Рет қаралды 1,468
HABARI ZETU LEO - MEDIA
Sehemu ya Ibada ya Misa Takatifu ya Upadrisho Jimbo la Njombe. Mapadre Watano wamepewa Daraja Takatifu ya Upadre na Askofu John Ndimbo Askofu wa Jimbo la Mbinga na Msimamizi wa Kitume Jimbo la Njombe. Tar 27.07.2023.