Asante mungu mwenye huruma kwa kutupatia zawadi hii nzuri, tunamtakia heri na Baraka aweze kuliongoza Jimbo letu la njombe amina
@ditricksilinu60386 ай бұрын
Asante sana Kwa ufafanuzi mzuri baba Laurean Kayombo
@yustermtega49506 ай бұрын
Na sauti ya Mungu baba ikasika ikisema Huyu ni mwanangu niliyependezwa naye msikieni yeye . Asante Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya Askofu kwa jimbo letu la Njombe
@felixmatavika40246 ай бұрын
Mungu Baba Tunakushukuru Kwa Zawadi Hii Tunaomba Bariki Kanisa Takatifu Katotiliki La Mitume, Bariki Makuhani Wa Kanisa Na Waamini Wote Asante Baba Kayombo Kwa Maelezo Na Ratiba Yakinifu Barikiwa Sana.
@greysonmatogo46626 ай бұрын
Njombe mambo yenu ni moto, kumbe keshokutwa ubwabwa na hamsemi😅 hongereni, vichwa kama baba kayombo vichache sana, simple & clear.
@ditricksilinu60386 ай бұрын
Fr Kayombo ❤ Chemistry head
@eliasnganira76616 ай бұрын
Siyo Askofu Mkuu Jaribu kujielimisha mambo ya kanisa Katoliki