Safi sana mzee nimekukubali sana unaongea vizuri sana
@jumakaswelele31434 жыл бұрын
Mzee kataja mpaka home KABEBA to ILAGALA. Duh kumbe hadikwetu kuna Historia ya mkowa wetu wa KG toka enzi za warabu love sana KABEBA. home sweet home. kama nawe niwa kipandeicho like za kutosha ila mm sio m bembe wala mgoma mi TONGWE BOY. au mtongwe from kabeba.
@nicegama27384 жыл бұрын
Naomba namba ya huyo mzee tafadhar
@benedictflorence28703 жыл бұрын
Nahitaji no za uyo mzee ndgu yangu
@cbegram61612 жыл бұрын
Nenda huko kabeba🤣🤣🤣
@salumkatula4824 Жыл бұрын
Watu wakabeba MNAMJUA MZEE NGUVU YA MAMBA
@melchiadgodwine91924 жыл бұрын
Huyu mzee ni lulu anaizungumza historia ya Kigoma vizuri sana kwa kujiamini sana Big-up
@zahirgunnar16443 жыл бұрын
you prolly dont give a shit but if you are stoned like me during the covid times then you can watch pretty much all of the new movies and series on InstaFlixxer. Have been watching with my gf for the last couple of days :)
@bosslilyg43904 жыл бұрын
Watu wa Kigoma (lwama) (muhila) tujuane hapa 😄👌👌 najivunia kuwa muha wa kigoma.👌
@myself41283 жыл бұрын
Unajivunia uchawi?
@kilogreekachananawatuwasio4054 Жыл бұрын
Vizuri sana dar 24 🙏 nilipenda mkipata nafasi mwende simbawanga muhurizie kuusu jina lake na mji wake✊🇹🇿🇬🇷
@fadhilihussein6580 Жыл бұрын
Asante sana Mzee kwa historia ya kusisimua
@goldshukri864 жыл бұрын
Oww story nzuri San WATCHIN FROM bujumbura
@nsiamassawe30754 жыл бұрын
Yaani nimecheka sina mbavu, kweli Kigoma mwisho Wa reli uzito Wa binadam kilo moja!
@SaidJuma-xb9nz3 ай бұрын
nakubali mzee wangu
@kyataonline52624 ай бұрын
dah ! hiyo treni ya maajabu mzee anazingua kweli yaani anashindikiza na kicheko flani hivi !
@bernardbenedicto13734 жыл бұрын
Mzee nimekuelewaxana
@huku-sweden4 жыл бұрын
Piga Radi.. dadadeki.. Chezea mwisho wa reli
@franciskipara53124 жыл бұрын
Mzee na sisi watu wa gungu tujuze maana yake
@pesamingi2752 жыл бұрын
Huyu presenter sauti yake nzuri kuskiza na yua juwa kufanya interview
@jmm18404 жыл бұрын
Sauti ya Haroun inafafa na Milad Ayo
@noorumounir93864 жыл бұрын
2020 naenjoy kusikia home alafuu wee mwandishi mbona unasauty kama milirad ayo
@arnoldrukwembe41463 жыл бұрын
Nooru haujui miradi ndyo baba yao kwahyo bila kumuiga milad hawawezi
@luzigakapande69212 жыл бұрын
Kigoma ni jina la kibantu yaani. Malugomela ni miiba ambayo huota kwenye majaruba (igomera)
@ylosvijevana68153 жыл бұрын
Team Davister mata tujuane
@mchungwajunior45483 жыл бұрын
Pa 1 sana
@ferezaisaack98364 жыл бұрын
Tunataka kujua mzee ambros nikabila gani ndani yahayo makabila
@lawrencephotographyandsafa59554 жыл бұрын
Huyu mzee Ni Muha (umuha )
@uwimanauwimana73034 жыл бұрын
Fereza Isaack ukitaka habari kamili. watafute wamanyema wa kimbembe na mgoma muha hawezi kukupa uhasiliya ya stor kamili huwa wanaficha kutowa uwazi 🤣🤣 kwa kuwa va wamekuja badaye manyema wamesha tanda kigoma nzima ,
@uwimanauwimana73034 жыл бұрын
Lawrence photography and Safari mbembe na mgoma ndio mwenye asili ya kigoma wingine walikuja nyuma kabisa. wala muha sio mwenye asili yake kigoma wa bembe. walipita wanasbaratika muha akabaki hapo hapo kigoma hakutoka 😂
@johndevi2153 Жыл бұрын
@@uwimanauwimana7303 unajua maana ya muha wewe ? Maana ya muha ni wa hapa hapa yaani kigoma wamanyema,wabembe wamekuja baadae Karne ya 16
@kilungahamis1270 Жыл бұрын
@john devi sio kweli, hata historia anayotoa huyu mzee bado anasema kabisa kigoma ilianzishwa na makabila ya Kanda ya ziwa, kabila la waha hawana utamaduni wa kuishi kanda ya ziwa. Waha wanaishi milimani ni wakulima. Wabembe, watongwe, wagoma na wafipa ndio wavuvi. Wakati mzungu alivyowaona waha huko milimani akashtuka, akajiuliza hawa wawapi tena, ndipo warundi wakajibu. Turibaha wakimaanisha sisi ni wahapa hapa. Mzungu akawaita Waha, hakujua jina la kabila lao. Waha limetambulika kuwa kabila baada ya Mzungu kukosea kutamka neno aliloambiwa. Neno muha lilitokana na utambulisho. Baada ya kuulizwa niye wawapi tena. Ndio wakajibu turibaha kwamba ni hapa hapa na haijawahi kutokea wahapahapa likawa kabila, inamana kwamba jina kamili la kabila la waha lilifichwa.
@jumamataro48702 жыл бұрын
Vzr
@ismailkenge70852 жыл бұрын
Oyooo wajukuu wa ramadhani mabuga msikiti wa rabuu piga kelele
@loverboybongo..t6206 Жыл бұрын
Naombaa Nambaa ya huyo Mzee please 🙏
@user-su4cb4mr9l10 ай бұрын
❤
@nicegama27384 жыл бұрын
Tunaomba namba zake huyo mzee tafadhar
@jestinabenedict46203 жыл бұрын
NDIO MAANA BABA REVO ANAJIAMINI SANA 🤣🤣🙈 MTEJA TO
@cbegram61612 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 wapi baba levo?
@kyataonline52624 ай бұрын
kwa hiyo kabla ya hao Kagoma na Kajiji wakazi wa hapo mji wao haukuwa na jina !!!
Mji wowote wenye ushirikina na uchawi na waganga wengi Basi uwa Hakuna Maendeleo
@ombenimshahara28383 жыл бұрын
Hakuna unachokijua nanikosa kuzungumza usichokijua kuhusu kigomaa
@uwimanauwimana73034 жыл бұрын
umenikumbusha mbali kamchape akija kuondo vitu usiku. silali. hasa huko tongwe ndo bala kulikuwa vituko vingi enzi hizo wakimba hizo nyimbo zao na tetemeka sana. huwa nawalezeya wanangu nikiwa. sweden 🤣🤣🤣
@arnoldrukwembe41463 жыл бұрын
Hyo saut mbona ya milard au copy
@wahidashabaz59824 жыл бұрын
Kwakweli ndio maaana tunapashwa kuka karibu na wazee kujifunza mengi ila utandawazi wa simu umetuteka akili
@Pedeshee01 Жыл бұрын
Twende kigoma huko kazulamimba
@khalfanmohamedmwamnyanyi97824 жыл бұрын
Kigoma mwisho.wa Reli
@husseinjumaikunji6223 жыл бұрын
Kigoma moja hiyo mtu anapimwa uzito anakutwa na kilo moja da
@fintanmkesha10773 жыл бұрын
Hakika nimepata shule ya ukwel mbali na hzi karatasi
@abraarimages12692 жыл бұрын
Hasbunallah!! tizama nguvu za kishirikina.... kzfaq.info/get/bejne/rbiFf9GqprHTqqM.html
@benedictflorence28702 жыл бұрын
Weka no zake mbna uwek we mtangzaj gn???
@benjaminshadrack54722 жыл бұрын
Nisaidieni namba zake
@SuhaiyyuAyoub-zt9sf Жыл бұрын
mh
@hellenjohnson6403 жыл бұрын
Nataka kuolewa kigoma ila daaa shikamoo kigoma
@mr_misifa3 жыл бұрын
Njoo mm nikuoe
@ombenimshahara28383 жыл бұрын
Pole saaana iyo ndio kigomaaa
@hakizimananuriat88982 жыл бұрын
Naomb numéro yauyo mze kKa
@alimeshaki79313 жыл бұрын
Watongwe tupoo. Kapalamsenga.
@abdulnuruhassan8611 Жыл бұрын
Kigima ndio nyumbani
@hddhdhhddhdhdh1692 Жыл бұрын
histolia nikubwasana
@kiemenasensei25414 жыл бұрын
Nyumbani
@user-po8hz7xw9j2 жыл бұрын
Naomba namba za Huyo mzee 🙏
@ireneimbuhira77592 жыл бұрын
Hi pia mimi na taka pls
@salha6596 Жыл бұрын
Nipe ela ya soda nitakufikisha mpaka nyumbani kwake😂😂
@user-po8hz7xw9j Жыл бұрын
@@salha6596 sawa
@bwizayasini21534 жыл бұрын
Mzee amros upo habari za siku kijana wako amdala yupo
Kaka nazani huyo mzee unamjua je naweza kupata namba yake, 0773178836 nitumie
@benedictflorence28703 жыл бұрын
Jaman mm naumwa naomba no za uyo mzee
@ayoubissa9773 жыл бұрын
kigoma vs tanga .nanizaidi 😳😳
@benedictflorence28702 жыл бұрын
Hapo sasa 😂😂😂
@uwimanauwimana73034 жыл бұрын
nimekumbuka mbali maji ya rutale asubuhi. kwenda kuteka maji asubuhi mapema bado haya jachafuliwa na watu kufuwa nguo ni likuwa mzee umenikumbusha mbali tunachuma ma embe enzi hizo 🤣🤣
@jayjay43132 жыл бұрын
Na mchizi una sauti ya zege mpaka speaker za simu zinapata tabu, simu zima linavibrate lo. Kula mayai mabichi ulegeze kidogo mkuu, pesa za simu hatuna. Do🤣🤣🤣🤣🤣
@nantaembanusurupia56742 жыл бұрын
Halafu mwili mduchuuu😆😆😆
@mpondamedia24162 жыл бұрын
😂😂😂
@jayjay43132 жыл бұрын
@@nantaembanusurupia5674 Ni shida. 🤣
@happyernest32012 жыл бұрын
GOO INTERVIEW. Shida tu mtangazaji anaforce kuongea kama Millard Ayo which is bad.
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Kwa kigoma ni kiboko
@chidsufiani11334 жыл бұрын
Anae mjuwa huyu mzee naomba ani tafute kupitia fb uta kuta namba zangu uta nipigia uta nielekeza
@SimbaM2kufu4 жыл бұрын
Jirani yangu
@nicegama27384 жыл бұрын
Naomba unielekekeze anapatkana sehemu gan nashida sana ndugu yangu nimedhurumiwa pesa nying sana
@SimbaM2kufu4 жыл бұрын
Nice Gama unataka kumuuwa nani? 🤣🤣🤣
@majutorajabu75094 жыл бұрын
@@nicegama2738 huyo mzee anakaa mtaa wa vunjamoyo Ujiji mtaa wa kina Matola Kama unataka namba zake utazipata
@nicegama27384 жыл бұрын
Naomba namba zake huyu mzee tafadhar Rajabu nisaidie kwa hilo
@georgeopama93792 жыл бұрын
Mimi naitwa gef naomba nambari mueke kwa you tube au WhatsApp
@majutorajabu7509 Жыл бұрын
Yupo Kigoma ujiji mtaa wa vunjamoyo ukifika uliza kwa mzee Ambros utampata
@majutorajabu7509 Жыл бұрын
Habari za kazi
@ireneimbuhira77592 жыл бұрын
Hi tupe number ya mzee pls
@Pedeshee01 Жыл бұрын
Mimi nataka zako
@championtv2552 жыл бұрын
Iseeeeeeeee wamanyema wa ujiji tujuane kwa like.mm wa jihadi wewe he?
@mwantummakoa42532 жыл бұрын
Tupo
@wivinemwamini91103 жыл бұрын
Sasa wachawi hamutakufaka munachokambule
@hamisabeid11093 жыл бұрын
Kilo moja dah noma sana
@stellamuleba1092 жыл бұрын
Kama zipo mbona watu wanatapeliwa
@wazirihassan93973 жыл бұрын
Jamani mm natafuta utajiri kwanae juwa anitafute kupitia namba 0710020018
@highthemetv7857 Жыл бұрын
Nitafute nikusaidie lakin andaa pesa pia
@davidmeyasa8232Ай бұрын
Gungu
@johansenrauben61664 жыл бұрын
Nawezaje kupata namba ya cm ya huyo mzee
@majutorajabu75094 жыл бұрын
Mtafute kijana wake anaitwa Abdalha Juma Ambross ni mtumishi wa halmashauri ya mji Kigoma Ujiji