NJIA YA KUZUIA UGONJWA WA MNYAUKO KWENYE NYANYA TAZAMA HADI MWISHO.

  Рет қаралды 20,844

Kilimosmartprojects KSP

Kilimosmartprojects KSP

2 жыл бұрын

Tazama video hii hadi mwisho utaona njia pekee ya kuzuia au kukinga mimea dhidi ya ugonjwa wa mnyauko. Ugonjwa huu unatesa wakulima wengi Ila usione hasara kununua dawa kwaajili ya kukinga na kufuata maelekeze yaliyoelezwa katika video hii.

Пікірлер: 22
@user-ls2uj3fl1o
@user-ls2uj3fl1o 13 күн бұрын
Asante kwa mafunzo mazuri naomba no zenu
@moganimgovano1143
@moganimgovano1143 Жыл бұрын
Ahsante Sana wataalamu wetu.nawaelewa Sana lazima mje msimamie shamba langu
@user-ij7nr6md5f
@user-ij7nr6md5f 7 ай бұрын
Ok
@najimseven1230
@najimseven1230 2 жыл бұрын
Thanks, the video is informative 👍
@niyongaboselemani6968
@niyongaboselemani6968 15 күн бұрын
Thank u , please send to me the list of this insecticide
@VEVO-africa
@VEVO-africa 2 жыл бұрын
Ahsanteni sana kwa darasa lenu je dawa ya ukungu na wadudu tunapaswa kupuliza mara ngapi na tunawapataje wateja mda utakapofikia wa kuvuna nyanya
@kilimosmartprojectsksp
@kilimosmartprojectsksp 2 жыл бұрын
Sumu upulizwa kulingana na Hali ya Hewa na uwepo wa wadudu shambani, Ila unashauriwa walau Mara moja kwa wiki
@VEVO-africa
@VEVO-africa 2 жыл бұрын
Sawa Naxhukuru xana
@TumainiNashonMutabazi
@TumainiNashonMutabazi 2 ай бұрын
Naipataje hiyo ya Kinga ya mnyauko?
@kennysabai5695
@kennysabai5695 Ай бұрын
Heka moja inatakiwa iwe na matuta mangapi?
@titusosano3946
@titusosano3946 2 жыл бұрын
Kilimo smart for life
@mbaroukramadhan462
@mbaroukramadhan462 2 жыл бұрын
Hongera sana .naomba namba yko
@yusuphkulanga6127
@yusuphkulanga6127 2 жыл бұрын
Naomba kujua dawa za kupambana na nematodes kwenye nyanya
@humphreyimbayi8731
@humphreyimbayi8731 2 жыл бұрын
Naulisa mimi nishapanda nyaya na kuna baadhi ya mimea unyauka na iko greenhouse .nitumie dawa gani
@abrahammcharo975
@abrahammcharo975 2 жыл бұрын
Je fungal infection haiwezi kusababisha mnyauko ? Kuna tofauti gani kati ya Fusarium wilt na bacterial wilt?.
@kilimosmartprojectsksp
@kilimosmartprojectsksp 2 жыл бұрын
Kuna mnyauko unaosababishwa na fungus Kama fusarium wilt na kuna Bacterial wilt inayosababishwa na bacteria fungal diseases zinatibika tofauti na bacterial infections ambazo Mara nyingi hazitibiki moja kwa moja
@chachawangwe8699
@chachawangwe8699 2 жыл бұрын
Ahsante kwa hii elimu, je unaweza ziandika hizo dawa hapa ili ikitokea mtu anazihitaji iwe rahisi kwake?
@kilimosmartprojectsksp
@kilimosmartprojectsksp 2 жыл бұрын
Ukitaka dawa wasiliana nasi kiongozi
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa 2 жыл бұрын
Hii project nataka kufuatilia mwanzo hadi mwisho mkuu, tutumie kila hatua
@kilimosmartprojectsksp
@kilimosmartprojectsksp 2 жыл бұрын
🤝
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa 2 жыл бұрын
Ahhh...wewe jamaa ni una shule. Hapo umenielezea kuhusu Nematodes na Xylem tissues in plants. Ahhh...wewe haubahatishi.
@kilimosmartprojectsksp
@kilimosmartprojectsksp 2 жыл бұрын
🙏
MBINU  11 ZA KUDHIBITI MAGONJWA YA NYANYA
9:16
AGALUS TV
Рет қаралды 17 М.
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 35 МЛН
KILIMO CHA NYANYA KWA MTAJI KIDOGO -KANUNI MUHIMU NA BAJETI (PART 2)
22:44
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Рет қаралды 3,7 М.
DAWA YA MNYAUKO KWA NYANYA
21:22
MINJA KILIMO
Рет қаралды 3,5 М.
DAWA YA KUMDHIBITI MDUDU KANITANGAZE (BOKO HARAMU)
6:34
Floresta Tanzania
Рет қаралды 3,4 М.
UZALISHAJI WA NYANYA
10:29
TAHA ONLINE TV
Рет қаралды 8 М.
MBOLEA MUHIMU YA TATU KWA NYANYA
18:22
MINJA KILIMO
Рет қаралды 1,7 М.