PART16:MCHAWI HASSAN TOKA KIGOMA ALIEUA WATU NA KUWAFANYA MISUKULE NA KUIUZA/NYAMA ZA WATOTO/NIMEUA

  Рет қаралды 8,295

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

2 жыл бұрын

Пікірлер: 245
@jeffreywilliams1171
@jeffreywilliams1171 2 жыл бұрын
Nimewasikiliza wengi lkn huyu viwango vyake ni vya juu zaidi, hata kuongea kwake inaonesha ni kweli kabisa.mungu akubariki na kukulinda bro, ktk jina la yesu.
@joyceshile8837
@joyceshile8837 Жыл бұрын
ILA kama anatudanganya MUNGU AMFUATILIEEE MILELE
@ndenzahasna2659
@ndenzahasna2659 2 жыл бұрын
Davista mambo unayo ongea hayana maana ni tofauti na kipindi,mpe mda mtumishi wa mungu aongee bwana
@ylosvijevana6815
@ylosvijevana6815 2 жыл бұрын
Anaongeaga sana na kila siku anarudia yaleyale
@rachealkayuga1842
@rachealkayuga1842 Жыл бұрын
Asante sana..
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Lengo la Meshack ni kuwapeni daawa acheni shirki, mcheni Mola pekee.
@philipoluzege3200
@philipoluzege3200 2 жыл бұрын
Uko sahihi qaqa
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
kabisa
@rabilubinza7661
@rabilubinza7661 2 жыл бұрын
Umenena vema Mungu akubariki sana
@ninajohn8643
@ninajohn8643 2 жыл бұрын
Nimejifunza Mengi sana kwenye hiki kipindi hata siachi kuangalia kipindi yaani nafanya kusubiria story what next,all big up meshak,big up davistar.one god,all the way from canada
@edifique11n94
@edifique11n94 2 жыл бұрын
Mtu akisema mungu akubariki uliza Jina la Huyo mungu maana miungu wengi ila wa kweli mmoja ( Yahweh Jesus)
@EngJosh
@EngJosh 2 жыл бұрын
We mwache aeleze anayotaka kuzungumza akija na wa imani nyingine na yeye azungumze tu sisi ndio tunamaamuzi yakufuata.
@achrafgr8087
@achrafgr8087 2 жыл бұрын
Kabisa mzee
@EngJosh
@EngJosh 2 жыл бұрын
Naona bwana davista unaogopa kulogwa Kaka 😁😁😁🤣🤣
@beatricemortensen8533
@beatricemortensen8533 2 жыл бұрын
Davista hakika utakosa waangaliaji ktk kipindi chako, Ila ndo watu wataonhezeka zaidi. Hapo kuna nguvu ya kuwaweka watu huru. Usichoke na kaka Meshack Mungu wa Mbinguni Muumba mbingu na vyote hakulinde hakutie nguvu zaidi.
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Isa alizaliwa chini ya mtende, Yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe
@thegreat.9869
@thegreat.9869 2 жыл бұрын
Malizia 😂😂
@hassanabubakar3001
@hassanabubakar3001 2 жыл бұрын
Ni kuomba tu Mungu na kumtegemea YEYE peke yake🤲🤲🤲
@drnow1528
@drnow1528 2 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe
@kamgomoli3650
@kamgomoli3650 2 жыл бұрын
@@drnow1528 Hilo jina Waislamu wakilisikia mishipa ya usoni inawasimama.
@marrypius576
@marrypius576 Жыл бұрын
​@@kamgomoli3650 kabisa yan watakuua😂😂😂😂
@theresaamanya3082
@theresaamanya3082 2 жыл бұрын
Ahsante sana kwa kumleta Huyu ndugu
@idrisooabdallah3546
@idrisooabdallah3546 2 жыл бұрын
Story iendelee Davista mnaongea sana mengne tofauti na story hii
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 2 жыл бұрын
Mimi naomba kama kuna watu uliwafunga omba vifungo vyote vikauke na walio mateka wachiliwe ninge shukuru sana
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Jamani endeleeni hii story haisongi kabisa hii itafika 100
@drnow1528
@drnow1528 2 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe
@user-vb8ck9tt9o
@user-vb8ck9tt9o 2 жыл бұрын
we devister maneno mengi acha pea kuhani kuendelea sababu ya muda
@jeturdasimon4851
@jeturdasimon4851 Жыл бұрын
Jamani kusema kweli huyu mtumishi mm namuelewa sana sana
@sarongamushi435
@sarongamushi435 2 жыл бұрын
Davista tatizo unazungumza mno kuliko hata huyo anaetakiwa kuzungumza.. kwenye dakika 34 unaongea wewe zaidi ya dakika 20. Kama mtu hataki kuamini achana nae
@franklulasanye3123
@franklulasanye3123 2 жыл бұрын
Anazingua huyo jamaa davista. Amuache aeleze ukweli kwa undani
@sarongamushi435
@sarongamushi435 2 жыл бұрын
@@franklulasanye3123 anaogopa watu watachukia.. kama ni ukweli ni ukweli tu haubadiliki
@marianachriss2444
@marianachriss2444 2 жыл бұрын
Daah meshack uko very TRUE and Bright , hongera Sana mtumishi wa KRISTO
@ibrahimibramos4657
@ibrahimibramos4657 2 жыл бұрын
Njaaa mbaya bro
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 2 жыл бұрын
duuh nimecheka 😀😀😀😀😀😀😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
@fatmamucha4419
@fatmamucha4419 2 жыл бұрын
Hatar na nusu
@admerarobert3485
@admerarobert3485 2 жыл бұрын
Njaa mbaya kivipi maana yameandikwa kwani uongo au usipinge ukweli
@oman6124
@oman6124 2 жыл бұрын
Huyu nduguyetu anaongea vitu vingi sana ktk dini ya kislam sio sahihi kabisa Nakupa nasaha ndugu mwenye kipindi muweke huyo kijana na shekhe wa kiislam ili uujue uisalam vizuri Maana vitu vingi sana alio ongelea nitofauti kabisa na uislam.
@kithia100
@kithia100 2 жыл бұрын
Amepeana number za simu ,kamasio sahihi mtafute umchambue
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
Ndio awakutanishe yeye na mazinge alone kama hatakimbia
@work24onme
@work24onme 2 жыл бұрын
Asante sana 🤝 Tupo pamoja! Mwenyezi Mungu ni kila kitu🙏
@thebeautifulone7982
@thebeautifulone7982 2 жыл бұрын
Mimi mchristo nimejifunza kitu kipya leo, have always thought Issa ni Yesu kumbe sio, asante sana Minister Meshach
@saidhamad533
@saidhamad533 2 жыл бұрын
Kwaiyo bibilia ya kiarab inasem mungu ni Allah je na bibilia ya kiswahili huyo Allah mnamuitaje
@EngJosh
@EngJosh 2 жыл бұрын
Kama mazinge alikuja akazungumza anavyotaka basi mwache na yeye azungumze nini kumkatishakatisha bhn
@anitasamson7850
@anitasamson7850 2 жыл бұрын
Ushuhuda huu unafungua macho Mwenye masikio na asikie. Yesu Kristo asifiwe sana.
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 2 жыл бұрын
Dvm una ongea sana una tuharibia story na imeshikq
@simkotec3091
@simkotec3091 2 жыл бұрын
Davistar usiwe unashimba sana kuhusu dini mwashe mtu aeleze stori yake tu watu wenyewe ndo watashuja lipi kweli lipi sio
@deodatusmaliti7790
@deodatusmaliti7790 2 жыл бұрын
Davista anaogopa zaidi “wateja “ wake japo yeye ni mwamini wa Kristo inashangaza anaogopa ukweli usisemwe! Davista acha uoga!
@johalisemalima6979
@johalisemalima6979 2 жыл бұрын
Nilishawaambia watu issa na YESU ni vitu viwili tofauti...Ibrahim wa Quran ni tofauti na wa biblia... angalia jinsi Ibrahim wa Quran alivyosimuliwa na wa biblia alivyo simuliwa jamani Quran inasema Mama wa issa ni ndugu wa Harun na musa... wakati kwenye biblia ni tofauti...someni mjue.... Quran 5;33 waislam wanauchukia msaraba alafu Allah kaiga utumike kiislam... Allah kaumba nguruwe anawachukia Allah kaumba Jews akawapa kitabu anawachukia wakristo akawapa kitabu anawachukia Allah anachukia Alivyo viumba
@johalisemalima6979
@johalisemalima6979 2 жыл бұрын
@@hassanmaulid2166 wapotoshaji ni majini walifunuliwa Quran...wewe tuambie viumbe gani wengine kwenye Quran wamejielezea zaidi ya kuelezewa???
@johalisemalima6979
@johalisemalima6979 2 жыл бұрын
@@blessedlovedandfavoured4129 mie mkristo Quran nimeisoma miaka 12 ni uzuuu,,, hamna kitu
@johalisemalima6979
@johalisemalima6979 2 жыл бұрын
@@hassanmaulid2166 wewe ndio umepandikizwa fikra kuwa mkristo au Jews ni aduwi yako wewe... ili usiweze kumsikiliza ili kila atakachosema usimsikilize...maajabu aliepokea vitabu ni Jews na Christians so kama hutowasikiliza wao utamsikiliza nani???? Jini ndio akija kwako akikuambia kitu unamsikiliza mfano jini kajieleza kwenye Quran umempinga??? Mkristo anajielezea unampinga...😃🤣🤣🤣🤣 kwahiyo wewe ndio umepandikiziwa chuki kwa Jews na wakristo... kwasababu kabla ya muhhamad kuanza Harakati zake Jews Christians na waarabu woote wa imani zoote waliishi pamoja na hawakuwa na uadui ila muhhamad alipo anza harakati zake akapandikiza uadui ambao mpaka wewe unao....bible imekuwapo miaka 500 kabla muhhamad azaliwe... Leo Quran imekuja miaka 650 baada ya biblia Leo wewe ndio unasema Christians hawajui ukweli wakati Allah anakwambia tumewapa kitabu... Leo Quran imepinga biblia iliotangulia kabla ya Quran...Leo muislam anasema biblia ndio inapinga Quran...nitajie wapi??? Biblia imetaja uislam??? Kwa jina... ila Quran imetaja Christians na kuwapinga.... sasa anaepinga ni nani???? Kati ya cdm na ccm nani mpingaji???? Lakini kwa mujibu wako wewe ccm ndio mpingaji...... pili uislam umefundisha kutokuamini ikiwa unakataa kile yohana alichofunuliwa vipi??? Utake mtu akubali alichofunuliwa...muhhamad... ikiwa wewe ni adui wa mzungu vipi ??? Wewe utake mimi niwe rafiki wa mwaarabu??? Mazinge alikuja hapa akasema manabii woote walikuwa waarabu hamkumpinga ingawa aliongea uongo kwa mujibu wa Quran inayosema kabla yako muhhamad hatukutuma mwonyaji miongoni mwa waarabu how walikuwa waarabu...na Allah anasema hakutuma mwonyaji miongoni mwa waarabu kabla ya muhhamad... ???? Taqya uongo mlio ruhusiwa utaiuwa imani yenu.... ...
@johnwanuma7209
@johnwanuma7209 2 жыл бұрын
Davista anaogopa waislamu Ati watakimbia channel yako. Acha story itiririke, kila video unakatiza na unarudia rudia same point. Hii story itafika 100 parts, wacha ajielezee si kukitokea maswali si utamrudisha
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Muislamu halisi achanganyi shirki na dini. Uchawi, ushirikina sio uislamu
@rabilubinza7661
@rabilubinza7661 2 жыл бұрын
Umesem vema Mtumishi ana hofu sana anajitetea hataki kuonenekana mlengo wake.Mtumishi Davistar kazi unayofanya ni ngumu sana jikite pia kumtafuta Mungu sana uwe na nguvu ya Mungu hofu iondoke ili uthibitike kuws mwenye haki ili uwe mbali na hofu soma isaya 54:11-17.
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
Ni kweli hawez kumuweka mtu aseme uongo hata milipogundua kwenye ile Crip ya kwanza alisema alisoma kigoma alghazali ikao ekana ni muongo sikuweza Tena kufuatilia hii tiv
@suleimaniyasri2166
@suleimaniyasri2166 2 жыл бұрын
Yan kila comment ninayotak kuiandika naonaa haifaiiii.... Inaboaaaa... 🚶🚶🚶
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 2 жыл бұрын
Kipindi kizuri Sana mafundisho mazuri Sana na meshack anasema ukweli anaexplain vizuri sana
@chazgunda5823
@chazgunda5823 2 жыл бұрын
Sema davista unajiami sana kila saa mazinge mazinge inatuibia mda wetu mwache ticha atupe elimu maneno yake sio sheria atakae chukua achukue asietaka ahache
@kithia100
@kithia100 2 жыл бұрын
Davista ukweli unauma,acha Allah wao ajipikanie akuna siku Muslim watakumbali ukweli. Mashehe Wana fanya ukanga napia wanaongoza swalah jameni mungu gani huyo anachanganywa na ushetani
@raphaelkirumbi1342
@raphaelkirumbi1342 2 жыл бұрын
halo,unatupozea muda wa kusikia vigongo toka mr Meshack,Davister unaongea sanaaaaa
@marianachriss2444
@marianachriss2444 2 жыл бұрын
Davistar acha maneno mengi , mwache anayeshuhudia ashuhudie ukweli bila kuficha
@derickmagoti1364
@derickmagoti1364 4 ай бұрын
Mr DM got lako linaonekana kumbukumbu zabron ulimwambia goti linaonekana akashusha.😂
@mahomamahoma775
@mahomamahoma775 2 жыл бұрын
Davista ww umekuwa tena mzungumzajii wacha jmaa aongee bnaa,unaongea sanaaa
@alindurya2852
@alindurya2852 2 жыл бұрын
Davister ni bora umueleze mtu wako aeleze mkasa wake tu! Aache mambo ya kulingana dini kivyake pekeake hapa akipenda heri aende kwenye mikutano ya kulingania dini tumsikie ukweli wake
@henryosoro7696
@henryosoro7696 2 жыл бұрын
Ukweli ni kuwa ndani ya yesu kuna uzima wa milele .. Tusiwapake mafuta waislam, bila wokovu mbingu haipo kwako.
@mahershalalhashbazi2189
@mahershalalhashbazi2189 Жыл бұрын
Davistar Allah sio Mungu aliye hai,usiwe vugu vugu Mungu wa KWELI atakutapika. Allah ni combanition ya majina mawili "Al + lah" "Al" ni Mungu Mf;Al awar Al Akher/Mungu ni wa kwanza na Mungu ni wa Mwisho Al nur/Mungu ni nuru Lah ni(.......) Tafuta maana ya Lah utamjuwa ni kitu gani Mathayo 12:36-37
@bobbybyansi7773
@bobbybyansi7773 2 жыл бұрын
Meshac ana hekma kubwa davista tulia tujifunze elimu tunachagua tukitakacho .tusicho kitaka tunakiacha tena kwa hiari
@vaghoghontweki9827
@vaghoghontweki9827 2 жыл бұрын
#MTUMAKINI unaongea sana,,mpe nafasi huyu mtu aseme alichonacho🙏🙏🙏,,pamoja sana
@macamezunguzungu5584
@macamezunguzungu5584 2 жыл бұрын
Together 💪 Mr everything
@justinendizeye714
@justinendizeye714 2 жыл бұрын
Elimu karimu, bwana asifiwe 🙏
@margaretkithuku6533
@margaretkithuku6533 2 жыл бұрын
Davista tunakuskiza kutoka Kenya. Usiwe na shaka. Hata hivyo mtu huskiza kile ana amani nacho
@yaqoobsalim5808
@yaqoobsalim5808 2 жыл бұрын
Mlete tena Mazinge amuweke sawa huyu jamaa ,
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Mazinge hamna kitu anachokijua yeye ni mtu mbishani
@admerarobert3485
@admerarobert3485 2 жыл бұрын
Hakuna Cha Mazinge Wala Nini Mazinge mwenyewe elimu yake magumashi
@rabilubinza7661
@rabilubinza7661 2 жыл бұрын
Davistar kuna kitu umeongea uko kati achaaaa tafuta kumjua Mungu sana ili ujue uanchoongea hata kaka umesema sio kipindi cha mahubiri shiba neno la Mungu utakua salama
@macamezunguzungu5584
@macamezunguzungu5584 2 жыл бұрын
Mr dm mpe hai ngarambe boy gungu gwambe mbishi💪
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 Жыл бұрын
Davista unawahofia sana waislamu, lkn ukweli wote unaujua. Itafikia tu wakati utajikuta kweli pekee ndio itakayosimana ktk hicho kipindi chako.
@annamwita1952
@annamwita1952 2 жыл бұрын
Naomba atushuhudie alio pitia Kwanza kipindi Cha din iwe mwishoni
@mahershalalhashbazi2189
@mahershalalhashbazi2189 Жыл бұрын
Acha uongo na wewe Issa sio YESU
@blessingmalaika4045
@blessingmalaika4045 2 жыл бұрын
Davistar leo umebore😫Mpe muda aeleze ushuhuda wake
@shepherd1x84
@shepherd1x84 2 жыл бұрын
Dm..relax maswala ya dini acha kufafanua kiti boss..waongo wanajulikana wamewekwa wazi..aliye na macho aambiwi tazama!
@farajomar2902
@farajomar2902 2 жыл бұрын
Mapya hayo eti issa ni mwengine na yesu ni mwengine hii kali mungu akusaidie kaka maana duh
@castrokassoga7271
@castrokassoga7271 2 жыл бұрын
Endelea katikati na Yesu akirudi utakuwa katikati hivyohivyo
@castrokassoga7271
@castrokassoga7271 2 жыл бұрын
Endelea kuwa katikati na Yesu akirudi utaendelea kuwa katikati
@navokisembo
@navokisembo 2 жыл бұрын
Acha atoe ushuhuda wake jinsi Mungu alivyomtendea. Kipindi hiki kila mwenye ushuhuda aseme hakuna cha kuogopa kuwa dini gani au watu gani watachukia. Basi kama ni hivyo ukweli hatutaujua. Mtumishi Meshack endelea na ushuhuda watakaotaka kusikiliza kipindi watasikiliza tuu wewe mwamini Mungu Davista vita lazima inakuwepo.
@thegreat.9869
@thegreat.9869 2 жыл бұрын
Hahahaaaa. Davistar leo una masihara sana
@fahadjinni5845
@fahadjinni5845 2 жыл бұрын
HAHAHA ISSA NI YESU .....HILO JINA LENGINE NDO KWANZA NALISKIA KWAKE , DAH KWEL HUYU MUONGO
@aminaally863
@aminaally863 2 жыл бұрын
Alafu anajiita msomi yaani huyu elimu yake hata mtoto wa miaka mitano anawenza kuibemba
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
@@aminaally863kwani tukienda motoni wakristo utaenda wewe ,utachomwa wewe kuzimu?
@tracyirene8917
@tracyirene8917 2 жыл бұрын
Bado Tupo👍
@zahirrajabumgonza1174
@zahirrajabumgonza1174 2 жыл бұрын
Hi
@tracyirene8917
@tracyirene8917 2 жыл бұрын
@@zahirrajabumgonza1174 Hello
@philipoluzege3200
@philipoluzege3200 2 жыл бұрын
Davstar maneno mengi sana yaan mimi basi tu
@faridaahmed680
@faridaahmed680 2 жыл бұрын
Ndo huyohuyo yesu kristo atakuja acha kukwepa 😅😅😅😅
@thegreat.9869
@thegreat.9869 2 жыл бұрын
Davista mchenzikweli.. hahahaaaa. Iti mi siangalii kipindi... kwamba wasuse
@kinogekimbeho3781
@kinogekimbeho3781 2 жыл бұрын
Watu wakigoma hao wasanii tu wanatafuta kiki za maisha tu ni mataperi wanaotumia uchawi na din
@HusseinBoarnege
@HusseinBoarnege 2 жыл бұрын
Wakristo tume mpokeya hivyo hivyo jina la yesu lihimidiwe
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Kwani umenyimwa na wewe kutapeli? Katapeli na wewe kama kila mtu anaweza kutapeli!!! Napasua kila majini yako na nguvu za giza na kila uchawi wako upambane na nguvu za giza
@winifrida8641
@winifrida8641 2 жыл бұрын
Endelea kutoa somo tupo nyakati za mwisho mwisho
@mahershalalhashbazi2189
@mahershalalhashbazi2189 Жыл бұрын
Davistar acha kuhubiri usichojuwa,waachie Makuhani; Kiarabu; Eassa au Yasour ina maana MWOKOZI. Kwa kiebrania ni YEHOUSHUWA/YESHUA/ Kiswahili linatamkwa YESU... Ikiwa na maaana MWOKOZI/ANAYEOKOA WATU WAKE NA DHAMBI ZAO. Issa ina maana dume la ngamia. Mtumishi Meshack yupo sahihi 100%
@paulndoya5805
@paulndoya5805 2 жыл бұрын
Davister unaboa bana na wewe unaongea mno sometimes! Huwezi kuuondoa ujinga ndani ya vichwa vya wapumbafu 1.Channel yako sio ya dini 2.Channel yako ni shuhuda za mambo ya watu waliyopitia 3.Kama upotoshaji upo comment section ipo wazi watu wanaruhusiwa kuleta hoja Ukweli ni kua utaongea sana japo kuna watu huwezi kuufuta ujinga wao nia na dira ya channel yako inajulikana
@violinenyakara5028
@violinenyakara5028 2 жыл бұрын
Hakuna linalomshinda Mungu
@reubenbushiri1753
@reubenbushiri1753 2 жыл бұрын
Mara nyingi sindano na dawa inavyoingia uwa inauma sana lakini hamna namna,ndo dawa hiyo unatakiwa uvumilie tu.
@suleimaniyasri2166
@suleimaniyasri2166 2 жыл бұрын
Kwako ndo inaumaa....
@kamgomoli3650
@kamgomoli3650 2 жыл бұрын
Mtu anaeamini eti Nabii Issa ndiye Yesu Kristo basi huyo anakuwa haijui Quran wala Biblia. Tofauti kati yao ni kubwa mnoooo, Kuanzia kuzaliwa kwao hadi kufa.
@joycesycherlwy3835
@joycesycherlwy3835 2 жыл бұрын
Mimi naona muendelee na testimony yako,achaneni na dini,mimi nahitaji kujifunza mambo ya kiroho ,
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Hawataki wamekwama na dini hata story haisongi
@jazzymkalitv5535
@jazzymkalitv5535 2 жыл бұрын
Asalaam Aleykhum Davista and Hassani. Yaani nimejua mambo mengi sana. Tuendelee kuwa pamoja wapendwa wangu.
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa kristo aliyehai !! Damu ya kristo ikufunike
@happynesskimt6249
@happynesskimt6249 2 жыл бұрын
Du Leo Nami pia nimeipata kipya wacha ni jifunze, ni some nisisubir kusomewa mana mambi ya membandilika uwiiiiii, (Yaan Yesu sio Issa) ⁉️
@SaaS-Guide
@SaaS-Guide 2 жыл бұрын
Davistar waache wageni watupe mafundisho yao. Wewe ukitaka kutoa mafundisho yako, jialike pia wewe, tutakutazama na kukusikiza. Watakao enda, wataenda, watakao zidi kusikiza, watazidi kusikiza. Mafundisho sio mambo ya kuburudisha, bali ni ya mambo kuelimisha! Haijalisha kama yanakupendeza au la.
@beirut9750
@beirut9750 2 жыл бұрын
HUYU aliamua kuingia kufanya ushirikina yeye binafsi awache kushirikisha dini ALLAH amewalaani wanaomshirikisha na viumbe vyovyote. No anewahidi adhabu kali siku ya miami.
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
We davista ndio unakosea Kwa nini huyo usimkutanishe na mashee pamoja kwenye mdahalo hapo ndio tutajua anadanganya au laa
@elimukwanza2443
@elimukwanza2443 2 жыл бұрын
Fanya mikasa huyo broo ninjaatu
@georgesanga6673
@georgesanga6673 5 ай бұрын
Davistar uliza maswali ya msingi
@abdallahmunis2769
@abdallahmunis2769 2 жыл бұрын
Kakipande kenyewe kamoja kwa siku lakini maswali na kujielezea ni kwingi kuliko stori Sirius mnaboa
@deusnzeran4752
@deusnzeran4752 2 жыл бұрын
Davista mbona unaogopa tena mwache meshack aponye watu kupitia neno watu wengi wamepotea au wamepotezwa vibaya mwache meshack
@rabilubinza7661
@rabilubinza7661 2 жыл бұрын
Hapa nimeguswa jamani dada yangu alifariki mazingira tata kabisa alikufa na siri yake aliona kitu ambacho hakukitaja chumbani kwa mume wake na baada ya hapo alijisikia vibaya hakusema kabisa ameona nini akafia usingizini usiku hii ni mwaka 2015 .naona alichukuliwa kabisa
@faridaahmed680
@faridaahmed680 2 жыл бұрын
Ata wakristo wanajua Hilo😜😜😜
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 2 жыл бұрын
Tupo ndani ndani kabisa
@faridaahmed680
@faridaahmed680 2 жыл бұрын
Apana davista yesu ndo huyohuyo uyo kaka halewi anacho zungumza
@ashaabdalla924
@ashaabdalla924 2 жыл бұрын
Nyoooo muongo mkubwa hawajui mitume mwanga wee
@alindurya2852
@alindurya2852 2 жыл бұрын
Davister utaharibu kipindi ukiwa waleta watu wakujilingania dini, iwapo wataka watu walinganidie dini lete watu wawili pamoja wenye dini zote mbili watueleze hapa na vitabu, hawa watu waache kutumia kipindi chako cha mikasa kwa kujipigia debe hapa.
@fatmamucha4419
@fatmamucha4419 2 жыл бұрын
Usimlaumu davistar yy yupo kutufundisha
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 2 жыл бұрын
ee Mungu utusamehe na kutulinda maana dunia ina mambo ya kutisha
@bobbybyansi7773
@bobbybyansi7773 2 жыл бұрын
Davista mjanja yuajua Kila kitu apa ila anataka tujifunze ...bwana yesu apewe sifa
@work24onme
@work24onme 2 жыл бұрын
Meshack tunaomba elimu ya jinsi ya kusali na kujikinga na maadui, nguvu za giza, etc.
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 2 жыл бұрын
Wewe kama ume twa sasa ivi nenda hata kwenye mlipo kua muna fuga hao watu ukaombe rehema na uvunje magano mulio eka na kama ume okoka una nguvu ya mungu ombae hixo ngome za giza
@mercylynmasila1258
@mercylynmasila1258 2 жыл бұрын
Tuko pamoja kufatilia kipidi
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 2 жыл бұрын
Mtumishi waeleze
@estasage498
@estasage498 2 жыл бұрын
Davistar, you are wrong. The only name that came to save the humans kind is Jesus Christ of Nazareth. And no man can come to the father but by Jesus Christ. Let the guy finish his testimony because it’s seem that you are still confused
@ashaabdalla924
@ashaabdalla924 2 жыл бұрын
Mazinge kadoma humuwezi
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 2 жыл бұрын
Wewe Kaka acha uongo Issa ndiyo yesu tumaanisha ivyo sisi Waislam Na Mazinge ni Sheikh wetu tunamuamini anatufunza yaliyo kuwa haki mbele ya Allah wewe ulifunzwa ushirikina na ukazamia huko sana na huyo sheikh wako alokufunza yeye siyo sheikh wa kweli huyo alijificha unafikhi wake kwenye kimvuli cha ma Sheikh wetu acha kusema Mazinge‘Mazinge ni Sheikh anaejitambuwa
@Blaxxy69
@Blaxxy69 2 жыл бұрын
first
@deodatusmaliti7790
@deodatusmaliti7790 2 жыл бұрын
Pia Davista unaongea na kumkata kata mtoa ushuhuda na unaharibu ushuhuda huu mzuri.
@elimukwanza2443
@elimukwanza2443 2 жыл бұрын
Anikerasana
@abdulbasitsalim6133
@abdulbasitsalim6133 2 жыл бұрын
Huyo lssaa bin Mariam Na hugo yesu bin nani?
@haruniaisha5905
@haruniaisha5905 2 жыл бұрын
kamuulize mazinge 🙄
@fatmamucha4419
@fatmamucha4419 2 жыл бұрын
Bin masih😂😄😄😄
@jongoathumani3690
@jongoathumani3690 2 жыл бұрын
HIZI NI NYAKATI ZA MWISHO WATATOKEA MANABII WA UONGO SIMAMA KTK KUAMINI MUNGU MMOJA NA IMANI YAKO
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 40 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 83 МЛН
USHUHUDA WA SHEHE ALIYEOKOKA(Part 1)~Shehe Omary Mnyeshani
34:08
PROMOVER TV
Рет қаралды 66 М.
Waka Waka 😁 #funnyshorts #rianashow
0:14
RianaShow
Рет қаралды 27 МЛН
IQ Level: 10000
0:10
Younes Zarou
Рет қаралды 4,4 МЛН
It worked for me)
0:19
F&T Team
Рет қаралды 21 МЛН
Would you recognize your soul mate by smell?
0:14
Den Done It
Рет қаралды 19 МЛН
貓咪 小鬼當家🎮🔫🚑 #aicat #shorts #cute
0:41
Cat Cat Cat
Рет қаралды 26 МЛН
Would you recognize your soul mate by smell?
0:14
Den Done It
Рет қаралды 19 МЛН
Вилка для консервов 🥒
0:51
Сан Тан
Рет қаралды 3 МЛН