungaji Kimaro akiwaeleza waumini wake kuwa amepewa likizo ya siku 60 baada ya kuitwa katika ofisi ya msaidizi wa askofu na kufanya kikao na mkuu wa jimbo.
Lilizo hiyo ilikuwa inamalizika Machi 17, 2023 na Mchungaji Kimaro alipokuwa akiwaaga Washirika wa Kijitonyama alisema baada ya likizo hiyo hatarudi hapo, alielezwa akaripoti Makao Makuu ya Dayosisi.
Katika msamaha huo wa leo, umetangazwa katika Ibada iliyofanyika Ushirika wa Kinyerezi, Tabata na kuongozwa na Askofu Malasusa ambapo ametangaza uamuzi huo Kanisani baada ya Mchungaji Kimaro kupewa fursa ya kuwasalimia waumini na akaomba radhi kwa yote yaliyotokea.

Пікірлер: 33
@nassorowaziri3076
@nassorowaziri3076 Жыл бұрын
Hongera Sana Mchungaji Malasusa Kwa hili Jambo ulivyoliamua na Mungu wangu akubariki mara dufu pia Hongera Sana mch Kimaro Kwa hekima ulioko nayo na mm nakuombea baraka na Amani ktk kufanya Kazi ya Mungu asante sana
@obadiansato1898
@obadiansato1898
Daaa Hadi machozi yamenitoka Mungu azidi kukulinda Pr kimaro
@joyceallan2758
@joyceallan2758 Жыл бұрын
Moyo wa unyenyekevu...huna kosa na umeomba msamaha, Mungu akutunze mch kimaro
@yunislemnge5558
@yunislemnge5558 Жыл бұрын
Mimi ni mkatoliki lkn nampenda Mch kimaro habagui.
@mrmhenipm
@mrmhenipm Жыл бұрын
Leo hii Martin Luther ,,,akiamka atataka kufa tena
@calvinshirima2654
@calvinshirima2654 Жыл бұрын
Hananja mchungaji
@gracejonh4022
@gracejonh4022 Жыл бұрын
Asikof wenu mlimubebea mabango ya maneno mabaya mimi mkristo mkatolik tujifunze kuwaheshi viongozi wetu msiwe mnafanya hivyo
@zithalazaro6288
@zithalazaro6288 Жыл бұрын
Mafundisho ya mchungaji Eliona Kimaro ni mazuri mno
@florasanga9848
@florasanga9848 Жыл бұрын
Safi sana, Mungu azidi kuwabariki ktk utume wenu
@magrethvalonge2648
@magrethvalonge2648
Kimario nakupenda sana wanakuonea tu
@EmmA-jw5gp
@EmmA-jw5gp Жыл бұрын
Hakika huu ni msamaha wa nguvu na kweli! Umegusa kila muumini aliyeshuhudia! Ashukuliwe Mungu
@Louez24
@Louez24 Жыл бұрын
Siku zote; usiache kuwaombea Watumishi wa Mungu na Kanisa kwa ujumla!
@Discover70
@Discover70 Жыл бұрын
Perfect
@kentkihongole8235
@kentkihongole8235 Жыл бұрын
Swali langu ni hili alikosa nn
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 Жыл бұрын
Mchungaji Hananja shame on you.
@anithamlay7327
@anithamlay7327 Жыл бұрын
Grace usiseme ambacho hujakiona,kuna bingo la askofu umeliona wapi
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 Жыл бұрын
Mimi sikujua kusema vijana wa kiislam na waaminifu kuliko wa kikristo ni kosa kubwa kwa kiasi hicho
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Hiv alikosea nn?😁😁😁 ukweli utabaki kua ukweli.
@florakivenule1533
@florakivenule1533 Жыл бұрын
0pp⁰
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 107 МЛН
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 8 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermotta
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 18 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 55 МЛН
Usimnyooshe Mtu Kidole | USIHUKUMU | Rev. Dr. Eliona Kimaro
17:56
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 23 М.
Jinsi Mungu Alivyomfuta Machozi Mama Huyu | USHUHUDA | Rev. Dr. Eliona Kimaro
10:06
Shuhudia maombi ya Askofu Malasusa Lowassa akizikwa
4:06
Mwananchi Digital
Рет қаралды 511
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 107 МЛН