No video

WENZANGU WALICHINJWA KAMA KUKU: MAFUVU YAO/DULA MBABE NI SABABU, S02EP01"B"

  Рет қаралды 35,505

Dar24 Media

Dar24 Media

2 жыл бұрын

Ni kumbu kumbu ya mwenyekiti wa chama cha Mabaunsa na ma Bodigadi Tanzania (BBT), akihadithia tukio la kutisha na kusisimua lililopelekea vifo vya Mabaunsa takribani 20.......hii ni "MBANGA"
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24news@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24Tz
⚫️ Facebook: @dar24news
⚫️ Twitter: @Dar24News
#S02EP01 #Storiyangu #Mbanga

Пікірлер: 47
@timotimo5501
@timotimo5501 2 жыл бұрын
Kipindi chako ni kizuri lakini jaribu kuweka namba hizi story yani kwa mfano kama story namba moja story namba mbili mpaka mwisho wa story sasahiv mtu hawez kujua kty ktk mlolongo huu hipi namba moja hipi ya kati hipi ya mwisho sababu kuna watazamaji wengine wata angalia kwa siku za mbele so utakuwa ume rahisisha mtu kujua story na mwenendo wake asante
@fat_hyabuge7380
@fat_hyabuge7380 Жыл бұрын
Real mfano mm
@hassanhamidubarwany
@hassanhamidubarwany 2 жыл бұрын
Dunia ina mitihani mingi sana, kwa hakika tunakutana na mitihani mingi
@joselynesango4075
@joselynesango4075 2 жыл бұрын
Uyu mtangazaji nampendaga sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@hermankihwili1095
@hermankihwili1095 Жыл бұрын
Mbona mpangilio wa hii habarii tofauti hauja pangiliwa?Baunsa wali uwawa na nani na sababu ni nini?Pia una ongelea familia zaidi mi sijaelewa kabisaaaaa!!
@kyataonline5262
@kyataonline5262 Жыл бұрын
anaehoji ndio hamrudishi bro katika reli !
@zuumlondwa9518
@zuumlondwa9518 4 ай бұрын
Kilichomsaidia ndgu yetu nikumueka mungu mbele
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 Жыл бұрын
Nalikumbuka lile timbwili la viwanja kule wazohill. Balaa halafu sasa ni mji mkubwa tu walishauziana viwanja wale wavamizi. Yule mama aliyeita mabaunsa aliamua tu kusamehe eneo lake licha ya kushinda kesi mahakamani. Kuna mwenyekiti wa mtaa eneo lile alikua akiitwa Deo alikaa ndani muda mrefu kwa kuhamasisha mauaji
@fadhilimsafiri216
@fadhilimsafiri216 Жыл бұрын
Stori zinachanganya sana kujua ya kwanza ni ipo hadi ya mwisho ni issue. Wekeni namba
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 2 жыл бұрын
Polen sana,kaka mkubwa! Mungu Mkubwa kwa kweli. Polen sana!
@boscomwambapa2470
@boscomwambapa2470 Жыл бұрын
pole sana bro na pia tumejifunza SoMo mengi tunayapitia na umenikumbusha maumivu
@NoellKomba
@NoellKomba Жыл бұрын
Jamani hii stor muipange vizuri basi ni nzuri ila haina mpangilio watu tunaweka mabando kwaajili ya historia kama hizi
@daudabdallah7843
@daudabdallah7843 2 жыл бұрын
Pole sana, huyo mama na familia yake si wa kuoa hawafai
@frankfrank2600
@frankfrank2600 2 жыл бұрын
Kumbe nawewe ulikuwepo lile tukio lakukwatw mapanga nilishudia mimi pole sana
@Deboraabel-zu2vq
@Deboraabel-zu2vq 4 ай бұрын
Tupe story ya ulioyashuhudia
@saidmj9213
@saidmj9213 2 жыл бұрын
Pole Sana bro
@AndrewPaulsr
@AndrewPaulsr Жыл бұрын
Noma aseeh 🙌🏻
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 11 ай бұрын
Mbona hamuonyeshi prt 2
@faridaaloyce7672
@faridaaloyce7672 2 жыл бұрын
Pole.. Sana MUNGU anakusudi nawe
@mustakimibrahimsemindu6807
@mustakimibrahimsemindu6807 2 жыл бұрын
Pole sana home boy, pande za kino
@meckcassius3983
@meckcassius3983 2 жыл бұрын
Duh hatar sana mzee wangu
@kingkendrickk
@kingkendrickk 2 жыл бұрын
Ooi! Mbanga hatari Sana hii
@anastaziamathias8861
@anastaziamathias8861 Жыл бұрын
Hii story ya kilitengenezea movie Mie nilikuwepo nilishuhudia Kwa macho aseeh ilikuwa patashika
@nassorshaaban7295
@nassorshaaban7295 2 жыл бұрын
Msiweke Picha mbaya hizi haifai
@mungatanamedia5157
@mungatanamedia5157 2 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/oad5p6pj0p2bo2Q.html
@mbarakmohammed511
@mbarakmohammed511 Жыл бұрын
Huyu mshikaji tulikua nae kinondoni biafra
@sirajibakari2336
@sirajibakari2336 2 жыл бұрын
Wanaweke wanazingua san da pole san kaka
@fatmakiruwasha2378
@fatmakiruwasha2378 2 жыл бұрын
Kweri kabisa kaka ss wanawake sijui kwani hatuna siri
@devmwalabu3193
@devmwalabu3193 2 жыл бұрын
God bless
@kelvinchuwa2212
@kelvinchuwa2212 2 жыл бұрын
Duniani tunapita mengi sana
@oscarmaulid5906
@oscarmaulid5906 2 жыл бұрын
Daah sio poa
@alexandermilanzi9860
@alexandermilanzi9860 2 жыл бұрын
Duuh! Alikimbia mbali🤣🤣🤣🤣🤣
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Жыл бұрын
Dah wanawake sisi
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 Жыл бұрын
Daa mtihani huu no 2 pls
@samirakiango957
@samirakiango957 Жыл бұрын
Pat one iko wap
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Жыл бұрын
Kha omg jamani uchawi tena
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Hee
@tituschampanda7780
@tituschampanda7780 2 жыл бұрын
Tunashindwa kukufatilia kwasabab unaweka vipolo mda mrefu
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 2 жыл бұрын
Mbona huandiki part one, or two inatuchanganya tuanzie story wapi Kama unaweza ku edit pls tuandikie ipi ni part one, two,three etc.
@JOHNJOHN-pu7wb
@JOHNJOHN-pu7wb 2 жыл бұрын
Kweli anatuchanganya
@festohongelamlilokwkuwshug3999
@festohongelamlilokwkuwshug3999 2 жыл бұрын
Pop
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 2 жыл бұрын
Ka mkubwa atari sana
@shakacharles9634
@shakacharles9634 2 жыл бұрын
Hiyo sitosahau balaa kubwa
@claramzuri488
@claramzuri488 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 2 жыл бұрын
Inaendelea lini?
@mungatanamedia5157
@mungatanamedia5157 2 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/oad5p6pj0p2bo2Q.html
@mussanavas1283
@mussanavas1283 Жыл бұрын
Muendelezo upo wap sasa Argh
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
BODABODA:UCHAWI UPO/NILINUSURIKA KUFANYWA KAFARA/MSITU WA AJABU.
20:21
MTANZANIA ANAELIPWA KWA KUCHOMA MAITI ZA WACHINA TANZANIA
15:04
Millard Ayo
Рет қаралды 295 М.
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22