Nenda kigoma uvinza mlela kazuramimba uvinza wapo wengi wana juwa hizo ngoma
@mariamwakabuta10342 жыл бұрын
@@bahatywasofia4155 mambo dear hapo ulipo elekeza ni kigoma mjini?
@fatumaaugustine44412 жыл бұрын
@@bahatywasofia4155 namba dear
@husenirashidi97572 жыл бұрын
Nataka kidono
@husenirashidi90672 жыл бұрын
ninacho
@boazyephrahim89913 жыл бұрын
kwel kbs
@mauwa4394 Жыл бұрын
2 no
@hajiabdalla57722 жыл бұрын
Ungemjaribu kumtwanga jiwe la komo ingekuwaje ili tuwsmini
@swaleheally81342 жыл бұрын
Hiyo nikweli kabisa ipo
@hishamally48463 жыл бұрын
We mzee wacha chai
@tahirnephessalum3678 Жыл бұрын
kidono ipo kweli kigoma
@user-tl4zr1rz5vАй бұрын
Mushikaji inaonekana yukonacho hayo yte nisahihi
@nahishakiyeassuman55412 жыл бұрын
Brother tuletee story za mabaria bwna ani
@kennedyodera755511 ай бұрын
Mimi nataka kidono nko kenya ntai pata vipi
@SaidJuma-xb9nz3 ай бұрын
nitafute
@starlily07Ай бұрын
Kwa watu wa kigoma tunamuelewa sana huyu jamaa, mambo ya vidono yapo kigoma, ni kweli kabisa mi nakumbuka tulipo kuwa tunasoma shule ya msingi kigoma kuna Watu walikuwa wanachanjwa vidono akichapwa na mwalimu wala hajigusi anapopigwa yani anasimama mwalimu anachapa fimbo zake hadi anamaliza 😂😂 na tulikuwa tunawajua kabisa wanafunzi waliokuwa na vidono, da nimekumbuka mbali sana😂😂
@jumahalifa64369 ай бұрын
Toa nambazake
@chrispinkakwaya6216 Жыл бұрын
Kuna jambazi furani alikuwa sumbawanga miaka ya 2007 alikuwa anaitwa Sei Sei huyo jamaa alikuwa ni hatari nahis alikuwa anatumia hizo dawa alikuwa anakamatwa anapigwa unasema amekufa baada ya siku 3 anarudi Mtaani polisi nimewai shughudia Kwa macho yangu polis wanakimbia jamaa Yuko Pekeyake
@antidiusegbert5562 Жыл бұрын
Toa ujinga hapa 😅
@nkulikandusi52822 жыл бұрын
Ipo kigoma hiyo
@domykimata5768 Жыл бұрын
Kwahiyo ata Mtoa roho akija awezi kufanikiwa kuitoa roho yako sababu unacho kidono 😂
@abdulkadirhaji10988 ай бұрын
UNGEMJARIBU NA PANGA
@user-wg2cn1cd8h5 ай бұрын
Abuu
@suzanamwangingo2995 Жыл бұрын
Mbna wewe mtangazaji namba zao mbona hutangazi
@kilogreekachananawatuwasio4054 Жыл бұрын
Mbona bunduki Akua???, 🇹🇿🇬🇷
@maxcharles5436 Жыл бұрын
we danganywa tu haipo hiyo ss wauko uko
@adamally62 жыл бұрын
kachukue kidono hlf uje hpa tukushughulikie
@jumaissa90 Жыл бұрын
unaongea tu hivi unadhani ule mzuka ukipanda kuna mtu atakaa eneo la tukio, haha haha hiyo kitu sio poaaa
@SalumuSalehe-om8zh2 ай бұрын
Kigoma ipo kweli
@morrisonvictor47042 жыл бұрын
Vipi mtu akipata ajali ya gari, bodaboda anadhurika?
@yahyahamad18023 жыл бұрын
Uongo tu hamna lolote
@simonjustin59213 жыл бұрын
Nenda kigoma ndgu yangu hawa watu hawafai kabsa,ata km kwa hii ni uongo lkn hawa jamaa ni hawafai,me nlijionea mambo mengi ya tofaut na ya ajabu.lkn kwa huyu jamaa ni km anasimulia tyu ili kujuza watu kuwa haya mambo yapo lkn yeye km yeye czan km anaweza hayo mambo,yan ni km kavaa Uhusika tyu
@yahyahamad18023 жыл бұрын
@@simonjustin5921 oh kweli ndugu yangu? Mbona kila siku majambazi wanakufa kwa kupigwa risasi mbona hawaendi uko hahaha