Mchungaji Kimaro Baba yetu wa Kiroho hata tulio nje ya Tanzania, Mungu akutumie Sanaa. Unatusaidia sana tunapona bila hata kuombewa Wala kuwekewa mkono.
@user-yz5zn4tr6i
Asante sana BABA mchungaji kimaro MUNGU akutunze umpendeze MUNGU NA WANADAMU pia ❤❤❤❤❤❤
@rebmanwillbard746414 сағат бұрын
Rev Kimaro azidi kukuinua masomo Yako tunakuelewa baba, ubarikiwe sana
@irislecha8662
Kwa kweli mchungaji umenihubiria Mimi binafsi kwetu nyumbani Mimi ndie Rahabu naomba Mungu anikumbuke, naishi na nembo ya umalaya baada ya kuzaa watoto 6 na wababa tofauti, Mungu nikumbuke
@MUTUKUMUNYWOKI
Nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kutumia mchungaji Dr Eliona Kimaro kuokoa wengi kupitia neno
@user-br1oi2tr4g
Amina pastor unatubariki Sana mungu azidi kukuinua na kukutia moyo
@hongerakimbwala8650
Ubarikiwe mtumishi Wa mungu
@GodlistenEmmanuelКүн бұрын
Nakushukuru mungu Kwa neema yako
@lizpallangyo8057
Ubarikiwe mno baba kwa kuponya roho zetu,Mwenyenzi Mungu azidi kukuinua zaidi uendelee kutumika kama chombo
@speciozakaloli
Mchungaji Kimaro unatumiwa na Mungu asante sana
@peehmuki7271
Baba naombo univishe haki yako katika jina la Yesu ....Amen
@godlovemrosso5973
Neema ya Mungu baba ikawe juu ya watoto wangu na uzao wangu
@RamadhanKhalid-qc7bo
Ahsante mtumishi
@GodfreyLukumay-ex1nz
Asante MUNGU ukaivishe familia yangu neema ya upendo
@gracembwilo1455
Asante Mtumishi wa MUNGU kwa kunifungua AKILI mafundisho yako yana HEKIMA sana naomba kuvikwa HAKI yake
@user-fc8cq3pu2g
Mchungaji nampenda mafundisho Yako mungu akubariki sana
@RohiSam
Watching from Kenya ,,,,am so blessed 🙏
@williammollel97
Kwa kweli unaheshimisha jina la yehova ubarikiwe na atukuzwe mungu Alie kupa kipawa na ukawa tayari
@user-gc8vb3gv8c
Ubarikiwe baba Mchungaji, naamini tutavikwa haki yake