DAWA YA MNYAUKO KWA NYANYA

  Рет қаралды 3,533

MINJA KILIMO

MINJA KILIMO

4 ай бұрын

Mnyauko ni ugonjwa HATARI unaoshambulia zao la nyanya na kwa hakika unasababisha hasara kubwa kwa wakulima, makala hii imeelezea JINSI ya kuepuka ugonjwa huu

Пікірлер: 20
@MuhibuAbdalla
@MuhibuAbdalla 28 күн бұрын
Tunafurahi kwa elimu inayotolewa allah atujalie katika kazi njema, Inshallah.
@user-mn9nz4mg4v
@user-mn9nz4mg4v 3 ай бұрын
Asante
@Mwanaumewashoka
@Mwanaumewashoka 4 ай бұрын
Sawa mwalimu wangu
@LightUrioh
@LightUrioh 3 ай бұрын
Huyo mdudu anakula miziz mm shamban kwangu nimekuta mimea miwili imenyauka nikangoa nikatazama kwa chin nikamkuta na miche yote haikuwa na miziz imeliwa lakin ukimtoa na ukafukia mche unaweza toa miziz mingine ukaendelea kukua
@user-lo5vf2oq6u
@user-lo5vf2oq6u 4 ай бұрын
Kweli nimepata elimu nzuri
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 4 ай бұрын
Tunashukuru kugusa maisha yako karibu sana
@MwamtetaBani
@MwamtetaBani 14 күн бұрын
Je file nyanya zilikuwa tayari zinalika
@user-sq5mb2gd6x
@user-sq5mb2gd6x 4 ай бұрын
Mtaalamu hapo umesema kweli kuhusu huyo mdudu mdudu huyo hupenda kuishi ktk ardhi yenye rutba na hata ktk magogo yaliyooza na wala haathiri mazao ni sawasawa na wale wadudu kwa kwetu zanzibar tunawaita nyungunyungu ( earth warm).
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 4 ай бұрын
Sahihi kabisa
@AndrewWoiso
@AndrewWoiso 4 ай бұрын
Asante kwa elimu
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 4 ай бұрын
Karibu sana @Andrewwoiso
@AndrewWoiso
@AndrewWoiso 4 ай бұрын
Asante mkuu
@neemammassy2467
@neemammassy2467 3 ай бұрын
Nimeanza robo heka,mwezi wa saba nataka kuchukua heka 2, najifunza mengi sana through minja kilimo
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 3 ай бұрын
Hongera sana kwa hatua hiyo na nafurahi kuona unajifunza mengi kutoka minja kilimo plan Yako ya kuingia shambani July Iko poa sana kama umechek video yetu ya ni MIEZI IPI nyanya inakua na bei kubwa sokoni? Utagundua umechagua mwezi sahihi wa kuingia shambani
@user-ls2uj3fl1o
@user-ls2uj3fl1o 13 күн бұрын
Asante hiyo nyanya ni aina gani?
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 13 күн бұрын
Assila
@user-ls2uj3fl1o
@user-ls2uj3fl1o 3 ай бұрын
Nyanya hiyo ni aina gani?
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 3 ай бұрын
Assila
@MwamtetaBani
@MwamtetaBani 14 күн бұрын
Hiyo lotation je unaweza panda papai badala ya nyanya
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 13 күн бұрын
Unaweza
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 12 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 15 МЛН
Harvesting Deshi Vegetables In Uk 2021
27:42
Ali Raja Bagan Bari Uk
Рет қаралды 11 МЛН
NJIA YA KUZUIA UGONJWA WA MNYAUKO KWENYE NYANYA TAZAMA HADI MWISHO.
11:38
Kilimosmartprojects KSP
Рет қаралды 20 М.
I Filmed Plants For 15 years | Time-lapse Compilation
30:40
Boxlapse
Рет қаралды 11 МЛН
JE NITUMIE MBOLEA GANI KUZALISHA MAUA NA MATUNDA MENGI KWA NYANYA?
17:25
6 TOP Crops to Grow at Home to Save You From STARVING
12:35
Self Sufficient Me
Рет қаралды 6 МЛН
Western Blotting
9:57
Bio-Rad Laboratories
Рет қаралды 1 МЛН
Hizi ni mbegu Bora za nyanya
4:49
KILIMO HALISI
Рет қаралды 4,7 М.
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 12 МЛН