PART3:KIJANA ALIEPITIA MAMBO MAGUMU YA AJABU NA KUKUBALI KUWA NAYO ILI KUEPUKA KIFO

  Рет қаралды 4,089

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

2 жыл бұрын

Пікірлер: 70
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 2 жыл бұрын
Mtu kubadilisha dini au Imani isiwe tatizo....Imani ya mtu inamponya mwenyewe....Kila siku maelfu Kwa maelfu watoka ukristo kwenda Muslim na hivyo hivyo pia maelfu wanatoka Muslims kwenda ukristo....tusibeze Imani za watu mungu ni mmoja.
@pamellahmark4822
@pamellahmark4822 2 жыл бұрын
AMEN AMEN MORE GRACE 🙏
@semwandambaza2184
@semwandambaza2184 2 жыл бұрын
Kaka davista...kazi yako Ni njema babaaangu🙏...Napenda kila unachokifanya.I pray that" Damu ya YESU ikufiiicheee kabisaaaaa"
@justinendizeye714
@justinendizeye714 2 жыл бұрын
Karibu kijana ukombozi wa Bwana yesu ndiyo njiya sahh, allelluyaa 🙏🙏
@juliejulie8704
@juliejulie8704 2 жыл бұрын
Hallelujah hakika Yesu ni muaminifu kwenye maisha yetu tumtegemey yeye na yeye atatushika mkono 🙏
@gracewelschemeyer665
@gracewelschemeyer665 Жыл бұрын
Amen 🙏🏽
@semwandambaza2184
@semwandambaza2184 2 жыл бұрын
Kaka anafuraha ya kweli,,ya Roho mtakatifu.Barikiwa mpendwa katika YESU KRISTO 🙏 ...tuchape mwendo YESU yu upande wetu😘😘😘
@mmarekanitz4049
@mmarekanitz4049 2 жыл бұрын
Dah uyu jamaa kichwa yake iko less sana anadanganya alafu anasahau
@florencerose859
@florencerose859 2 жыл бұрын
Mr facts umetowana na huyu wapi?🤣🤣🤣🤣amenichekesha ameamuru mungu ashuke waonane moja kwua moja
@Nickbrown127
@Nickbrown127 2 жыл бұрын
Mungu aendelee kukulinda kijana na uendelee kumtumikia kwa haki na kweli.
@marlianstv2577
@marlianstv2577 2 жыл бұрын
Huyu jamaa ata davista hamuelewi
@justinendizeye714
@justinendizeye714 2 жыл бұрын
Amen 🙏, ubarikiwe sana 👏👏
@macamezunguzungu5584
@macamezunguzungu5584 2 жыл бұрын
Njia sahihi ni bwana yesu tu 🙏
@maxwellssemakula1565
@maxwellssemakula1565 2 жыл бұрын
Kwa taarifa ya wanaopinga Yesu Kristo ni Mungu Mkuu mwenye nguvu na mamlaka duniani na Mbinguni, hakuna mwengine baadala yake.
@abangaabanga4677
@abangaabanga4677 2 жыл бұрын
Bwana asifiwe
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 2 жыл бұрын
Ila kija kijana ana confidence anaposimulia. 07.12.21.
@melisahakatu2512
@melisahakatu2512 2 жыл бұрын
Hahahaha woi woi mtumishi ubarikiwe mina amina
@babaluxe8626
@babaluxe8626 2 жыл бұрын
Huyu kamuota Rambo au vanddame, yesu kila mtu kamuota yesu acheni ujinga
@allyhante8361
@allyhante8361 2 жыл бұрын
Mtumishi anajichekelesha sana!!!
@musiclyrics1131
@musiclyrics1131 2 жыл бұрын
Kweli bangi sio nzur umesikia sauti ya mungu hahahha kichupa cha wapi umekunywa mtumishi wa shetani 😂😂😂
@arifosman3500
@arifosman3500 2 жыл бұрын
wavuta bangi pia wanakua na maono ya ajabu kama nyinyi watumishi. msije ikawa nyinyi watumishi mnapiga cha jamica.😅😅😅 hiki kitakua cha arusha unasikia kabisa mtu anakusemesha alafu humuoni..
@musiclyrics1131
@musiclyrics1131 2 жыл бұрын
Eti kasikia sauti ya mungu 🖕😂😂
@arifosman3500
@arifosman3500 2 жыл бұрын
@@musiclyrics1131 wanapiga bang
@salisali3738
@salisali3738 2 жыл бұрын
Kwa ambaye alie soma saikolejia ata jua tu huyu jamaa ni muongo yupo kujichekesha tu
@davidchesco1150
@davidchesco1150 2 жыл бұрын
Kweli aliesoma saikolojia atajua kua huyo jamaa anajichekesha lakin mtu anaejua mambo yakiroho hawez kuona anajichekesha atajua nikweli kaasabab saikolojia haihusian na mambo yakiroho
@makame3524
@makame3524 2 жыл бұрын
Upo vzr
@arifosman3500
@arifosman3500 2 жыл бұрын
wanakula bang ya chooni
@sultanaswaleh4708
@sultanaswaleh4708 2 жыл бұрын
Mungo .ni KAMa ame lipwa fala yeye
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 2 жыл бұрын
INAWEZEKANAJE MUNGU AKAWA NA MTOTO... TENA MTOTO MWENYEWE NI MUNGU ,DUUH
@saidessry9942
@saidessry9942 2 жыл бұрын
Huyu jamaa anatakiwa ajipange tena maana anajigonga sana Yeye wakati anaingia kanisani aliingia huku yeye bado ni muislamu sasa ilikuwa inampasa aombe kiislamu lakini chakushangaza anasema alikuwa hajui aombe nini kwasababu ndio siku yake ya kwanza kuingia kanisani na kwakumuweka wazi ktk uislamu kuna sala na kuna dua. Sala na dua ni vitu viwili tofauti Uongo wake mwengine wawo kuona malaika kumuona mungu ni jambo jepesi anamuona yesu hata kama amevaa boxer nakumbushia pr .David Halafu mara anasema aliambiwa hasomewi dua mpaka amkiri yesu sasa hivi anasema hulazimishwi anasahau haraka ajipange upya
@Nickbrown127
@Nickbrown127 2 жыл бұрын
Sasa wewe unachobisha nini? Acha kufungamana na dini za mashetani. YESU KRISTO yupo na anatenda kazi kila siku.
@saidessry9942
@saidessry9942 2 жыл бұрын
Nipe maandiko sio maneno ya chuki
@mmarekanitz4049
@mmarekanitz4049 2 жыл бұрын
Tuko pamoja mzee maana watu wengi wanaamini kwenye miujiza
@mmarekanitz4049
@mmarekanitz4049 2 жыл бұрын
Hata shetani anafanya miujiza
@saidessry9942
@saidessry9942 2 жыл бұрын
Miaka yote aliyoishi ktk uislamu hafikirii kwenda msikitini lakini siku moja tu aliyoingia kanisani alijifundisha kila kitu mpaka dua ya kumfukuza paka tena amemfurumsha kwa jina la yesu Lakini baada ya kuritadi mwezi mzima yupo kanisani hawezi kutamka yesu jamaa noma halafu anajichekesha hana hata aibu halafu muda simrefu akamuona mungu kawashinda mpaka walomritadisha
@Nickbrown127
@Nickbrown127 2 жыл бұрын
Wewe bado unafungwa na majini ndio maana huwezi kuona mwangaza. BWANA YESU KRISTO akusaidie utoke huko hata sisi tulikua wabishi kama wewe ila sasa Nuru Ya YESU KRISTO imeshatuangazia.
@saidessry9942
@saidessry9942 2 жыл бұрын
Muislamu hawi mbishi kwani anafata maandiko na sio ndoto za mashetani yaani kweli mtu atatoka kwenye uislamu anasali kwa siku vipindi vitano muda wote yupo kwenye ibada atoke aende kusikiliza vinanda kanisani Wewe kama unamaandishi nipe na sio ndoto halafu wapi mumefundishwa kusali na muziki na nyinyi hamuabudu mashetani
@justinendizeye714
@justinendizeye714 2 жыл бұрын
Bwana yesu ndiyo muokozi wa dunia 🙏
@juliejulie8704
@juliejulie8704 2 жыл бұрын
Hallelujah Mungu ni mwema sana karibu na wewe
@juliejulie8704
@juliejulie8704 2 жыл бұрын
@@saidessry9942 Yesu ni njia yakweli na uzima karibu
@MaryamMaryam-wp5yk
@MaryamMaryam-wp5yk 2 жыл бұрын
Davista mwenyewe Anamsikiliiza tu ili Anajuwa saana kama huyu jizi ni muoongo Maskiini Kaka davistar tuletee vitu vya maana sio huyu kijichekesha tu kammmma
@prochesernest5439
@prochesernest5439 2 жыл бұрын
Unaitaji uombewe hili nawew ukamuamini Yesu kristo na majini yatakuachia utakuwa huru Kama huyo jamaa
@MaryamMaryam-wp5yk
@MaryamMaryam-wp5yk 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣😂
@sultanaswaleh4708
@sultanaswaleh4708 2 жыл бұрын
Huyu ana laana.ame tekwa kimbango na kanisa la sheitwani.ili kuvuta watu.
@sultanaswaleh4708
@sultanaswaleh4708 2 жыл бұрын
Na nikweli hapana MUNGU! Apasawe kuabudiwa kwa hai.ila ni MUNGU! Pekeee..na MUNGU ! Hana mtoto.issa (yesu ) ni mtume wake.wala sio MUNGU! Fala wewee..
@florencerose859
@florencerose859 2 жыл бұрын
Mbona mtu akibadlisha dini ni kero kwua wengine?
@noelashaoona
@noelashaoona 2 жыл бұрын
Waislam tu ndo uwa wana tatizo
@justinendizeye714
@justinendizeye714 2 жыл бұрын
Hawajiamini na dini ya uislam hayina uwaminifu tosha
@juliejulie8704
@juliejulie8704 2 жыл бұрын
Nikwasababu wanajua mtu wao akiokoka kuna maelfu wapo nyuma yake
@justinendizeye714
@justinendizeye714 2 жыл бұрын
@@hassanmaulid2166 hamna ukombozi kwa uislam, mitume ni majini munayiyaabudu
@justinendizeye714
@justinendizeye714 2 жыл бұрын
@@hassanmaulid2166 najivuniya kwa ukristo, jaribu ujilizishe na elimu tosha, ndiyo utauelewa ukombozi WA Bwana Kristo
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 6 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 14 МЛН
SHAJARA NA LULU | Simulizi ya Emmanuel Nyongesa [Part 1]
24:31
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 3,9 М.
SOMO: KARAMA ZA ROHO
USHINDI JOSHUA CHANNEL
Рет қаралды 3
HOUSE GIRL EP 58 || love story💞💕
24:43
BUSATI TV
Рет қаралды 8 М.
ODM Leadership in Kenya Kwanza Government.
43:38
SpiceFM
Рет қаралды 73 М.
Что делать если закрыли на балконе
0:31
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
0:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 14 МЛН
19 июля 2024 г.
0:20
мишук круглов
Рет қаралды 9 МЛН
HE’S BACK! 😰
0:11
HeyItzPuppies
Рет қаралды 9 МЛН