Daah Mwalimu mungu akubariki unazidi kutufanya tuwe mafundi wazuri
@eddiemohamed9003 Жыл бұрын
Ahsante kwa darasa zury, Have long life
@denicejoas1703 Жыл бұрын
Asante mwalimu kwa somi zuri he napaswa kuweka chumvi kias gan katka earthrod yangu
@MartiniR0bati12 күн бұрын
Inategemea na mkaa nikiasi gani
@japharysingano274226 күн бұрын
Hapo umesahau lazm C/B trip
@robertmagaga2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mwalimu
@barrymrutu51 Жыл бұрын
Ninekuelewaaa mwalimu
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Asante Mwalimu.
@hamisinasirinjenga204 Жыл бұрын
Sawa sasa iyo earth wire inafungwa wapi kule kwenye main switch
@ahmadifakii27273 жыл бұрын
Asante 🤲🤲🤲🤲🤲
@husseinhamis142811 ай бұрын
Hamna fundi hapo bhana wemwenyew maiko mzuri2 naona
@leudkihanza8983 жыл бұрын
Nimekubali
@mutaijacob Жыл бұрын
Thanks so much
@mondtd38543 жыл бұрын
Mwalimu katika kipomo icho chakujua kama ETH iko sawa je naweza Pima kwa waya ulioungwa kwa main switch mojakwamoja ??
@godfreymagehema6282 Жыл бұрын
Kuna kipimo cha each kinaitwa mega je hiyo sio lovely ya holder na babu na ni kila babu au incandescent lamp tu
@michaeljonathan602 жыл бұрын
Nimelipenda darasa la leo
@YakoboNgondya-mf9ju Жыл бұрын
Sorry teacher hio chumvi ni kwaajiri yanini na je bila hio chumvi earthrod haiwezi kufanya kazi?
@surekingu57193 жыл бұрын
Darasa safi xnaa hili
@newtonmuchala9556 Жыл бұрын
Good video its better you use english.
@immasanga5713 Жыл бұрын
Nakuelewa Zaidi kuliko hata mwalimu wangu alivyo nifundisha
@hellyfridy2 жыл бұрын
Naomba kuuliza hiyo earthwire kule kwenye main swith unaenda kufunga sehem gani?
@joycegeorge4712 Жыл бұрын
Kwa nini hujaweka chumvi?
@KelvinNyaitara11 ай бұрын
✊
@fredchuwa8455 ай бұрын
Kuna video mbili umetuma kuhusu earth rod namna ya kupima, maelekezo ni tofauti,, kule umesema kama iko vizuri taa itawaka sekunde chache itazima earthrod yako itakuwa vizuri, lakini video nyingine unasema taa itawaka moja kwa moja earth yako itakuwa vizuri na pia ni org,, embu fafanua zaidi, huu ni umeme ni hatari usije ukaua watu😂😂
@rajabumihiko31023 ай бұрын
Hahaha mwehu kwel wewe
@fadhiliemmanueli.1472 жыл бұрын
Naitaji nambazako
@silaamichael29182 жыл бұрын
Mwalim apo umezingua
@ramamchina47302 жыл бұрын
Nime ku elewa lakin uwe na vitendo ni muimu mm mwana funz wko na elew
@samsonelishakifunyu81672 жыл бұрын
Mwl tunapunguzaje matumizi ya Umeme kwenye friji
@nurusele32603 жыл бұрын
Kwani taaa unafunga kwenye mcb IP na waya Aina gani?
@hazadihazadi39433 жыл бұрын
Waya inafungwa kwenye mcb ya 6A au 10 A.
@piusabraham58302 жыл бұрын
Pius nipo mwanza Bwiru hongera sana umekuwa msada kwangu sana sana
@amraniamuri3080 Жыл бұрын
1,5
@ramadhaniahmad31902 жыл бұрын
Chumvi sio razima inategemea Na Haridhi
@pambepvisionchannel2955 Жыл бұрын
Mkuu kwa nyumba hilio jengwa juu ya mwamba earth rod unaiwekaje au unatumia njia gani , yani hakuna alizi
@johnmanase74612 жыл бұрын
Chumvi iwe kiasi gani na ipi hiy0 ya magadi aam laah,,,,,
@brooeddy89653 жыл бұрын
Mwalimu kwani tunaweka vumbi la mkoa na chumvi ya mawe naitaji kufahamu mwalimu samahani.