PART1:MWANAUME ALIEFATA UTAJIRI WA KUISHI MIAKA 6 NA KUFA/NIMEOGA MAJI YA MAITI/NAVAA CHUPI YA SANDA

  Рет қаралды 39,072

Davistar Mata Media

4 жыл бұрын

Пікірлер: 252
@mwingakindole3468
@mwingakindole3468 4 жыл бұрын
Nimefatilia.. And ningeangalia hizi story nimejifunza mambo mengi lakin hizi story hazina finishing lines... Atleast ongeza mda ili hawa watu waweza hata kutoa ushauliwao.... Itakua vizuri zaidi otherwise... Mungu akulinde and akubariki pia..... ❤
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 жыл бұрын
Wachaaaaaaaaa wee akiongezaaaaaa mdatutakosaaaa kulalaaaaaaa🤣🤣
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 😏
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@gosbertmuta5421 😂😂😂 zs asubui😘😘
@joanitadominic328
@joanitadominic328 4 жыл бұрын
Pole sana tena sana hadi nalia kwa hajiri yako, Uliiangamia kisa kuona mama ako anateseka Mungu wetu ni mwenye rehema, Atakutetea.
@joharkipemba9244
@joharkipemba9244 4 жыл бұрын
Sikufichi dav kabla sijaanza kuangalia kipindi chako nilikua nayatamani haya mambo daaah,kumbe yanatesa hivi sitamani kabisa ubarikiwe Sana kwaubunifu wako umenipa funzo mnooo🙏🙏🙏🙏
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
He
@bwantanfumo4283
@bwantanfumo4283 4 жыл бұрын
Nimemkumbuka marham mzee majuto moja ya cinema yake alivyorogwa na kujazwa tumbo.nasikiza kutoka kenya
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Hawana maajabu Hawa uchawi tu basi
@OmarAli-wr1ti
@OmarAli-wr1ti 4 жыл бұрын
Kiukweli Davister unachokifanya ni kitu kikubwa sana unajua umetuokoa wengi na Fikra potofu Watu wengi hawakua wakijua madhara ya Ushirikina kumbe Dunia ina Mambo ya Ajabu sna Tumejifunza vitu vingi sana Hii media ni zaidi ya Shule Mungu akubariki bro
@kalumunaanthony4203
@kalumunaanthony4203 4 жыл бұрын
Davister umetufundisha mengu Mungu akubariki sana
@salumbunga240
@salumbunga240 4 жыл бұрын
Davistar kijan wako hp mtu mwenye utu wang respect 👊
@iadeclementine5604
@iadeclementine5604 4 жыл бұрын
From +250 👌👌👌davistar tunajifunza kupitia hii kazi yako big up sana 👌
@kisurangusa554
@kisurangusa554 3 жыл бұрын
Hii story inatufundisha, kwamba tuache tamaa, mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe,
@jamilaally3172
@jamilaally3172 4 жыл бұрын
Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up
@hasanipoy3976
@hasanipoy3976 4 жыл бұрын
mwambie iyo nitatizo ndogo mbele ya MUNGU yeye hakubali MUNGU kuwa bwana na mwakozi maishani hampokee ahache kutanfataga mara kwa wagaga mara kanisani mmm mwambie hatulie na hamrudie yesu halitufia kwanini hasimuokowi awe na imani MUNGU yupo
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Asante kwa somulizi tunasubiria muendelezo.
@amonured536
@amonured536 4 жыл бұрын
Rafiki,Mungu ni mwema usiogope,tafuta kanisa la sda nenda kwa Imani, kusudia kuendelea na hiyo Imani,baada ya Kwisha tatizo laki,kupona ni asilimia Mia.
@nyatya199
@nyatya199 4 жыл бұрын
Tamaa mbaya saana tujifunze kutosheka na kidogo nahuku tukipambana na maisha kwa njia halali
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 4 жыл бұрын
Handeni korongwe huko ndiko kunakojulikana KWA uchawi pole sana bro
@adammkono636
@adammkono636 3 жыл бұрын
Jaman wa handen mko wap mimi kijiji cha mzeri
@adammkono636
@adammkono636 3 жыл бұрын
Jaman mlamba mnaujua watu wa handen
@emmaraphael5982
@emmaraphael5982 4 жыл бұрын
Jamani mungu kakupa pumzi na miaka ya kuishi unaenda kutafuta pesa kwa kupunguza miaka na unakubali mmmh isee shetani ananguvu san
@poulkiarie254
@poulkiarie254 4 жыл бұрын
Mr. Fact, nafuatilia sana visa vyako sana kongole!! Sana kwa kazi yako, watuelimisha, napenda sana stori zako kaka,nikiwa Nairobi Kenya
@pitabilali4630
@pitabilali4630 3 жыл бұрын
I'm Allive
@abdulhalimhumud1917
@abdulhalimhumud1917 4 жыл бұрын
Pamoja Mr Facts hukosei kwenye Kazi yako hongera ❤️
@mariammalale3878
@mariammalale3878 3 жыл бұрын
Toka nimeanza kufatilia story nimejifunza kutopenda njia za mkato kabisa na Tamaa mbaya mwisho walazima unakuwa sio mzuri
@ayushsaeed1051
@ayushsaeed1051 4 жыл бұрын
Haya mafundisho ni Mazur Asante Mr ffffffff
@salimomary6279
@salimomary6279 3 жыл бұрын
Hawa wote wanaotoa story za utajiri hakuna hata moja mwenyew maisha mazuri,,yani namaanisha kufanikiwa mpk anaotoa story.....?wakifeli ndo wanatoa story, wakifanikiwa hakuna anayetoa story zake,,,,,,,,,,
@eshalibaba1195
@eshalibaba1195 4 жыл бұрын
Team kuchelewa Leo nimekua was 8 wadau wenzangu
@davistamattamedia8199
@davistamattamedia8199 4 жыл бұрын
⏩TEMBELEA CHANNEL YETU MPYA Ya Masimulizi na Makala. ⏩HII NDIYO LINK YA CHANNEL kzfaq.info/love/PX6l-lh8fBzc4iVED8nddA ⏩TUSHIRIKIANE KWA KUSUBSCRIBE KWENYE HII CHANNEL, ILI TUWEZE KUIFIKISHA CHANNEL HII MBALI,KAMA ILIVYO SASA KWA CHANNEL YETU YA Davista Matta media. ⏩USISAHAU KUSHARE UJUMBE HUU KWA WAPENZI WOTE WA DAVISTA MATTA . ⏩by mtu wako makini.Ahsanten sana.,
@farhadhassansaid1297
@farhadhassansaid1297 4 жыл бұрын
😄😂😂
@wantangosaimon5295
@wantangosaimon5295 4 жыл бұрын
Aaah anajaza mpira tumbo linajaa c ujampe tu mwanzo mwisho akijaza wew unajampa ngoma droo
@florahjohnmwaya1212
@florahjohnmwaya1212 3 жыл бұрын
Aende kwa mchungaji mmoja anaitwa geordevie yupo Arusha
@africandarling6925
@africandarling6925 4 жыл бұрын
Mmhh jamani kwa nini tunashindwa kulizika na hali zetu za maisha jamani mmhh AISSEH pole sana
@sadikishomvi4450
@sadikishomvi4450 3 жыл бұрын
Dav nakubali Sana Kaz zako bro
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 2 жыл бұрын
leo mmejificha ndani gizani kaka Davi
@mariammgombayeka1824
@mariammgombayeka1824 4 жыл бұрын
Kudiboma ni kijiji si wilaya ila ipo wilaya ya handeni
@griezmannmhalaka4338
@griezmannmhalaka4338 4 жыл бұрын
From singida itigi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@maryamoman1370
@maryamoman1370 4 жыл бұрын
Singida oyooo
@mashaeliazer7433
@mashaeliazer7433 4 жыл бұрын
Jamani mambo ya kishetani ushirikina tuache yumrudie Mungu wa mbinguni huyo peke yake ndie anaeweza kutuokoa,na kutupatia amani ya kweli
@wantangosaimon5295
@wantangosaimon5295 4 жыл бұрын
Aaah kama amejikaanga mwenyew xawa tu, kafara ndo tatizo, RIP.
@halimanjechele7023
@halimanjechele7023 3 жыл бұрын
Thanks
@angelshonza8236
@angelshonza8236 4 жыл бұрын
Jamaaani Naomba namba yake naweza kumsaidia
@naimamwambe8083
@naimamwambe8083 4 жыл бұрын
Davistar napenda vipindi vyako lakin nakuomba uwe unaleta mwendelezo na kutujulisha matokeo ya mwendelezo wa wahusika, Kisha nakuomba kunastory za wahusika wanahitaji usaidizi so uwe unatoa namba za mawasiliano ili tuwapate na kusaidia chochote haina maana kuleta story tukasikiliza na kuacha ipite huku unabaki na maumivu hali ya kuwa unaweza saidia chochote just ushauri na kufuatilia kutoka 🇴🇲
@justinekigodi2415
@justinekigodi2415 3 жыл бұрын
Noma sana
@marymary6758
@marymary6758 4 жыл бұрын
Asante kwa story ,muendelezo pleaz
@princesssway1396
@princesssway1396 4 жыл бұрын
Davista acha aise sio mambo ya Giza kidogo mambo ya Giza haswaaa
@carolinewanjeri9916
@carolinewanjeri9916 4 жыл бұрын
Watching from Kenya
@beatricethuo5878
@beatricethuo5878 4 жыл бұрын
You n me both. Though kiswahili si ni mob I cant even read comments🤣🤣
@damarismbatia2029
@damarismbatia2029 4 жыл бұрын
Kuenda kuombea au kusomewa dua haitamsaidia kama yeye ajakubali kabisa, Yani akubali Mali ya alioipata kuosha aanze maisha mwanzo bila shortcut, Yesu anampenda sana
@godfreykumburu7297
@godfreykumburu7297 4 жыл бұрын
Nashukuru umejitoa mwenyewe kafara.Rip Mwamba😂😂😂😈😈
@nicksonnewton1991
@nicksonnewton1991 4 жыл бұрын
Laki tatu ni mtaji mkubwa kwa mweny akili
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
Nacho furah hii page bhana kila siku mimi wa mwisho nakuta video zotee online apa kama saiz nikimaliza hii naingia ingine adi raha jamani kumbe kua wa mwisho ni raha sana aiseee....sasa wale wa 1 uwa wanapata tabu sana kusubilia part 2 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀🙌
@thegreat.9869
@thegreat.9869 3 жыл бұрын
Mm leo ndo naingia hapa😅😅
@eliasgembe5800
@eliasgembe5800 4 жыл бұрын
Davista ushaur tuu naomba utengeneze cd.....
@Limbakale260
@Limbakale260 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ndiyo kusimulia kweli
@salehfrank9448
@salehfrank9448 3 жыл бұрын
Mungu atakusaidiya yote weka kwenye mikono yake muumba utapona.
@bonifaceandrea695
@bonifaceandrea695 3 жыл бұрын
Mbona mwezio alipona mwambie d akutafutie yule jamaa aliyepewa miaka saba utajirii uyo jamaa alipona
@ummialey6391
@ummialey6391 4 жыл бұрын
Baba upo hata Zanzibar upo niliibiwa nikaenda kw amtalam akanipa hiyo ila shart uhakikishe mpira usije. Pasuka. Ukipasuka ushauwa nikamwambia basi
@bonychitanda6410
@bonychitanda6410 3 жыл бұрын
Naomba namba ya Hugo jamaa
@swaumujuma6333
@swaumujuma6333 4 жыл бұрын
Pole sana kaka ushilina mbaya
@johncharlie6598
@johncharlie6598 4 жыл бұрын
Nimekuwa Wa kwanza likes
@davistamattamedia8199
@davistamattamedia8199 4 жыл бұрын
⏩TEMBELEA CHANNEL YETU MPYA Ya Masimulizi na Makala. ⏩HII NDIYO LINK YA CHANNEL kzfaq.info/love/PX6l-lh8fBzc4iVED8nddA ⏩TUSHIRIKIANE KWA KUSUBSCRIBE KWENYE HII CHANNEL, ILI TUWEZE KUIFIKISHA CHANNEL HII MBALI,KAMA ILIVYO SASA KWA CHANNEL YETU YA Davista Matta media. ⏩USISAHAU KUSHARE UJUMBE HUU KWA WAPENZI WOTE WA DAVISTA MATTA . ⏩by mtu wako makini.Ahsanten sana.,
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 4 жыл бұрын
Nashukuru Mungu nimewahi sasa nawatch nikijiskia😂😂😂😂
@hansiselemani8025
@hansiselemani8025 4 жыл бұрын
Hongera dada angu,,,Na mm nahakkisha umewahi kweli
@farhadhassansaid1297
@farhadhassansaid1297 4 жыл бұрын
Sawa, leo umewai mapema😄😄😄
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 4 жыл бұрын
Umepata like yako
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 жыл бұрын
Wachaaaaa weeeeeeee🤣🤣🤣🤣
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 4 жыл бұрын
@@farhadhassansaid1297 nakwambia 😂😂😂
@munababy1385
@munababy1385 4 жыл бұрын
Pole sana bro🙏🙏
@amourflamin2092
@amourflamin2092 4 жыл бұрын
Huyu jamaa storiyake inachangamoto maana unataka utajiri halafukafara Atolewe mwenyewe dah!
@degaragewadoriojapan8968
@degaragewadoriojapan8968 4 жыл бұрын
Tunakubali sana yani shida na mingi sana
@aboudjuma523
@aboudjuma523 4 жыл бұрын
Watu wengine bhana...eti hali ilikua ngumu sana .lakin akaweza kupata laki tatu za kupeleka kwa mganga..
@nurafedrick378
@nurafedrick378 4 жыл бұрын
🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️😰🙆🏽‍♀️😰hiyo pesa siungetafuta biashara laki tatu pesa zuri sana tena hukuchoka bado unaenda kwengine waaa gubu ni gubu kweli
@halimamangala6731
@halimamangala6731 4 жыл бұрын
Plz bring part 2 soon
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 жыл бұрын
hahaha D.v "et ulimalzaa?? www kwa kutoka saa kum kufka saa mbili asubh kısha anapokelewa na bakora na walimu, " huwez kumalzaaa dogo pole sanaaa Allah n mkunwa leo masıkın kesho n tajır sana ww, cha muhımu kuwa na sunra tu na kufanya kazi !
@shababygirlshambuwa8388
@shababygirlshambuwa8388 4 жыл бұрын
Duuuuu wacha tu niendelee kuwapikia waarabu kahawa
@fadhiliswalehe9286
@fadhiliswalehe9286 4 жыл бұрын
Haaa yuwanichekesha weye
@mundherhumaid654
@mundherhumaid654 4 жыл бұрын
Bora mara mia kuliko utajiri wa haraka Allah amsaidie huyu kijana ananitia huruma
@Fatima-sv5gp
@Fatima-sv5gp 4 жыл бұрын
Kabisa
@zamotomototv4609
@zamotomototv4609 4 жыл бұрын
Davistar, Davistar, Davistar 👏👏
@WildAnimais001
@WildAnimais001 4 жыл бұрын
I am watching from the Kingdom of Bahrain big up D
@davistamattamedia8199
@davistamattamedia8199 4 жыл бұрын
⏩TEMBELEA CHANNEL YETU MPYA Ya Masimulizi na Makala. ⏩HII NDIYO LINK YA CHANNEL kzfaq.info/love/PX6l-lh8fBzc4iVED8nddA ⏩TUSHIRIKIANE KWA KUSUBSCRIBE KWENYE HII CHANNEL, ILI TUWEZE KUIFIKISHA CHANNEL HII MBALI,KAMA ILIVYO SASA KWA CHANNEL YETU YA Davista Matta media. ⏩USISAHAU KUSHARE UJUMBE HUU KWA WAPENZI WOTE WA DAVISTA MATTA . ⏩by mtu wako makini.Ahsanten sana.,
@sarahogama9540
@sarahogama9540 4 жыл бұрын
Me too anywy welkam
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Sasa unaskza unaelewa kweli?
@fadhiliswalehe9286
@fadhiliswalehe9286 4 жыл бұрын
Mbona hii sauti kama ya yule mchungaji wa kigoma aliyekimbia kisa uchawi na akaacha uchungaji kama sijasahau jina lake ni maprosoo
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 жыл бұрын
Pole sana
@OmanOman-ik9sp
@OmanOman-ik9sp 4 жыл бұрын
Hiyo laki 3 mngeanzishia biashara kwa muda wa miez 5 Mbona mngekuwa mbali
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 4 жыл бұрын
pamoja sanaa kaka
@hamisifereji2769
@hamisifereji2769 4 жыл бұрын
Nic location devester
@nassmassemde6711
@nassmassemde6711 4 жыл бұрын
💃💃💃💃💃leo nimewahii
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Tanga raha sana
@jamesdubai1056
@jamesdubai1056 4 жыл бұрын
pamoja Sana Davistar Mata Nakupata kutoka +97150.
@estermosha1985
@estermosha1985 3 жыл бұрын
ndo wapi huko
@lydiaedwin3998
@lydiaedwin3998 3 жыл бұрын
Nimependa ulijitoa kwaajili ya mama ako, mwambie zabron akusaidi kwa Yule mtaalamu
@jp1780
@jp1780 4 жыл бұрын
waambieni hao watu wenye hizo dawa wafanye hizo dawa zao kwa wazungu ili wazungu waache kutupora congo atujuwi lakufanya wazungu wanatupola hatari uku
@musahairikha8135
@musahairikha8135 4 жыл бұрын
Kweli ni noma
@eshialabonita7736
@eshialabonita7736 4 жыл бұрын
haahahaha mzee aliwapiga mpunga
@nurafedrick378
@nurafedrick378 4 жыл бұрын
Nilidhani kuwa ni mm pekee nilikulia maisha yashida yakulimani msaidie mama kulima amakuekaa mboga maji lkn mbona nilivumilia hadi mdaa hunafikiria kazi halali sio hixo xakuendaa kwamgangaa 😰😰😰😰😰😰 heri uombeeeee mtu akunyime kuliko kuibaaaa loo kazi ulikuwa nayo
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
Shetani awezi muingia mwanadamu bila mwanadamu mwenyewe kufungua milango ya shetani. Ndio maana lzm uwe na biashara ndipo mganga akuongezee kiini macho chake....watu wangu wanaangamia kwa kukosa maharifa
@nurafedrick378
@nurafedrick378 4 жыл бұрын
Kirahisii tuu miaka sita rahaa kisha ufee kisa utajiri shikamoo utajiri huo mbona upitie mbali jamani bora niteseke lkn mwisho nitashindaaa tuuu kwaimani
@goodgood9370
@goodgood9370 4 жыл бұрын
Nyinyi woote umnao mkashif Huyu kaka mungu awasamehe manake hamjui mnchoongea..inapaswa Mjue uchawi uko na ukiona mtu anakubali kufa au kutoa mtu wake afe sio kupenda kwake huwa ni pepo fulani limemkalia akilini mwake ili asiweze kuwa na ufahaumu anafanya vibaya ..akili yoote yake inatekwa kufikiria mali na sio uhai..
@javannzuchi8276
@javannzuchi8276 4 жыл бұрын
N kwel
@fatmakiruwasha2378
@fatmakiruwasha2378 4 жыл бұрын
Kwer kabisa good ndio maana tukaambiwa usimzarau mtu usiye mjuwa
@chrispinechristian238
@chrispinechristian238 3 жыл бұрын
nikweli kabisa
@sashaelias518
@sashaelias518 3 жыл бұрын
Kweli kabisa badala ya kumuombea mtu unaanza kumsema sema Kama huwez kumsapoti kaa kimya
@suhfavuai7497
@suhfavuai7497 4 жыл бұрын
Watu wapo vizur hum
@likeothers2498
@likeothers2498 4 жыл бұрын
Hehe hii ya leo kali
@brendaaluoch7088
@brendaaluoch7088 3 жыл бұрын
Anipigie nimueleze chakufanya tafadhali
@norbertmafioso3213
@norbertmafioso3213 4 жыл бұрын
wakuu🙌🙌🙌
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 4 жыл бұрын
Nice story
@davistamattamedia8199
@davistamattamedia8199 4 жыл бұрын
⏩TEMBELEA CHANNEL YETU MPYA Ya Masimulizi na Makala. ⏩HII NDIYO LINK YA CHANNEL kzfaq.info/love/PX6l-lh8fBzc4iVED8nddA ⏩TUSHIRIKIANE KWA KUSUBSCRIBE KWENYE HII CHANNEL, ILI TUWEZE KUIFIKISHA CHANNEL HII MBALI,KAMA ILIVYO SASA KWA CHANNEL YETU YA Davista Matta media. ⏩USISAHAU KUSHARE UJUMBE HUU KWA WAPENZI WOTE WA DAVISTA MATTA . ⏩by mtu wako makini.Ahsanten sana.,
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 4 жыл бұрын
Utajili wamasha rilihaudumu hatakama unatoa kafala😪😪😪😭😭
@ummialey6391
@ummialey6391 4 жыл бұрын
Mimi niulizie huo utajiri umepata km umepata utakuwa mashart yametimia km hujapata nijushauri
@luqmanmohamed9198
@luqmanmohamed9198 4 жыл бұрын
All the way from+254 where do you Google this people bro zao Kali kali
@davistamattamedia8199
@davistamattamedia8199 4 жыл бұрын
⏩TEMBELEA CHANNEL YETU MPYA Ya Masimulizi na Makala. ⏩HII NDIYO LINK YA CHANNEL kzfaq.info/love/PX6l-lh8fBzc4iVED8nddA ⏩TUSHIRIKIANE KWA KUSUBSCRIBE KWENYE HII CHANNEL, ILI TUWEZE KUIFIKISHA CHANNEL HII MBALI,KAMA ILIVYO SASA KWA CHANNEL YETU YA Davista Matta media. ⏩USISAHAU KUSHARE UJUMBE HUU KWA WAPENZI WOTE WA DAVISTA MATTA . ⏩by mtu wako makini.Ahsanten sana..
@princesssway1396
@princesssway1396 4 жыл бұрын
+277
@abdullmalik7847
@abdullmalik7847 4 жыл бұрын
@@davistamattamedia8199 254 pamoja 🇰🇪
@manenojames2011
@manenojames2011 4 жыл бұрын
Jaman daaa jamaan naumia sana tena sana mm daaaaa kila siku nakuwa 79 siwez kuwa wa kwaza niliaje jaman munifundishe
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 4 жыл бұрын
💝💝💝💝💝💝
@emmaraphael5982
@emmaraphael5982 4 жыл бұрын
Usikate tamaaa ipo siku utakuwa wa kwanz
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 4 жыл бұрын
@@emmaraphael5982 hiyo no member one inavyoliliwa na kila mtu...Yesu alisema wakwanza atakuwa wa mwisho na wamwisho atakuwa wa kwanza.............❤❤❤❤❤
@emmaraphael5982
@emmaraphael5982 4 жыл бұрын
@@dorcaskidoti249 kweli kabisa
@sashaelias518
@sashaelias518 3 жыл бұрын
Ivi nyie mnavuta bangi au nn kutusumbua Mara et umekuwa was Kwanza Mara umekuwa wa 75 ndonn tutoleen wenda waximu wenu
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 2 жыл бұрын
marasta bado yupo? referal
@bbycandy6757
@bbycandy6757 4 жыл бұрын
Pole my dear
@davistamattamedia8199
@davistamattamedia8199 4 жыл бұрын
⏩TEMBELEA CHANNEL YETU MPYA Ya Masimulizi na Makala. ⏩HII NDIYO LINK YA CHANNEL kzfaq.info/love/PX6l-lh8fBzc4iVED8nddA ⏩TUSHIRIKIANE KWA KUSUBSCRIBE KWENYE HII CHANNEL, ILI TUWEZE KUIFIKISHA CHANNEL HII MBALI,KAMA ILIVYO SASA KWA CHANNEL YETU YA Davista Matta media. ⏩USISAHAU KUSHARE UJUMBE HUU KWA WAPENZI WOTE WA DAVISTA MATTA . ⏩by mtu wako makini.Ahsanten sana.,
@violinenyakara5028
@violinenyakara5028 4 жыл бұрын
Wa kwanza
@nasreenmeshack4343
@nasreenmeshack4343 4 жыл бұрын
Sijawai sikiastry wakisimulia kuwa alienda kwa mganga Dodoma 🙂 Itakua akuna uchawi
@lydiaokobi1702
@lydiaokobi1702 3 жыл бұрын
Wagogo sio washirikina
@victoriastephano4075
@victoriastephano4075 3 жыл бұрын
jamn twachen tamaaa Bora nikala ungali dangaa kilasiku duuuuuuuh
@catherinejames6714
@catherinejames6714 10 ай бұрын
Part 2 please
@muaminhakizimana1671
@muaminhakizimana1671 4 жыл бұрын
Devista uwe unaonganisha muendelezo unatucanganya maana walishakuwa wengi
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
Makubwa hayo tena
@ramak.9587
@ramak.9587 3 жыл бұрын
Uyu jamaa kuliendaje
@frankjustinian5929
@frankjustinian5929 4 жыл бұрын
Ya pili nilini sasa boss
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 2,7 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 35 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 22 МЛН
Ой не могу 🤣❤️
0:33
Dragon Нургелды 🐉
Рет қаралды 2,1 МЛН
Czn Burak vs Argenby Which sigma is better?
0:19
ARGEN
Рет қаралды 14 МЛН