nimekuelewa sana mm kijana wako napenda mafunzo yako nimejifunza v2 vingi sanaaa
@user-dq2cd4lw2t5 күн бұрын
Mbona wengine mafundi huwa wanatumia earth load ya nyumbani ndo inaungwa nafesi
@JumaKisam6 күн бұрын
Three phase earth
@jackoboabunuasi-hb4qc7 күн бұрын
Uko vizurii saaa
@Erick-rj1bu8 күн бұрын
I have gained great knowledge.I would like to see how single core vables are used without cutting them unnecessarly.
@shabanabdallahnkumba27979 күн бұрын
Hyo sio ya 2 gang 2 way maana inavibonyezeo viwil vya kuwashia na kwa ndan Ina njia mbil ama ikoje
@ReginaldMonjare9 күн бұрын
Asnte mwalum toa vidio ya namba ya kufunga motor
@zakizaky410 күн бұрын
Mouthing and no action 😅
@MKANYIA10 күн бұрын
Mkuu, kwenye flexible cable umezungumzia 0.5mm Je size hii hutumika katika nini?
@SharifAthman10 күн бұрын
@@MKANYIA waya uliokuwa na nyaya ndogondogo ndani vile viwaya vina size ya 0.5mm² au zina tumika katika cartridge fuse plug
@mkamiwambura926810 күн бұрын
inaa rilah.....
@SharifAthman11 күн бұрын
Habari ticha,soda Gani ukimwagia carbon inatoka
@darasalaumeme742111 күн бұрын
@@SharifAthman Azam cola
@SharifAthman11 күн бұрын
Habari ticha, natoka nje ya mada hii,je nikitu gan unaangalia kwenye solar system ili ufunge parallel au series ni kutafuta current nyingi au voltage kubwa
@darasalaumeme742111 күн бұрын
@@SharifAthman darasa lake linakuja
@wadimtwana728611 күн бұрын
Safi mwalim but I have sm questions waya wa 1.5 wa tanzania huwezi kutumia kwenye s/socket,pili huo waya wa aluminum kwann zecco au tanesco watumie wakati unaoza Mara moja mi nazani wangetumia kopa kwa uwimara zaid
Kaka vp hv kila phase inakua na voltage ngapi kwenye 3phase mana umesema total voltage 415
@surekingu571911 күн бұрын
Asante mwalimu kwa darasa zuri, ila ningeombaa hzo aina za cable ungekuwa nazo darasani na ukawa unatuonyesha darasa lingependezaa zaidi
@user-qn9bk8tr9m12 күн бұрын
Nakukubali sana wangu
@ggsgigs141612 күн бұрын
Mbona pump ya maji ya horse power 1.5 wire wake ni flexible ya 1.5..je hauwez kutumia twin ya 1.5 kama supply???
@darasalaumeme742111 күн бұрын
@@ggsgigs1416 waya wake wa pump si ndio? Ila supply lazima uweke 2.5
@hamissultan649612 күн бұрын
Asante sana mkuu ili somo ni zuri sana
@Kiju-lw1be12 күн бұрын
Vp upande wa main switch haita wekwa
@OldLadyGamersince199013 күн бұрын
Hi is it ok to use 12 gauge wire for these heaters? thanks!
@user-bt2yj3cs9g13 күн бұрын
hivi hiyo uliyoiita isolator ya motor bdio hiyo pia inaITWA OVERLOAD RELAY?
@OdrickNdeme-zr1tr13 күн бұрын
Nakubal teacher wng
@OdrickNdeme-zr1tr13 күн бұрын
Yan..uko vizur xn mwalim wng
@OdrickNdeme-zr1tr13 күн бұрын
Teacher...iv daras lk la umeme...huw unatoa n chet
@PhilimonBwenda13 күн бұрын
Nakukubali sana bro mambo unayo sema ni uhakika
@AcramNyakunga13 күн бұрын
Eng somo zuri nauliza kwann tutoe mcb afu ueke isolator kwa nn zisitumike zote
@user-xr7hi3lx8s14 күн бұрын
Kazi nzuri
@LinusMlacha-e2t14 күн бұрын
Electricity is the flow of electrons in a conductor from positive charge to negative charge
@thingsyoudontknowaboutsril415214 күн бұрын
Teacher sijaona hata kifaa kimoja.
@MKANYIA15 күн бұрын
Mkuu, katika fundisho hili umegusia jambo ambalo huwa nalihitaji sana na tena sana kulifahamu ila hujalifundisha kabisa mchoro wa umeme, nakuomba sana unifundishe kuhusu mchoro wa umeme unachorajwe! Natanguliza shukrani zangu za dhati!
@LukandaJean15 күн бұрын
Asante mwalimu
@BernadethaExsaver15 күн бұрын
Ok
@jumakidunda7816 күн бұрын
Dah! Madini adhimu alafu mwamba wala hana kinyongo anaytema tu
@emmanuelwilliam151516 күн бұрын
You are very Good teacher 🔥🔥
@Kisepeog16 күн бұрын
Fundi wangu jisi yakujua kama zimekufa au zinafua moto mdogo inakuwaje
@wadimtwana728616 күн бұрын
Ahsante mwalim ila tunataka muendelezo wa three phase
@christopherbush950216 күн бұрын
Cool
@MajapaKhanley17 күн бұрын
Kiongiz pamoj vitu vinaingia apa
@user-pu1oe5ke4f17 күн бұрын
Ticha nataka sub meter ila nikoo zanzibar
@darasalaumeme742117 күн бұрын
Nipigie
@darasalaumeme742117 күн бұрын
0789365357
@MeckMkalisimba-bo2wq17 күн бұрын
Good
@innocentntabanganyimana211117 күн бұрын
Asante sana
@wadimtwana728617 күн бұрын
Umeme ni mtiririko wa electron katika conductor
@wadimtwana728617 күн бұрын
Mwalim ahsante kwa darasa hili nilikuwa nalisubiri kwa hamu lakin swali huwa naona mashine nyengine zimefungwa na contactor,relay vp hapo